UNAAMBIWA HII NDIO SABABU YA KUITWA 'KIGOMA UJIJI'

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 05. 2019

Komentáře • 45

  • @bahatywasofia4155
    @bahatywasofia4155 Před 4 lety +3

    Tanzania Drc congo burundi Rwanda tuache kupelekeshwa na nabeberu wazungu sote niwa moja ni ndugu hii tabiya yakuhita wazungu wa tali na ndugu zenu wa mihaji aramu ndugu zangu tuziache mana Ndo vyanzo vya vita africa kwote Asante

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 Před 3 lety

      kabisa Kaka mimi nimekuelewa sisi ni wafrica halisi bilakupinga huyu mzee anaongea vizuri tuache ni ubaguzi oooh wewe Mcongo, oooh manzanita, oooh mrundi apana tuilinde Amani yetu umoja wetu mungu uibariki Africa

  • @mussabendera1751
    @mussabendera1751 Před 2 lety +4

    Hebu jamaa ajaribu kuzungumza kiswahil fasaha kwenye R naweka L kwenye L anaweka R, millad ayo kiswahili ni lugha yetu mwandishi anapaswa kuwa fasaha ili atangaze lugha yetu kwa ufasaha kimataifa

  • @AsumaniYohana
    @AsumaniYohana Před 9 měsíci

    Mzee mungu akumbariki sana.sisi ni wajukuu wenu.tunafurahi tukisikia historia ya kwetu❤❤❤

  • @jacksaid
    @jacksaid Před 5 lety +7

    Kigoma ni kijiji cha sisi wa Congo, Africa ilikuwa moja kabla ya wakoloni, wa Tanzania, wa Congo, wa Rundi sote ni ndugu,

  • @Ajivrajloveahlulbayt
    @Ajivrajloveahlulbayt Před rokem +2

    mm muhindi mtanzania lakini .sis tulikuwa tunaishi kigoma .Mzee wangu babu wangu wote wamezaliwa kigoma . ma babu zao ndo walitokw India . kigoma na miss Sana nataka nirudi pale nikatembee ..tunaishi pale karibu na relini

  • @mmungalubunga4404
    @mmungalubunga4404 Před 4 lety +2

    Mzee ajuwi historia sana

  • @ngomafrancis4618
    @ngomafrancis4618 Před 4 lety +2

    Mzehe uyu mwongo ajuwi story anadanganya.

  • @humudisalum2753
    @humudisalum2753 Před 4 lety +4

    Pale kidahwe maskan kwengu

  • @mrholela7906
    @mrholela7906 Před 5 lety +7

    Kigoma ndo nyumbani

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 Před 4 lety +2

    mzee mwenyewe mnamuhoji hajuwi chochote hapo baba yangu angekuwa hayi ndo angetowa stor nzur mana alikuwa anajuwa stor yote. waha walikuja nyuma wamanyema ndio wenye asili yao wa likuwa wa kwanza kuweka zizi lao waha ndo wakafata badaye ? baba yetu alitupa stor yote ya kigoma !

  • @jumakubobela7474
    @jumakubobela7474 Před 5 lety +1

    Duuh! Nihatari.

  • @EnockiHoja-ic3rq
    @EnockiHoja-ic3rq Před 9 měsíci

    Bembe. Kigoma to the would

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 Před 4 lety +3

    mwenyeji mzee sio muha mbembe. ndio wa kwanza kuweka makazi kigoma. muha kaja badaye. sema mbembe alitembeya. muha hakutembeya alibaki hapo hapo kigoma na ndomana. watu wana faham kigoma ni y’a waha sio kwel 🤣

    • @gracekagoma3231
      @gracekagoma3231 Před 2 lety

      Rudi Kongo

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 Před 2 lety

      @@gracekagoma3231 chizi mkubwa , bugoi ujiji ndo nyumbani , chimbuko la wazazi wangu, histor yote nayo mzee anabahatisha kuongea

