REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI NYUMBANI?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 03. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA MORNING GLORY: THE SCHOOL OF HEALING
    'HII NI KWARESMA: 19
    06/ 03/ 2024
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    SOMO LA LEO: UNA KITU GANI NYUMBANI?
    WHAT DO YOU HAVE IN YOUR HOUSE?
    2 Wafalme 4 : 1 - 7
    1 Nyakati 12 : 32 - 33
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7

    2 Wafalme 4 : 1 - 7
    1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha Bwana; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
    2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.
    3 Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache.
    4 Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa ukavitenge.
    5 Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
    6 Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma.
    7 Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Enenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.
    1 Nyakati 12 : 32 - 33
    32 Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.
    33 Wa Zabuloni, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, wenye zana za vita za kila namna, hamsini elfu; askari wastadi wasiokuwa wenye moyo wa kusita-sita.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Komentáře • 17

  • @lucianagodson437
    @lucianagodson437 Před 4 měsíci +12

    Jmn tunaomba msiwe mnakatisha sala huku mwishoni tunawategemea sana

  • @agnesminja9612
    @agnesminja9612 Před 4 měsíci +1

    Amen mtumishi barikiwa

  • @FrankMgalilwa
    @FrankMgalilwa Před 4 měsíci +1

    Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri

  • @happysadallah4590
    @happysadallah4590 Před 2 měsíci

    Askofu ajae🙏🙏🙏🙏

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 Před 3 měsíci

    Najua mungu hawezi kunipa kilema akanikosesha mwendo

  • @user-bq6uu4bf2r
    @user-bq6uu4bf2r Před 4 měsíci

    Aminaaaaaa. nimebarikiwa mtumishi wa Mungu🙏🙏🙏

  • @jacksonpallangyo1369
    @jacksonpallangyo1369 Před 4 měsíci +2

    Mwenyenzi MUNGU azidi kukuweka zaidi na zaidi tuweze kupata mafundisho yako akika umetuvusha ng'ambo nyingine

  • @joycemwakabuta866
    @joycemwakabuta866 Před 4 měsíci

    Amina

  • @jenipherdonald7591
    @jenipherdonald7591 Před 4 měsíci

    Amina baba,...

  • @RoseKatavo-kn3uj
    @RoseKatavo-kn3uj Před 4 měsíci

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @jastinnkya
    @jastinnkya Před 4 měsíci

    Amin sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇮🇱

  • @user-dm7iw2us6u
    @user-dm7iw2us6u Před 4 měsíci

    Amen

  • @user-dm7iw2us6u
    @user-dm7iw2us6u Před 4 měsíci

    Ubarikiwe sana pasta

  • @gracegesare5313
    @gracegesare5313 Před 4 měsíci

    Asante Kwa tafalali nzuri Amina unatuelimisha kweli GOD bless you.

    • @user-ye1dt2eb8u
      @user-ye1dt2eb8u Před 2 měsíci

      Kumbe ,sio dhambi kumchukua mkopo, na saai Kuna watu wanahubiri kumchukua loan ni dhambi,,,, Sasa inakuaje hapo Mchungaji

  • @user-ky2bq3bo1x
    @user-ky2bq3bo1x Před 4 měsíci

    🙏

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 Před 4 měsíci

    Mimi nime ski na frem ambayo bado kodi ipo mpaka july naamini nita simama tena kupitia hii frem iliyo bakizwa na mauti MUNGU hajaniacha nitatiboa kwajina la yesu