#1 AKILI ZA KUCHANGIWA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
Vložit
- čas přidán 12. 09. 2024
- #maumpemba #KomboKichwa #fumbuamacho
AKILI ZA KUCHANGIWA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500 - Komedie
Naombeni Like zenu wadau, mimi ndo wa kwanza leo
Mimi sijawahi kwenda pemba ila nimepata habari zao kuwa ni watu wakarimu sana ukarimu wa kizanzibari basi umebakia pemba . Nimesikia tu
Huo Ndyo ukweli karbu sana
Tatizo ni huo mziki hauendani na maadili yetu lkn kazi nzuri sana
BaarakaLLAAH fyk
Assalam alaikum munaigiza vizuri kwa kutoa mafunzo ila tunaomba musieke miziki kwa maana tunapenda vipindi vyenu lakini hatupendi miziki kwa maana Allah kaharamisha shukran
Hakika
Naunga mkono hoja yko 100%
Wa kwanz from Zanzibar ❤
Hujanihadisia km mau amerejea 😅😋
@@SubiraSalum-pq9vo hahahhah 😆😆😆😆😆
Kaz nzr sana
Kazi mzuri Mau moemba,mzee mwinyi na team yote kwa ujumla
Dah, ii ingalikuwa na muendelezo ❤
Jamani nyinyi munaelimisha sanaaa
Nzuri nimeipendaa
Habari yako mdogo wngu
Kanzi nzuri sana
Fantastic nice message na imekuja kwa style safi sana, hongereni
Nyie mnajua sanaa
Mau zimwi likujuwalo halikuli likwakwisha
Daaah wallah mnajua sanaa
Pamoja sana wapendwa
Mau kaz nzur
You are so good, thank you for your video, it is so good
Much love 🎉🎉
Wakuja pemba aje tu hakuna ubaya ukiskia maneno ya kuambiwa ndokama hayo karibun sana
Nawapenda sana mungu awabariki sana❤❤❤❤
kaz nzr sn
Fundi wazidi chafukwa
Nakubal
MashaAllah Kaz Kaz Allah awajalie vzid kukuw vpaji vyenu INSHA ALLAH
mau umepania mara hiii
Big up
Naomba umetisha dah....eti mdomo mrefu km kisakunde
Kaz mzr
Kiswabi mganga😂😂😂😂
Dongoo eti baba ana mashamba ma4 ya mikarafuu 🤣🤣🤣🤣
Ana na Daladala hhhh
ety wajuwa kama wazungunza na jini
Eti kitabu cha matusi nilichorithi kwa bibi yangu mau mpemba nimecheka mpaka basi
Kiswabi kiswabi unanifanya niwaze kuja pemba
Mnaweza sana hongereni sana🔥🔥🔥🔥
Nyie noma sana hongereni sana pmoja
👏👏👏
Mganga kampatika kiswabi wa swabiina mwamize na ukengele weee na unn vile😂😂
Haaaaaaaa kiswabi wee eti wajua wazunguza na jini dongo unavijembe weye. ama kweli akili za kuchangiyawa changanya na zako
❤❤❤😊😊😊😊😊
Naomba kesha olewa??
Mafunzo mazuri san
Kazi🔥🔥🔥
itaendelea au ndio ishafikia mwisho
Ma Shaa allaha ❤❤
Mganga kapatikana😂😂😂
Ukupigao 😅 utamalizia..............😂
Ndio ukufunzao
Nakubali kaz
❤❤❤
Wenyeji wengine balaa
Naomba hongera
Kiswabi jamani nakupenda bureee
😂😂😂😂😂😂Kazi nzuri sana
👍
Mr dongo mm naomba hio kanzu maana duhh
Chaupele 0:17 0:19
Good job
Ukipigao ndio ukufunzao
MashaLLAH ❤❤❤❤
Muendelezooooo
Kiswabi motooo..
Mau na suriya kwa mwinyi mpeku umeyakanyaga😂
Hhhhhhhhhhh
No
Kifuku nkunye du dongo ww
Sijawahi kufika Pemba. Nilitaka kwenda zamani lkn nilikatazwa nikaambiwa usije ukaenda 😂😂 sasa kwani jamani kweli ukienda Pemba Utarogwa ? Au ndo kweli kuna mambo ya ushirikina kuliko ubinaadamu? Siiamini
Hizo ni fikra potof mm mbona nimeenda na mgeni wangu
@@nassorhaji2637 fikra potovu? Unaambiwa tahadhari kabla ya asari. Kuuliza sio kosa. KAULIZE NINI WALICHOMFANYA MKAPA. MIE MZANZIBARI PEMBA KWETU. DAM.DAM.
Mm Mkenya nishaenda mara nyingi ni uongo mtupu tena pemba watu wakarimu kuliko huku zanzibar
Uyo alokwambiy wapemba washirikina anakuoneya gere mana anajuwa ukienda kama umwana mme utapata mke na kama umwana mke utapata mume nahusu ushirikil sipemba sehem zote ila ukiwachokoza hawakuachi uhakika 😄😄😄😄😄
So kwli ht kdg
Kaz mzur sana
Kaz mzr