#PRESS

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 03. 2024
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi #Press
  • Sport

Komentáře • 148

  • @ladweykiwelu9035
    @ladweykiwelu9035 Před 2 měsíci +11

    Hongeara sana Rais wetu wa club.
    Pili ninaomba mtoe kitabu hicho cha transformation na kipatikane makao makuu na kwenye matawi na viuzwe na kuingizia clabu mapato.

  • @abasadam-vz8qw
    @abasadam-vz8qw Před 2 měsíci +22

    Raisi unahakili Sana naiyona yanga mbali Sana muhimu dua tu

  • @yasrihusseni4525
    @yasrihusseni4525 Před 2 měsíci +14

    we rais moja Kwa moja peponi nakama unadhambi bac madhambi yako yote atapewa mangungu na Ahmed ally we ubaki Salama kabisaaa mwamba wetu

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi Před 2 měsíci +12

    Kaka Rais wa Yanga 👌👌🤝🤝💛💛💛💛🇧🇮🇧🇮

  • @abrahamagapith4664
    @abrahamagapith4664 Před 2 měsíci +18

    Raisi anangea uyu apewe nchi anakitu 😊

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 Před 2 měsíci +12

    Mungu akuweke baba unatuheshimisha sana

  • @godfreymajani5403
    @godfreymajani5403 Před 2 měsíci +23

    TUMUOMBEE DUA HUYU MWAMBA AISHI MPK MALENGO YAKE YATIMIE

  • @yuleboypop8459
    @yuleboypop8459 Před 2 měsíci +9

    Uzuri tumeweka vichwa sana pale mbele kwenye uongozi wetuu hongerani sana

  • @fredrickwiliam6176
    @fredrickwiliam6176 Před 2 měsíci +5

    Huyu jamaaa anakityu, Afrika washamuona , good job broo yanga naiona m ali sana🎉🎉🎉

  • @ShabanPaschal
    @ShabanPaschal Před 2 měsíci +10

    Timu kubwa mambo makubwa💛💚🖤

  • @linda99822
    @linda99822 Před 2 měsíci

    From Saudi Arabia nakukubar sana rais wetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @user-li1uz5ot3o
    @user-li1uz5ot3o Před 2 měsíci +2

    Mungu akulinde zaidi kiongozi wetu mungu akuongezee maisha marefu utumize ndoto ya Wana yanga daima mbele nyuma mwiko

  • @zuberichimandi4196
    @zuberichimandi4196 Před 2 měsíci +9

    Rais unaongea kama umemeza maneno kichwani hongera sana

  • @user-uu7xt2hi8y
    @user-uu7xt2hi8y Před 2 měsíci +12

    Mungu akupe maisha marefu raisi wetu wa timu ya yanga kweli ww kiongozi ulio sahihi

  • @abdulsaidi5174
    @abdulsaidi5174 Před 2 měsíci +3

    Daima mbele nyuma mwiko💚💚💛💛🔰🔰🔰

  • @HisdoryKimbory
    @HisdoryKimbory Před 2 měsíci +7

    Mungu akujaalie utimize yote unayo tarajia raisi wangu

  • @LightnessKisusi
    @LightnessKisusi Před 2 měsíci +3

    Mwanamke anayekaa na hyuu kiongiz plz mtunze kiongoz wetu na tunakuombea coz hna mbambamba kwa upande wetu tunamuitaj sana utufikishe kwenye ahad inshaallah

  • @JoelMwakabanga-wk6zz
    @JoelMwakabanga-wk6zz Před 2 měsíci +6

    Big up Mr president

  • @AndreaYassin
    @AndreaYassin Před 2 měsíci +1

    YEHOVA Mungu Ulie hai Akulinde akuzidishie maisha malefu nikiongoz mahili na mwenye maono yenye mafanikio songa mbele bila khofu Daima mbere Nyuma mwiko

  • @salummkumbe5694
    @salummkumbe5694 Před 2 měsíci +6

    Hakika wew ni engineer maana unaongea speach iliyonyooka bila makona makona safiii sana tutafika mbali Allah akikupa maisha marefu😅😂 upande ule umenuna ujue

  • @HisdoryKimbory
    @HisdoryKimbory Před 2 měsíci +12

    Rais nakuomba tutafutie wawekezaji wa kujenga uwanja wenyewe kila kitu Cha kisasa kama wa totoniam hosupa ya ingaland

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před 2 měsíci

    May Allah protect our abled president Eng. Hersi Said and protect him from all kinds of harm. Grant him strength to fight for the club

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Před 2 měsíci +1

    Allah akulinde na jicho la husuda/miongo,hakika Wananchi tumepata Uongozi mahiri/mafanikio chini ya uongozi wako,hongera sana Eng.Rais klabu ya Yanga kjn Hersi Said.

