WELCOME SIMBA? NI MAKUSU MUNDELE WA HAJER/ ANAREKODI ZA KIBABE CAF...
Vložit
- čas přidán 22. 05. 2024
- #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
- Sport
Duh huyu ni babu kabsaaaa
Simba wasiletee wachezajji Wazee
Huyu mzee sana simba vp
Huyu ameshazeeka ndio tunamsajili
Simba n kichomi
Kumsajili Mndele Makusu ni sawa na kumsajili Okwi wa sasa. Hana tofauti na Saidoo. Kazeeka sana. Wamuulize Ibengee kabla ya kumsajili. Kuwa na mgogoro na uongzii ni kwasababu mchango wake ni mdogo sana. Hawezi kuwa mchezaji sahihi kwa Simba.
Pia lomalissa mtambala katoka logo kubwa Kama makusu
Kabisa kwa makusu kutua Simba ni vema
Makusu mda umeenda walete vijana
Kweli simba wameixhiw
Mh makusu mundelee ni kama ngomaaa Hana cha ziada katika sokaaaaa
Kwasimba yetuhii yenyeuwongozi huu siokweli inawezakumsajili mchezaji mwenyeuwezo mzuri
Jamani Simba angalieni kiwango chake kwanza. Acha kusajili majina eti alikuwa mahili. Hiyo ni zamani. Msirudie makosa
Yaani mcmu ujao Simba ni sawa na Abdallah kumwita Dullah au Mohamed kumwita Moo hawana jipya kabsaaa
Nd. MO. kama una taka simba ive safi huyu Umondowe Chama. Simba itakuwa mzuri. Na sema ukweli huyu chama Ana taka awe mbabe kunye clabu. aondoke.
Simba sc A.kA kituo cha kulelea wazee ipo siku mtamleta na Okwi
Nyie Simba mnazinguwa mnasajili majina na wazee😢😢
Sasa kama Nd.MO. AKISAJILI yeye.na akisimameya Nd.MO. mwenyewe basi nakuambeya Hawo waleio kwa wanao piga pessa za usajili. Wata ondoka wanyewe. Manake itakwa hamna upigaji.
Baada ya kuskia umri wake tu nimetoka...kama @simba ipo serious waache kutuzingua
Matapel wakubwa hawa
Mbona ni Mzee huyu? Aaaauuuuuwiiiiiii kama ni kweli hiii imekula kweli
Mundele Makusu Ni rika la Musonda,Mayele,Tresor Mputu,.Chama.Mkataba Usizidi miaka miwili
Hapa tunapigwa tena hamna mchezaj hapo
Washaanza ujinga
Huyu sasa si atakuwa mzee kama kapita timu zote hizo
Acha ujinga kamati ya usajili kurudia makosa mnTuletea maveterani Tena ambao hawana uwezo so kuichezea pesa huko makusu wa sasa anatofautiana nini na jobe acheni masihara
Simba ujanja ujanja mwingi , na viongozi wa sasa wameigeuza timu kuwa genge lakufanyia siasa
Eeh kwani azeekee wapi sasa aje
makusu hamna kitu humo ... Huyo ni kama jobe tu
PANCHA huyo
Kwani anacheza Timu ya DRC?