ELIUD AITIKISA CHEKA TU FESTIVAL, MAMA DANGOTE HOI KWA KUCHEKA...
Vložit
- čas přidán 17. 12. 2021
- ELIUD AITIKISA CHEKA TU FESTIVAL, MAMA DANGOTE HOI KWA KUCHEKA...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Yaani huyu jamaa anapo anza kama anatania lakini anauwezo mkubwa hii ndio nasemaga kuchekesha mpaka (Msomi au mwenye hela )
Yupo vizuri sana sana anatoka juu kwani watu wa nahitaji bado yaani kunamuda unaweza toka hapo huja cheka ila ukifika njiani ukikumbuka unaanza kucheka tena
Huyu jamaaa ni Baba lao..ktk stand up commedy
Kaka nlkuwa nakutafuta kwa mda mrefu! Bigup kakaangu Eliud, home sweet home #mbeya# home
Eliud ndio mtu pekee anayeweza kupangilia maneno na Mada wakati wa kuchekesha.alistahihili nafasi ya pili kwa kadiri ya wakati ule ,ila mpaka sasa Daaah sina cha kusema ni kama Aza boy vile
Kuna watu Wana coment bila kuskia had mwisho bongo bna: noma sanaaa...
Voice haijakaa sawa
Mwanangu Sanaa...love from kenya🔥🔥🔥🔥🙌huyu ndiye mshindi wa cheka tu
We nimkali kuwakiko🇨🇩💪🇺🇬
Anajua sana huyu jamaa
Yupo vizuri then watu wanamkubali
Good 👍
Eliud ameua sanaaaaa
Jamaa anajua Sana sio siri
Hakika wewe ndo ulistahili kuwa namba 1 aiseee unajua sema basi tu
Bro unajua sana......hongera
Hahaha nipe mkono😂😂😂😂😂 kwa sauti chini
Hii ndyo stand up comedy tunayoitaka,eliud wafundishe hao wengine, wajifunze jins ya kutengeneza na kupangilia story moja na sim vipandevipande kama watoto wadogo, we unakuta MTU ndani ya sentens mbili ameshaongea maada said ya 9, eliud wafundishe hao
Huyu mshikaji anajua sana
Sanaaaaaaaaa
Ila huyu kaka😀😀😀😀😀😀
Mi nakupndaga tu kaka eliud yan unajuwa kunifulahisha,Ila mngu akusimamie sana
Hahahahaha eliudi ndo noma sana
Echoes
Nampenda xna huyu
Manina nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna wa2 Wana kalama,hachekeshi lkn tunacheka
Daaaah mungu aendeleee kukulinda brother pia endelea kupambana upo vizuri sanaaaaaaaaaaaaaa atakae sema hujui huyo anafitina nawewe
Tuwakilishe man Wana mbeya
🔥🔥🔥
Ameuaa mbeya boy
Wallah uongo dhambi eliud fundi San wa comedy sjaona more than him on my side .... Broo ni fire 🔥
Nice sana
This is best😍😍😍😍😍😍😍
Nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unajua sana
Nakubali
Guuuuh
💯💯
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wow
🎉🎉🎉❤❤❤ nakupenda buree kaka
🤣😂🤣🤣🤣 usiludi mbeya
unaweza mwamba ukoseii
Noma❤❤❤
Talented
Congrats bro👍
🤘🤘🤘🤘🤘🤘
Eliudi umeua balaa broo
🔥 🔥🔥🔥🔥
Hatari sana 🔥🔥🔥🔥😆😆😆 ... Greeting from Mbeya
Xana man
Kaka ako huyo dgo muheshimu
Dogo upo poa?hongera sana
Unajua
ahahahahahaahahahahahahahh mung n mwem akushindie kwa kila jmb ❤
Huyu jamaa htr
Huyu jamaa 😃😅😅
Hyu jamaa hatumii nguvu kubwa kuchekesha
Hahahahaha umepata kaka jaman😃
Oyooooo
💐💮🎉
Ilovee you fanya uni aproch bas kak dhaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hahaha
Home boy kabisa wewe una tukana kwamba hauna ukalibu na mond
Jamani maana ya comedy Ni nini?
Ovyoooo
Kojoa ulale
Nenda ukachekeshe wewe
😂😂😂🔥🔥🔥🙌
😁😁😂👏👊
Hatariiiiii 😂😅
😂😂😂😂
Anajuaa xana
🙌🙌🙌😁😁🤣🤣
Chiz sana
😃😃😃😃
Iki kichwa hakipo saw
Hahahahhaha
😂😂😂
Kaka unajua kutoa ujumbe
Kiingilio huwa Bei gn kwani
Hahahaahhahahha eliudiiiii
Gwakaka ubombileee
Big up saana
Dah hyu jamaa nmecheka
😅
Great storyteller comedian..
😂😂😂😂😂😂
Fundiiii
🤣🤣🙌🙌
Iki kipindi kinaonyeshwa jumangapi na sa ngapi
Wasafi wanata kuleta mfano ya mama dangote kwa sababu wanapenda wanawake wote wawe kama yeye. Mwanamke anayolala na watu wengi ni malaya kubwa. Amezaa nye ya ndoa, anaishi na mwanaume siyo mume wake, amelala na watu weeengi. Akiendelea kufanya hayo mambo atachomwa motoni, na mtoto wake pia. Msifatene mfano yao.... aibu kubwa ya Tz.
Kila mtu anadhambi zake wew pambana na za kwako
Naomba Nikwambie Kitu Fuata Kile Kinacho Kufaa Hayo Mengine Zidhani Kama Yanakuhusu Waachie Wao..... You Ain't In A Position To Judge!!
Kila mtu aombe msamaha kwa dhambi zake na atapata msamaha. Lkn akitangaza dhambi hawezi kupata msamaha na atachomwa motoni
Acha kuhukumu we kuma so kaz yako
Ni kazi yangu kumhukumu
😂🤣
Dogo leka ubhutungulu kha!kkkkkkk
Baambi ni chuma
Hhahahaah czcams.com/video/uSkVq7ZgkW8/video.html
Hamn kitu apo
Ata mm naona kaka amna kitu ani..kawaida yani sanaaa
Wivu
@@lastgospel706 wivu ni noma asee
@@theresiacostantine132 hapana sio wivu ssbabu hajafanikiwa bado ni mtaftaji ndo anaanza kwaio nikisema namuonea wivu ntakua namkosea. Mi nimesema kutokana na hisia zangu za kupokea kazi yake kwamba mm haijanichekesha..
@@yasiralkindi5332 @Theresia Costantine hapana sio wivu ssbabu hajafanikiwa bado ni mtaftaji ndo anaanza kwaio nikisema namuonea wivu ntakua namkosea. Mi nimesema kutokana na hisia zangu za kupokea kazi yake kwamba mm haijanichekesha..
#Fatinah sehemu ya nane msimu wa pili
czcams.com/video/XpzTrVjSCw8/video.html
😂😂
Gwakaka ubombileee