ALL GOALS : MOROCCO 3-0 TANZANIA AFCON 2023 (MAGOLI YOTE MOROCCO VS TAIFA STARS)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 01. 2024
  • Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
    ►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp.com/Go7uQgGCzSI...
    ►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
    ►Instagram / tv3tz
    ►TikTok / tv3tz
    ►Facebook / tv3tanzania
    ►Twitter / tv3tanzania
    #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
    RATIBA ZA VIPINDI VYETU
    DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
    KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
    BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
    TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
    #Tv3Tanzania #GameOn
    #Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala
  • Sport

Komentáře • 44

  • @shefahood9730
    @shefahood9730 Před 4 měsíci +7

    Kiukwel kbsa mtangazaji sio mzalendo,
    Ana maneno ya kejel kwa timu yetu ya taifa, haya mambo huwez kukuta azam tv badilikeni ndugu zangu

  • @user-kx4wd5vb4j
    @user-kx4wd5vb4j Před 4 měsíci +3

    Tanzania sio kwa soccer kuhusu soccer na Tanzania ni sawa na chura na maji ya moto

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 Před 4 měsíci +4

    Huyo Hakim Ziyech alikuwa anachezea chelsea tena kipindi hicho chelsea inamoto kwelikweli. Tanzania tumecheza mpira mzuri.

  • @JumaJuma-yt7nz
    @JumaJuma-yt7nz Před 4 měsíci +3

    Sasa uyu mtangazaji mwenzetu au Morocco

  • @richardlemama5142
    @richardlemama5142 Před 4 měsíci +2

    Mtangazaji mmoja wa Luninga akiwa mubashara wakati mchezo unaendelea akasema yeye anachokiona ni kama Taifa Stars inazuia mafuriko kwa mikono !

  • @TheBenny2004
    @TheBenny2004 Před 4 měsíci

    Tanzanian plays are only good in knocking down the opponents 😅

  • @cascanicolnicol2008
    @cascanicolnicol2008 Před 4 měsíci +3

    Siku tukiweka vipaji mbele tukaacha kujuana juana mtoto wa fulani tutafanikiwa kwenye mpira tofauti na hapo ipo siku tutakula 7

  • @hancychriss721
    @hancychriss721 Před 4 měsíci +1

    Mtangazaji wa hovyooo kabisaaa 😂😂

  • @ip_header
    @ip_header Před 4 měsíci +3

    Starts Uwezo mdogo maneno mengi😢

  • @yusuphitambu3405
    @yusuphitambu3405 Před 4 měsíci +1

    Himid na Fei kwenye bao la pili unaweza kusema stop short kama ingekuwa pooltable Ounahi kawafanya vibaya sana quality imeamua mechi.

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 Před 4 měsíci +2

    Mtangazaji wewe ni msenge una kauli za kishoga kwa team ya taifa

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 Před 4 měsíci +6

    Morocco Ni Team Kubwa..Kwaiyo Ni jambo la kushukuru Tumefungwa 3 Tumejaribu

    • @evansagingu1965
      @evansagingu1965 Před 4 měsíci +2

      Hakuna cha timu kubwa,ukienda kwa mechi kama hizi unajitahidi,

    • @user-gy3wo2ez4d
      @user-gy3wo2ez4d Před 4 měsíci +1

      Tunisia na namibia ipi timu kubwa?? Misri na msumbiji ipi timu kubwa?? Mambo yanabadirika na sisi tubadirike kaka wenzet wamewezaje kupata matokeo

    • @roberttarimo4956
      @roberttarimo4956 Před 4 měsíci +1

      Watanzania ni wamwisho kwenye hizi team zlizopita, 😢😢😢 starehe nyingi

  • @kingkevin442
    @kingkevin442 Před 4 měsíci +3

    Tanzanians should stick to singing love songs..leave football to real men😅😅

    • @3amekdrake
      @3amekdrake Před 4 měsíci

      Brother as a moroccan I ask you to be respectfull towards our Tanzanian brothers, they tried and did their best 🙏.

