Ally umri unaenda kaka ishi vizur na mkeo watoto wa nje unao wa 4 na wandani ya ndoa 2 hivyo tulia uendeleze familia sio vizur kila mwaka kubadilisha wanawake
We mambo ya watu yanakuhusu nin..olewa ushauri ndoa yako na mume wako achana na mambo ya watu Hata kama akiwa na watoto 50 wew inakuumia nn..mbona huyo amina kakaa kimya
Mm nashangaa hata ukoo nae hana kabisa Acha kutudanganya wewe ukitaka kuleta comment ambazo Huna uhakika nazo usicomment jaman tafuta historia y Steven nyerere hapo ndipo utakapojua
Msemaji hakiwi kuwa mtu wa hovyo hovyo uyu Mbwa angebahatika kupata mali hata nusu ya aliyonayo Platnumz watanzania wote wangeonekana vijakazi sema tu Mungu fundi
Amewajibu vzr sana .kiba hataki shobo ,
Hayawahusu that's great aswer 😉
😂😂😂😂Huyu bba kama kuna k2 hapendi basi n personal life yakeusimuingilie kabisa
Good Good Good Sana. Somethings should remain personal.
Safi saana Alikiba
🤣🤣🤣🤣Ali nampenda sana..hahaha asiempenda kiba ana lake jambo..😅😅😅jamaa yupo simple tu na majibu yake..nimependa~
Nzuri sana,kweli haiwahusu
King
This man ni noma sana
Kubali Sana king kiba
Nc
Hahahahajaaaa marehemu kibamia akimbia swali la papo kwa papooh!!
Safi 👑
kiba nimstarabu sana ila sio kama yule domo
Hahaha
HA YA WA HU SU🤔💥👏
Saf sanaa
Ally umri unaenda kaka ishi vizur na mkeo watoto wa nje unao wa 4 na wandani ya ndoa 2 hivyo tulia uendeleze familia sio vizur kila mwaka kubadilisha wanawake
Sir yao wanayo wao kuhukum direct si vema
We mambo ya watu yanakuhusu nin..olewa ushauri ndoa yako na mume wako achana na mambo ya watu
Hata kama akiwa na watoto 50 wew inakuumia nn..mbona huyo amina kakaa kimya
We umekamilika
We Rehema ACHA kukariri maisha ya wanandoa Hujui Nan Na hujui chanzo Cha ugomv tulia omba Salam t👋👋
Wewe pia Ni maandishi,kabla hujataka Hali ya ndoa ya mwenzio,tuambie yako Kwanza!!!!!!
Kiba
Akiwa jibu vizur mtaniambia..
Ichi kisela kinasema amebahatika kunikilizisha
Richmavoko alibaatika kumsikilisha😀😃😄
🤣🤣🤣🤣🤣 kiba umeuwa aise
Steve nyerere Ni mtu mwenye busara Sana karithi kwa baba yake mwalimu
Mwalimu sio baba yake na hawana undugu
Huyo siyo baba yake jordan ni jina la kuigiza tu
Huyo Steve anafaa kuwa mkusanyaji wa rambirambi
Mm nashangaa hata ukoo nae hana kabisa Acha kutudanganya wewe ukitaka kuleta comment ambazo Huna uhakika nazo usicomment jaman tafuta historia y Steven nyerere hapo ndipo utakapojua
Jibu konki
Yasio wausu muyape kisusu jmn hayawausu nimependa
Msemaji hakiwi kuwa mtu wa hovyo hovyo uyu Mbwa angebahatika kupata mali hata nusu ya aliyonayo Platnumz watanzania wote wangeonekana vijakazi sema tu Mungu fundi
Kibakul
🤣🤣🤣🤣🤣🔨📌👌🏽
Mr kiburi huyo
Sio ukiburi ni majibu ya kiume hayo
Umenifurahisha Sana Mansur kwa jawabu ulio PA alisema kibiri, ya Familia hayahusu wanahabari
Ni mjivuni nae huyu!!
Title Marehemu kibamia akimbia maswali kwa waandishi wa habari
Alikufira ukajua kibamia kumbe
Kinachooandikwa na kinachoulizwa ni vitu viwili tofauti
💣💣💣🇴🇲🇴🇲😄😄😄
Wasanii wamekuwa wakali kama pilipili kila unamgusa mkaliiii😂😂😂😂😂😂😂
Wanapandiwa vichwani wewe unayakubali maisha ya kujibu maswali kila wakati utafikiri kesi ya wahaini too much!!!
@@jennytugara9470 😂😂😂😂😂
King