PERCY TAU PENALTY MISS : MALI 2-0 SOUTH AFRICA AFCON 2023 (TAU ALIVYOKOSA PENATI DHIDI YA MALI)
Vložit
- čas přidán 15. 01. 2024
- Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp.com/Go7uQgGCzSI...
►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
►Instagram / tv3tz
►TikTok / tv3tz
►Facebook / tv3tanzania
►Twitter / tv3tanzania
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
#Tv3Tanzania #GameOn
#Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala - Sport
🎉🎉🎉kitasaaa cha yangaaa
Diary sijui kama msimu ujao tutakua nae jangwani
watangazaji msitufanye sisi mazuzu, unapata wapi nguvu ya kudanganya eti Diara mara ya mwisho kudaka penalty ilikua dhidi ya USMA wakati juzi kadaka dhidi ya medeama kwa mkapa
Hahaha
Hao wote wamekaa Kimakolo makolo tu 😂😂 wanafiki tupu huoni wameonyesha penalt tu hawaonyesha magoli ya Mali😂😂
wanamakasiriko ya goli 5 mpk leo
@@neemaisack8266nyie vinyesi fc mmesha fungwa goli 5-0 na simba hiyo 5-1mnaona ajabu mpk kuweka mabango nchi nzima washamba nyie
Anaumia
Safi kuwafunga hao protekta ya buku mbili kaliakoo imepasuka mbovu
Tau anamuogopa diara anajua mziki wake😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Tau mpira ushaisha
Sasa ndio clip gani ya kipuuzi, hamuweki yote ndio nini sasa
Watangazaji ni makolo!
Yani percy tau cjui anajikuta nani kukosa penat
Naomba niulize diarra huwo mpira alopiga tau kaudaka au vp na kama kaudaka katumia miguu au mikono ?
Tau anamuogopa diara anajua mziki wake😂😂😂😂na bado,,,
Hii var isiletwe bongo tutaipasua
mali na south africa ndo wataenda
hata kama mmeweka guidelines, ndo muweke highlight kama hii, aloedit alikua anasinzia ama!!
halafu anaroho mbaya kishenzi aliye edit
@@user-zb2mj5nd5g hahaha
Diarra heko sana
Acha uwongo mtangazaji!!
Juzi tu hapa diara kapangua penalty zidi ya medeama Mtangazaji acha uongo hujui hata kufuatilia mpira nyoooo
Mara ya mwisho kudaka penalty ilikua dhidi ya medeama
Sio dhudi ya medeama zidi ya medeama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@@NasoroRafii-pt1ts kusoma hujui au una kengeza
wabongo mnaongea sana
Naomba niulize diarra huwo mpira alopiga tau kaudaka au vp na kama kaudaka katumia miguu au mikono ?
Upo sahihi
Ajadaka Ila Kuna mkwara tu wa utulivu golini anamfanya mpigaji akose position ya kufunga.
Katumia makalio