Historia ya Kundi la Musiki WENGE MUSICA-Part 1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024

Komentáře • 43

  • @solomonkeli6236
    @solomonkeli6236 Před rokem +1

    Nooma saana 🥰🥰🥰

  • @kaisarimbisso7579
    @kaisarimbisso7579 Před 3 lety +2

    Naona historia ya wenge ungepata grade D. Na hakuna album ya surprise kapangala. Rapper walikuwa ni ekokota wunda na tutu kaludgi. Bill kalondji alikuwa ni wa akiba. Naona unapotosha kiasi

    • @alionyalammingtone7211
      @alionyalammingtone7211 Před 3 lety

      Kweli kabisa, jamaa anapotosha sana- Adolphe Dominguez na Emelia hawakuwa mnamo mwa waanzilishi bali walijiunga baadaye.

  • @switbertchenya6362
    @switbertchenya6362 Před 3 lety +1

    Majina tu ya bana wenge huyajui hata kuya tamka. Hata majina ya Albums za wenge kabla ya Pentagon huyajui.we feki

    • @BONGOLEO
      @BONGOLEO  Před 3 lety

      Asante mkuu ntajirekebisha

  • @amirymbilimo448
    @amirymbilimo448 Před 3 lety

    Nime kubari historia nzuri sana

  • @bjk5696
    @bjk5696 Před měsícem

    Rapa wa kwanza wa wenge alikua anaitwa manda ndo alie rap kwenye kala yi boing

  • @eddymumena7157
    @eddymumena7157 Před 2 lety

    Acha uongo, unaudaganya ulimwengu. Historia ya wenge umeikosea sana machache tu ndio umeipatia.

  • @robinonyango3563
    @robinonyango3563 Před 4 lety +1

    Kwa pentagon rapper ni wawili Tutu kaludgi na Robert Ekokota wunda Bill Clinton kalonji alikuwa rapper kwa band ya werrason wenge musica maison mère na siyo wenge musica bcbg 4x4

    • @switbertchenya6362
      @switbertchenya6362 Před 3 lety +2

      Hii history huifahamu na una unga unga tu.Hujui habari ya album ya Alain Makaba japokuwa umeitaja jina.pia habari za muanzilishi wa wenge huzijui.Raper wa kwanza wa wenge hujui,mpiga drum kabla ya Titina anaitwa Maradona, humjui.na mabo meengi umechapia.Fake history

    • @switbertchenya6362
      @switbertchenya6362 Před 3 lety +1

      Yeah Bill Clinton alikuwa wenge maison merre ya Werrason. Pia huyu jamaa hajui Didier Masella ana history gani na band

    • @robinonyango3563
      @robinonyango3563 Před 3 lety

      @@switbertchenya6362 very very true huyu jama hajui kabisa history ya wenge musica bcbg 4x4 Didier masela ndio founder wa band ya wenge na Werrason, Blaise bula, Alain makaba na Adolphe Dominiquez.. Jb mpiana akaja badae kidogo

    • @rashidbakili4353
      @rashidbakili4353 Před 2 lety

      Clinton kwanza alianza wenge el pars, baadae ndio akaingia kwa werason

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 Před 3 lety

    Hao sio maadui Tena Ni marafiki Sana jb mpiana na werasoni ila simuulizi yako Ni kama ya uchonganishi Sana werrason hakujifungia ndani na kulia aliendelea na kujiweka sawa juu ya band aliyo ianzisha

  • @makarabekakassim9967
    @makarabekakassim9967 Před 3 lety

    Huna unachojua kuhusu Wenge Musica BCBG 4x4 all terrain,Bill Clinton Kaluze Mukeba hakuwepo

  • @eliyudimkumbwa1275
    @eliyudimkumbwa1275 Před 4 lety +1

    Tupe pia historia ya extra musica

    • @BONGOLEO
      @BONGOLEO  Před 4 lety

      Poa poa, endelea kutufatilia

    • @joramkiango5434
      @joramkiango5434 Před 3 lety

      @@BONGOLEO maelezo yako yana mapungufu saaana kwa kifupi sijakuelewa

    • @BONGOLEO
      @BONGOLEO  Před 3 lety

      @@joramkiango5434 sawa tunashkuru kwa maoni tutalifanyia kazi hlo

    • @kaisarimbisso7579
      @kaisarimbisso7579 Před 3 lety

      Historia ya wenge haijui, sidhani kama atapata grade D historia ya extra musical zangul. Labda grade F kabisa

