Wanabusati tv plzzzzzz nawaomba msiwahi kumaliza hiiiiii tamthlia nawasihi muendele hivyo hivyo hdi itakapofika tamthlia ya 100 kwasababu ina mafunzo mazuri sana pamoja n mtiririko wa kueleweka watching from Saudi as a house girl tooo Much Love to Busati Family ❤❤❤
Aisee nahisi mimi ni wa kwanza ambae sijaomba like 😂😂😂😂😂...nnachotaka kusema ni pongezi kwa busati TV kwanza wanatoa movie kwa muda pili vipande vinaeleweka jmnnn pongezi kwenu kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉 nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉 msichoke kutupa vtu vitamu ❤❤❤❤❤
Jamani wengine wanalia, wengine wanafukuzwa, wengine wanashereheka , wengine wanapiga magoti aki kudadek movie ni tama mno ebu gongeni like apa kama wew ni mkenya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kendy pamoja na akina masozi mnajidanganya mtapelekaje nyumba isiyo yenu kwa mnada atakaye weka sahihi n nan pumbavu zenu nyiye 😅😅😅😅😅😅team zuu,kai na baba ngojeeni tunaanda shereee❤❤❤🎉🎉
Ee Mungu naomba utusaidie watu wote tulioko upande wa Khai,Zuuhh,Tasha,pamoja na baba yake ni kweli wameshasameheana lkn tunahuzunika Sana kwa kuwa Candy aneshachukua hatua ya nyumba jaman Mungu shuka tuokoe ktk hili
@@busatitv aki Nina Imani kuwa ziwe fake maanake mwanamke mwenyewe sumu jamani hata kuachika kakataalia vipi akibahatika kupata hati za nyumba Khai Tena mtihani kwake
Naskitika 😢😢😢 Candy kapata hati 😢😢ila sijui kitakacho tokea mbele napia nafurahi baba kumsamehe mwanae kai mke wa kilamba pongezi nyingi za dhati kwa mlivyo au unavyo mtunza baba kai❤❤❤❤❤
Wanabusati tv plzzzzzz nawaomba msiwahi kumaliza hiiiiii tamthlia nawasihi muendele hivyo hivyo hdi itakapofika tamthlia ya 100 kwasababu ina mafunzo mazuri sana pamoja n mtiririko wa kueleweka watching from Saudi as a house girl tooo Much Love to Busati Family ❤❤❤
❤❤❤😍😍
Asante sana tutaifanyia kazi maoni yako
😅😅Saudi Niko hapa Jeddah, tukutane istaraha tukunywe kahawa😅
❤❤❤
@@anyona711nipo Abha c tupewe episode 44😅
jamn anae jisikia fraah kai kumuomb msamah baba ake like ap
Hakika inamafunzo sana hii movie mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Candy atapigwa na kitu kizito na huyo shemeji yake wa mchongo atauza nyumba na hatopata hata mia mbovu🤣🤣😂
Ambao tunasubiria kwa hamu ndoa ya kai na zuuh tujuane kwa like zakutosha,,,,,,,,
😂😂😂❤❤❤❤
❤
❤❤
❤❤
@@PaulOjiambo-p1f❤❤❤
❤❤❤❤
Na mm Leo ndo wa mwisho hvyo naomben like zangu Ili nifahamu npo miongon mwenu Ili niwahi
Aisee nahisi mimi ni wa kwanza ambae sijaomba like 😂😂😂😂😂...nnachotaka kusema ni pongezi kwa busati TV kwanza wanatoa movie kwa muda pili vipande vinaeleweka jmnnn pongezi kwenu kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉 nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉 msichoke kutupa vtu vitamu ❤❤❤❤❤
nakungana na ww ambae ujawahi kuomba like 😊
Lulumhapa nadhan Sisi ni ndungu
@@VivianeMhapa kwa kweli jamani ❤️
@@lulumhapa ok tujuane zaid
@@VivianeMhapa saww
Jamani wengine wanalia, wengine wanafukuzwa, wengine wanashereheka , wengine wanapiga magoti aki kudadek movie ni tama mno ebu gongeni like apa kama wew ni mkenya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😊
@@salhatiddy 😂😂😂umeonaee
Wengine sio wakeny kwaiy tufanyaj
😂😂😂
@@AdamZainab-mb7qj 😂😂😂🤣just comment tuu
Wakwanza Leo Ni Mm nipeni like nzangu from USA ❤❤❤
Hivi nyie like mnapelekaga wapi mnanikela na hizo like mnashindwa kufanya kazi iliyowaleta mpo tu mnaomba like
🙏🙏
Kweli kabisa
Kumekucha,furaha iliyoje, na awapenda saana tear busat tv kwa kazi nzuri❤❤❤🎉🎉
Mimi sijawahi pata like hata moja tangu hii muvi ianze 😢
Sasa ww like unataka upeleke wap
Utaenda kununulia nn?
