WALICHOKIFANYA WACHEZAJI BAADA YA MCHEZO DHIDI YA MAMELODI - AFRIKA KUSINI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 04. 2024
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
  • Sport

Komentáře • 428

  • @user-yb8kh2ko1m
    @user-yb8kh2ko1m Před měsícem +36

    Dah bahati haikuwa yetu ila tunashukuru kwa kupambana wachezaji wetu 💚💚💚💚💚🇹🇿🇹🇿 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO😢😢😢

  • @evdsam7286
    @evdsam7286 Před měsícem +56

    Hongera sana Yanga mmejitahidi Ila mmetolewa kwa matakwa ya refa

  • @mlozi2791
    @mlozi2791 Před měsícem +15

    Dear Yanga.
    I honestly did not know much about this club before this fixture but man you guys have my respect, I'll never forget you now.
    I won't dwell too much about officials decision, very poor as it was, that was a goal, but you guys gave us a very tough game.
    Let's hope this can be settled in our future meetings fair and square.
    You have my respect. Much love.
    From Cape Town 🇿🇦🇿🇦

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 Před měsícem

      Love you more dude …that is the reason why the african football never grow …and by the way i dont see the reason of having VAR

    • @abelg2488
      @abelg2488 Před měsícem

      Glad you came to know us this moment. We Young Africans love you more and hope the fair competition will one day be played. We wished to be here a long time ago but we were in it to win it only until our fortune was denied by reckless decision making by ref.
      No remedy on that, but now we’re focusing on other games and expecting on the day un mentioned when we will avenge against them

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Před měsícem +38

    siwadai Chochote wanajeshi wetu🙌🙌💚💛😒🇹🇿refa refa

  • @AnnaSimon243
    @AnnaSimon243 Před měsícem +5

    Mmepambana sana ndani ya dk.90.
    Na goli pia tumedhulumiwa. Hongereni sana! Msife Moyo wachezaji wetu.

  • @user-fi9mk7wt2s
    @user-fi9mk7wt2s Před měsícem +47

    Sio kinyonge tumepambana sana daima mbele nyuma mwiko

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Před měsícem +1

      Hivi hizi sheria za mpira mbona za kibabe jamani??!! Yaani yanga imenyimwa bao hivi hivi😓😓...sasa VAR ni ya kazigani!!!

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 Před měsícem +1

      😂😂😂😂ety tumepamban sasa mmepambna nn mbna sijaona zidi zidi mmetolewa tu

    • @KounaouldAidallah
      @KounaouldAidallah Před měsícem +1

      , tumeshinda, ni Zaidi ya kupambana, tumenyimwa goli la wazi

    • @officialshelomwangole256
      @officialshelomwangole256 Před měsícem +2

      Na mmejua maana ya kufa kiume😅

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa Před měsícem +1

      Mpambane nini majini hakuna mpira api😂😂

  • @trice_yanga
    @trice_yanga Před měsícem +11

    hivi hakunaga Sheria ya kukata rufaa mamae goli la wazi lile😢 hongereni wachezaji wetu mepambana

  • @hashimurashidi6573
    @hashimurashidi6573 Před měsícem

    Hongereni sana viongozi na wachezajiwetu mmeonyesha uwezo wahaliyajuu kabisa 👏👏👏 tunaomba muongeze juhudi tutafika mbali.

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc Před měsícem +15

    Mimi binafsi siwadai mashujaa wetu💚💛💚 kazi mmeifanya.

  • @NoelaSimon-jm8xy
    @NoelaSimon-jm8xy Před měsícem +2

    Daima mbele nyuma mwiko🔰🔰hao mamelodi washukuru Mungu refa kawabeba,,Yanga forever🔰

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf Před měsícem +2

    Nimelia saaaaanaaaa 😢😢,, hongeren wachezaji wetu

  • @upendoluva2066
    @upendoluva2066 Před měsícem +8

    Hongera kocha na wachenzaji wetu tunawashkr wote mmejitoa kwa upendo wenu

  • @user-qt7yd2ws9u
    @user-qt7yd2ws9u Před měsícem +11

    Hawana baya wanangu wa jangwani much love 💛💛💛💛💚💚💚💚💚🟡🟡🟢🟢🟢🟢

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Před měsícem +6

    HEROES ONE DAY INSHA'ALLAH 😢😢😢😢😢😢 MMELIHESHIMISHA TAIFA, WAKIWA WANAKUJA HUKU WATAKUJA KWA NIDHAM ZOTE. MWAMBA AZIZ KI❤❤❤❤❤❤❤

