Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 04. 2024
  • #Essenceofworship #liverecording #kijitonyamaUinjilisti
    Big Up to Kijitonyama Uinjilisti ambao ndio wenye umiliki wa Nyimbo tuliyounganisha(Mwanaume kama Yesu).Tulifanya mawasiliano nao kabla ya kufanya Cover.
    Hizi ni nyimbo za sifa kwa Mungu wetu,atukuzwe Mungu peke yake kwa Ibada hii.
    Video Director Amijoj Company(Amigo)
    Audio production Choosen records(Sam Mboya)
    Lights Daniel Malle
    FOH and Monitor Mixing. Jeddy Audio

Komentáře • 605

  • @Maureen967
    @Maureen967 Před měsícem +317

    Wakenya Wapi like za essence of worship 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BarakaPaul-li6pt
    @BarakaPaul-li6pt Před měsícem +93

    Naomba wapiga vyombo waongezewe ulinzi na serikali

  • @GoodPraiseSongs
    @GoodPraiseSongs Před měsícem +80

    Today I gave my life to Jesus while listening to this song. I am saved, AMEN! God bless whoever is watching this video!
    I am Turkish and I believe in Jesus. I ask you to pray for my country. Let the kingdom of Jesus come to my country
    As a person dealing with severe depression and anxiety, it’s nice to know this type of music still calms me to this day.🍀🍀 Thank you Jesus for giving me the strength to keep fighting on
    -

  • @elimelamerii2342
    @elimelamerii2342 Před 4 dny +5

    Ist na solo list nimewaelewa.... Ebu kama na wewe umewaelewa, gonga like hapo.

  • @joshdrummer7465
    @joshdrummer7465 Před měsícem +90

    Mimi ni Daktari nasemaje Seben ni Dawa ya Mifupa 😂😂😂😂❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 Před měsícem +5

      Hahahahahahaa nnavyopenda sebene umenikosha haswaa na kauli hii wapenda sebene kama mm gonga like zenu hapa ...

    • @dignamallya8394
      @dignamallya8394 Před měsícem +1

      @@joycehaule9717😅😅😅

    • @jeremybabji6935
      @jeremybabji6935 Před měsícem

      😂😂

    • @happyallan508
      @happyallan508 Před měsícem +1

      Haswaaa nakubaliana na wewe 😊

    • @billyvosenwa6614
      @billyvosenwa6614 Před měsícem +1

      😂😂 I say nipe tiba daktari...

  • @faithkatondo7141
    @faithkatondo7141 Před měsícem +64

    Wapi likes za watanzania. Beautiful track,powerful & wonderful melody ❤

  • @Listen_To_Hillsong_2
    @Listen_To_Hillsong_2 Před měsícem +36

    God didn't let me get AIDS when in my mother's womb. She had AIDS but I didn't get it. God protected me from that. He let me survive when getting hit by a pickup truck at age 12. I don't have fetal alcohol syndrome despite the fact that my mom drank when pregnant. It's ALL because of God. Praise the Lord. Nothing is impossible with him and he protects us!

  • @nashamiwangara
    @nashamiwangara Před 23 dny +12

    Eiiiiiiiiiiiiiish!!!!! Huu ni mziki umeenda group of schools nani! Siku haiwezi isha bila mimi kusikiliza wimbo huu na kudance.... Infact imekuwa part of my aerobics session. Ah, kumjua Yesu ni kitu bora sanaaa!
    Ombi langu ni kwamba wengi watkutana na huyu Mungu tunaemuimbia.
    Asante sana Essence of Worship... nyinyi ni wa baraka!!!!!!!!!!

  • @essenceofworshipministries
    @essenceofworshipministries  Před měsícem +64

    Half an hour to go

  • @liznganga7957
    @liznganga7957 Před 15 dny +8

    Ukuu wako
    Matendo yako
    Ni sababu ya kukusifu wewe Bwana
    Matendo yako
    Uaminifu wako
    Ni sababu ya kukusifu wewe Bwana
    Yale umefanya yananishangaza
    Yale umetenda ni makuu sana
    Nina sababu

  • @happykaiza4797
    @happykaiza4797 Před měsícem +32

    Hapo kwenye humu duniani nimepita sijaona mwanaume kama Yesu naweza parudia hata mara 100,, hakika hakuna kama Yesu