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 Před 4 měsíci +1

    TZ mpira hakuna wakina Samatta na Manula washazeeka mzee.
    Pesa inayochangwa kuwasaidia ifanye mambo ya maana

  • @DailyTrendsKenya
    @DailyTrendsKenya Před 4 měsíci +1

    Majirani mliingia uwanjani na woga

  • @stewartstepgen3831
    @stewartstepgen3831 Před 4 měsíci

    Ukweli lazima uongelewe. Tanzania hatuna plan/ mikakati ya ndani na nje ya nchi. Mikakati ya ndani ni pamoja na ku scout talent kwa vijana wadogo na kuwaweka kwenye academy. Mikakati ya nje ni kuwasaidia kupata timu za nje. Naamini tukiwa na wachezaji 6 au 7 wanaocheza nje tutakuwa tumejenga uwezo mkubwa. Timu nyingi za taifa zinazofanya vizuri zinawachezaji wengi waocheza nje

  • @ZAMZUNZAMIRU
    @ZAMZUNZAMIRU Před 4 měsíci

    Angekuwa Aly Salim au tungemkodisha hata diara

  • @user-jv7yg9ks2b
    @user-jv7yg9ks2b Před 4 měsíci

    Mimi sijui mpira kivile..ila timu iliyopambana kuipeleka Taifa stars Ivory coast ingetumika timu ile ile sio kwenda AFCON na timu mpya wajamii.. INDIVIDUALS WIN POINTS it is a team that Win Trophies..eeh..!!!

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Před 4 měsíci +1

    Watoto wa mama kzmkaz😂

  • @mohammadbenkirane5530
    @mohammadbenkirane5530 Před 4 měsíci

    Hard luck the tanzanian coach said tha morocco won by cheating he is algerian so he hate morocco obviously we played better its football we are still brother in the end but the coach is algerian if we win with 7 0 they will say cheating they will never accept morocco winning hatres blinded them

  • @deonatusdaud4640
    @deonatusdaud4640 Před 4 měsíci

    Hakuna kujaribu tumepqmbana

  • @user-wh5zz5dk2g
    @user-wh5zz5dk2g Před 4 měsíci

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿😢😢

  • @zamaliabdulkarim5598
    @zamaliabdulkarim5598 Před 4 měsíci

    Hivi huyu manula ni kipa kweli

  • @user-rw2cy9el3p
    @user-rw2cy9el3p Před 4 měsíci

    Tanzania na soka ni wapi na wapi acheni kujidanganya

  • @GodfreyMoshi-mk7fn
    @GodfreyMoshi-mk7fn Před 4 měsíci

    Manula amechoka

  • @alistairelias536
    @alistairelias536 Před 4 měsíci

    Hawa watangazaji mbona kutamka majina ni shida? Ashilaf Hakim ndo nani?!

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 Před 4 měsíci

    Huyu mtangazaji angetuletea wachezaji kutoka ukoo wao walioamia Tanzania maana yu ...

  • @jumamohd142
    @jumamohd142 Před 4 měsíci

    Watoto wa mama kizimkazi ndio Nini?

  • @aminnoour4788
    @aminnoour4788 Před 4 měsíci

    Gol kipa anafungisha goli

    • @user-tw9wu2gz4g
      @user-tw9wu2gz4g Před 4 měsíci

      Ujui kitu kabisa fuatilia netball. Ameshindwa kufuatilia chanzo cha tatizo angalia bao la 1 na la 2. Alafu jiulize nin kazi yamabeli au ulitaka kazi ya beli afanye golikipa? Ujui chochote tupishe.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Před 4 měsíci

    Wewe unaesema goalkeeper anafungisha, vipi yule babu yako akidaka hatuwezi kufungwa??

    • @user-ei3ry9dy2w
      @user-ei3ry9dy2w Před 4 měsíci

      Hiyo c mzalendo analeta usimba na uyanga tumejitahid sana ila wacheazaji wako na uwoga mkubwa kutokana na level za watu waliokutana nao

    • @alidau2193
      @alidau2193 Před 4 měsíci

      Mama regesha timu tunapata asara

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Před 4 měsíci

    Manula hamna kıpa hapo

  • @ZAMZUNZAMIRU
    @ZAMZUNZAMIRU Před 4 měsíci +1

    Aishi atafute timu kufulia sisi tulijua kwamba atakua kala rushwa kumbe ubora wake umepotea

    • @jebace
      @jebace Před 4 měsíci +1

      Mtangazaji atakuwa chadema mmmh

    • @user-jp8ge8dx6k
      @user-jp8ge8dx6k Před 4 měsíci +1

      Morocco ni timu kubwa saana. Taifa stars tumecheza Moira safi. Tena Kwa kutumika watoto wetu WA kitanzania.Nampongeza saana Aish Manula.dumisha taifa letu.

    • @Gladnesszephania
      @Gladnesszephania Před 4 měsíci

      Wewe mtangazaji huna uzalendo Sasa unafurahia nini na kubeza timu yetu, huna maana kabisaaa😂 9:22