KIJANA ALIYEPATA HASARA ya MILIONI 200 ALIA na MKURUGENZI wa JIJI la ARUSHA -ALIA kwa RC MAKONDA...
Vložit
- čas přidán 7. 05. 2024
- KIJANA ALIYEPATA HASARA ya MILIONI 200 ALIA na MKURUGENZI wa JIJI la ARUSHA -ALIA kwa RC MAKONDA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kaka pole mungu akupe wepesi wa kuyapokea lakini mungu yupo
Ndugu yangu Mh . Makonda , una kazi kubwa sana ya kusuluhisha hili lakini kutoka na Maelezo ya huyu kijana , basi haki itendeke.🤷♀️
Pole sana kijana
Ujanja mwingi, sio mzuri kwenye biashara.. ulitakiwa kukubaliana na waliokupangisha kwanza.
Huyo Mkurugenzi Muhuni Sana !
Pole kaka yupo Makonda hapo watatapika hakika hapo Kuna jambo nyuma ya pazia
Ungekuwa mwelewa ungepeana ile 40,000,000 kwa wale wa mama. Ni ngumu. Leo nikupangishe alafu utake kuwa mmiliki halali bila kupitia mimi nilie kupangisha. Mkurugenzi, ocd, na mkuu wa wilaya wapo sawa.
Makonda ndo ataamua subiri
Nimewaza kama ww ILA ngoja nimalize
Mpe Mr Makonda namba yako pole mwanangu
Ni kweli kabisa Thadeus uwezi kumiliki jengo la mtu mwingine wewe ukachukua jukumucla kujenga gholofa sehem ambayo sio yako. Mkurugenzi OCD DC wako sahihi kabisa huo ni ukorofi. Yeye alikuwa MPANGAJI tu. Pole sana baba.
Sikiliza maelezo vizuri uwelewe kasema nini kuhusu ilo jengo.
Kaka Pole sana kwa yote.
Mwakilishi wa Rais wetu na mtendaji asiyemumunya maneno mh.makonda.
Nakushauri mwone hapo arusha natumaini haki yako utaipata tuu.
Utawala Mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan ni wa haki na sheria.Pole sana ndugu yangu.
Pole kija Mungu Mwema Akutetee
dah kaka ninamaana wew umiliki ata panga wew sikunyingine kata watu wawili ata mapanga wataludi nyuma
Hapana hivyo vibanda miaka kumi ikiisha tangu mwaka 2000. Baada ya hapo vibanda vilirud jiji na wakaanza kulipa Kodi jiji...
Ungekumbuka ungemrekod yani dah Pole sana kaka ila mtetezi wa wanyonge yupo makonda atakusaidia
Km ulikuwa mwema kwanini ukuwatafuta waliokupangisha uliwadhalau
Duuuu pole sana kaka,mheshimiwa wetu mama Samia alijua hali mbayar inayoendelea Arusha ndio maana Mungu akampa jicho la kumuona Mheshimiwa Makonda utapata ufumbuzi kaka usijali.
Daaah maisha sio poa! Watu ni wabaya sana!
Hao watu watatu mkuu wa wilaya OCD mkurugenzi tunasubri break 📰
Mwamdishi umefanya vizuri lakini hujabance story je wale wawekezaji kwa Nini hujawasikiliza ambao kimsingi ndio walimpangisha huyu na sio mkurugenzi
Je huoni kama kijana anajichanganya kuwa na mikataba miwili bila sababu za msingi??
Huy noel na mke wake nawajua vizurialiwazulumu wawekezaj
Brother haukua na bastola?kama ingekua mm labda dalali awe ana roho kama ya lissu ndo angekuepo hai
😂😂😂dah lisu ten aya bana 😂😂😂
Huo ni mtandao uliosukwa ...ndiyo maana mfanyabiashara alikuwa anakwama kila anapoenda ! Ila nyuma ya pazia tumuulize Mfanyabiashara wetu anajihusisha na siasa ? Ana uhusiano na wanasiasa ?
