Highlights | Tanzania 0-1 Burundi - Mechi ya Kirafiki 11/10/2020

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 10. 2020
  • TANZANIA VS BURUNDI - INTERNATIONAL FRIENDLY: Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imepoteza mchezo wake wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Burundi kwa kichapo cha bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo pekee ni Saidi Ntibazonkiza dakika ya 85. Tazama baadhi ya matukio makubwa kwenye mechi hiyo
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Sport

Komentáře • 292

  • @fabriceingabire8736
    @fabriceingabire8736 Před 3 lety +10

    Asante Mungu kwa ushindi wetu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏾

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc Před 3 lety +1

      Bujumbura 🔥🔥🔥🔥czcams.com/video/RN3Sb12ZS90/video.html

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 Před 3 lety +10

    Burundi 🇧🇮 yangu ba wachezaji wote oyeeeeeeeeee💪💪💪💪🥰😍🤩

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 Před 3 lety +7

    Mme nifulahisha jamaa zangu uwiiiiiiii Burundi 🇧🇮 ♥ ❤ 👌

  • @nurdinalhaji7139
    @nurdinalhaji7139 Před 3 lety +11

    Timu ya manara na wachezaji wake wamefungwa

  • @hasanimikeyo8893
    @hasanimikeyo8893 Před 3 lety +7

    Tanzania naona leo Instagram kumepoa bora ivo warundi wamewapa adabu

  • @zpii9317
    @zpii9317 Před 3 lety +6

    Too much congratulations to our swallows 🇧🇮🇧🇮 🇧🇮

  • @vanessak1272
    @vanessak1272 Před 3 lety +7

    NTAMBA.MURUGAMBA.NAWAPENDA.SAN🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @solemba595
    @solemba595 Před 3 lety +6

    Sisi tunaweza league ya ndani tu, na Siasa lkn kimataifa Tupo vzr kwenye magazeti

  • @sittakibishi5019
    @sittakibishi5019 Před 3 lety +2

    Hongereni lakn cjaona Tanzania imeonyesha wap uwezo yaan zirooo kabsa bas tu,☺️☺️☺️☺️

  • @hgfduiop7421
    @hgfduiop7421 Před 3 lety +9

    Burundi🏃💜💜💜

  • @cizapaterne2709
    @cizapaterne2709 Před 3 lety +5

    Kawaida 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 Před 3 lety +4

    Duuuh 😲😳 mimi cshangai kufungwa ila naulza huo uwanja ni kwamkapa,,,,,Mbona uwanja umekuwa mbovu hvyo jmn

  • @suleysuley6889
    @suleysuley6889 Před 3 lety +6

    Azam tv kuna vitu ambavyo hatuoni kama skills zilizopigwa za kifundi sana zipo wapi ? Ingekua tanzania mgerudilia mara 100

  • @bhokedavid8932
    @bhokedavid8932 Před 3 lety +10

    Mkude angekua mchezaji wa Yanga mhhh tungekoma maana Manara angesema mpaka baasi

  • @andrepapykarubi8781
    @andrepapykarubi8781 Před 3 lety +6

    Abahungu bacu bakinye neza cane. Burundi oyeeee

  • @johniekak8213
    @johniekak8213 Před 3 lety +6

    Good Job Burundi

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 Před 3 lety +4

    Siombaya nibora tumefungwa tujue hatujaiva bado, tutulie, timu ninzurii.

  • @dennisluben113
    @dennisluben113 Před 3 lety +3

    Bora hata ingecheza yanga na Burundi tungeshinda

  • @mamahusnasandnusraskitchen5992

    Burundi 💚💚💚💚👍

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Před 3 lety +1

    Timu ipo vizuri, ni bahati mbaya tu dk za mwisho mwamuzi kaharibu mchezo wa kirafiki kuwa karaha,
    Tumecheza vizuri sana, Burundi wameona,
    Tuendelee kutafuta mechi nyingi za kujipima.

