Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 05. 2024
  • Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
    Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.
  • Sport

Komentáře • 117

  • @CheckEngine47tz
    @CheckEngine47tz Před 29 dny +24

    Gonga like kama unapenda simba nguvu moja

  • @gerrardcharlesmonyo1331
    @gerrardcharlesmonyo1331 Před 29 dny +3

    Wa kwanza like zenu

  • @MatiasiBonfas
    @MatiasiBonfas Před 29 dny +5

    Mbn Hiyo Sheria imepitishwa Toka Mda Sana. Kwamba mpira ukivuka msitari Hauko Ndani ya nyavu Siyo golii

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 Před 29 dny +3

    Mie ni simba ila hili Goli Tabora wamenyimwa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Před 29 dny +1

    This is simba❤❤❤

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j Před 29 dny +1

    Yanga bana mishabiki mingine imekuwa na roho mbaya et papatu papatu so kila siku mungu akupe wew atawengine n watu zaidi yako

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 Před 28 dny

    simba nguvu moja ❤❤

  • @ShaibYussuf
    @ShaibYussuf Před 29 dny

    Simba❤❤

  • @KillastaMwampashe
    @KillastaMwampashe Před 29 dny +1

    💪💪💪🙏🙏 Edwin b

  • @CheckEngine47tz
    @CheckEngine47tz Před 29 dny +1

    Ila mpenja eti walikwenda bila gadi wakapewa bila idadi😂❤

  • @LightnessSubira
    @LightnessSubira Před 29 dny +1

    ♥️♥️♥️♥️

  • @HalfaniAmmda
    @HalfaniAmmda Před 28 dny +2

    Tunamsubr azam tunampiga 2

  • @ibrahimchiriku2797
    @ibrahimchiriku2797 Před 29 dny

    Tutarudi tukiwa bora zaidi simba nguvu moja

    • @abdallahmdiliko8088
      @abdallahmdiliko8088 Před 29 dny

      Ubingwa hata mwakani hatuchukui.. timu imejaa viongozi wote janja janja , usajili wanaleta wacezaji low quality wanamtegemea a. Ally awanadi.. wanajaza matubo yao pesa

  • @ChineZinhoh
    @ChineZinhoh Před 29 dny +1

    simba nguvu moja damu damu ❤❤❤❤❤🎉

  • @KASSIMHASSAN-mv4gn
    @KASSIMHASSAN-mv4gn Před 29 dny +1

    Kweli

  • @nassallybakar4346
    @nassallybakar4346 Před 29 dny

    Gool safi hil kiukweli tim zetu ndogo zinaonewa wanapocheza simb na yanga

  • @Jefu9947
    @Jefu9947 Před 29 dny +2

    Itajulikana mechi na Azam

  • @JosephPallangyo-fd9kq
    @JosephPallangyo-fd9kq Před 29 dny +2

    Sema tabora United wanabahati mbya daa Yan ni Kam vle vya ki azizi kule south🤣🤣

  • @user-zr8lq9lo8y
    @user-zr8lq9lo8y Před 29 dny

    Daah kweli bwana ni goli kweli

  • @user-rj3cd2lh8w
    @user-rj3cd2lh8w Před 28 dny +1

    Kukosa uzio kila siku marefa wangetolewa na machela uwanjani maana WAPUMBAVU, WAPUMBAVU, WAPIMBAVU

  • @CheckEngine47tz
    @CheckEngine47tz Před 29 dny +1

    Ila mpenja eti walikwenda bila gadi wakapewa bila idadi😂

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 Před 29 dny +1

    Dhuluma

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 Před 29 dny +2

    Mimi ni Simba tangu utotoni.. lakini Tabora wamenyimwa goli la wazi.. Simba wajitathmini .. wachezaji wa Simba hawapendi kujituma..!