Regards
Mkurugenzi huyo ni mwizi mkubwa analalamikiwa na watu kibao
Nenda kwa Makonda
Dc hawez kukusaidia kwenye hilo, akiwa afsa tarafa mimi nilinuang'anywa kila kitu changu, na nilikuwa nafanya biashara kama yako... Hapakuwa na order ya mahakama yoyote... Hao madalali wanachezaga madeal na mapai na ofsn.. mimi nilinyang'anywa kila kituuu.. Huo ni wizi.... Na mkurugenzi hapo hana kosa
😢😢😢pole kaka
Tatizo lako limeisha mbele ya makonda mpenda haki
arusha kuna wizi kinoma sio mkoa huo hakuna uongozi yaaan makonda kareveals wizi mwing sana arusha na watu wa arusha na viongozi wamezoea wizi
Usihofu mh Makonda atakusaidia kabisaa
sasa kama ww ungekua kiongozi ungechukua hatua gani kwa DC. OCD na mkulugenzi mimi OCD ningemshusha cheo kutoka OCD mpka inspector mkaguzi msaidizi DC nae hafai kua DC mgulugenz nae hafai kua hapo
Kuwafukuza kazi kwa kuwa ni maajenti wa rushw
Kwanza pole sana sana ila mie nazani baada ya kuongea na mkurugenzi ulitakiwa urudi kwa wamama mlio kubaliana mkaingia mkataba na ukakubaliana kuwa utalipa na mtakatana maana tatizo linaonekana limeanzia kwa hao wamama nazani walihisi unawatapeli ndo wakawahi huko maana inaonesha ww umelipia na wao wamelipia na hao wamama ndo wanatambulika kama wamiliki
Pili hao madalali unatakiwa ukawadai vitu vyako kwani sidhani kama kunasheria iliwaruhusu waviuze, Mungu Naomba akusaidie
Ukweli huu ni uonevu wa wazi kabisa kwani aliye kwa upinzani haruhusiwi kufanya biashara . Pole sana mdogo wangu pambana usijali, je hao akina mama ni kina nani kwa majina tujue profile zao huwenda tukajua who is behind the move hizi
Pia huyo kijana anasema uongo je ana hiyo mikataba ya miaka kumi anayoisema anayo?? Ameionyesha kwako au ni Hadithi tu
Hiyo mikataba yq miaka kumi hakuna ambaye alipewa ndio maana wote waliokuwepo ktk eneo hilo waliambia watakaa kwa miaka kumi kisha hiyo miaka ikiisha ndio watapatiwa mikataba ili waanze kulipia manispaa mipind inakuja mikataba ndio ikamkuta huyu sasa
Hiv huy mkurugenzi si yule alimpigia makonda magoti au😂😂😂😂😂
Wewe mtangazaji kiswahili kipi unachotumia KUFANYAGA....
WA MAMA WAWILI.. Hiki ni kiswahili au upotoshaji
Kwanini usiende mahakamani?
Mahakamani utamshinda mkuu wa wilaya
Makonda tunaomba ufatilie pia ofice za mkuu wa wilaya zina dhuluma sana
Hofu yangu mkienda mkakuta wale wamama walikua wanalipa jiji kama kawaida na nyie mpo kama wapangaji wao kwani mwisho wa siku biashara ni mtu anavyoweza kuikuza faida yake
Tuna Imani na makonda msaidie huyo kijana arusha imeoza matapeli watupu kama ila inasema vijana wajiajili arafu wanatapeliwa
Wewe kubali uliwazunguka
Hao wotee wanatakiwaa kuswekwa ndani wotee.
Na hao madalali ndo matapeli
Daaaaaaaah! Tutapataje kupona tusipoujali ukovu mkuu namna hii?
Asilimia kubwa ya watumishi wa CCM yote ni mijizi. You can't trust this party anymore, wanadhani nchi ni yao. Rushwa! Rushwa! Rushwa !
