KIPEPEO YAMFIKIA MAMA ALIYETELEKEZWA NA WATOTO 7

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 09. 2020
  • Ziada Mlomo ni mama mwenye watoto 7, ni mfanya biashara ndogo ndogo Manispaa ya Iringa.
    Kupitia Shirika lisilo la Kiserikali la Call Afrika watoto wake wawili mapacha wameweza kunufaika na mradi wa Lishe wa Kipepeo ambapo wahudumu wa Afya wa Shirika huwatembelea kwa ajili ya ufuatiliaji wa Lishe zao.
    Mama huyu Ziada anakabiliwa na changamoto kadhaa kwa Sasa ikiwemo Kodi ya nyumba, Ada kwa watoto wake, mavazi, pamoja na chakula.

Komentáře • 1