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 Před 29 dny

    Justice for tabora united 😅😂

  • @PatrickMtui
    @PatrickMtui Před 29 dny +3

    Inonga kanuna kunyimwa kuuza timu leo 😅😅😅😅

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před 29 dny +1

    Huwezi ruhusu goli ambalo huna uhakika nalo

  • @user-gb2qr9bp2p
    @user-gb2qr9bp2p Před 29 dny +1

    Hahisi wakati goli linaingia refa alikua anaziweka sawa sodo alizovaa ili zisimdondoke na ndio maana hajaona goli

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Před 29 dny +1

    TIMU la MAKOLO yaani ni BOVU hamna kitu ni PAPATU PAPATU

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 Před 29 dny +1

    Mechi na azam inabidi safu ya ilinzi ipunguze makosa,laa sivyo tutaadhibiwa na azam

  • @user-dp9nw4jc4f
    @user-dp9nw4jc4f Před 29 dny

    Ila fred huyu dah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FranceKachende
    @FranceKachende Před 29 dny

    kweri kabisa

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 Před 29 dny

    Refa kenge kweli kweli.. na hana haya hata kidogo mamae

  • @Kichacani
    @Kichacani Před 28 dny +1

    That was a robbery

  • @raymond5175
    @raymond5175 Před 29 dny

    Hiyo ni marudio ya south

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila Před 29 dny

    Hiyo kajula ni mnafiki sana kwanza kuonyesha kama timu haipendi havaigi jezi ya simba mo anava yy natumashati aachie ngazi

  • @bakarihatibu4587
    @bakarihatibu4587 Před 29 dny

    Huyu fred michael analijua goli

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g Před 29 dny +1

    Tutashinda hata kwamukono

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Před 29 dny

      Sawa nape😂😂😂😂😂😂ila sio poa😂😂😂😂

  • @YulithaYoram
    @YulithaYoram Před 29 dny +1

    Mgunda mie namwamini San na baraka mpenja Safi san

  • @groovy5357
    @groovy5357 Před 29 dny

    Kwani simba mashabiki wameenda wapi

  • @user-cl1ut6oq1v
    @user-cl1ut6oq1v Před 29 dny

    Simba Hilo goli mtalipia2 waulizeni mamelodi wapo wapi sasa hv😢😢

  • @elishamwakihaba942
    @elishamwakihaba942 Před 29 dny

    Tabora wamenyimwa goli halali

  • @ramadhaninassoro4624
    @ramadhaninassoro4624 Před 29 dny

    Alichokifanya mwamuzi wa mchezo Ni kututonyesha tulipopona wapenzi wa yanga hili goli la Tabora United ni goli

  • @patrickimran2645
    @patrickimran2645 Před 29 dny

    Mwanangu irambona kakandwa na mme kisha kaibiwa na mkeee pole djumaaa ila mupo bien

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz Před 29 dny

    Marefaree wa Tanzania wengi wao hawajui chochote katka mpira leo ndio nimeamini

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa Před 29 dny

    Mwamuzi ni shabiki wa simba
    Lazima aisaidie timu yake.
    Hii mechi kwa haki ilikuwa draw ya 1-1

  • @Buysar_fx
    @Buysar_fx Před 29 dny

    Kwa kuzulumu 😂😂😂😂

  • @francewilliam1020
    @francewilliam1020 Před 28 dny

    Watangazaji wenyewe mazamwamwa umpira ukaenda nn unamumunya sema mpira umevuka gol line

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg

    Kolo mungu anawaona

  • @allyabdallah4641
    @allyabdallah4641 Před 27 dny

    Ww lefa ulochezesha imechi una ataaibu wachezaji wasimbabwana kugonga ww nini auulikua kwenye sikuzako

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 Před 29 dny

    Mechi chapwa japo mtangaza aji anajitahidi kuipamba

  • @user-jr1te1gu7g
    @user-jr1te1gu7g Před 29 dny

    Wamemyimwa.goli.hao
    Tabora

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 Před 29 dny +2

    Mm ni simba timu ya hovyo hovyo janja janja . Hakuna kikosi hapo usajili wa kuwashibisha kiongozi matumbo..