    • @itsfelana
      @itsfelana Před měsícem +1

      Napenda sana

    • @user-ge9dr5gq8m
      @user-ge9dr5gq8m Před 28 dny +1

      Umebarikiwa ww na waimbaji wako na Wana muziki noumaaah sanaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @hollyben1053
    @hollyben1053 Před měsícem +24

    Guitarist tunampa zawadi gani Jamani?? 😂😂❤❤❤.. well done familia yetu

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Před měsícem +28

    Gwamaka nakuombea sana usiku na mchana wewe ni mshindi uzae mapacha mapacha kaka yangu mtumishi wa Mungu aliye Hai

  • @user-me1ql7cp5y
    @user-me1ql7cp5y Před měsícem +75

    Mpiga gitaa apewe maua yake

  • @burutiamos2628
    @burutiamos2628 Před měsícem +26

    Ikiwa hapa Dunia kwapendeza hivi ,seuze Mbiguni...Baraka kwa Huduma ya ibada ya Essence

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 Před 18 dny

      Acha to ndugu yangu tujitahiidi iutenda mema ili tukaimbe na malaika mbinguni tukamsifuu yy aliye tuumba

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 Před měsícem +55

    Tanzania is blessed country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @jemalulenga4981
      @jemalulenga4981 Před měsícem +1

      Ile kua Mtanzania tu naona Mungu kanipendelea.....❤

  • @marianandisi1641
    @marianandisi1641 Před měsícem +60

    i am proud to be Kenyan but Tanzania have taken it to another level

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před měsícem +2

      And it's not even national competition, you guys need to put this thing away for a minute

    • @user-xc3tz6hb6o
      @user-xc3tz6hb6o Před měsícem +1

      Blessings. Thanks for your appreciation

    • @faithkisiangani5702
      @faithkisiangani5702 Před měsícem +2

      Jamani but Bora it's Africa for Jesus

    • @nicolelove497
      @nicolelove497 Před měsícem +1

      Wakenya roho ya mashindano itawacost sana mbele za Mungu

    • @blandinapeter7004
      @blandinapeter7004 Před 27 dny +1

      We are all the same Neighbour welcome ❤❤

  • @princepeterke2644
    @princepeterke2644 Před měsícem +22

    I like the support Kenyans are giving ❤ Kenya to the world 🇰🇪🇰🇪

  • @bonkenmusiq
    @bonkenmusiq Před měsícem +32

    Kenyans gather here❤❤

  • @francyrussel454
    @francyrussel454 Před měsícem +18

    Kindly please serikali hii band ipewe ulinzi ,, heish music ewooo igweeee✔️💪💪

    • @thebonfyfamily2152
      @thebonfyfamily2152 Před měsícem +1

      Mungu ana mbinu na uwezo wa kulida watu wake,katika hali zote nyakati zote

  • @mpoleentertainment1677
    @mpoleentertainment1677 Před měsícem +26

    I remember when Minister Dunsin oyekan prophesied over gwamaka in last years Rhema fest... indeed the spirit of David is upon essence of worship...
    May the Lord increase you...draw many to Him

  • @missh7965
    @missh7965 Před 23 dny +5

    Ulinzi kwa wapiga vyombo na waimbaji
    This isn't a joke it's a grave from God 🎉🎉❤

  • @Melvinkalinga
    @Melvinkalinga Před měsícem +17

    If you wanna Rock with music use 🎧, thanks me later 😅😅😅

  • @linda36416
    @linda36416 Před měsícem +23

    All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you. You bless us.

  • @benjotravisndyikengurukiy5852
    @benjotravisndyikengurukiy5852 Před měsícem +14

    Huo jama wa solo guitar big up 🇧🇮🇰🇪

  • @uzuri0012
    @uzuri0012 Před měsícem +6

    Hi essence of worship. my name is Dr blessing Mutheu. I love you so much because, you create my heart in a peaceful way. Congrats essence of worship.
    Please can you come with your members and the praise medley at Berea Christian Church in Ruiru Prison for the first time.
    Will you please come. Please, please .we love you so much and I know you will come. We love you so much. ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @motonoarts984
    @motonoarts984 Před měsícem +11

    The song i have been waiting for in a very long time is finally here😊😊😊 am happy now glory to God,, wapi likes zangu sasa

  • @francyrussel454
    @francyrussel454 Před měsícem +7

    Nimewqtch over 200 times ,,are they added to their views ,,,,this guys deserve it ,,,Respect 👏

