TUNATANGULIZA SAMAHANI KWA KUCHELEWESHA KUIWEKA MUVI HII "KUBWA KULIKO" PIA MASHABIKI ZETU WAPENDWA MSISAHAU KU SUBSCRIBE/ LIKE/SHARE&COMENTS CHANEL YETU. THANX FOR YOR SUPPORT 👏👏👏
Ndani ya Kubwa kuliko kabla sijaicheki nimeona ni comment kwanza ayse hongereni wana White's Film mnapambana kwa kutoa vitu adimu from funny real life... Heko sana
TUNATANGULIZA SAMAHANI KWA KUCHELEWESHA KUIWEKA MUVI HII "KUBWA KULIKO"
PIA MASHABIKI ZETU WAPENDWA MSISAHAU KU SUBSCRIBE/ LIKE/SHARE&COMENTS CHANEL YETU.
THANX FOR YOR SUPPORT 👏👏👏
Mmi wala Mn nawapend sana Sana nyie watatu mkojan tin and nagwa yani mambo bruu bruu haaapaaana hapana 😂 Aah weeh
@@emmymajula879 thanx
Mm nimshabiki kweliii
Mvumilivu kwa kila kitu,
Pambaneni ninawapenda sana
@@OSOONLINETV 👌 😍 😍
Mumetisha
Ambao hatuchoki kuitazam basi weka like kubwa hapo tuwe pamoja
Nawakubali Sana tin white na mkojan movie nzuri sana
Mmetisha sana wakuu kwa mwaka huu bongo movie mmeibeba mabegani 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanx for your compliment
Daaah kama ulikuwa unateseka kamaa mm kuisubiri KUBWA KULIKO weka like twenzetu mpk mwisho
Watching frm saudia movie nzuri sana mungu awape mafanikio zaidi inshallah
Ndani ya Kubwa kuliko kabla sijaicheki nimeona ni comment kwanza ayse hongereni wana White's Film mnapambana kwa kutoa vitu adimu from funny real life... Heko sana
Mimi ni William naishi Australia since day one napenda sana kazi zenu
Tulioikubal kubwa kuliko gonga like hapa 👌
Jamani kama ulikuwa unaisubili kwa hamu kama mimi gonga like
Niliisubr sana ila ndo ninaiona Leo
Heheh
@@joelteti4007 mm DA
Hawa watu wanahitaji support kubwa... wako vizuri sana...yaani kazi kama hizi raha hadi unasahau taabu za dunia
Yaani leo nimecheka na hii movie pale kwenye kula
Apa sasa nimekubal japo uliahid j2 ila syo mbaya kazi nzuri kw Tinwhite na washriki wengine Bonge la movie imekaa kizazi zaidi🙌🙌🙌
Kazi yenu iko Safi kabisa 🇰🇪
Daaaaah mkojan bwana ukichanganya tin white a cha tu ety msnhahara n six mouth😂😂😂😂😂💖💖💖
Napenda san movie ya mkojan na tin white ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Nipe likes kutoka kenya 🇰🇪
Imetulia na ipo kwenye kiwango Cha asilimia 💯
Noma sana hii kitu kubwa kuliko
Salute kwenu tin white mkojan mmetisha thank
Nawapenda mnatuokoa sana kutuwekea CZcams cc tulio nje ya nchi tunafili km vle tupo home tz
Tin white and mkojani ..fire sana ..watching fro Dubai plz part 2
Wacht from Qatar ilike this movie
Alie sikia mshahala ni six months😂😂 agonge like
Kweli ni kubwa kuliko saluti kwenu kaka
Wakumi na sita😍😍😍
safii sanaa
Jaman uy mkojani ana nikosha kwl😘😘😘😘😘😘😘😘
Safi sanaaaa
Chakufia nn naacha kazi kwakweliii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nampendag tin whitee mambo zakee tuu😂😂😂
Watch from chille good job
Nawapenda sana woooooooooote
Magid
Tin White ana expressions za mshangao kali balaa. Tujivunie vipaji vyetu 👏🏼👏🏼👏🏼
Kabisa yani noma sana mchizi
Oy
Katisha kinoma
Kabisaàaa
@@arafaali3738 .
