Diamond Platnumz ft Morgan Heritage - Hallelujah (Official Video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 09. 2017
  • Bring in the love! Check out Diamond Platnumz's fresh new video Hallelujah featuring Morgan Heritage.
    Pre Order A BOY FROM TANDALE on iTunes : itunes.apple.com/ug/album/a-b...
    Follow Diamond Platnumz to get his latest updates:
    CZcams - / thediamondplatnumz
    Instagram - / diamondplatnumz
    Facebook - / diamondplatnumz255
    Twitter - / diamondplatnumz
  • Hudba

Komentáře • 11K

  • @anirwothagathapeace3388
    @anirwothagathapeace3388 Před 3 měsíci +149

    Watching this after hearing of the sudden passing of Peeta Morgan. RIP Champ❤

  • @Lyrical-G_226
    @Lyrical-G_226 Před 3 měsíci +54

    RIP MORGAN 😢 he was a pure talent

    • @wemaruth6068
      @wemaruth6068 Před 3 měsíci +2

      Sorry it's peter heritage brother to Morgan heritage who's dead 😢

  • @nitoaugustochavenechavene3024

    Wimbo wangu pendwa wangapi tumerudi tena apa 2024 like apa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @magnificententertainment9328

    Who z here after it's has been official in Coming to America 2.... rhythms from zamunda

  • @janetopemi7405
    @janetopemi7405 Před 5 lety +132

    Diamond in mwimbaji maarufu...kama unaniunga mkono plz likes kumi zikam through.

  • @kizamulenda8894
    @kizamulenda8894 Před 6 lety +263

    Mbona mimi sipatagi like za ma fans wa diamond? But I hope this #Halleluhah itanipea likes zakutokea UGANDA,KENYA,TANZANIA... wapi likes za #HALLELUJAH?? N 1 million views before 24hrs

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 Před 3 lety +29

    Nani kaja hapa kwa ajiri ya movie ya coming to America more life Diamond we love you 😘

  • @MaQajare
    @MaQajare Před 4 měsíci +17

    The most Underrated Song from Platinumz. This was an international banger, cant fathom what happened.

  • @JoshuaJerryS
    @JoshuaJerryS Před 6 lety +35

    She makes me say...Hallelujah!!!!!!!! Wasafi umekubalika duniani kote!!! From +254!

  • @allysalum5897
    @allysalum5897 Před 6 lety +29

    Hyo ngoma ruksa ipigwe hata pale muhimbili hospital inaponya asee#hallelujah🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zeoneshiru3319
    @zeoneshiru3319 Před 3 lety +27

    Huyu jamaa ni mlima huwezi kushindana nae kirahisi Coming to America 2 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥2021

  • @rosekasambale2521
    @rosekasambale2521 Před 3 lety +128

    Kama umerudi kuangalia hili song baada ya kusikia utakuwepo kwa move ya COMING TO AMERICA gonga like tuende sawaa💪

  • @andrewtange1160
    @andrewtange1160 Před 6 lety +30

    very nice vedio nimeipenda sana mond ni simba hakuna kama yeye watu wanaojifanya Fanya kumchukia watalala hivyo hivyo mwishoni watamwelewa tuuhhh

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 Před 6 lety +33

    diamond atakapokufa ndo tutakapo jua umuhimu wake.tujifunzeni kwa kanumba.kwa nn basi tusiungane na kumsapoti? matokeo yake wapo baadhi wanachukia sana kwa juhudi anazofanya mond.tubadilikeni watanzania.tumuunge mkono kijana.anafanya juhudi binafsi za kutafuta mkate na kulitangaza taifa lake.na haohao wanaomponda na kumvunja moyo wananufaika kupitia yeye kwa namna moja au nyengine..na wanasiasa baadhi yao wanafiki.big up chibu endelea kuwakilisha.thx

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe41 Před 5 měsíci +21

    Melodies that stick in your head and makes your heart smile . 🇿🇲🇹🇿

  • @wittx1234
    @wittx1234 Před 3 lety +43

    Very nice music. Im probably the only person from Thailand who listen or heard of this song. 🇹🇭

  • @benjaminngua8583
    @benjaminngua8583 Před 6 lety +81

    Simba... Ni faraja la moyo wangu.... Ni kimbilio la wanyonge...
    Gonna like hapa kama unamkubar diamond platnumz