  • @imeldahchepchirchir6831
    @imeldahchepchirchir6831 Před měsícem +5

    Here on behalf of kingdom seekers fellowship, kenya 🇰🇪
    More grace brothers and sisters 🙏

  • @mercymuhoho4209
    @mercymuhoho4209 Před měsícem +13

    Naweza kulike huu wimbo mara mia Moja ingewezekana,❤❤hakuna wa kufananishwa naye

  • @jacintaWaithera-fo5dt
    @jacintaWaithera-fo5dt Před měsícem +20

    Hallelujah 🎉❤❤💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥.. My favorite 🇰🇪🇰🇪

  • @PURITYNYAMBURA-rh9kx
    @PURITYNYAMBURA-rh9kx Před měsícem +10

    Mkenya mwingine hapa 🇰🇪

  • @silvanoyoakim-lj8jy
    @silvanoyoakim-lj8jy Před 4 dny +1

    🎉🎉 Yesu ni mzuri sio kwa ladha hii ya vyombo hasa gitaa🎉🎉

  • @MINISTER-EMMANUEL
    @MINISTER-EMMANUEL Před měsícem +8

    And when the praises go high
    His glory comes down ❤

  • @davidmwandalima2389
    @davidmwandalima2389 Před 3 dny

    I love the way Kenyan support every good music from our loved continent Africa 🇹🇿🇹🇿

  • @stevenlevittt
    @stevenlevittt Před měsícem +12

    Tanzania is blessed beyond measure... what amazing songs

  • @jesusislord5045
    @jesusislord5045 Před měsícem +12

    Hakika hakuna mwanaume kama Yesu.
    Ee Bwana tufanyie wepesi dhidi ya magumu tunayopitia.

  • @joylela9794
    @joylela9794 Před měsícem +15

    Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 and feeling so blessed

  • @queenmary2213
    @queenmary2213 Před měsícem +4

    Those outfits🔥🔥🔥the voices ❤️❤️❤️the instruments 🎊🎊🎊

  • @magrethalego9061
    @magrethalego9061 Před měsícem +8

    Musicians wa huu wimbo mbinguni mtakaa VIP na kupewa pinacolada baridi kabisa🎉🎉🎉🎉🎉 Glory to God.

  • @olivertadeo6991
    @olivertadeo6991 Před měsícem +8

    Kwanza mmependeza na mnaimba vinzuri sana🥳🥳🥳❤️

  • @isaacgara3528
    @isaacgara3528 Před měsícem +8

    East Africa is blessed guys just cheki the essence of praise and worship

  • @josphatkitenge1170
    @josphatkitenge1170 Před měsícem +3

    Essence of worship you're a blessing to me❤❤❤🇰🇪

  • @danielkameta2752
    @danielkameta2752 Před 10 dny

    Wa Tanzania we zangu tusijibane tujiachie weee, hajialishi unayo yapitia sifa ni Silaha kubwa sana iletayo ushindi wa haraka sana, Sifa Huleta uwepo wa Mungu. Kabila la yuda lilikuwa mbele pale Israel anaenda vitani “Yuda” mana yake “Sifa”

  • @viviandavid9974
    @viviandavid9974 Před 8 dny +1

    Sijui tutasingizia nini siku ya mwisho maana tumeubiliwa kila kona good song Marshall ❤

  • @SuzanaNyanda
    @SuzanaNyanda Před měsícem +8

    YESU NI MZURI SANA
    Kwa YESU KUNA RAHA SANA ❤

  • @kweliituwekayohuru
    @kweliituwekayohuru Před 18 dny +1

    Familia ya Essence of Worship... nawaombea MUNGU aendelee kuwashika kwa ajili ya utukufu wake, msimruhusu adui kuwatenganisha, MUNGU ROHO MTAKATIFU awashikamanishe katika umoja wa kimbingu, Kazi nzuri sana, Hongera sana Gwamaka and team, Proud of you Erick Kashoma.... Keep it up the great Job... Taji ipo mbinguni inawasubiri! Msirudi nyuma!

  • @MinnahMtoo-cm8dr
    @MinnahMtoo-cm8dr Před měsícem +3

    E bwanaaa weeee, hii ni balaaa.. Hapo kwenye mwanaume kama Yesu na kamata kakichwa pamenogajeeee..