  • @willymico8628
    @willymico8628 Před 3 lety +5

    Azam hv hamjui maana ya highlights au n mm sijui? Highlights mnarudia mechi nzm

  • @abdalahmohamedi1806
    @abdalahmohamedi1806 Před 3 lety +3

    Timu yetu ya Taifa ikicheza ugenini inacheza vzr kuliko ikiwa hom

  • @godfreydaniel6818
    @godfreydaniel6818 Před 3 lety +3

    Aaaaaaah wabongo bhana eti bora yanga na burundi

  • @pfranklyon1230
    @pfranklyon1230 Před 3 lety +5

    Tz Mmekula kicapo haahaaha Bujumbura oyeeee

  • @peninadevotabsnrn6030
    @peninadevotabsnrn6030 Před 3 lety +6

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc Před 3 lety

      Bujumbura 🔥🔥czcams.com/video/RN3Sb12ZS90/video.html

    • @blaiseirabaruta3644
      @blaiseirabaruta3644 Před 3 lety

      😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥🔥

  • @linajames2653
    @linajames2653 Před 3 lety +1

    Yaaani mnanikera sanaa

  • @alfredkalaba1614
    @alfredkalaba1614 Před 3 lety +1

    Yani Kapombe hata akibaki na Kipa yeye nikuliga krosi tu hawezi kufunga?

  • @hatibhatib5760
    @hatibhatib5760 Před 3 lety

    tz wamecheza vizur

  • @BYAUNDA
    @BYAUNDA Před 3 lety +2

    Refa noma sana mjinga kakataa penalty ya Burundi. Ndiomaana awaendelei sijui wanasoma masomo ya ahina gani.

  • @muhammadmahmoud1068
    @muhammadmahmoud1068 Před 3 lety +2

    Halafu sasa hawa burundi wamekuja na coach msaidizi tu+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @TheDinhoDesign
    @TheDinhoDesign Před 3 lety +4

    Mi naona mechi ilikuwa nzuri, sema tu haikuwa bahati yetu. Kingine wachezaji wengi hawakuwa na utimamu mzuri kwenye mchezo pia golikipa alishindwa kupanga mabeki wake kwenye kukumbusha majukumu. Zaidi inabidi timu ya taifa tucheze mechi nyingi wachezaji wamelala sana yaani kama hawajitumi baadhi.

    • @samuelgoodlight9294
      @samuelgoodlight9294 Před 3 lety

      Umeongea kitu sahihi sana vijana wamepambana na wamecheza vizuri ni utulivu wa mastreka ulikosekana..

    • @mussasaidy6256
      @mussasaidy6256 Před 3 lety

      Yes uko sawa ndugu

  • @KagameUfobagana1
    @KagameUfobagana1 Před 3 lety +4

    Tanzania should be playing against Kagere Meddy
    RW🇷🇼 VS TZ

    • @jayc575
      @jayc575 Před 3 lety

      Lauryn 😂😂😂

  • @dianeniyonsaba3477
    @dianeniyonsaba3477 Před 3 lety +6

    Burundi ayeeeeee

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc Před 3 lety

      Bujumbura 🔥🔥czcams.com/video/RN3Sb12ZS90/video.html

  • @sadiasadia737
    @sadiasadia737 Před 3 lety +3

    Burundi oyeeee oyeeee. Hmmm hamutaweza. Kelele tu za wa tanzania zilikua nyingi ndomana

  • @husseinhamisi9166
    @husseinhamisi9166 Před 3 lety +1

    Refa mungu anakuoona

  • @habibyusuf1755
    @habibyusuf1755 Před 3 lety +1

    Tz kwa mpiraa badoo sna

  • @mgduygucu
    @mgduygucu Před 3 lety +1

    Samatta reyiz kafa toplarında çok iyi, Ademi atamazsa Samatta atar o atamazsa Lemos atar o atamazsa Tisserand o da atamazsa Gökhan atar 💛💙 Maşallah takıma

  • @ngundachris7598
    @ngundachris7598 Před 3 lety +1

    Leta match yote bwana

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 Před 3 lety +2

    Hii ni stars au utopolo

  • @jayc575
    @jayc575 Před 3 lety +3

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪🏾

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 Před 3 lety +4

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc Před 3 lety +1

      Bujumbura 🔥🔥czcams.com/video/RN3Sb12ZS90/video.html

  • @augustinomakoye2396
    @augustinomakoye2396 Před 3 lety

    Simba inawachezaji was kitaifa au ni wakununua kutoka nje?