  • @kaisarimbisso7579
    @kaisarimbisso7579 Před 3 lety +1

    Historia ya hizi bands usitoe mtaani na kuwaletea watu humu. Unajikosesha credibility na subscribers. Ni vizuri either kuongea na wahusika wenyewe au na watu wanawafahamu waliokuwa karibu nao kikazi au kwenye maisha. Ukikurupuka utakutana na wengi watakaokukosoa humu. Kama ya wenge musical bcbg imekushinda, sasa usiwaganganye watu kuhusu ya extra muzica bpbl zangul

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 Před 3 lety

    Bro safi sana kuskia unaiongelea wenge yetu,
    Ila kuna baadhi ya taarifa umezichanganya kama vile majina ya album na nyimbo.

    • @BONGOLEO
      @BONGOLEO  Před 3 lety

      Ok nashkuru pia kwa kurekebisha,

  • @amirymbilimo448
    @amirymbilimo448 Před 3 lety

    Kweri naomba historia ya extra musc

  • @kaisarimbisso7579
    @kaisarimbisso7579 Před 3 lety

    Wenge walianza na Didier masela, Alain Makaba, werrason na jb Mpiana. Muda mfupi baadae jb akawaleta Adolphe Dominguez na Blaise bula. Hao 6 ndio wamiliki wa original wenge. Hao akina afande walikuja baadae. Akina Manda chante, baadae kabisa akina amelia lias demingongo

  • @petermqngala6010
    @petermqngala6010 Před 3 lety

    Kaka we muongo

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 Před 9 měsíci

    Kaka wewe ni MUONGO
    Historia ya Wenge haipo Ivo
    Adolph hakua mwanzilishi

  • @saifsawafi2773
    @saifsawafi2773 Před 6 měsíci

    Many of the story is not correct

  • @kaisarimbisso7579
    @kaisarimbisso7579 Před 3 lety

    Aisee, jamaa unasimulia kama mastori ya mtaani. Unaongea kishabiki na uongo mwingi

  • @paulchuwa1802
    @paulchuwa1802 Před 4 lety

    kaka mimi nimekuelewa sana

    • @BONGOLEO
      @BONGOLEO  Před 4 lety

      Thanx

    • @engyhy1985
      @engyhy1985 Před 3 lety

      Kidogo kuhusu Album ya Solo, haikua JB alianza bali ni Alain Makaba na wimbo ukiitwa PILE OU FACE, kisha baadae JB Mpiana akaja na hiyo Feux D'e La Amour.
      Ama mwanzoni alikua ni Didier Massela, Adolphe Dominguez, na Ngiama Makanda.

  • @vijanafurniture1810
    @vijanafurniture1810 Před 3 lety

    Duh bro hii umechapia vingi mno alafu kama kitu hujui usiweke ushabiki

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 Před 3 lety

    Kaka naona umesahau , bend ilyokua ya watoto wa matajiri iliitwa Wenge Paris na walliishi Paris

    • @BONGOLEO
      @BONGOLEO  Před 3 lety

      Nashkuru

    • @moodychanday9220
      @moodychanday9220 Před 3 lety

      Wenge Paris ilikuja baada ya Wenge Music kuvunjika

    • @kaisarimbisso7579
      @kaisarimbisso7579 Před 3 lety

      Wenge aile Paris hawakuwa watoto wa matajiri. Walikuwa ni wanamuziki waajiriwa kwenye wenge. Akina jb na werra walitumia fake passports kuelekea kufanya concert Paris. Wale wengine walifanikiwa na waliamua kufanya makazi kule. Sio matajiri kabisa, na bendi haipo tena

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 Před 3 lety

    Muongo muongo muongo