  • @gustavianmacha7523
    @gustavianmacha7523 Před rokem +1

    kutombanavideo

  • @user-gq1qd5cg1t
    @user-gq1qd5cg1t Před 11 měsíci

    Kigoma ya burundi

  • @ahimidiwejohn586
    @ahimidiwejohn586 Před 4 lety

    nakubl aly by bodaa wa kwa belaa

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 Před 4 lety +2

    huyo mzee. mnaye muhoji hajuwi chochote. anaonekana ni mgeni wa kigoma. sio mwenye ji huyo ! wa zazi wetu walitupa stot yote. ya asili mwenyeji wa kwanza ni wa manyema muha kaja nyuma kutoka burundi. wazungu waliwauliza . wazungu waliwahoji nyie wenyeji wa wapi wakajibu ss ni wahanyene ndo kuyitwa waha ? lakini leo wana kwambiya kigoma ndo yao sikwel histor kamili tunayo mbebe ndo alinza kuyingiya kigoma. wakatoka kwenda nchi zigine muha akabaki hapo hapo na ndomana anajingamba. ni mtu wa kigoma ? japo mimi. sipo mbembe. najuwa stor yote 🤣🤣

    • @Planibtv
      @Planibtv Před 4 lety

      Huyu mzee anatoa historia ya jina sio waha walitokana na Nini

    • @uwimanauwimana7303
      @uwimanauwimana7303 Před 4 lety +1

      Musa Samwel waha ni wa Rundi ndo asili yao

  • @bizomenyimanaelias5455

    Ukisikia kigoma inamabisha Burundi

  • @ramaabuu7625
    @ramaabuu7625 Před 3 lety

    Mzee sasa hivi anamika 100

  • @zuwenaamour7381
    @zuwenaamour7381 Před 5 lety +3

    Huyu mzee hajui chochote kuhusu ujiji

    • @jakayamati3510
      @jakayamati3510 Před 4 lety

      Ww ndio unajua Dada au cyo

    • @aminamodi8927
      @aminamodi8927 Před 4 lety

      Basi kama hajui aelekezwe au aambiwe ukweli ukinyamaza ukweli hautojulikana
      tutabaki kulaumu tuu

  • @troubleboy2590
    @troubleboy2590 Před 3 lety

    KIGOMA ya BURUNDI 🇧🇮 tu 🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 Před 3 lety

      Burundi ilikuwa Wilaya ya Deutsche East Africa (Azania) au Tanganyika territory. Hayo mengineyo ni promo tu.

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 Před 3 lety

    Watu wengi ni kutoka Congo ndio walio fika hapo majina ya Congo kama kabwe na kagoma ni majina ya kibwari na wabembe kutoka kivu Congo Mashariki na ujiji walio fika hapo ni Raia kutoka Congo

  • @abedkarenga6419
    @abedkarenga6419 Před 3 lety

    Navyofahamu mimi jina kigoma limetokana na Kabila la WAGOMA lililopo hapo Ujiji ambao ni wamanyema. Waha walikuwa wakisema "Tugende kwa bhaghoma" yaani twende kwa wagoma. Na ndio bakabadilika pakaitwa Kigoma

    • @farajakasikile8846
      @farajakasikile8846 Před 2 lety

      Acha uongo unajuwa wagoma wewe unadanganya pia

    • @gracekagoma3231
      @gracekagoma3231 Před 2 lety

      Si kweli rudi Kongo kwenye vurumai zenu.

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 Před rokem

      @@gracekagoma3231 mbona umekazana kila comment rudi Congo, wewe mwenyewe utakuwa mkimbizi ndio mnatabia ya kuutafuta uwenyeji kwa kuwabagua Wanyeji.

  • @111dudi
    @111dudi Před 5 lety +2

    Hii clip ni kuwapigie debe wakristo.wazungu wasingefika ujiji bila ya msaada wa waarabu na hasa waomani. Unazungumzia utumwa mbona huzingumzii ustaarabu wa waarabu na dini? Acheni upambe

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 Před 3 lety +1

    Uyu mzee ajuw history yenyewe