  • @NeemaMzuri
    @NeemaMzuri Před měsícem +3

    Essence mna sehemu yenu mbinguni❤

  • @marthaGikuma-jc6rn
    @marthaGikuma-jc6rn Před měsícem +3

    Wow a good song 😊😊💖

  • @dorisngende9570
    @dorisngende9570 Před měsícem +4

    🔥🔥🔥 mafuta yaongezeke na yasipungue kwenu.. Mnaubariki moyo wangu🙌

  • @NikolasJoseph-fz8cr
    @NikolasJoseph-fz8cr Před měsícem +3

    Kaka andrew uishi milelee kweny guitar 🎸💚💚💚💚💚👊👊👊👊👊👏👏👏👏👏👏

  • @francisefrahimu
    @francisefrahimu Před měsícem +4

    Mungu azidi kukubariki munoo kaka Andrew Solo

  • @emmymbwanga3215
    @emmymbwanga3215 Před měsícem +11

    Watching from Nairobi hakuna mwaume kama yesu

  • @janekadoda9238
    @janekadoda9238 Před 12 dny +1

    ❤ hakika BWANA Mungu wewe ni Mwokozi

  • @user-nd1kr5ce7q
    @user-nd1kr5ce7q Před měsícem +4

    Ewe Mungu wa mbinguni nina kila sababu ya kukusifu wewe pekee na ninakiri hakuna mwanaume kama Wewe Yesu..

  • @francondunda4826
    @francondunda4826 Před 11 dny

    Giving flowers to the lady at frontline with blue dress, she rocked on the final dance

  • @sifuninhayo9104
    @sifuninhayo9104 Před měsícem +5

    Aaaiiiii🔥🔥🔥mmefanya nimeikumbuka Backyard Praise pale KRC... Hakika mmebarikiwa sana Essence of Worship.. MUNGU azidi kuwatumia❤❤

  • @CeciliaKobelo
    @CeciliaKobelo Před měsícem +2

    🔥🔥🔥🔥MUNGU ANAKETI PENYE SIFA🙏🙏🙏

  • @florencewanjiru1207
    @florencewanjiru1207 Před měsícem +3

    Just love the way tanzania praise the Lord....kudos

  • @farajabaynit
    @farajabaynit Před 12 dny +1

    nawakubali San hawa kaka zangu nataman one day niwe nao kweny stage

  • @earlychildhoodeducationinn4389

    Bless full song .
    Committed group of Choirs & Musical department. Mungu awabariki
    By the way huyu jamaa mwingine ni nani. Simply anajua

  • @danielaloyce4684
    @danielaloyce4684 Před měsícem +4

    Wekaa mkono kwenye kitambi weweeee

  • @marykigwiri3925
    @marykigwiri3925 Před měsícem +3

    Wakenya njooni hapa

  • @elijahmomanyi9748
    @elijahmomanyi9748 Před 15 dny +2

    The drummer Jamani!!

  • @jenivakayanda6611
    @jenivakayanda6611 Před 15 dny +1

    Wa baraka wa upendo ni Yesu weee😍😍 I love this 👏👏

  • @faithjoel8304
    @faithjoel8304 Před měsícem +2

    Mimi ni nani nisikusifu Mungu wangu!! What a blessing you are my team

  • @atsachifamily4509
    @atsachifamily4509 Před měsícem +3

    Densi ya Victor Maestro ingeeingia mahali jamanenii

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 Před měsícem +2

    Safiiii, hakuna mwanaume kama Yesu.

  • @puritylukhaji1521
    @puritylukhaji1521 Před 4 dny +1

    Weeeh, who is guy, with such a vibe?

  • @faithkisiangani5702
    @faithkisiangani5702 Před měsícem +2

    Watu wako smart beautiful wanangaaa weeeee

  • @harrietgloria8792
    @harrietgloria8792 Před 19 hodinami

    Me imagining gwamaka in a beard or a moustache. I'm fine guys, I'm fine❤

  • @puritykingoku9907
    @puritykingoku9907 Před měsícem +1

    Hallelujah Jesus, very powerful song

  • @princepeter679
    @princepeter679 Před měsícem +4

    Na huyu bassist ni JP ama.... You're rolling it sir

    • @tonie5447
      @tonie5447 Před měsícem

      Ni Steve Moshally bassist wa essence

  • @vivianvictor1097
    @vivianvictor1097 Před 27 dny +2

    Huu wimbo Uko Audiomack?