  • @adamtanakhel8185
    @adamtanakhel8185 Před měsícem +2

    Alhamdullilah mungu nimwema lakini mpira wa Africa unafigisu robo yenye hadhi ya heavy weight kuwai kuitizama katika miaka 4 iliyopita mwamuzi amaitendea haki rushwa aliyoichukuwa sio bule hata var hajakwenda ku thibitisha, what a goal 🥅 master key alifunga pongezi wanajeshi wangu #msonda guede watakuja kuwa tishio nukuu.

  • @harunayman
    @harunayman Před měsícem +13

    You made us proud. Congratulations.. you won the game .. unfortunately wao ni familia wamebebwa.. rigging

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Před měsícem +20

    Chukueni maua yenu wachezaji💚💚💛💛💐💐🌺🌺🌹

  • @law93king
    @law93king Před měsícem

    heads up wanangu mmepambana sanaaaa✊🏾💚💛💚💛

  • @LeahMabula-sv8ij
    @LeahMabula-sv8ij Před měsícem

    Hongera makanda wa wananchi 🎉
    Shame on caf and motsepe😢

  • @user-pq4hd7vw9j
    @user-pq4hd7vw9j Před měsícem

    Tunashukuru tumepambana sana,,, so kinyonge 🎉🎉🎉🎉

  • @user-ib5qd9hu8j
    @user-ib5qd9hu8j Před měsícem +1

    Hongereni sana wachezaji wetu wote, viongozi pamoja na benchi la ufundi mmetuheshimisha saaaana japo shetani kaingilia kati Mungu yuko pamoja nasi tukutane next time tusilaumu sana maana hatujui Mungu anakisudi gani nasi. PAMOJA SANA ONE LOVE DAIMA MBELE NYUMA MWIKO. No matter what❤❤❤

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Před měsícem +9

    Hongera wachezaji wetu, mmefanya kazi nzuri, Muendelee kupambana kwa kweli

  • @user-ct4jp1ux1z
    @user-ct4jp1ux1z Před měsícem +11

    Hongereni sana. Ila refa kawabeba mamelodi. Ushindi ulikuwa wetu

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw Před měsícem

    Nawenyewe wamebaki wakisema yanga kiboko yao 💚💛💛💚🇹🇿🇹🇿

  • @GodDrummer147
    @GodDrummer147 Před měsícem +1

    Mkude hapo mwishoni anakaziaa "hawana ugumu Wowote" ✊✊✊ that's my Team @yanga sc

  • @user-dt7dt6go8j
    @user-dt7dt6go8j Před měsícem +8

    Congratulations guys you have done well 💛💛💛💛

  • @hubakombe586
    @hubakombe586 Před měsícem

    Mlifanya kazi kubwa sanaaaa. Kinyume na matarajio ya wengi. Walitabiri tutapigwa na Mamelodi ndani nje.. YOU DID A GREAT JOB.. Siwadai majemedari wetuuuu.. We are so proud of YANGA

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 Před měsícem

    Karibu nyumbani hatuwadai

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Před měsícem +4

    Wanajeshi Wamewez Kupamban Kbs Yan Akun Tunachowadahi Sas💛💚💛💚

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 Před měsícem +2

    Hongera vijana mpo vzr mmefanya Kaz kubwa sana Africa na Dunia imeona

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Před měsícem +1

    Mudathir kaumia sana,hongereni wachezaji wetu hatuwadai, tunamshukuru sana MUNGU.

