NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI MSONDE AZUNGUMZA na MAAFISA ELIMU na WALIMU KAGERA...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 09. 2024
  • NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI MSONDE AZUNGUMZA na MAAFISA ELIMU na WALIMU KAGERA...
    Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Tamisemi) anayeshughulika na masuala ya elimu, Dkt. Charles Msonde amezungumza na maafisa elimu pamoja na walimu wa Halmashauri za Misenyi na Karagwe mkoani Kagera.
    Akizungumza kwa nyakati tofauti na walimu hao, Dkt Msonde amewasisitiza walimu kubadili desturi na mazoea ya ufundishaji na kubuni mbinu mpya za kufundishia ili kuleta ufaulu mzuri na zaidi kwa wanafunzi kimasomo, pia kuwa waadilifu katika nafasi zao za kazi pia kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja.
    Aidha amezitaja changamoto mbalimbali za walimu kuwa ni kupandishwa madaraja pamoja na vyeo kwa walimu baada ya kujiendeleza kielimu na kupewa haki zao kulingana na sheria baada ya kuhamishwa pamoja na likizo huku akisema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan itaendelea kuzitatua kwani ni serikali sikivu.
    Mwalimu Michael Ligola, Afisa Elimu Mkoa wa Kagera amesema wameweka mikakati mbalimbali ya kukuza elimu wilayani humo na mkoa kwa jumla ikiwemo kuongeza juhudi katika kufundisha somo la Kingereza hususani kwa wanafunzi wa darasa la tatu na kidato cha kwanza ili kuongeza ufanisi katika ufaulu.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře •