SAKATA NGORONGORO: MATIKO, PALESO NA NGONYANI WACHACHAMAA - "TUFANYE MAAMUZI MAGUMU"..

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • SAKATA NGORONGORO: MATIKO, PALESO NA NGONYANI WACHACHAMAA - "TUFANYE MAAMUZI MAGUMU"..
    Wabunge wameendelea kupamba moto wa kutaka mabadiriko ya Sheria ya hifadhi ya ngorongoro kutokana na idadi kubwa ya shughuri za binaadam kuongezeka tofauti na Sheria inavyoelekeza,
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Komentáře • 31

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před dnem

    🎉mbona cyooni point hapo hapo watu wameshaweka cha kwao mfukon.

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 Před 2 lety +1

    Hongera wabunge watetezi wa Ngorongoro. Wanaokataa vidonge saizi yao,wakimeza wakitema shauri yao.

  • @immanuelinvocavith1498

    Yaani Mungu anisamehe Sana sikilizagi Tena Bunge najisikia vibaya

    • @peterfania1005
      @peterfania1005 Před 2 lety

      Africa mnajivunia Nini kuwa na Mali halafu hupota bila maharifa Ngorongoro ni mbuga ya wanyama nasio wamasai hata Zanzibar wapo kwani niya wamasai ,watali Kuja kuona wamasai na watoto wamejazana shule hawaendi nikuchunga NGO,MBE za wakubwa waliokaa ktk kiyoyozi na matumbo Yao Hakuna Ngorongoro ya Masai niya watanzania wote Kula MTU aishi Kwa kufuata sheri ya nchi ,kila MTU afanye KAZI SIO kuombaomba

  • @edwardsademaki8431
    @edwardsademaki8431 Před 2 lety +3

    Watalii kutoka nje wanapenda kuona binadamu anavyoishi na wanyama sasa wakiondoka hai wamasai amuoni kuwa mtapunguza watalii kuja ngorongoro?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Před 2 lety

      Ngoja tuone

    • @peterfania1005
      @peterfania1005 Před 2 lety

      Watali wanataka kuona nature, wanyama Pori SIO watu wasio taka kwenda shule na kuonesha watali hawajui kuvaa chupi na nzi mdomoni wakati mifugo wamejanza kuliko wanyama Pori na vitambi vyao vinasukumana na Meza wamekaa katika kiyoyozi niwakat wamasai Kujua Kuna elimu ,ukajifunza chochote na kufanya KAZI ikakuingizia mapato nasio mda wawo kuowa watumwa WA kubwa na kuonyesha matako wazi

  • @gabrielbahat9107
    @gabrielbahat9107 Před 2 lety

    😊🙂🤗👍🏼

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 Před 2 lety +2

    Acheni kuuliza maswali ya kitoto eti wanyama wameenda wapi wakati munajua waarabu wamekuwa wanabeba wanyama KIA... chini ya chama chenu Ccm

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Před 2 lety +1

    Ni vigogo ndo wamiliki wa hao mifugo ,ushauli ttaifisheni kwanza halafu mtasikia wamiliki.

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 Před 2 lety

    Cha muhimu sio kuondoa watu bali ni kuhakikisha hakuna wakazi wageni kuongezeka, sababu kinachoipa sifa ngorongoro duniani ni kitendo cha binadamu kuishi na wanyama pori na ndicho kitu kilichoipa sifa ya urithi wa dunia...

  • @mikamollel4553
    @mikamollel4553 Před 2 lety

    Ccm wamekosa vituko wameona ngorogoro ndio imekuwa topic

  • @victormneney1475
    @victormneney1475 Před 2 lety

    Wapelekwe sehemu nyingine
    Was Waache uoto wa asili na creter katika hali ya kuvutia

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Před 2 lety

    Huyu mama anaharisha

  • @glorymarima5611
    @glorymarima5611 Před 2 lety

    Afu wanawake wanaongea hapo, utafikiri hawajazaa.
    Mwogopeni Mungu.

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 Před 2 lety

    Naombeni mnisaidie. Mbona Polepole amesema Gas sio yetu. Ina maana Kuna watu wameshauza Gas . Tuambieni watanzania kama hatuna gas imeshauzwa. Maana watu bado tunawaza Kuna Gas.

  • @user-cl6oe4xu9g
    @user-cl6oe4xu9g Před 8 měsíci

    Wakuma nyie wanawake

  • @josef_rodrick4981
    @josef_rodrick4981 Před 2 lety

    Wamasai walipovamia maeneo ya morogoro mbona hawakulalamika....wakingangania kila kubaki kwasababu ni kwao basi watoke morogoro warudi kwao..

  • @mikamollel4553
    @mikamollel4553 Před 2 lety

    Wew tetea ungali wako tembo wanapoteaje na walinz na asikari wko wanalinda nn

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Před 2 lety

    Viongozi ndiyo wanaua hao tembo

  • @paulodn5266
    @paulodn5266 Před 2 lety

    Acheni siasa kwl et wahame acha wakomeshwa afu tuone nani ataongea tn

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 Před 2 lety

    Swali la pili tuliambiwa Reli inajengwa nawa Korea. Sasa juzi juzi tumeona watu Wana sign mkataba na china rail company kuwa watatuletea mabehewa na ku take care Reli. Sasa Mambo yamebadilika tena yametudi Kwa wachina..? gesi tuu kampuni ya china ..na hii tena

  • @jumaabdala7530
    @jumaabdala7530 Před 2 lety

    Unalaumu chama changu CCM ww 😃😃😃😃unachamagani ulipo 😳😳😳😳Duu swala nikutoka wavamizi hawakupelekwa na CCM

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Před 2 lety

    Wabunge amkeni

    • @faharufaharu9147
      @faharufaharu9147 Před 2 lety

      Hebu nyie Wabunge uliza selekari wakati mtu anajenga gorofa watu wa Mari asili walikua wapi? Au mnataka kuwahamisha wamasai ili nyinyi Wabunge na selekari mpate uharari was kujenga hayo magorofa

    • @faharufaharu9147
      @faharufaharu9147 Před 2 lety

      Ushauli wangu toeni magorofa yenu, mifugo yenu iliyopandikizwa humo waacheni wamasai na wanyana kwenye makaazi yao mmasai akisoma atatafuta eneo lakujenga gorofa sehem ambayo si mbugani kwani mtalii akija anataka aone mnyama Anavyoishi na wanadam Kama bustan ya Aden acheni danganya Toto hapa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Před 2 lety

    Yaani taifisheni ,wabunge nyie mnanguvu n pia badilisheni sheria, msitishwe kabisa