GIGY MONEY Aendelea KUCHACHUKA, Ashusha KICHAMBO Kwa DIVA, NIFFER, NAI
Vložit
- čas přidán 29. 08. 2024
- GIGY MONEY Aendelea KUCHACHUKA, Ashusha KICHAMBO Kwa DIVA, NIFFER, NAI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Tatizo unasema kweli ndo maana wanakuchukia ukweli unauma I love you gigy money more god bless you
Kabisa uzuri wake husema ukweli
Na msema kweli sikuzote huchukiwa na wengi
@@dignamassawe2324 aswa
Team gigy tujuane jamaniiii gonga like
Nakupenda gigy
Piga kelele moja Kwa Gigy wetu🔥🔥🔥💪✌️
Heeeeh
Wewewe
Mimi binafsi nampenda Sana gigi money nampenda nimkweli Sana nampenda bure 😘😘🥰
hakika❤
She is real gigy nampenda bure 🥰🥰😘
Team gigy ❤ 🔥
Heee
Huyu gigy anakitu unique Sana anajua sana tena Sana anaongea ukwel kutoka moyon 🔊
Gigi ni kikiiii😍❤tunakupendaaaa
❤️❤️❤️❤️❤️God bless gigi
Masha nimekupenda sana huo ndio urafiki wa ukweli kuwa beneti na gigy huo ndio urafiki wa ukweli
I love gg nakukubali sana
Gigy is real💪💪🏆queen gigy
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Gigi❤❤❤❤❤❤ from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Gigy ❤️❤️❤️❤️❤️napenda vibe zako....
Gigi ❤️❤️❤️
True Gigiiii ❤️❤️❤️❤️🤗
I love this girl because she is open heart ❤️ keep it up
Nkupenda saana gigy unaktu special saaan🥰🥰🥰🥰
I love you giggy keep working hard acha kulia lia
😢😢😢 malizeni kwa amani hipo muelewane mmoja ajishushe kwahiyo nawaombea mfike kwenye uamuzi mmoja love true for all
Love gigi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
This gal talks too much but she is speaking facts.
I love gigy money still young and beautiful ❤❤❤❤❤
Eti today tuwe wadogo jamani!!!Kwanzaa masha love unataka kusema wew unalingana na gigy
Reaction za Masha love 😂😂😂🙌🏻
Umekuwa Gigy now x Kiki tena nafurah kuxkia umekuaaa I like dat
Gigy mahela yuko real sana
Gigy is real kabisa kuanzia leo mm ni team Gigy
Nakupenda sana gigy unajiamini sana❤❤❤❤
I like this woman, ukweli ndio kila kitu
Wat I Love From This Woman ...She Is Real ,Wat I Don't Love Is ..Hachagui Maneno Na Wakati Wa Kuongea ..But It IS wat It Is
😅😅😅😅😅😅
Ndio maana ya kuwa REAL! Uzuri hamtusi mtu na hakikwezi.
Ma Shaa Allah jmn poleeh G' but that's life Momy,sahau songa mbele MUNGU hamtup mja wke ipo sik ukwel utajieka wazi...Ww endelea kua ww,usifek chochote mamy...We songa mbele kipaj unacho,akili unayo,ubora unao.Adui wako muombee njaa na muombee aishi maisha marefu ili aone mafanikio yko.
Gigy namkubali had namkubali mno Yuko really xana❤❤❤
Katika wasanii wa kike ninaempenda tz wakwanza Ni Gigy🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍
Team Giiiiii oyeeee
Nakupenda sana dada yangu najua umeumia sana lakn usiwaogpe shabik zako tupo nawew😙😘😍
Masha love mkalimani😁
Ndomanaaa wanyakusyaaaa ndotulivoooo atuwez kudharauliwaaa nakupendaaa mnyakyusaaaa nwenzanguuu waoooo jmn atupendiiiiiiiii kudharauriwaaaaa wewe gigy money mapesamapesaaaaaa🥰😘😘😘
UKISIKIA wanawake wenzetu wametoa MARADHI TUMBONI ndio km hawa vikatuni vya wasafi WALLAH. Ee mungu usaidie umati wa Muhammad S.A.W.
Umenichekesha sana
Hakika
Km ww unajua dini, waombee wenzako Allah awaongoe,sio kuwaita vikatuni
Yeah kabsa GyGy🔥🔥
Woah gigys English is top notch 😭❤️
Where did she learn
Nakupenda san gigi your so unique
Gigy nakupenda bureeeee👌
I love i giggy ❤️
Huo ni wivu moja kwa moja dar😂😅😅😅Acha roho kiswahili
Mashalove jinsi anavyochambuaa maneno anayongeaa Gigi Kama m2 na MKALIMANI wake
🤣🤣🤣
Hahaha ziwa kubwa
Hahahahaha Hahahahaha
@@matipashankanawaaooo1199 atar
@@NR-ll4sr 😂
Huyu gigy ana akili sana..lait angeenda shule angekua vizuri kwenye kazi zàke..pia kwenye uongozi angeuwezi sana.