Ukisha uzaaa n tag plz
😂😂😂@@MayasaFatuma
😂😂😂😂@@salehHassan-rl8bd
Hebu nicoment chap chap bila yakuangalia from oman 🇴🇲 nazan mumeiyona coment yngu like napokea😂 😂😂
BUSATI TV ON FIRE🔥🔥🔥🔥🔥ninachowakubali Ni kwamba hampoi Wala hamboi daily mnatoa kazi,,,, kiufupi mnatoa kazi kwa wakati CONGRATULATIONS 👏👏👏👏
Kendy pamoja na akina masozi mnajidanganya mtapelekaje nyumba isiyo yenu kwa mnada atakaye weka sahihi n nan pumbavu zenu nyiye 😅😅😅😅😅😅team zuu,kai na baba ngojeeni tunaanda shereee❤❤❤🎉🎉
Wanajidanganya hawa wajinga hawaezi uza nyumba ya mtu bila kukubali acha aibu iwaponze tena😂
Jamani kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪team strong team zuu mko wapi halafu sania mgonganishi kweli 😂😂
Nlikua nadhani nmefika wa kwanza from Kenya but umeniwakilisha
Kenyan people oyeeee
@@mercypeter2864 karibu Sana
❤️❤️
@@Asharashid-s3n hoyeee
Ambao tupo bega kwa bega na busati TV mpaka kieleweke like kidogo tu 😂😂😂😂😂
Wapewe maua Yao 🎉🎉🎉
Mwee😂 hata like mbili tu kwa ajili ya kai na zuu❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
Bila shaka wewe ni mtu mbeya
😅😅😅
😊😊
Naombeni like na mimi Niko on time jamani team zuli na team Kai mpo!? Natamani kuona zuli na Kai wakioana
😂😂😂😂mambo ya movie eheee kumbe zuu abado Alikuwa njuani anakimbia🏃🏼🏃🏼🏃🏼🏃🏼
Tamaa mbele mauti nyumba, basi chisa anadhani kwamba basi ameshaomokq 😅na tamaa zake vile 😏😏😏
Kabisaaa
Samahani Busati ,,Mimi Huwa na download Nawatch baadae....❤❤❤
❤❤
❤❤
Ee Mungu naomba utusaidie watu wote tulioko upande wa Khai,Zuuhh,Tasha,pamoja na baba yake ni kweli wameshasameheana lkn tunahuzunika Sana kwa kuwa Candy aneshachukua hatua ya nyumba jaman Mungu shuka tuokoe ktk hili
Ameen
Kitamuramba hapo kwa nyumba tuangalie
Muache ubanguzi😅bana like 10 tu nami leo naomba alafu team zuu NN tunasubiria kesho❤❤
Jaman vipenzi kwa leo tu mnipe ata like zenuu tu kila siku me nalike zenuu why me❤
Wakwanza leo nipeni like acheni uchoyo
Wangap wanaamin zuu bado anakimbia had sasa mnipe like zangu
Nikazan ntakuwa wa kwanza kumbe nmechelewa naomben hata like basi
Jaman mm naomba kuuliza hv hizi like kila mtu anaomba zinasaidia nn au zinakaz gan
Dakika ya pili oya wee nimewah nipeni like kwaajil ya kai na mr tashaa
Wanao mpenda Kai naomben like jaman
Leo wametufurahisha sana mashabiki like Kwa busat tv
Wakwanza leo mimi naomba like
Nimewahi ♌ kama unaipenda hii movie gonga like hapa🎉🎉🎉
Huyo juu na Kai waletwe kenya kunanyumba nitawapa juu mapenzi Yao Niya dhati I really love you guys
Ushasamehewa kai hayo kimbia nyumbani nyumba yauzwa
Jaman jaman Leo mnetufurahisha like Kwangu wameofurah
Mimi wa kwanza leo nahomba like ata 10 please 🙏
Kesho tunatoa full mpaka mwisho like kama unapenda tufanye ivoo
Shukran sana house gerl femly nawaombea masha yafuraha
Nimefurahisha kwa kuachia vipande viwil leo
Jamani ,sina huakika kuwa zile hati za nyumba candy amepata kama ni real ones ,au nani anafikira Moja na mm
🙏🙏
Hata mimi sitaki kuamini
@@busatitv aki Nina Imani kuwa ziwe fake maanake mwanamke mwenyewe sumu jamani hata kuachika kakataalia vipi akibahatika kupata hati za nyumba Khai Tena mtihani kwake
Aki chiko eti kamkonde tena😂😂😂😢
Big up kwa grand mother nyakyusa girl umebeba maudhuiiiii yote Kama nimnyaki sema na kupenda mama naomba like zangu
Asanteni sana wana busati TV mungu akazidi kuwafafanulia hayo mafunza ndiposa pia nasi tuyapate Asanteni sana director wetu kwa jumla 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yani hii move aichoshi wala aiboi ni nzuri na inafundisha sana❤❤❤❤
Busati Tv kazi nzuri sana🔥,likes zimiminike kwa busati Tv,Team zuu na team kai na rafiki yake mzuri✨
Jaman siamin kuwa nimewai leo
Wanaopenda zuu nipeni
Jitahidi tusione kibaza sauti au kivuli Cha wanaorikodi hii series lakini ipo vizuri ❤❤❤❤
Leo wa kwaza😂❤❤😢
Ila nime mkubali sana lafiki ake kai ana usha uri sana kwa mwenzake 🎉🎉
Kazi nzuri sana kay❤❤❤❤❤❤
Mimi hapa
Wakwanza naombeni like jamani
Hongereni BUSATI TV mpo vizuri Sana sifuatiliagi bongo movie ila hapa mmenikamata mnafanya kazi nzuri
Chiko bhana eti mto ruvu😂😂😂😂😂
Waaaaah na Sasa cendy ndie Ako na nyumba kutaenda aje woow kesho inakaa moto
Mko vizuri najifunza mengi kwa hii movie ❤❤❤❤jamani isiishe aky jamani haraka😢
Hongeren jaman mnajua kufunza
Hongereni sana yaan kitu kimetulia kabsa inamafunzo mazuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉
Wakusoma coment yangu msiipite mje polpole😂😢
Tujifunze kusamehea jameni ❤❤ movie nzuri sana congrats busati TV
Wa 2 kutoka Gauteng Pretoria
Kwn hizi like mnaomba zaliwa
😂😂
Waulize
Nawashangaa 😂 kila mtu like like like hawana kitu cha maana cha ku comment
Mapema sana leo like kidogo tuu!!