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 Před měsícem +5

    Ongereni saaan nawapenda shabiki wenu 🎉🎉🎉🎉🎉💚💚💚💚💛💛💛💛💚

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Před měsícem +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 waamuzi wote wa hii mechi mungu yupo malipo nihapahapa duniani atatulipia😢😢

  • @frolajoseph9854
    @frolajoseph9854 Před měsícem

    Mzizi anatakiwa arudi jandon akafunzwe tena

  • @JuliethWiliam
    @JuliethWiliam Před měsícem

    Kwahili hii vr yanini Mungu awaalaani

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo Před měsícem

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @mudimkagila5252
    @mudimkagila5252 Před měsícem

    Naitwa mudy, kiukweli mimi binafsi sijaridhishwa na maamuzi aliyoyafanya muamuzi aliyechezesha mchezo Jana wa mamelodi vs young africans, kwasababu
    1.hakuweza kutaka kujiridhisha zaidi katika VAR
    2.wachezaji wetu ni wastaarabu sana nasema hivi kwasababu ingekuwa imetokea kama hivi kwa upande wa mamelodi bila shaka wangemzonga sana muamuzi lakini hawakuwa na ukali wakumzonga muamuzi nikama walijua tayari litaamuliwa kuwa ni goal bilakujua sisi lazima tufanyiwe vigisu ndo kama hivo,tusiwe wapole kiasi hicho kuanzia viongozi hadi wachezaji tafadhari watanzania wengi tumelia sana kwa maamuzi tuliyoyapokea na wakati tunajua lile ni Gori halali kabisa
    Ila ninachoamini young africans ni team kubwa tena kubwa sana na tunaweza ila tu hujuma juu yetu bado zipo tu 💛💚💛💚💛💚

  • @januarykitunsi9287
    @januarykitunsi9287 Před měsícem +1

    Hongereni sana timu ya wananchi, mmepambana kadiri ya kiwango chenu cha juu sana lkn mmekatiliwa ushindi wenu na teknolojia inayomilikiwa na wanaoamua nani ashinde, but one day yes!

  • @user-md4wq6lg7d
    @user-md4wq6lg7d Před měsícem

    Tunashukuru kwa kupambana wachezaji wetu sio kinyonge🇹🇿💚💛

  • @shukranyally9766
    @shukranyally9766 Před měsícem +8

    Yangaaaa mbele njooeni tujipooze na LIGI

  • @rahmangurupi2917
    @rahmangurupi2917 Před měsícem +1

    yanga mpira upo wamecheza vizuri japo wametunyima ushindi kikubwa tunawaombea wachezajijiwetu wasikate tamaa waendelee kutupa furaha tunawapenda sana ilove yanga love tanzania

  • @imanikubwa2896
    @imanikubwa2896 Před měsícem +1

    Mungu alisikia maombi yetu,illa hila ya kibinadammu imetumika mpaka aibuu
    Kumbe Yanga ni Kubwa kiasi hiki ! Asante Mungu,naamini mwakani tutavuka hatua hii. Ushauri kwa Rais,bakisheni Wachezaji wazuri,halafu ongezeni washambuliaji,hatuna. Mungu awabariki Wachezaji,, Viongozi na bench la ufundi na mashabiki wote

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 Před měsícem

    Wanaume wa soccer Africa. Hapa tuongeze nguvu ya pesa tu. Mamelodi waovyo sana kwa Yanga.

  • @kebbyfx
    @kebbyfx Před měsícem

    Yanga sisi wananchi hatuwadai mmetupa heshima sana

  • @janethmbutwa7893
    @janethmbutwa7893 Před měsícem

    Yanga mbele nyuma mwiko

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 Před měsícem +2

    Hongereni Sana wachezaji wetu tumeona kila kitu hatutakiwi kukata tamaa daima mbele nyuma mwiko.

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 Před měsícem

    Daima mbele nyuma mwikoo ingawa refa alihongwa

  • @DannyMasuka-ut4oq
    @DannyMasuka-ut4oq Před měsícem +2

    Hatuna deni nanyie mungu yupo hakika ipo siku yetu

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Před měsícem

    Mumepambana sana makamanda wetu

  • @ClamOthuman
    @ClamOthuman Před měsícem

    Dah wametuonea sna yaan dah

  • @user-sx3xf8cd4i
    @user-sx3xf8cd4i Před měsícem

    Ya mungu ni mengii

  • @user-rc8sv9dg2l
    @user-rc8sv9dg2l Před měsícem +1

    Daima Mbele nyumq mwiko💛💚💙🖤💚ball imepigwa hakuna unyonge🎉🎉🎉🎉maua yenu chukueni.

