NAKUPENDA MWALIMU part 1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 08. 2023
  • #babajoan #comedy #school
  • Komedie

Komentáře • 401

  • @forcienelokoiluku
    @forcienelokoiluku Před 9 měsíci +37

    Wangapi wamekuja kukimbili comment kama mimi😂😂😂 gonga like

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi Před 9 měsíci +9

    Hahahahahaa dogo ww hata viwili utaweza kweli, ujue ile shughuli sio mchezo. Inatakiwa uwe fresh kwelikweli. Acha utani dogo.

  • @user-samweli
    @user-samweli Před 9 měsíci +12

    Huyu dada mna mzoom sana tako ana onekana ana mzigo kumbe hana kitu

  • @DaudiFrank-km4gv
    @DaudiFrank-km4gv Před 9 měsíci +11

    Jamani mwalimu mzuri hata mimi ningetongoza.

  • @user-gs2cr9ps1h
    @user-gs2cr9ps1h Před 9 měsíci +22

    Mwalimu namimi nimekupenda❤😂

  • @lailandambile3706
    @lailandambile3706 Před 9 měsíci +14

    Imenifanya nije uku nifatilie kisa mwanafunzi kasha kula mzigo uo😂😂 kimeumana

  • @kelvinrichard2240
    @kelvinrichard2240 Před 9 měsíci +10

    Madam ulivyogeuka hata mm nimeamin huko nyuma upo mashalaaah 😂😂😂

    • @user-vz4xj2ci2w
      @user-vz4xj2ci2w Před 9 měsíci +1

      hili jina halijawahi kuwa na m2 fala leo nmeamini kwahiyo mwamba we umeona nyuma tuu🤣🤣🤣

    • @kelvinrichard2240
      @kelvinrichard2240 Před 8 měsíci

      @@user-vz4xj2ci2w 😂😂😂 penye ukweli lazima tuseme

  • @johnhosea9199
    @johnhosea9199 Před 9 měsíci +3

    Mwalimu anavaa nguo za kulalia unadhani kwa nini asitongozwe.. mwanafunxi Yuko sahihi

  • @user-mu4hk9tu1n
    @user-mu4hk9tu1n Před 9 měsíci +6

    Zlioelewa kwamba ameweka daftr,,kweny makalio😂😂😂,,naomba like apa😂😂

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 Před 9 měsíci +9

    Au unasemajee mwalimu anatulibia gepu😂😂😂😂😂

  • @user-id7qx8yz8e
    @user-id7qx8yz8e Před 5 měsíci +2

    Mm sengi lakin sio mwanafunzi🎉❤
    ❤🎉

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh Před 9 měsíci +4

    Jamani story nzuri kabisa sehemu yakufata juu njoo vijana WA Siku izi ahoooo❤❤❤❤

  • @aidanusmulashan8405
    @aidanusmulashan8405 Před 9 měsíci +11

    Mjuni sio Azizi Ki kweli😂

  • @proffesionalshublimited
    @proffesionalshublimited Před 9 měsíci +6

    Kazi nzuri sana 🎉

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara Před 5 měsíci +2

    Eti mwenzenu napendwa umenikumbusha mbali😂,walimu wanafiki kweli😂

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 Před 9 měsíci +12

    Haya ndo mazara ya kuvuta bangi ukiwa na mimba 😂😂😂

  • @user-ky9le7dl6z
    @user-ky9le7dl6z Před 9 měsíci +7

    Rakin mwalim kwer kajazia duu 😋

  • @JeremiaSanka
    @JeremiaSanka Před 9 měsíci +5

    Mwalimu umkubalie huyo dogo kafa kaoza😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @4figure940
    @4figure940 Před 9 měsíci +4

    Kwa ninavyoiona huyu mwanafunz atapata mzigo soon

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Před 9 měsíci +11

    Hii imeenda🔥🔥🔥

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 Před 9 měsíci +7

    😆😆😆kazi nzuri baba Joan

  • @giant1779
    @giant1779 Před 9 měsíci +3

    Dogo yupo kama enzi zangu za kutongoza ticha wa English na nikapiga kitumbua nje ndani.