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 Před 29 dny

    Kwani wanagombea nafasi ya ngapi hawa au ni nafasi Ile Ile ya 3😂😂😂😂

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c Před 29 dny

    Kajula hajajiuzulu?mbona walikuwa wanamwonyesha km anaenda kuwaaga wachezaji?nauliza jmn

  • @yasintapantaleo295
    @yasintapantaleo295 Před 28 dny

    Azam watarudisha ilo goli

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 Před 29 dny

    Kennedy hakuna beki kabisa

  • @HamisMagambo-gw6ti
    @HamisMagambo-gw6ti Před 29 dny +1

    Kanyimwa yanga na mamerodi na asec memosa na esperensi sembuse hao Tabora

  • @user-qn9ip4bx2y
    @user-qn9ip4bx2y Před 28 dny

    im

  • @edumagobo4633
    @edumagobo4633 Před 29 dny

    Kidogo mgunda ila simb wafwa

  • @ZaiZai-hz1gb
    @ZaiZai-hz1gb Před 29 dny

    Ao ndo waamuzi wetu wao nachoangalia ni lushwashwa2 awajui kama wana alibu kalia yao

  • @ayoubmwamwaja
    @ayoubmwamwaja Před 29 dny

    Balaka mpenja mtangazajibwangu Bora wa mdawote😡😡

  • @user-kp9ig3uz9s
    @user-kp9ig3uz9s Před 29 dny +1

    Wajinga hao wanakumbuka shuka kumekucha?

  • @user-fq7hq5cw3i
    @user-fq7hq5cw3i Před 29 dny +1

    Simba mmebebwa

  • @emanuelkazungu7058
    @emanuelkazungu7058 Před 29 dny

    WAMEAMUA KUSHILIKIANA NA TFF ILI MADUNDUKAA WAPATE NAFASI YA PILI😊

  • @NuruSalumu-bv7re
    @NuruSalumu-bv7re Před 29 dny

    Mmm mmebebwa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Před 29 dny

    Ww utopolo tu

  • @godsonjoseph2593
    @godsonjoseph2593 Před 29 dny +1

    tatizo la waamuzi vibungo mnahongwa kiwaki ndomana hakuna maamuzi hata mmoja kutoka Tanzania anaechezeza michuano ya CAF,..unakataa goli halali linalogharim mchezo mzima,.mfano angelala Kati Simba wasingepata goli la pili sababu mda vijana wa Tabora wanadai haki Yao ndipo walipofungwa goli la pili,..
    Bora mshuke daraja tu na kwa dhurma hii Simba haichezi club bingwa mwakani,.twende tuone

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt Před 28 dny

    Fredi aondoke

  • @vivanyboy9743
    @vivanyboy9743 Před 29 dny +1

    mamae zenu mmeitafuta aibu mmeipata Kama mamelod

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 Před 29 dny

    Wote wanashuka Daraja😂😂

  • @JosephPallangyo-fd9kq
    @JosephPallangyo-fd9kq Před 29 dny

    Let's trust ours bhna @mgunda

  • @Wordsentertainment_TV
    @Wordsentertainment_TV Před 29 dny

    Simba vs YANGA
    czcams.com/video/ppaAh9cxjoU/video.htmlsi=4qkNiM0PoJ6AoAUH

  • @MariaSeverine
    @MariaSeverine Před 29 dny

    Uyu ayubu bonge la kipa yani angekuwa mainline angeanza kuskilizia inakuaje

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Před 29 dny

    Ndio hivihivi mtu hujiloga hahaha poleni tabora MUNGU yuko kwenu hizo zambi za refa

  • @CheckEngine47tz
    @CheckEngine47tz Před 29 dny

    Ila mpenja eti walikwenda bila gadi wakapewa bila idadi😂