  • @abbasmuhunzi2232
    @abbasmuhunzi2232 Před 3 lety +2

    Inakuwaje mchezaji anaechezea nje na aliejipatia uzoefu mkubwa akachezeshwa dakika 5 tu. Mapigano Mwenye rekodi ya mechi tano za 2020 atawezaje kuwa na uzoefu kuliko Aishi ambae ni kipa bora wa mwaka mzima. Hakukuwa na sababu kumtoa nje Samata. Refa alikuwa anatafuta umaarufu duniani kwa kuuwa nchi yake kwa kumtoa nje Mkude.

  • @chemsaakimana19
    @chemsaakimana19 Před 3 lety +3

    💪💪💪🇧🇮

    • @kibibisafi3331
      @kibibisafi3331 Před 3 lety +1

      🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @amosmeshaki2164
    @amosmeshaki2164 Před 3 lety +1

    68mins I think it is a

  • @kennah03m
    @kennah03m Před 3 lety +5

    Mdomoo tuu na hamuna loloteee tz hamna lolotee

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 Před 3 lety +2

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 Před 3 lety +2

    Mabeki wa tz duuh! Mtakula 8 Tunisia

  • @mgduygucu
    @mgduygucu Před 3 lety +1

    Samatta reyiz için geldik 💛💙

  • @anoldmbarama985
    @anoldmbarama985 Před rokem

    Saido na mkude Leo wapo team moja

  • @zeemaya6800
    @zeemaya6800 Před 3 lety +1

    Huyu ndio kipa wetu aliyechukua namba ya manula eenh? Basi sawa

  • @gakeboranda3223
    @gakeboranda3223 Před 2 měsíci

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪

  • @mustafamohd1514
    @mustafamohd1514 Před 3 lety +1

    Haikuachi salama

  • @isangojambau1067
    @isangojambau1067 Před 3 lety +1

    Wachezaji wa taifa Star hawana uwezo binafsi wa kufikiri nakufanya maamuzi sahihi kazi yao kubwa ni kukariri nafasi walizo pata zote nne zilikuwa za ushindi lkn mwalimu aki supplement tutegemee wanafunzi wake wata discontinue

  • @sospeterkalinji736
    @sospeterkalinji736 Před 3 lety +3

    Apo ndo utaona kuwa wachezaji wa nje ndo wanabeba game za tanzania paxpo wao wachezaji wa tz hawwezi

  • @hamidriday2352
    @hamidriday2352 Před 3 lety +4

    Jazeni tu wachezaji wakigeni katika ligi na matokeo ya ya timu ya taifa yatazidi kua hivi,wapi chama na kagere???

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 Před 3 lety

      Chama na kagere siyo Wa watanzania hawawez kucheza timu ya Taifa

    • @hamidriday2352
      @hamidriday2352 Před 3 lety +1

      @@fatumachagudadui3138 Fatima naelewa sana medie in mrwanda na chama mzambia ile kitu nataka watanzania muelewe ni ligi yenu wageni ni wengi kuliko wale wa nyumbani na ikiwa hivyo timu ya taifa huwa maembe kama hiyo Taifa Star

    • @alexjohn8439
      @alexjohn8439 Před 3 lety

      Tanzania tutashka mkia2 revo zetu ni za vpl kwa kutegmea wachezaj wa kigen

    • @likemohd8957
      @likemohd8957 Před 3 lety

      We vp kwani chama na kagere ni wachezaji wa timu ya Tanzania usiwe mjinga ww

  • @ommynakata8967
    @ommynakata8967 Před 3 lety

    Nomasan

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx Před 3 lety +4

    Hamja rudia rudia kisa Tz imefungwa ila ingekuwa tz imefunga mgekera Na marudio Rudio