  • @user-is4hj1mq9e
    @user-is4hj1mq9e Před 9 měsíci +3

    Sana dogo wewe bonge la jasili nice😅😅😅😅😅

  • @user-dl3qc4gn4w
    @user-dl3qc4gn4w Před 9 měsíci +6

    Kwakweli mwalimu ujiongeze sihivo hapasomeki darasani unapotupa mgongo😂😂😂

  • @user-uf2nw9cm2t
    @user-uf2nw9cm2t Před 9 měsíci +4

    Jamaica hii shul iko wapi nij nijiung lasita ''B''

  • @aventasiimwe6659
    @aventasiimwe6659 Před měsícem

    I am a teacher in Uganda, and I like the way Mwalimu Mgeni punishes and advises. No kid will fail to respect such a mwalimu. Love from Uganda

  • @IsayaMadebe-qz8tf
    @IsayaMadebe-qz8tf Před měsícem

    Kazi nzuri sana kijana mammalian madam aeleweke

  • @eliamkonda5162
    @eliamkonda5162 Před 9 měsíci +2

    hapo mwisho mlipo toa mfano madame amkubalie aombe mahitaji ,mala dogo paaap anazama mfukoni anataoa laki 5 sio 3 tena mngefanyaje 😅😅😅😅 ,ila mashuleni wanatunzi wanaumiaga na walimu kaaa

  • @user-fr1tv3xk8d
    @user-fr1tv3xk8d Před 4 měsíci +2

    Kumpenda mwalimu sio kosa maana wanatia vishawish mamadamu na ni watamu kweli mtoto unakuwa unamfundisha uku amedindisha mficha uch hazai by minu

  • @MasioRizzy-fm5nt
    @MasioRizzy-fm5nt Před 9 měsíci +3

    I like the boy kwa kusema ukweli ulio kua unamsumbua 🤣🤣

  • @user-wk6hj4vv6e
    @user-wk6hj4vv6e Před 6 měsíci +1

    Iyo nzur jaman tunaipataje iyo muvi

  • @mumulito8218
    @mumulito8218 Před 9 měsíci +2

    Sema walimu wa kiume jau kweli sijui wanamtakawao mwalim alikua kasha kubali

  • @user-ei3ic6vr5l
    @user-ei3ic6vr5l Před 9 měsíci +3

    Daaaaah hakika hashimu bangi zimemtawala

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 Před 9 měsíci +7

    Mtoto kaona muzingo 😂😂😂😂😂😂

  • @muhamedimdoe
    @muhamedimdoe Před 9 měsíci +1

    Lini sasa jamani inatoka maana daaaaah ni mzuri kinyama xijui kama dogo atakubaliwa na madam

  • @charokatana795
    @charokatana795 Před 7 měsíci +1

    Walimupigia thambi Mwalimu mwenyewe analipa

  • @SaamBady-up7hu
    @SaamBady-up7hu Před 9 měsíci +2

    Mwalimu namm nakupenda sikwamzigo uwo

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 Před 9 měsíci +2

    Huyo mwanafunzi Yuko sawa kwanini huyo madam avae nguo za kutamanisha? Jamani angalien huko nyuma lawama za kutosha angekua madam kweli Hilo vazi haliko sawa kulivaa wakati abafundisha wanafunzi wa form two

  • @LumulikoNjiwa
    @LumulikoNjiwa Před 9 měsíci +4

    Uko nyuma mashallaa

  • @kasaineemmanuelsomoire7505
    @kasaineemmanuelsomoire7505 Před 9 měsíci +4

    Napenda sana hii movie naangalia mara kumi kwa saa moja, nmekosa part 2 aki

  • @user-jg7ww7cq5j
    @user-jg7ww7cq5j Před 9 měsíci +1

    Imenibidi nikuje uku nijue kijana atapewa ama uyo mwana ume kweli daa

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 Před 9 měsíci +8

    hii imeenda 😂

  • @RonaldoAzalia
    @RonaldoAzalia Před 7 hodinami

    dogo kamaumependa kweli pambania hakiyako kamaunaona ukovizuli 😂😂😂😂

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 Před 9 měsíci +3

    Ukipendwa pendeka mwalimu karibu uku kanairo

  • @user-kx9jo7fx3t
    @user-kx9jo7fx3t Před 9 měsíci +2

    Madam ana tako kubwa kijana akiliona linamumaliza madam mpe shoo mwanafunzi wako

  • @user-wp2oj2tj5x
    @user-wp2oj2tj5x Před 16 dny

    Safi lazima isia zieshimiwe kasema kweli dogo na ticha kuzieshimu isia za dogo uwo ni upendo wa zati ticha mkubalie tangu ukuwe uliwai kutongozwa au kutongoza mbele ya umati

