Shekh nakupenda sana kiasi ambacho nahitaj kuwa mwanafunzi wako kwakuwa ukiishakumaliza tu na Mimi nakwenda kuwasimulia rafiki zangu ila wakwanza ni Mke Wang..IN SHAA ALLAH ipo siku ntakufuata
Mashaallah shekhe nampenda sana hakika mawaiza yake ni swadakta haswa na allah amjalie ampe uzima na umri mrefu aendelee kutupa vitu vitam na allah amzidishie upeo mkubwa wa kutoa mawaiza inshaallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@@hasanhaji8714Naam niliskia kma alipo fika mbingu ya inne izrail acukuwa roho yake. Alafu alifka peponi akaambia arudi nyuma akakataa ssa njo ilikua moja kwa moja kifo cake? Samahani kwa usumbufu 👏👏👏
Shekhee mungu akujalye mawadha mazuri Taafadhali.tunaomba utuweke kwenye flash hata mgeni akija kuliko kuangalia vitu vya ajabu ajabu unaweka hadithi kama hivi tujifnza na nifada kwa vizazi vyetu
shukran shekh nakupenda sana kwa ajili ya allah my brother
Mashaallah shekhe kuvuzi kwake anakufahamisha ,mawaidha mpaka ukaelewa ,,Allah akuhifadhi
Shekh nakupenda sana kiasi ambacho nahitaj kuwa mwanafunzi wako kwakuwa ukiishakumaliza tu na Mimi nakwenda kuwasimulia rafiki zangu ila wakwanza ni Mke Wang..IN SHAA ALLAH ipo siku ntakufuata
Fanya ivyo
Ma Sha Allah... Una fasaha Allah akuongezee Elimu zaidi tufaidi katka Elimu🙏🙏🙏
masha Allah Naomba majibu waziwazi
Mashallah shekh yupo vizur kwa mawaidha
Mwenyewezi mungu akujaaliye elimu na hekima zaidi ya hapo
Shekh masha allah unanifurahisha kweli ukitowa mawaidhaa
Masha Allah unatufafanuliyaga fresh
Maalim mungu akuweke kwa mawaidha yako mazuri
Maashallah tabaraqarahman wallah nakupenda kwa ajil ya Allah
mm Nataka pesa sikukataa kazi
Maa sha Allah kisa kizuri na nimejifundisha
Mashallah shukuran
MAA SHAA ALLAH.Jazza kAllahu khayri
MashAllah
Maashaa Allah sheikh Allah akubariki Sana
Masha Allah sheikh Authuman umechambua vizuri sana mungu akupe umry mwema Ameen yarab
Subhna Allah
Siwezi kutafautisha Sh Othman Michael na Sh. OTHMAN MAALIM, wanafanana vitu vingi.
Mashaallah sheikh
Mashaallah shekhe nampenda sana hakika mawaiza yake ni swadakta haswa na allah amjalie ampe uzima na umri mrefu aendelee kutupa vitu vitam na allah amzidishie upeo mkubwa wa kutoa mawaiza inshaallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh
Salallahu alaihi wasalam 💘
ahsante sheikh, othman
Walaikum salaam warahmatullah wabarakatuh
JazakaAllah lkheir sheikh Othman
Alhamdulilah tumefata faida
Jazaka Allah kheir
Kitisho sinitie kabisa unipe pesa aokataa
Shukran wajazaka llahu heri
Mashaaa Allah!!! Darsa na kiswa kizuri sana. Allah atupeleke na sisi peponi. Wivu ndio mapenzi. Allah akupeleke pepo firdaus Sheikh wetu.
Assalamaleyhi warahmatullahi
aslmlkm ustadhuwangu allahu akulipe kheri dunia na akhera
Sub han Allah wal hamdulillah wa laa ilaha ila allah Allah Akbar.
Manshallah sisiwot wazuri
Mashallah
Mmmh makubwa shekh
Maashaallah shukran kwa mawaidha allah akulipe kheri inshaallah
mashaallh. shukran.
Allah akuogoze
😍😍😍😍😍😍
Uwiii😁
nakupenda
Shekhe unanini lkn apo zoazoa🤣🤣🤣ila napenda sana mawaiza yko allah akupe umri mrefu tupate kuelimika
Assalam aleykum warahmatullahi
MashaaAllah
Assalam aleykum
Jmn ndgu Zang ktk Imani ni kwel nabii Idris aliacha kiatu peponi?
Na channel yangu musitumie
Mashaa Allah. Ssa NABII IDRISSA alienda peponi bila kufa?
Wwe mawaidha hukuyasikiliza vilivyo kutokana na swali lako rejea tena utaeleawa vizuri
@@hasanhaji8714Naam niliskia kma alipo fika mbingu ya inne izrail acukuwa roho yake. Alafu alifka peponi akaambia arudi nyuma akakataa ssa njo ilikua moja kwa moja kifo cake? Samahani kwa usumbufu 👏👏👏
Baada ya kufa alipelekwa peponi kiroho na sio kimwili, yupo mbingu ya 4 ila kiroho yupo peponi hta ktk safari ya Miraj Mtume (saw) aliwaona mitume wte ktk mbingu tafauti na yye alimtaja kuw yupo hpo. Ukiw mja mwema unastarehe peponi kiroho na kaburini kinabakia kiwiliwili na ukiwa mbaya against yke
@@hasanhaji8714 Barak'Allahu fiiQ
Tunaomba utupe kisa ca nabiyulah yusuf
Shekh nasikia kuna hadithi zinasema kuwa picha ni haram
Shekhee mungu akujalye mawadha mazuri Taafadhali.tunaomba utuweke kwenye flash hata mgeni akija kuliko kuangalia vitu vya ajabu ajabu unaweka hadithi kama hivi tujifnza na nifada kwa vizazi vyetu
Assalam aleykum
Kuanzia Leo mm siko katika kazi yako ujuwe huwezi kuniua Allah ndie auwae
Assalam aleykum
Aoniruhusu nifanye kazi namwengine