  • @user-ih4hu8kw6b
    @user-ih4hu8kw6b Před měsícem +1

    Yanga msikate tamaa

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Před měsícem

    Yanga imefanyiwa hujuma

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi Před měsícem +2

    Much love from Ruangwa keep it up 💪💪💪

  • @user-jr1te1gu7g
    @user-jr1te1gu7g Před měsícem

    Huzuni.sana.pole.wanangu

  • @ngowitv2169
    @ngowitv2169 Před měsícem

    you guys made us proud as a nation, congratulation Wananchi

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Před měsícem +2

    Hongereni hatuwadai chochote,mmepambn saaan .walikuja na matokeo yaoo

  • @hosianawilliamson7396
    @hosianawilliamson7396 Před měsícem

    Mliupiga mwingi sana,siwadai

  • @adinasii
    @adinasii Před měsícem

    Mmejitaid san tena san mechi ilikuwa ngumu ila changmoto kwqmb mulijiamin munaweza kushnda kweny penalti aliakuwa hatuna wapigaji wqzur dah iki ndo kitu cha kujifunza ,nice game katka game ngum kwny hatua hii ilikuwa hii tungepewq vilaza wngne tungewqgonga sanaa❤❤

  • @zainabuhussein
    @zainabuhussein Před měsícem

    Yanga tunapaswa kujifunza jambo hatutakiw kuwa wanyonge kwa marefa hata ikitoka kadi saw tu ila wapambanie haki mwaka jan na USM Alger kwa mkapa goli la pili n off side wakatulia tu na wakakosa kombe na hapa pia goli la wazi tumenyimwa na wachezaj wametulia tu daah hii kitu imaumiza san jamn tuamke tulipolala ila mmepamban san hongeren san mungu awape umri mrefu 😢😢

  • @elizabethkweji7304
    @elizabethkweji7304 Před měsícem

    Mzize ajifunze kutulia na kutumia akili

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations Před měsícem

    Hongeren sana vijana wangu kwa kuipambania team yetu

  • @petromihayo8632
    @petromihayo8632 Před měsícem

    Congrats Team

  • @user-lb6hk3kp8r
    @user-lb6hk3kp8r Před měsícem

    Timu ipo co mchezaji,bila pakome,aucho na jex yanga fantastic we all never walk alone

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 Před měsícem

    MPO MIOYONI MWETU✊

  • @user-zf1kh1ct5i
    @user-zf1kh1ct5i Před měsícem

    This is the big club in Africa,, No body doubts about you young Africans top players,,, They robbed our right they stole our win but they now have much respect on us,,,, Gamond is very professional coach much appreciation on you

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz Před měsícem +2

    We altogether congrats you players you fought hard for the team

  • @Khalifaibrahim-oh7ti
    @Khalifaibrahim-oh7ti Před měsícem

    Wananchi daima mbele nyuma mwiko

  • @user-bj7th7wi5o
    @user-bj7th7wi5o Před měsícem

    Tumepambana Sana siyo kinyonge nawapenda wote

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 Před měsícem +2

    Hongereni wananchi mmepambana sana refa kaamua matoke ila wachezai wetu waache unyonge kwanini hawakumzonga mwamuzi aende kwenye var

  • @user-jr1te1gu7g
    @user-jr1te1gu7g Před měsícem

    Mkomvizuli.sana..wachezaji.wetu

  • @frankklugalamila
    @frankklugalamila Před měsícem +1

    Mm yanga nimewapa maua yenuu

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Před měsícem

    Na goli la wazi tumekataliwa lakini full vibe.Mungu bado anatupenda.

  • @GabrielSkyMtanzania
    @GabrielSkyMtanzania Před měsícem +1

    Aucho anawaonyeshea wenzake Lile Gori refa kakataa

  • @vicentchamtemo3016
    @vicentchamtemo3016 Před měsícem

    Na hatuwauzii Aziz Ki wetu🥵

  • @JohnJoel-ro7lc
    @JohnJoel-ro7lc Před měsícem

    Hongereen

  • @JuliethWiliam
    @JuliethWiliam Před měsícem

    Kwahili hii vr yanini Mungu awaalaani🎉❤❤❤❤

  • @AhmedAli-ve8ep
    @AhmedAli-ve8ep Před měsícem +2

    Kaka muda asnte kwa kuonesha uwezo nakukubali sna mdg wako kutoka jangombe Jiji la majeshi yani