  • @harounramadhan2831
    @harounramadhan2831 Před 3 lety

    BIDHAA ZA VIUNGO NA MIFUPA
    Tuna bidhaa hii iitwayo
    ARTHROEXTRA TABLETS
    Hii
    -Huongeza uteute (synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa
    -Huondoa naumivu ya maungio kama nyonga,magoti na mgongo n.k
    -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage)
    -Huzuia kulika kwa mifupa na maungio
    -Huondoa tatizo la athritis
    -Huongeza Glucose amine na Chrondroitin kwenye maungio
    Pia kuna
    ZAMINOCAL PLUS CAPSULES
    Hii
    -Mchanganyo wa Zinc,Calcium, magnezium na amino acidi(protini)
    -Huboresha mifupa na meno
    -Husaidia mfupa uliovunjika kupona haraka
    -Husaidia sana mfumo wa fahamu
    -Huwafaa watoto wanaochagua chakula kula vizuri
    -Huongeza hamu ya kula
    -Huwafaa sana wamama wajawazito kwani husaidia kupata mtoto na misuli ya ikulu kurejea kwa wepesi baada ya kujifungua.
    Pia kuna GLUZOJOINT-F
    -Huzuia maumivu ya viungo
    -Huzuia kulika kwa maungio
    -Huzuia kulika na kusagana kwa maungio kwa kuzalisha gegedu mpya(artculate cartilage).
    Ushauri zaidi wasiliana nasi pia Whatsup
    +255712126669
    Simu kawaida 0683147077

  • @lazaroalbano1690
    @lazaroalbano1690 Před 3 lety +3

    Tanzania mpira hamna

  • @edwardmaumau9455
    @edwardmaumau9455 Před 3 lety

    Timu yangu iongeze bidii watanzania tunaipenda sana

  • @abisoluvanda2760
    @abisoluvanda2760 Před 3 lety +4

    Kilichoalibu uwanja nn?

  • @guydarcynibogora602
    @guydarcynibogora602 Před 3 lety +1

    Tanzania team plays well but u got no chance....

  • @amanimkambala6240
    @amanimkambala6240 Před 3 lety +2

    Kweli ccm mmetualibia uwanja

  • @amanimkambala6240
    @amanimkambala6240 Před 3 lety

    Kwel

  • @musamgulila577
    @musamgulila577 Před 3 lety +1

    Pitch ya uwanja imeharibiwa na kampen kbs

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 Před 3 lety +1

    Ooooooh My #TANZANIA🇹🇿🇹🇿😂😂😂

  • @njauson1538
    @njauson1538 Před 3 lety

    David kisu ni manula anae chezea azam

  • @gahimbaresaxon5445
    @gahimbaresaxon5445 Před 3 lety +6

    Hivi tanzania kuna team ya taifa ila mnatakiwa mkubaliane na Hali maana team ya Burundi sio lika lenu, Burundi oyeee

  • @ramadhanjuma1634
    @ramadhanjuma1634 Před 3 lety +4

    Bahati haikuwa yetu mpila vijana wamecheza

  • @BigDreamsWorldwide
    @BigDreamsWorldwide Před 3 lety

    Tanzania tulikuwa na ubora mzuri sana lkn tatizo ni pale ambapo kocha alitaka afanye sub tu bila sababu ya sub hizo

  • @kigalinziza2853
    @kigalinziza2853 Před 3 lety +1

    Kaleb Bonfils

  • @ericksonodhiambo9964
    @ericksonodhiambo9964 Před 3 lety +3

    Tanzania shida yenu nini hata wimbo wataifa hamna habari nalo dah,Mnaconcentrate sana kwa simba na yanga mnasahau asilimia kubwa ya hao wachezaji si watanzania mtanyooka raundi hii. Wasenge.

  • @amocmanasi7810
    @amocmanasi7810 Před 3 lety +2

    mbona hata maxhabiki wenyew hawajaenda kushabikia

  • @jumahamalla2117
    @jumahamalla2117 Před 3 lety

    Sio bhat yetu

  • @linajames2653
    @linajames2653 Před 3 lety +4

    Ila WaTz bahati haikuwa yetu,Ila mlicheza vizuri

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 Před 3 lety +1

    Mtangazaji ebu rudia tena like neno gumu ulilolisema baada ya saido kufunga goli....sako nyoka ya sako bako

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 Před 3 lety +3

    Burundi 1-0 Simba

  • @abbasmuhunzi2232
    @abbasmuhunzi2232 Před 3 lety

    Umefika wakati kocha wa Timu ya Taifa awe Mtanzania. Kocha hakuwa makini kupanga wachezaji.