Mkulugenzi anamashaka
Faida za utaperi ukubali matokeo
😂😂😂😂 umeonaee
Jeshi linasimamiaje zoezi ambalo halina order ya mahakama?? Duuu
Mambo kama haya tukiyafumbia macho tunaumiza wafanyabiashara wetu rushwa ni adui wa haki
Hizi mangwepe auction Arusha ni mtihani mkubwaa kwa wananchi wa Arusha
Hata mm nilimwamini mtu akanizunguka arusha watu jamani wayo tamaa
Ocd Jamani anahusika nin na wafanya biashara! Naombeni ufafanuzi
Mkurugenzi huyu ni shida kwenye jiji la arusha
Bahati mbaya huyomkurugenzi saahii yupokwenye hari ngumu tia tim kwa mkuu wamkoa baba huyo mjuba anatamaa sana
Kijana ajifunze!!! Ana mkono mfupi 🤣🤣
Ulitaka kudhulumu eneo la mwekezaji... Wamama wajane... Ambapo wanapata hela kidogo ya chakula... Hakuna mtu anaokota nyumba stendi ndogo... Dhuluma uliianza wewe...
Kabisa. Huyu ndio alianza kuzunguka wenzake
Dc huyo hafai hata kuwepo ofisini
Sema Serekali yetu 🤣🤣🤣
Rushwa imejaa hapo.hakuna kingine
Huu ni unyama hamna utu😭
Na pia ndugu mtangazaji sakata la stendi ndogo arusha wawekezaji hawakupewa kwa miaka 10.. Walipewa wajenge kisha wakaanza kulipa kodi... So kuna wawekezaji stendi ndogo ambapo kila baada ya miaka 3 mikataba yao inahuishwa na jiji lakini kuanzia mwaka jana kumekuwa na figisu sana jiji... Kama utapenda kujua mtafute kiongozi wa stendi ndogo na akuonyeshe mikataba ya jiji.. Na wawekezaji...
Na hili jambo lilisuluhishwa na waziri mkuu mwaka 2016..je yeye alipataje vibanda stendi ndogo?! Mwanzoni kabla ya kuzunguka na kwenda jiji.
Kaka makonda saidia huyo kinjana
Kama Mh.RC Makonda ataamua kulivalia njuga swala hili,kwa kweli wateule wa Rais wamekalia kuti kavu. Fikiria kwa Mkurugenzi,DC,OCD,na aliyeuza fream inaonekana ni chain moja! Je, ni wangapi wanafanyiwa haya?!
Tuko wengi hata mimi nimefanyiwa hivyo hivyo na huyo dalali pia ni mtu hana office … wala kibali chochote mimi ni miaka 2 nafuatilia😢😢😢
Dawa hapo nenda kwa Makondaa... Hao wawekezaji ni feki na mkataba wao uliisha tangu 2020. Wanakosesha serikali mapato.. Nenda kwa Makonda kaka
Kama kweli ni wawekezaji feki wanafanya nini mpaka leo stendi ndogo?! Kwamba yeye ambaye amekuja na kuwakuta kina mama na vibanda vyao ana haki kuliko hao wamama?! Je hao wamama haki yao iko wapii?! Yeye noel akubali aliona ni wepesi kudhulumu wamama... Sasa imegeuka tofauti ajipambanie na aende mahakamani kama anahisi ana hakii
Wewe acha uchochezi wewe mwenyewe ulitolewa mbona usiende kwa Makonda
Stendi ndogo tayari kuna wawekezaji na pia wewe ulikuwa mpangaji wa mwekezaji wamama wawili... So wewe ulitakiwa kuwalipa kina mama na kina mama waendelee kulipa manispaa... Lakini kwa sababu uliona ni rahisi kuwadhulumu wamama... Na kupata/ kuchukua kwa hujuma vibanda vyao stendi ndogo lakini jua nao wanamlilia Mungu na wamepata haki yao...
Alfu ww kama ndo mumemufanyia huyu brother hamufiki 2026 tutazika na jengo litabaki kwahiyo ujanja weka mufuko mukabizi bro Mari yake na hili nionyo sio ombi✅
Acheni kuonea watu madaraka hayo ya napita mmemtia hasara sana huyu jamaa makonda wasaidie watu kama hawa
Mheshimiwa Makonda yaelekea Arusha mafisadi mengi sana, pambana nayo hayo majizi