  • @youcandoit1122
    @youcandoit1122 Před měsícem

    Jamani mtani kaibiwa kweupeeee dah

  • @Mteulehalisi
    @Mteulehalisi Před měsícem

    Nimeumia tena na nitaendelea kuumia daima

  • @abdurabihassan1188
    @abdurabihassan1188 Před měsícem

    I love you my team❤

  • @user-ir2qx1eb8z
    @user-ir2qx1eb8z Před měsícem

    Mmepambana sana hatuwadai chochote kabisa 🙏

  • @omaryamiri3175
    @omaryamiri3175 Před měsícem

    Tumepambana sana mabigwa zetu msife moyo tuko nanyie pamoja

  • @IBAD399
    @IBAD399 Před měsícem +10

    Wametunjima goli la wazi kabisa

    • @fbbhg9095
      @fbbhg9095 Před měsícem +1

      Wallah Tena,,inanuma adi sahii

    • @IBAD399
      @IBAD399 Před měsícem

      Wasenge

  • @ChamKingston
    @ChamKingston Před měsícem

    Poleni watani kwa dhulma mliyofanyiwa, inauma na inaboa sana kwa shirikisho kubwa la mpira Africa CAF kuhusika na kukataa goli la wazi kabisa, what was the VAR for then, If there are people with more power? corruption will never end..

  • @LameckMwahida
    @LameckMwahida Před měsícem +2

    Cyo mbaya Yuko vzur chama langu

  • @MoajGraphics
    @MoajGraphics Před měsícem

    Hii ndio Yanga ninayolipa ada kwa furaha 👏👏👏🔰🔰🔰

  • @CharlesSeleli-to2un
    @CharlesSeleli-to2un Před měsícem +1

    Jeshi LA wananchi hatuwadai kitu chochote Africa imeona dunia nzima imeshuhudia balaa mlilofanya hakika mmeacha alama S.Afria. We're always with you YELLOW AND GREEN NATION FOREVER

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 Před měsícem

      kwabalaha gan wakt mpira wamecheza wenzen na wamewatoa vile vile😂😂😂😂😂😂😂

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Před měsícem

      ​@@sunwizy608unaongea moyoni unajua hakuna ambaye ajaona

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 Před měsícem

    Alhamdulillah

  • @edmundphilemon3054
    @edmundphilemon3054 Před měsícem

    Mungu awabariki mfike salama

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 Před měsícem

    Siwapi hongera kwa kushindwa,,,nawapongeza kwa kushindwa kwa dhuluma,,,,wamenyimwa goli la wazi na yeyote dunia ya leo anayefahamu mpira kaliona goli lile,,,,sikujua VAR nayo ina dhulumu haki wakati mbunifu wa mfumo huo aliubuni ili kufanyika haki katika mpira na kurekebisha makosa yeyote yatakayoweza kufanywa na waamuzi

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 Před měsícem +1

    Hii saiv itabidi tuite musepe ligi na sio champion ligi. Wanawafosi mamelodi waingie nusu fainali wakati hawana uwezo. YANGA imeonesha dunia leo na nimefurahi kuona vyombo vingi vya habari vya ndani na nje ya nchi mpaka sasa wanakubaliana kama golli la azizi ki ni goli halali kabisa.

  • @solomonsigalah3277
    @solomonsigalah3277 Před měsícem

    Hengereni sana,,!! Bt Ni vema viongozi mkachukua hatua kwa mujibu wa kanun za mpira tusiishie uwanjani2!! Wachezaji tupo pamoja

  • @iddyjuma6043
    @iddyjuma6043 Před měsícem

    Marefa wanaenda na matokeo yao bhna

  • @SarahAlasiri
    @SarahAlasiri Před měsícem

    🎉🎉🎉🎉good job,mwaaaah I love you yangaa

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 Před měsícem

    Hongera sana mashujaa ahsante munguu

  • @timothnakiz-zb4rz
    @timothnakiz-zb4rz Před měsícem

    It's a good team

  • @EllyChifu
    @EllyChifu Před měsícem

    Bravo 👏👏👏 wananchi

  • @MwaminiAndason
    @MwaminiAndason Před měsícem

    Hongeleni sana bado tunawapenda