😂😂😂😂candy nyumba niya kampuni mama rudisha hati utafeli hadi mm mpate ndoa😂😂😂
Bora Tu iweee hivyooo😢😢😢😢 maana inaniuma sana😢
Licha yakua nyumba ya kampuni bt haezi uza nyumba bila sign ya khai ju nyumba ya soma jila la khai si candy😂
Ni tamthlia nzuri love Kai na team yako ❤❤
Wapenzi wa busati mpo live muda wote❤❤❤❤
Napenda Sania anachoambiwa kamkonde 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Daaaah inafundisha sana nawapenda sana Mungu awajalie maisha marefu 🙏🙏
Jamani leo nimekuwa wa kwanza
Angalieni movie cyo kuomba like tu
Kweli yaani watu kil mtu like like tu
Waambie😂😂
Kama wapuuzi wanaacha kuandika vya maana like likes loooo
Bora umewaambia
Hawa watu nawapenda bure wallah yaan hawana baya n watujali sana mashabiki wao kwa kutochelewesha episode hongeren sana ❤❤
Jamaniiii muvi nzuri ila khai kanifanya nilie
Pia mm
Dakika moja comment 23 dah kweli watu mpo busy mtandaoni 😂😂😂😂
Wakwanza jmn nip like zangu
Jamani hamlali.
Jamani busati hongereni sana kwa kutoa kazi kwa wakati tunawapenda bure mashabiki zenu ❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤
😊😊😊wakwaza
Mashallah move nzuli Sana mwenyezi mungu azidi kuwapa ufaham 🙏🙏 Zaid ya hapa inshallah ❤️❤️❤️❤️
😂😂😂kumechangamka huku begi la Sania latupwa nje 😅😅😅
Naskitika 😢😢😢 Candy kapata hati 😢😢ila sijui kitakacho tokea mbele napia nafurahi baba kumsamehe mwanae kai mke wa kilamba pongezi nyingi za dhati kwa mlivyo au unavyo mtunza baba kai❤❤❤❤❤
Kayi na bzuuu 😅 na wapenda sana vipez💞👌
Kesho Tena vipindi viwili much love ❤❤❤from Kenya
Izo nyele za candy jamani abadili stail bs
Ahsantee jamni brother mwendelezo tafazali ❤🎉❤🎉❤🎉❤
Naomba like
Hampoi,wala hamboi pamoja san nawapenda kazi nzurii ❤❤❤❤❤
Mimi wa kwanza tena wa mwisho nipeni like zenu
Tamuu😍
❤😂❤❤❤❤❤❤wow me nacheka tu yan saii nikama najikuta nimefika hewani
❤❤❤
@@busatitv thanks pamoja busatitv
Kazi nzuri lakiñ khai uchezi kama mtu anaetakiwa kucheza naomba ubadilike we ndo steering wa movie lakin umepoa upokeaji wako haupo kabisa
Sawa lakin umepoa
Hongera sana zuu nakupenda na kazi Yako nzuri 🇰🇪🇰🇪🌹🌹♥️💔
Kz nzuri sana 😢ohhh Kai shida kule kashachukua hati ya nyumba anaenda kuchukulia mkopoo 😮
Naipenda xn movihii❤❤❤🎉🎉🎉
Kai kazi nzri xna nawapongez nyote kwanzia kw baba had wajukuu😂😂😂😂😂ilah muda n mchache xna nakuomba fanya jambo ata kma n 3o-40 tutashukur❤❤❤❤❤❤
Jamanii uyu shida ataki kujifunza tuu😅😅
Jaman kutoka united state of msaranga tugengeee like❤❤❤❤❤❤
Jaman huo mto luvu ukowap😅😅😅😂
Napenda video zako sana hongera❤❤❤❤❤from Kenya