  • @tomke5953
    @tomke5953 Před 9 měsíci +4

    Amebeba mutulinga😂😂😂

  • @allanodongo1963
    @allanodongo1963 Před 9 měsíci +1

    Uko sure huyo kijana atamwacha madam,ata iwe viboko ngani sidhani🤣🤣🤣

  • @MajapeHimself
    @MajapeHimself Před 9 měsíci +2

    Ata mm mwalmu nimempenda check nyuma

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Před 9 měsíci +5

    mwalim kabeba sihaba😂😂😂

  • @saidshatta827
    @saidshatta827 Před 10 dny +1

    Mm napenda kutongozaa walimu sanaaa

  • @deetz255
    @deetz255 Před 9 měsíci +59

    Imenileta tik tok nijue jamaa alipata mzigoo😂

  • @FahmikhamisHassan
    @FahmikhamisHassan Před 9 měsíci +2

    Kwan mwanafunz hawezi kumpenda mwalimu wake

  • @AbelNzirlu
    @AbelNzirlu Před 9 měsíci +3

    Mwalimu nimependa matako pie mashalaa❤❤❤😊😊

  • @daviskyslate1826
    @daviskyslate1826 Před 2 měsíci

    😂😂😂😂eeeeh wakenya wenye mko hapa wapi likes za watanzania bana kazi safi hii

  • @finesamuel7918
    @finesamuel7918 Před 9 měsíci +2

    Huko nyuma mashaa Allah

  • @1I2B3n4u
    @1I2B3n4u Před 5 měsíci +1

    Hii mwalimu uko na mkalio mkubwa kabisa ❤

  • @user-pi5dg9ob2o
    @user-pi5dg9ob2o Před 9 měsíci +2

    Walimu wa siku hizi hawana maadili ndomana wanafunzi nao wanakuwa vigego si wote baadhi pia na walimu ni hivoivo

  • @hamingtonkiti1357
    @hamingtonkiti1357 Před 9 měsíci +8

    Mambo yangu ilikua haya hadi nikafukuzwa kuleta mzazi

    • @IdiJabiri
      @IdiJabiri Před 6 měsíci

      Sasa si kafunguka ukweli wake

  • @benjaminmsela-cb9wb
    @benjaminmsela-cb9wb Před 9 měsíci +2

    Mwalim nae alikua mzur mno

  • @user-hv4um1uu9x
    @user-hv4um1uu9x Před 9 měsíci +3

    Nimeona TikTok nataka nione mwendelezo

  • @FahadHaji-qr3zf
    @FahadHaji-qr3zf Před 7 měsíci +1

    Hata Mimi ninge mpenda madam

  • @RaphaelActif
    @RaphaelActif Před 7 dny

    Kazi kwanza tjrs ACTIF ORG team YOUNG BOYS MUSIC ❤

  • @VisaPastor-fq2bk
    @VisaPastor-fq2bk Před 9 měsíci +5

    Iimeenda kabsa dah

  • @user-mi5tz6xf2l
    @user-mi5tz6xf2l Před 9 měsíci +4

    Hahahaha inatisha sana

  • @menyekivuyo7540
    @menyekivuyo7540 Před 9 měsíci +5

    Madam we umebeba kweli❤❤

  • @officialkmoneyvevo3175
    @officialkmoneyvevo3175 Před 9 měsíci +1

    Uko nyuma kdgo mashallah😅

  • @yunusali231
    @yunusali231 Před 7 měsíci +2

    Wale tuliokua natabia kama hii yakutongoza walimu shuleni gonga likes hapa tukisonga

  • @adilcosmas
    @adilcosmas Před 9 měsíci +2

    😂😂😂 huko nyuma mashaallah

  • @ommybabz
    @ommybabz Před 9 měsíci +6

    Good idea 👍

  • @nduguyangucomedy
    @nduguyangucomedy Před 9 měsíci +7

    I like your content bto🎉😂😂😂❤

  • @user-fr1tv3xk8d
    @user-fr1tv3xk8d Před 4 měsíci +2

    Wanafunz nao wanamambo

  • @user-qo6iw2ci1q
    @user-qo6iw2ci1q Před 9 měsíci +1

    Sijamwona mtu yeyote ka penda mwalimu maajabu.

