Kila ninapo utazama huu wimbo CZcams lazima niandike ujumbe kiukweli nafarijika and always namkumbuka baba yangu kama nipo nae mpaka sasa . endelea kupumzika Kwa aman baba yangu..nani tupo pamoja 2024.june like zako
Dady and mom we mic you soo much... Tunamshukuru Mungu mlipata muda wa kutulea vzur ktk hekima na maarifa ya Neno la Mungu.... Mungu awapumzishe kwa aman ipitayo akili za kibinadam..... Tumewakumbuka sana.
Huu wimbo unanikumbusha kwenye harusi yangu 2017 mwezi Julai.Asanteni nyote mliofanikisha sherehe ile.Baba hukushiriki kwa sababu ya maradhi.Endelea kupumzika babangu
You will still in my heart.. always our life from God . rest in peace my father...my love mama I love you be blessing and I love you..I miss you soon I will be with you dodoma..
Asante sana kwa wimbo mzur MUNGU akutie ktka huduma yako. Nawashukuru sana wazaz wang kwa malez mazur kwang nawaombea kwa MUNGU muish miaka mingi AMINA ❤❤❤❤❤❤❤ sana home boy.
Wimbo mzuri kka, Mungu azidi kkuinua azidi kuinua kipaji chako azidi kuibariki kazi ya mikono yako Amina. Yan sijui uliwaza nni ukatoa mashair mazur hivi, ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
Nyie mliolelewa wazazi wenu tena woote wawili mshukuruni sana mungu kwan mungu alitusaidiwa hata tukalelewa na ndugu hivyo mapenzi ya wazazi tuliishia kuona kwa majilani

Always nakukumbuka Mzee wangu.. endelea kupumzika Kwa aman..
Dady and mom we mic you soo much... Tunamshukuru Mungu mlipata muda wa kutulea vzur ktk hekima na maarifa ya Neno la Mungu.... Mungu awapumzishe kwa aman ipitayo akili za kibinadam..... Tumewakumbuka sana.
2024 huu wimbo. Unanifanyia nimependa mama...... Love u mama...rip Baba anguu❤❤❤
Huu wimbo unanikumbusha kwenye harusi yangu 2017 mwezi Julai.Asanteni nyote mliofanikisha sherehe ile.Baba hukushiriki kwa sababu ya maradhi.Endelea kupumzika babangu
Wacha weeee
You will still in my heart.. always our life from God . rest in peace my father...my love mama I love you be blessing and I love you..I miss you soon I will be with you dodoma..
Naupenda Sana huu wimbo barikiwa mtumishi
Hongera kwa kuwashukuru wazazi mtumishi,ujumbe makini sana.
MUNGU aifikishe mbali huduma yako mbele zaid mtumishi, Simon Mwambije.
Kazi yako ni njema sana barikiwa sn Simon Mwambeje🎉🎉🎉
Usikate tamaa mzazi ipo siku utaimbiwa wimbo huu kwa huyo unaetaka kumkatia tamaa. Barikiwa.
Umenitoa machozi hu mwimbo, Mungu akubariki kazi yako njema
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana, Rip wazazi wangu baba na mama yangu
nyimbo nzuri Sana,,,, MUNGU Akubariki mtumishi,,,Karibu DODOMA
Asante sana wazazi wangu Kwa malezi Bora hasa ya kumjua Mungu 😢😢😢
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe uliotukuka.
Asante sana kwa wimbo mzur MUNGU akutie ktka huduma yako. Nawashukuru sana wazaz wang kwa malez mazur kwang nawaombea kwa MUNGU muish miaka mingi AMINA ❤❤❤❤❤❤❤ sana home boy.
Safi sana wimbo wako mzuri Mungu alibariki🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri sana nawapenda sana wazazi wangu❤❤❤
Mungu akubariki Kwa nyimbo nzuri na kipaji kizuri
keep going brother I like this song God blesse you,,,,one day naomba tuimbe sote
Gonga like za kutosha kama kweli unampenda mzazi wako na baba mleziiii
Mungu.ndie.muweza.wakila.jmb
Barikiwa sana mwambeje wana ipinda tunakukubari sana mtumishi songa mbele
Hongera sana kaka Kwa wimbo wenye ujumbe mzito Mungu aendelee kukutumia
So touching...it's quite reasonable be blessed man of God🙏
Asante sana wazazi kwa malezi mazuri mbarikiwe Sanaa
Nabarikiwa sana na wimbo huu, mungu akubariki sana
Mungu akubakiki sana kwakujua thamani ya wazazi
Mungu akubaliki huwa nabalikiwa sana nikisikia wimbo huu had najikuta nalia
Ubarikiwe mtumishi wa mungu mungu akujalie
wimbo wako wa baba na mama umenibariki sana naupenda mno, ubarikiwe sana
naipenda Sana hii nyimbo namkumbuka Sana baba yangu rest in piece dady forever love you papaa
Mungu akubariki sana mtumishi
Huku arumeru kila harus huu wimbo ni lazima upigwe
mtumishi adi machozi yamenitoka asanteni sana wazazi wg
Kiukweli wimbo ni mzuri sana
Yan huu wimbo unanikumbusha mama yang na baba yang coz mama yang anaupenda sana
Huu wimbo naupenda unanitoa machozi. Kati ya vitu vikubwa wazazi wangu wamefanya ni kunieleza habari za Yesu. Mungu awabariki
Mungu akuongezee Hekima kwa wimbo Bora kabisa
Karibu tena Tunduma,kanisa la House of Prayer (Huduma ya maombi na maombezi)kwa bishop Furaha Mwakabenga tumebarikiwa sana
Kwa sababu yenu wazazi ninaonekana mbele za Mungu ..mbarikiwe sana wazazi wangu nawapenda sana Mungu awalinde!!