  • @mrkibago6891
    @mrkibago6891 Před 2 měsíci +7

    Nyie 💛💚💛💚🇹🇿

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj Před 2 měsíci

    Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Yanga Daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💚💛💛💛

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Před 2 měsíci +1

    Tuna lmani sana na RAIS WETU mungu aendelee kukupa MAONO na afya njema💚💛💚💛💚

  • @SelemaniDaudi-qs5wy
    @SelemaniDaudi-qs5wy Před 2 měsíci

    Mungu akuifaz rais wetu wa yanga akupe maisha marefu

  • @BuguzaNassoro
    @BuguzaNassoro Před 2 měsíci +7

    Ewe mola tunakuomba utuwekee raisi wetu wa yanga Hadi malengo yake yatimie tujalie mungu

  • @gwakisaphilipo2445
    @gwakisaphilipo2445 Před 2 měsíci

    Tutafika mbali Sana Sana daima mbele nyuma mwiko

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q Před 2 měsíci +2

    Akili nyingi maashaallah hatuna shaka narais wetu hers

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf Před 2 měsíci +3

    Tutakuombea kwa mungu hadi utimize malengo yako, ila uwanja ni muhimu sana kiongozi wetu bora

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 Před 2 měsíci +2

    Safi sana uongozi wangu nimefurahia kusikia majina ya kwenye kamati. Wote ni watu wa maana kabisa

  • @jumaswedy5131
    @jumaswedy5131 Před 2 měsíci +2

    Jukumu la kutupa furaha sisi wana yanga lipo katika vichwa salama❤❤❤❤❤

  • @tediusmakwara3931
    @tediusmakwara3931 Před 2 měsíci +1

    yes my mr president i like your speech

  • @user-uu7xt2hi8y
    @user-uu7xt2hi8y Před 2 měsíci +5

    Duuu mungu mkubwa katuletea mtu sahihi kwenye timu yetu kilicho bakia mdogo wangu ww raisi wa yangu sisi wanayanga kilio chetu kikubwa ni uwanja2 yani tunaumia sana tunapo enda kukodi viwanja kwahiyo ikikupendeza raisi wetu tujengee uwanja Ili iwe historia kubwa kwako