waooo mkojani na tim white muko sawa mapenda move zenu yani hata kama hutaki kucheka utacheka tuu hahahahahaaaaaaaa
Jaman mm ni nanyota ya mbwa 🤣🤣🤣👀👀👀 like za white 🏠 tin ft mkojan from nagwa tunawafilimba cna 🤣🤣🤣
Kubwa kuliko
Mm pia napenda kuigiza San lakin sijuw kwakutokea jaman please help me
Duh watu mnajuwa kuwahi 🤦♀️🤦♀️💕🤣🤣
Aise
wrka mzgo mkojani bnh acha utani... part twooo
kazi Yenu ipo vizuri sana Tena sana
Laki6 mbona nyingi sana nipunguzie utaniua mim baba Sijazoea😂🤣
😂😂👍👍
😂😂😂
@@sadamissa5687 ucjl
Nawakubali sanaa
Nyota ya ubwa 😆😆🤣🤣😂😂
Nimeipenda movie
Hiii kweli nyota yambwa😀😀😀
Nalikua naisubiria iii move aiseee ahahahabbahahaba 😁😁😁😁😁
niliisubirii xana hii
Enjoying
Siraha ya rungo na makerere😁😁😁😁😁 jamani tin na kipupwe❤❤❤🇧🇮
Good work
Leo mm wamisho kuiangalia like yako peleka benki ukaiifadhi
Am not scared mbwaa ww😂😂😂😂😂😂😂😂
Tin white😀😀😀😀😆😆😆eeh bwana eeèeh anakuja😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌
babu yangu anaitwa kipepe😂🤣🤣
Yaaaan bonge LA surprise jmn
Kama umechelewa Kama mm Like hapa
Kama unaangalia movie uku unasoma comments pls iheshimu comment ya kwanza kwa ku like hapa
Always am with you guys naipenda kaz yenu we needs more than that.
Tin white unapewa pesa nyingi hasa ya kulinda unasema punguza 😅😅 sawa bhana
Safi sana nimeisubili kwa hamu sana kazi nzuri sana
Kubwa kuliko
Makelele Tu baba
Ni utaratibu wa kuletewa chakula labda au yule mpemba ana funguo 😆😆😆😆kubwa kuliko
Chakula niuhai bhna 😂😂😂😂
Nimeanza kucheka kabla hata yakutizama, acha niendelee
Nilisubir sanaaaa na waqubal sanaa
Weka part 2.. 😋😋
Mwanga ndiye anagonga
Mkojani napenda Sana move zako🌹🌹🌹
Nawapend sana nyie watu watatu Nna CD zenu Kama zote
I like this movie
Mkojani ni mwarabu mshahara wa laki sita 😅😅😅tini wey wakupunguziy hujazowey😅😅
Jamani tuendeleeni no 2
Kama kawa
Hatimae ile juma tatu imefika
Fantastic
More than comedy
Nawapend saan jaman nachek kam chiz
Boka nakubali sana maana mpaka nimemuita boka unatisha sana
Hehehe...kubwa kuliko...kz ipo
Wapi prt 2 wakubwa
Do yu wanti jobu yes i wanti this jobu take jobu i have jobu😂😂😂😂😂
soh
Hi mmejua kunifurahixha,,,,
Movies nzuri sana
Wa 48 like zangu tu
Namaste tin bwan
Hongereni jmn tamu km nanii😊
imeenda shule
Tin hanajua kuni vunja mbavu 😂😂😂😂😂😂
Tunatakapart 2 nakwenderea jmn
Mwalimu wa karet🤣🤣🤣🤣 zunde utakufwaaa
sema jaman muwe mnanyoa ndevu kidogo 😂😂😂
Kweli leo nimejua nina nyota ya mbwa😁😁😁😁
God is bless bigg up for big move 🙏🙏🙏 one day yes friends
I see 2day. It's good move
Mmetishaaa sanaa
Yani nilivyokuwa naisubil😆nyota ya mbwa😆😆😆😆😆😆
Mm
mungu azidi kuwafungulia njia
Ameen
Its good
Masufuria na wali😁😁😁
Mko juu kwa kweli
Duuuh nikuja kumpasua mtuna lungu mm 🤣🤣🤣
Aisee kubwa kuliko 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂yaani mecheka wallah tin wewe siyo mzima duh