  • @ChimeraMangale-qs3qo
    @ChimeraMangale-qs3qo Před měsícem

    Usifiche linalo kuumiza bna,,, mm namuamin dogo kaongea yanayo muathiri moyo wake. lincha ya yeye hata mm pia ninge muambia kwan iko nn???

  • @askedntwari-pj2uw
    @askedntwari-pj2uw Před 9 měsíci +2

    Sasa ilo nijambo ndogo tuu😂 mapenzi hayajagui ikengua mwalim ndie alimtongoza ingekuaje nayey angechapwa ????😂😂

  • @user-le6ix5xp8b
    @user-le6ix5xp8b Před 8 měsíci +3

    😅❤aliesema ,love is blind,, hakukosea❤❤❤❤

  • @user-jl1ct8be4o
    @user-jl1ct8be4o Před 9 měsíci +1

    Mimi sio mwanafunzi

  • @josephswana7286
    @josephswana7286 Před 9 měsíci +9

    Mimi wakwanza ❤

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Před 9 měsíci +5

    😂😂😂😂Toa jibu Teacher 🤔
    Dogo uko vzr saana 🙏🏼

  • @Director___Mwadadu
    @Director___Mwadadu Před 26 dny

    Madam uko nyuma mashallah kweli😂❤❤❤😂😂

  • @farajiali6877
    @farajiali6877 Před měsícem

    Nampenda mwanafunzi mmoja apo

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Před 9 měsíci +1

    Weee madam umeuaaaaaa ninaa shida na.laki3

  • @kelvinorina3716
    @kelvinorina3716 Před 9 měsíci +9

    I love this

  • @corneliusmbakhila8512
    @corneliusmbakhila8512 Před 9 měsíci +4

    Very courageous

  • @MaulidiOmari-lm2ur
    @MaulidiOmari-lm2ur Před dnem

    ila mwalimu mwenyewe kakubali anaoneka tu

  • @SkillfulNgenje
    @SkillfulNgenje Před 7 dny +1

    Sogeeni damu zisiwarukie😂😂😂

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 Před 9 měsíci

    Hey hey sisi uku Kenya mchicha ndo ubuyu na ubuyu ndo mchicha mwalimu mwalimu acheni mwalimu akanyangwe

  • @kafwembajr.8785
    @kafwembajr.8785 Před 9 měsíci +2

    Mwl. Zacharia 😅

  • @user-bz4wq6rm2e
    @user-bz4wq6rm2e Před 9 měsíci +2

    Mnapendwa sana , from Rwanda

  • @comedian1503
    @comedian1503 Před 4 měsíci +1

    ninomaaaa mzeee baba

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v Před 2 dny

    Kaeleza hisia zake.Alhaqu yuqalu hadharani ikibidi

  • @SmonTangas
    @SmonTangas Před 8 měsíci

    Kafunguka dogo www mzigo watichahararii

  • @user-lb1vc2ds2u
    @user-lb1vc2ds2u Před 24 dny

    Mimi napenda uyo mwanafunzi ,,na unipe nambari za simu❤zake

  • @MaduaDeusi
    @MaduaDeusi Před měsícem

    Dogo yuk vzl kaamua aseme ukweer kulik aumilie moyon

  • @amosmwamkali
    @amosmwamkali Před 5 měsíci

    Niseme kama it's khalmos ARM KIPAJI umetisha sana apo

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 Před 8 měsíci

    Komed kuweni na maadili mjue wanaoangalia niwatu wa Sina zote

  • @JessieCandy
    @JessieCandy Před 6 hodinami

    Hii shule iko mtaa up nije

  • @user-fr1tv3xk8d
    @user-fr1tv3xk8d Před 4 měsíci +1

    Ukipata wanafunz watano kama hawa imeenda

  • @riverman8891
    @riverman8891 Před 8 měsíci +2

    Tiktok imenileta hapa😂😂

  • @djakangikoselectaakangiko
    @djakangikoselectaakangiko Před 9 měsíci +3

    Bravo!