Shamba Darasa 2024| Je FAIDA utaipataje Ufugaji wa Nguruwe?| Pata Ujuzi | Boresha Maisha|

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 02. 2024
  • Mulap farm tunafungua milango kwa Mara nyingine tena! Kufundisha na kuelimisha wafugaji wenzetu.

Komentáře • 18

  • @mulapfarm9664
    @mulapfarm9664  Před 4 měsíci +3

    Wanafamilia tutafurahi mnoo kuwaona kwenye Shamba. Tupigie au tuma message @Whattsap 😊

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 Před 3 měsíci +1

    elimu unayoitoa kwa kweli ni nzuri sana kwa sisi wafugaji tarajiwa. you just keep going to teach us as coming farmers.

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  Před 3 měsíci

      Tunashukuru kwa kutupa moyo tumepokea mkuu 🙏

  • @user-dn2su5mq3p
    @user-dn2su5mq3p Před 4 měsíci +1

    Elimu nzuri.. mimi nimeshajiunga nahitaji elimu Hii kama mfugaji.

  • @christinamuchunguzi9
    @christinamuchunguzi9 Před 3 měsíci

    namba za sm

  • @claudjohn
    @claudjohn Před 2 měsíci +1

    Mbegu chotara kwa nguruwe wa miezi miwili ni shingapo Kwa mmoja

  • @shambaujuzi7979
    @shambaujuzi7979 Před 19 dny

    czcams.com/video/h5ULiNDC-1w/video.html

  • @MoneyKey247-fk4oy
    @MoneyKey247-fk4oy Před 4 měsíci

    Vp naweza kupata shamba huko pwani nikaanzisha shamba namimi huko????

  • @tianarest
    @tianarest Před 4 měsíci +1

    Mmi nahitaj kibwagala dume

  • @user-gt8fl6ed7l
    @user-gt8fl6ed7l Před 4 měsíci

    Muda wa darasa

  • @flavianswai2195
    @flavianswai2195 Před 4 měsíci +1

    Nalipia chap nafasi isinipite

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  Před 4 měsíci

      Karibu sana ndugu. Nitumie message ya malipo