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 Před 2 měsíci +1

    Hongera sana Rais wetu

  • @maulidkombo231
    @maulidkombo231 Před 2 měsíci +5

    Good job

  • @helenwailly1558
    @helenwailly1558 Před 2 měsíci +5

    💚💛 mtu wa maana sana engineer Hersi

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 Před 2 měsíci +1

    Hongera sana mh Eng....hakika upo vzr Sana Sana

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 Před 2 měsíci +2

    Hii imekaa vizur sana

  • @user-ix3tl2xj7t
    @user-ix3tl2xj7t Před 2 měsíci +1

    Nakumbuka rais wangu ten tulichekwa San ❤❤yanga

  • @COSTAWILIAMU-gl3ro
    @COSTAWILIAMU-gl3ro Před 2 měsíci

    Mungu aendelee kukulinda injinia una2heshmisha sn ❤❤❤❤❤

  • @shabanimasoud7277
    @shabanimasoud7277 Před 2 měsíci +2

    Hongera raisi na viongoz wote
    Kuna watu inabdi wajifunze kwetu

  • @johnmalley4887
    @johnmalley4887 Před 2 měsíci +1

    Ctakaa nijutie kuwa sehemu shabiki wa yanga Africa milele 👏🏼👏🏼🌳

  • @ramadhanindauka1044
    @ramadhanindauka1044 Před 2 měsíci +2

    Ndio maana timu inaenda vema ni nondo juu ya nondo viva raisi wetu

  • @MkejinaMnyanga
    @MkejinaMnyanga Před 2 měsíci +1

    Hongera kiongozi wetu, Mungu anakuona nasi tunakuona

  • @Bwangajafariabdalah
    @Bwangajafariabdalah Před 2 měsíci +1

    Mungu akupe umri mrefu uzidi kutupa madini ya uongozi

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 Před 2 měsíci +1

    Huyu mwenyekiti wetu ni kichwa bhana.ALLAH akupe afya njema

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 Před 2 měsíci +1

    Yes. Eliakim Maswi anatufaa wanayanga

  • @julianasimon5518
    @julianasimon5518 Před 2 měsíci +5

    Yanga tuna mtu, mungu akulinde na hasidi bin hasada, tunakuombea❤

  • @julianasimon5518
    @julianasimon5518 Před 2 měsíci +2

    Hivi wengine hawaogopi hiki kichwa, nyie💚💚💛💛🙏🙏

  • @mwanjaaseif5229
    @mwanjaaseif5229 Před 2 měsíci +1

    Rais wetu unajua hadi naogopa. Sijui kama mama Samia hajatunyang’anya 😢

  • @paulPius-uk9rq
    @paulPius-uk9rq Před 2 měsíci +2

    Huyu rais wa yanga Ana faa kuwa rais wa Inch

  • @user-ss1ck3eg4s
    @user-ss1ck3eg4s Před 2 měsíci

    Ikawe kheri kwetu mungu barki yanga

  • @user-bs2lc9of1b
    @user-bs2lc9of1b Před 2 měsíci +4

    Ukikipenda kitu utakijua vizuri hivyo hutahitajia Makaratasi kukiwasilisha. Rais anayeweza kuendesha soka la Afrika kwasasa ni Engineer

  • @user-yr8gd2qw5p
    @user-yr8gd2qw5p Před 2 měsíci +1

    Mtu wa maana sana 🎉

  • @allensanga4675
    @allensanga4675 Před 2 měsíci +2

    Uyu jamaa akipewa nchiii tunakua dubai ndogo sure
    Yaani hata akikudanganya huelewi anaongea fact tuu bila kuwataja watuuu wangekua makolo wanakikao ungesikia nusu ya mazungumzo yao yanaihusu yanga🎉🎉🎉🎉 rais anaekuja sijuhi nan maaana naomba aendeleee milele

  • @godwinmagayane4708
    @godwinmagayane4708 Před 2 měsíci +5

    Hakika huyu ni mwamba kweli kweli

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 Před 2 měsíci +1

    Safi sana

  • @lameckmulokozi4685
    @lameckmulokozi4685 Před 2 měsíci

    Mungu akutunze mungu yupo na wewe

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 Před 2 měsíci +1

    President mwenye akili nyingi sana 🎉🎉

  • @ibayaibaya2602
    @ibayaibaya2602 Před 2 měsíci

    Hongera Sana raisi was yangasc kwa hotuba yako ya mafanikio ya kilab yetu

  • @jacksonnombo4152
    @jacksonnombo4152 Před 2 měsíci +1

    ❤❤safi sana

  • @odacegeorgebalimponya3853
    @odacegeorgebalimponya3853 Před 2 měsíci

    Smart sana huyu mtu.💚💚💚💚💚💚

  • @masaumujungu
    @masaumujungu Před 2 měsíci +1

    Timu yetu Watanzania 🎉

  • @nurdinrashid611
    @nurdinrashid611 Před 2 měsíci

    Hongera my lovely team 🥳🥳💚💚💚💚

  • @brazachimba8811
    @brazachimba8811 Před 2 měsíci +4

    Speech makini kutoka Kwa mtu Msomi makini

  • @allychodasi7646
    @allychodasi7646 Před 2 měsíci

    Long live Eng Hersi 💛💚

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz Před 2 měsíci

    Ishi sana President

  • @novascomtega6885
    @novascomtega6885 Před 2 měsíci

    Gooooood president

  • @juansimbeye39
    @juansimbeye39 Před 2 měsíci

    Mr president Mungu muumba mbingu na Ardhi akulinde wewe na timu yetu yetu

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Před 2 měsíci +2

    Hi ndo Yangaaaa🙌

  • @jisandunangale
    @jisandunangale Před 2 měsíci

    Weka weka weka weka weka 🔥🔥🔥✋🏻

  • @HisdoryKimbory
    @HisdoryKimbory Před 2 měsíci +2

    Nakuombea kila laheri uibadlishe iyo kilab

  • @amanididas7660
    @amanididas7660 Před 2 měsíci +3

    this is yanga

  • @samwelmwilongo
    @samwelmwilongo Před 2 měsíci +1

    Jamani wana yanga wenzangu njooni tumsapoti raisi wetu kwa kujisajili na kulipia kadi zetu za wanachama

