Mi nakumbuka nikiwa class 3/4, nilishikwa nikiiba miwa kwa shamba ya mtu nilipoenda kuchota maji mtoni. Mwenye shamba alituvamia from nowhere na panga mkononi , I knew I was dead. We were reported to my mother. Ile kiboko nikikula za mapera, wacha tu. Tukanyimwa chakula.
Hapo kwa US na story za Marder ni ukweli. There is a preacher mwenye alishikwa akapelekwa ndani juu aliconfess to a crime Ali commit long ago. Hawana mchezo hao!
Rapcha is the best thing that happened to Iko nini faithfuls💯
3:25 Ian: so you're use to "Jerk"(Jack) eeh?
Mwaaf: eeh
😂😂😂
Mwaaf umetupa mbao apo
Mi nakumbuka nikiwa class 3/4, nilishikwa nikiiba miwa kwa shamba ya mtu nilipoenda kuchota maji mtoni. Mwenye shamba alituvamia from nowhere na panga mkononi , I knew I was dead.
We were reported to my mother. Ile kiboko nikikula za mapera, wacha tu. Tukanyimwa chakula.
Rapcha, your friends are friending....lol😂😂😂❤
Rapcha 😂😂😂 madness
Aliweka chocolate kwa kinena noma sana😂😂😂
you guy rapcha na mwaf..we go way back you guy...funny guys hahaha
At this rate rapcha aandike ka-novel Jo 😂😂😂😂 wah
Hapo kwa crime ya usa kiwa na no limitations ni ukweli..saa hii mnaona vile Keefe D ako kwa investigation ya death ya 2pac tena
ati he fit the crime lol
Mutura ilipigwa drive by 😂
The scientist ukuwa legend..n mtrue bydha
MUNGAI 😅🤣😂🤣🤣
shoplifting🤣🤣
sweet crime😂
Rapcha you guy my guy😂😂😂😂😂 ati mguu ilidu wat
Hapo kwa US na story za Marder ni ukweli. There is a preacher mwenye alishikwa akapelekwa ndani juu aliconfess to a crime Ali commit long ago. Hawana mchezo hao!
😂😂😂. Let me google that
unfura haraka kama, tom & jerry
😂 Noma sana.
Rapcha my man, juu venye uwa unaleta hizi stories ni hilarious 😅.
Rapcha iko nini
Maybe alikua anaibia dem yake 😂
Haikosi dem wake alimdare akiiba mtura atashushiwa bendera 🤣🤣
Rapcha hutanimaliza you guy. Hahahahha
😂😂
🤣🤣🤣🤣
Mwaf nisiwahi amka nipate hamyuko..😅
Mazee💯. Big pod this one😂
What is ndeng'a
Gun
Thief 😂😂😂😂