Nawapenda wazazi wangu wote japo baba alinitoka kitambo mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi,mama nimekumic
Baba na mama nnawashukru pia
barikiwa sans wimbo mzur sana
Wimbo mzuri unatubariki Sana nawapenda wazazi wangu RIP dady
My dad and mum, asanteni sana kwa malezi,. May your soul rest in peace
Ubarikiwe mtumishi naupenda sana huu wimbo unanibarki sana. RIP. Mama angu mzuri nakupenda milele
Asante sana kwa Wimbo huu, umenitafakarisha sana. Mungu akubariki sana
Wimbo huu unagusa Sana moyo wangu barikiwa Sana iduguye Simon
Uko vizuri mkuu
Hongera sana mungu akubariki
Ubalikiwe sana na MUNGU yu pamoja na ww ktk kazi yako ya kueneza injili kwa njia za nyimbo
Waheshim baba na mama update nataka zao❤
Nasubir kuupiga wimbo huu ktk arus yangu
Pumzika kwa Amani Babaangu😢
Today 09.09.2021 am still listening this song i see happy & blessed forward forward man of GOD ⛪👏🙏🙏🙏🙏🤣🤣🤣
Simon, big up wimbo mzuri sana endelea kubarikiwa
Asante sana mama kwa malezi mazuri uliyonilea . Kwasababu yako naonekana mbele za watu.
Flora Kapange hongera sana mungu akuinue tena
Wimbo ulipiga siku ya harusi yangu tarehe 28 July 2014 pale ukumbi wa mkapa Mbeya hakika hongera sana mpendwa uliyeimba huu wimbo Mr Mwambeje
nabarikiwa sana Simon na nyimbo zako,hakika Mungu atakupa zaidi ya hapo
Nabarikiwa sana
be blessed mtumishi nyimbo nzuri mno
Barikiwa sana wimbo mzuri sana
kweli baba na mama mungu awabariki mzidi kuishi
Wimbo mzuri kka, Mungu azidi kkuinua azidi kuinua kipaji chako azidi kuibariki kazi ya mikono yako Amina. Yan sijui uliwaza nni ukatoa mashair mazur hivi, ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe Sana
Best song in Tanzania
Nice song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hatamim inanikumbusha halusi ya kaka angu
Nyie mliolelewa wazazi wenu tena woote wawili mshukuruni sana mungu kwan mungu alitusaidiwa hata tukalelewa na ndugu hivyo mapenzi ya wazazi tuliishia kuona kwa majilani
Mtumishi ni Jambo jema hapa duniani kishukuru wazazi kwa kukulea umenibariki Sana ubarikiwe Sana na mungu akulinde
Huu wimbo naupenda sana
sichoki kuusikiliza huu wimbo Mungu akubariki kaka Simon
2019 August 2
I am very much blessed man.
Wimbo Safi ingawa una mda kidogo !!!pga kazi ya mungu
Wimbo mzur mno na sauti nzur barikiwa
Well done, it is the best song.
WIMBO UMENIKUNA,MUNGU AKUBARIKI SANA.
Good job
I like this song
Unatufundisha jambo jema sana mwimbaji wewe ubarikiwe sana
my father and mother blessed where you are
Mungu akubariki San mtumishi wa Mungu🙏
Nice kaka kwa nyimbo nzuriii
Good I love mom and my dad so much I like this song
If you love this sove like
Parents are important than anything in the world they always bring happiness I love you Mom and Dad
Ubarikiwe sana kwa wimbo huu
Wimbo unaujumbe mzur kweli mungu akubariki sana
mungu asante
wimbo huu unabariki sana
Wimbo mzuri unatukumbusha kuwashukuru wazazi
Ameen
Mungu akuinue akupeleke viwango vingne
barikiwa sn mtumishi simon nazipenda sn nyimbo zko
Asante ubalikiwe san
Be blessed
Wimbo unaonifanya nimkumbuke marehemu baba yangu
Kanunu kaka umenye, fijo
ubarikiwe sana, kaka yangu , MUNGU azidi kukuinua .
hongera sana nimeipenda nyimbo yako
Wimbo mzur Barikiwa sana
Ubarikiwe Sana kaka...! nimebarikiwa Sana Na nyimbo hii I love my parent
Mungu akubariki Kaka daima..
Kaka keep going I'm praying for you wimbo ni nimeupenda