  • @May-hs2nx
    @May-hs2nx Před měsícem +2

    To GOD be the Glory for our Gwamaka and the Essence of Worship Team❤🇹🇿 Tanzania 🇹🇿 nchi yangu

  • @christinabony3068
    @christinabony3068 Před měsícem +5

    Mbarikiwe sana wapiga vyombo, so amazing. Jina la Yesu lipewe sifa

  • @ChristineNyanchera-ku8rk
    @ChristineNyanchera-ku8rk Před měsícem +2

    I have all the reason to praise my God ❤❤❤

  • @Abdulrazaqosimbo-pn5st
    @Abdulrazaqosimbo-pn5st Před měsícem +2

    From kenya you guys are blessing,
    Wapi likes za kenya🎉

  • @sellahapiyo5814
    @sellahapiyo5814 Před 4 dny

    The joy of the Lord is my strength.... powerful praise

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 Před měsícem +1

    Daaah wimbo wangu pendwaaaa mpiga gitaa noma,Asanteni mnoo Yesu Kristo Asifiwe

  • @zabronerastus2359
    @zabronerastus2359 Před 18 dny

    Drummer sebene imekua na Kona nying sana, off nyingi sana...all in all uko vzur

  • @wilfridniyoyitungira2743
    @wilfridniyoyitungira2743 Před měsícem +3

    🇧🇮🇧🇮🙌🏻 Hallelujah!!mungu awabariki watumishi wa mungu

  • @samwelmoses5091
    @samwelmoses5091 Před měsícem +1

    daaaaah hapo kwenye intro mr.Gwamaka umefanya wonderful sana. af pia mpiga gitaa anitafute mwenyewe ninazawadi yake.....🤩🤩

  • @frankelshivers2257
    @frankelshivers2257 Před 18 dny

    Hakuna mwanaume kama Yesu gwiji wa magwiji❤

  • @EvaSaliboc
    @EvaSaliboc Před měsícem +1

    It’s the intro for me, that’s rumbaaaa fireeeee 🥰

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 Před 26 dny +1

    MUNGU wa mbinguni awabariki sana wimbo huu nilisikia. Kwenye radio nilibarikiwa sana mpaka. Nimekuja kuangalia video ohoooo MUNGU wa mbinguni awatunze zaidi na zaidi ❤❤❤

  • @thejaneamo3805
    @thejaneamo3805 Před měsícem +3

    Ayayayaayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh🔥🔥🔥🔥

  • @magdalenakilapilo6791

    Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.🎉

  • @innocenciabinamungu8576

    HAKUNA KAMA YESU WEE🙌🙌🙌🙌

  • @mwangiphilip5783
    @mwangiphilip5783 Před 9 dny +1

    😂😂 hapa napata tu wakenya ....hakuna watz Wenye nyimbo ....ama hata waganda.....anyways .......🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Happy of you kenyans

  • @pintymelodytz913
    @pintymelodytz913 Před měsícem +5

    Gwamaka Unanibariki Sanaaaaa Mtumish Wa Mungu

  • @samkulley4030
    @samkulley4030 Před 21 dnem

    Sebene flan hivi la viwango.. ❤❤

  • @yaredbagambilana4184
    @yaredbagambilana4184 Před měsícem +2

    Ahsante Essence of Worship kwa uimbaji wenye upako mkubwa ndani yake.

  • @jephthahalvan9404
    @jephthahalvan9404 Před 17 dny

    From Busia kenya ,it's now 4wks but kila time the song touches deeper

  • @estherkassenga4561
    @estherkassenga4561 Před měsícem +1

    Can’t stop listening to this song🔥🔥🔥🔥Proudly Tanzanian, We are truly blessed 🙌🏽

  • @maggypilly2504
    @maggypilly2504 Před měsícem +2

    Drummer 🥁👏

  • @elizaerick786
    @elizaerick786 Před 28 dny +1

    Good song

  • @floridamerab9801
    @floridamerab9801 Před měsícem +1

    Kweli hakuna mwanaume kama yesu, Essence worship you never disappoint, blessings and love from our friend Jesus

  • @mwamvitamhongole9320
    @mwamvitamhongole9320 Před měsícem +2

    Me nawapenda sana