Yakwanza ni yakuzaliwa babue
Yah...kila siku nasema hivyo hivyo
Gigy ni genious bwana ukweli usemwe
@@tatundayisenga3229 oo
@@tatundayisenga3229 o
Gig you are so beautiful achana na haooo mafaraaa
I looooove Gigy❤️❤️❤️❤️❤️ she's sooo fuckin real
Pole gigy wang i lv u so much and i wish one day i could see you
Ety tunaenda kula kwa zuchu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
My pretty Gigy
Gigy in Kenya l love baby girl
Masha love ❤❤❤❤❤❤kaongea vizuriii❤❤❤
The vibe at 7:43 🔥🔥🔥🔥 Gigy
An hii interview namuangalia #Masha nacheka tu et na yeye anasikiliza kwa umakin exclusive an 😂😂
Nakwambia
Eti kachawa ka gigi
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaaani🤣🤣🤣😍😍😍
I lov u gigi kivyovyote vile diva ni mpuuzi sana kama ukimuangalia kw umakin utalijua hilo kuwa diva ni mshamba alafu limbukeni na hana akili vile vile ila gigi yuko really sn kama mm kbs huwa namuona na anajielewa diva pia anawivu alafu ww ushakuwa mtu mzima achana na watoto kina gigi hawa na diva ni mchonganishi sn yani ukisikia vzr mazungumzo utajua haya nilioyasema gigi hana shida diva ndio tatizo
Gigy 💞💞
Hivi Masha mmemuona lkn😂😂😂😂😂😂😂😂😂yupo makin sana
Yani tena anaitendea haki kazi yake ya upambw😄😄😄😄
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mie
@@shamsahasan2748 TRUE friend to keep 😭🤣
Ana wivu na ww mzee yule ameniudhi sana bora didah Mashallah
Nakupenda kwa sbb ur really gigy ur open on everything.
Nakupenda gigy nakuelewa sana🥰🥰🥰
Presenter excellent work damnnnn!!!!!
I love giggy
Inasikitisha kuona mdada anajaribu kumgandamiza mdada mwenzake,, go gigy u are always ontop.
Napenda sana gigy kutoka mm kutoka kenya
Mm nawapenda gg na masha
Jamnii I love you ggy
i lov gigy❣❣
Masha yuko makini kama muhudumu kabeba glass ya juice
Haha nmecheka xnaaaa
Masha akitulia mzurii
🤣🤣🤣🤣🤣gigy is so real
Nimeisikiliza hii interview nimemuelewa
God bless you Don dada
Kiki ni giggy🔥🔥🔥🔥
Vita nivitaa muraa🔥🔥😂😂😂Et gigy nae kakua 😂
Panga ni pangaa muraaaaa🔥🔥🔥🔥🔥✌
Gigy nakupenda sana umenitoa machozi
👌👌
Huyu masha love bana chawa kweli
Nakupenda unajua walahi wajipange kubishana na gigy
Naomba ukija Mr right tuongee mana siku zile Shiva alizingua nilimmaind kichiz aisee
Love you gigy auwongeagi uwongo mama
I love gigy anachapa u really
Nakupenda Sana GG mapesa achana na aho mapimbi awajiamin in town
Nakupenda Sana ujue
Gigi kuna muda na mpenda sana
Gigi nakupenda sana😘
Kiukweli mimi huwaga namfagilia gigy na masha cox huwaga wako really walai
Gigy haongeag uongo she is so really
Me I love gigy she is real
Masha anachesha sana
Mashaa jman 🤣🤣🤣
Pole sana gigy
Mashaa nmekuelewa Hahaha gigy anavaaa nauli ya Dubai kichwanj
Gigy is so real
masha nimempenda buree 🤣🤣
i lov gigi yuko so real aseee......
Gigy is so real yupo poa sana me namkubali sana
Mm nampenda sana coz Yuko real so mnafki namueleeaga sana hata wanaomsema vibaya huwa naumia ga mno anaakili yakutfuta maisha yke wamuache mama Mayra wngu
Nakupenda Sana dada gigy unawachana hukwepeshi yye afanye kipindi chake asikufatilie
Me nakupenda mnooo gigy
Tunakupenda Gigy! Huyo bipolar achana nae!
Kiboko yako diva😂😂😂
Nakupenda sana gigi❤