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 Před 2 měsíci

      Sema njooni tuisupport timu yetu kufikia maono yake kama yanavyosinishwa kwenye katiba mpya

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Před 2 měsíci +1

    Mastermind 🎉🎉🎉

  • @JohnCharles-yn8xg
    @JohnCharles-yn8xg Před 2 měsíci

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @DeogratusMathayo
    @DeogratusMathayo Před 2 měsíci

    i will not wonder if young African win world club competition after 4 years

  • @IqramIqrampouledwardmvum-wf6od
    @IqramIqrampouledwardmvum-wf6od Před 2 měsíci +1

    Uncle wewe ni suala la mda tu ...inabidi kile kiti cha uongozi yaani raisi wa nchi naamini utakikalia ukiwekania maana unamadini sana ...wewe ukituongoza hakika T.....itakuwa nchi ya mafanikio makubwa🤳🤳🤳

  • @japhetmevoroo113
    @japhetmevoroo113 Před 2 měsíci

    Safi sana Yanga

  • @user-qf6dh9hy8c
    @user-qf6dh9hy8c Před 2 měsíci +1

    Maisha marefu presdent

  • @Platymoh17
    @Platymoh17 Před 2 měsíci +1

    🥳🔰

  • @kilulumtunyungu9369
    @kilulumtunyungu9369 Před 2 měsíci

    Mr president 💚💚💚

  • @user-fy6fd4qc9h
    @user-fy6fd4qc9h Před 2 měsíci

    Mwamba anajua,kila LA heri uishi san,kwa maendeleo ya club yetu young African na Taifa kwa ujumla. Ila usajili striker wa maana huu msimu unakuja wa usajili,yanga hatuna striker itatucost kweny haya mashindano ya kimataifa.

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Před 2 měsíci

    Allaah Akbar

  • @user-im5kc6ey7j
    @user-im5kc6ey7j Před 2 měsíci

    💛💚💛💚💚💛💚💚💚👏👏👏

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt Před 2 měsíci +2

    Diarra starts the ball badly by shooting the ball direct to another keeper or another defense I do think he is supposed to start by giving the ball. to his defense or players the coach has to look on this

  • @mwanadamtz1298
    @mwanadamtz1298 Před 2 měsíci

    Nyuma ya pazia kumbe kuna kiumbe mzito hatari katika sheria ALEX MGONGOLWA
    Muhehe mmoja hatari sana

  • @user-sx9wd3rh9q
    @user-sx9wd3rh9q Před 2 měsíci

    ❤❤❤

  • @user-tn1lw8ve8j
    @user-tn1lw8ve8j Před 2 měsíci

    ❤❤

  • @sodesaidy6995
    @sodesaidy6995 Před 2 měsíci

    After 10 years, tukienda kwa mifumo hii tunayozumzia hapa, itakua dubwana moja lahatar sana

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Před 2 měsíci +1

    Yanga nzima tujipongeze kwa kupata kiongozi mzuri na mwenye maono na kwa hili hatuitaji ushabiki wa kipuuzi tunaitaji Nguvu ya akili tu

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 Před 2 měsíci

    #timuyawananchi🔰🏆🙏

  • @nuruyohana9490
    @nuruyohana9490 Před 2 měsíci +1

    Haya mambo ya kamati isije ikawa kama ya mwakaroboo😢

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Před 2 měsíci +2

      Usiwe na wc wc mwananchi huk hakuna ishu za kimongolii , Wala mambo ya kibumunda bumunda

  • @octavianvallery6506
    @octavianvallery6506 Před 2 měsíci +1

    Nicee

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 Před 2 měsíci

    Umeongea ya maana sana raisi wetu. Ila tunawaza mamelod.

  • @sodesaidy6995
    @sodesaidy6995 Před 2 měsíci

    M nazani katiba ibadilishwe, engineer aendelee milele😅

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Před 2 měsíci +1

    Dogo ni kichwa sana, huyu hata nchi inaweza kumtumia katika mambo muhimu kwenye eneo lolote na atafanya vizuri.

    • @lucymsheshi5871
      @lucymsheshi5871 Před 2 měsíci

      😢😢😢ila sio ccm
      Atabadilishwa atakuwa corrupt

  • @user-qy3zr3bt5y
    @user-qy3zr3bt5y Před 2 měsíci

    Daa jamaa anajua Sana