  • @evamariadaudi5038
    @evamariadaudi5038 Před 3 lety +1

    Na huo uwanja Leo vepi mbona Kama hauko poa

  • @michaedominic8718
    @michaedominic8718 Před 3 lety

    Wabongo tupo vizuri
    2meshindaa kumbeee

  • @paulmrema3559
    @paulmrema3559 Před 3 lety +1

    Rozari Takatifu play.google.com/store/apps/details?id=com.tanzania.nyimbo_za_katoliki

  • @antondamian9677
    @antondamian9677 Před 3 lety +1

    Majamaa wana kanyaga sana

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 Před 3 lety +4

    Kumbe tumefungwa mbele ya waziri mkuu

  • @josephmafue3009
    @josephmafue3009 Před 3 lety +1

    Jaman mkapa unaona kilichotokea kwenye uwanja wako emungu ww pich amna tena

  • @sixnine969
    @sixnine969 Před 3 lety +2

    Tuletee mudasir yahya

  • @hassanichijumba7222
    @hassanichijumba7222 Před 3 lety +1

    Ntibazonkiza

  • @pnshsq3039
    @pnshsq3039 Před 3 lety +2

    Que pedo ahi no hay covid o por que estan todos aglomerados?

    • @nampa8937
      @nampa8937 Před 3 lety

      Wtf por qué hay otro hispano aquí

    • @pnshsq3039
      @pnshsq3039 Před 3 lety

      @@nampa8937 vi el partido en one football y dije como de “estara en CZcams”?

  • @semenivevo
    @semenivevo Před 3 lety +1

    Uyu Muamuzi vip uyuu

  • @wazirikipanga325
    @wazirikipanga325 Před 3 lety +3

    Wenye uwanja wao wameharibu wameweka uwaraza kibao

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 Před 3 lety +3

    Ntibazonkiza baba laoooooooo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mussasaidy6256
    @mussasaidy6256 Před 3 lety +2

    Vijana wamecheza mpira mzur kwani bahati hakuwa yetu watanzania tusichukie jamann😆😆😆😆😆

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 Před 3 lety +1

    Tz ni mapnz mpra tuacheni tu..

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 Před 3 lety +4

    Kwampira wa magazetini vikombe vyote vyenu

  • @husseinmakame8035
    @husseinmakame8035 Před 3 lety +2

    Watanzania tunataka twende wapi wakati nizamu empty,????Anaigharimu timu kwa upumbavu....

    • @abdulwahababdully3062
      @abdulwahababdully3062 Před 3 lety

      Ckubaliani nawe cz yale mambo hutokea cku zote na n majambo yakawaida ktk mchezo ulokuwa nje ya mchezo utaona kama n ujinga flan hv

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 Před 3 lety

      Kabla ya hapo mlikuwa mmefunga mangapi?

  • @mkamariamstaarabu4931
    @mkamariamstaarabu4931 Před 3 lety +2

    .

  • @kassimsadick25
    @kassimsadick25 Před 3 lety +1

    Sasa hawa magoli yoote hayo waliyokosa walitaka wapewe nini

  • @jimmydelphinsabukwigura3092

    Kuna Nini tz??? Kwanini hakuna watu kwenye uwanja?

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 Před 3 lety +1

    Mmmh! Hapo simwoni wa kufunga magoli hapo labda Sammata

  • @salumnassor9425
    @salumnassor9425 Před 3 lety +1

    problem of stars is finishing

    • @thomsonmduma7684
      @thomsonmduma7684 Před 3 lety

      Jaman mm nimeumia sana kufungwa na watu waliokuwa carantin sema hats refa amezingua sana na sijui tunafel wap maana mpirabtumecheza mwingi