  • @agneswanjiru3841
    @agneswanjiru3841 Před 6 lety +54

    Mm kama team kiba but kwa hii i salute u.i keep on singing hallelujah 🎤🎤🎤🎤

  • @thandiefreddie
    @thandiefreddie Před 3 měsíci +6

    Here for Morgan Heritage, Rest well champ🫶🏾

  • @fadhiliromwald
    @fadhiliromwald Před 3 lety +97

    Who is here after the song featured in the coming to america 2

  • @Filmz639
    @Filmz639 Před 6 lety +90

    Hii ngoma itafika kesho asubui imeshafikisha 2 million . love from Burundi +257

    • @cedricnitunga468
      @cedricnitunga468 Před 6 lety

      Justin Ntiruvakure +257 tupo

    • @Filmz639
      @Filmz639 Před 6 lety +2

      Ebu ivi hii nyimbo uko kwetu Burundi imesha aza kucezewa kwenye radio? Sababu najuwa warundi tunampenda sana Diamond ila mimi ni team Kiba wa damu siwezi msaliti ila hii ngoma inazidi seduce me msema ukweli mpezi wa Mungu +257 love from Burundi

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 Před 6 lety

      Justin Ntiruvakure true

    • @cedricnitunga468
      @cedricnitunga468 Před 6 lety

      Justin Ntiruvakure kumbe uko team kiba?? duuuh umetisha kabisa
      umekua mkweli na hiyo ni freshhh
      mi team Mondi since day one

    • @Filmz639
      @Filmz639 Před 6 lety

      Bro mimi ni Kiba ila Mondi nilikuwa naona hana sauti yakuimba kama ya Kiba ila kwahi nyimbo amejitaidi kabisa. sauti niya hali ya juu

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 Před 6 lety +34

    Mungu azidi kukuinua zaidi ya apo ulipo sasa...Milango yako ya mafanikio iwe wazi mcha na usiku...Ayseee Noma sanaaaaaaa...Chezea Simba wa Tandale Alleluya

  • @BravoMedia23
    @BravoMedia23 Před 3 lety +102

    NANI KAJA BAADA YA KUTANGAZWA KUWA NYIMBO YA MOVIE YA COMING 2 AMERICA 🔥

  • @davidodondo9772
    @davidodondo9772 Před 3 lety +7

    Diamond platnumz I salute u....together with your team WCB
    Kaza Baba dunia ijue TZ Tuna mount Klm na mwimbaji Wa dunia Diamond platnumz

  • @hamiskumuku7118
    @hamiskumuku7118 Před 6 lety +26

    Da!!! Kweli mziki ni kaz za watu,jamaa anatoa ngoma kaliiii...SIMBA~ no one like you SIMBA.....

    • @RamaHa-uk1fq
      @RamaHa-uk1fq Před 6 lety

      Mond hii ngma sio ya nchi hii kbsa na bdo watka 2we saresare 2

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 Před 6 lety +80

    Mapaaaap niilivoona milioni M1 nimeruka kama rinaldo akifunga bahooo nikaanza kulia nafuraa maraaa pap nika sikia salut kwanyuma ikisema mi silagi vipusaaaa ... nikasikiliza tena kunikompare na sindelela sio frieshiiiii daaaa kuja kuangalia kumbe ni alelujaaajah

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 Před 3 lety +9

    Coming to America 2 brought me here.. hands up 🙌 for Simba🦁 of zamunda #Diamondplatnumz🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇸🇴🇸🇸

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 Před 2 lety +4

    Kumshusha huyu jamaa ni ngumu Sana

  • @abdallahchande7997
    @abdallahchande7997 Před 6 lety +25

    Dah! Wallah Hii Ngoma Mpya Ya DIAMOND "HALELLUYAH" Ikipigwa Pale Muhimbili Leo Hafi Mtu !!😀😀JAMAA YUPO VIZURI😀😀

  • @TheMyasa
    @TheMyasa Před 6 lety +42

    kuna siku nilishasema huyu ndo the next MJ in this world...hit like tuvunje rekodi ya masaa 15 na 1 Mil viewers

  • @kelvinveri3798
    @kelvinveri3798 Před 3 lety +19

    Coming To America!!🔥🙌🏽🦁🦁

  • @bronzekaylow2441
    @bronzekaylow2441 Před 2 lety +55

    I don't understand why diamond stopped producing quality videos like this

  • @angelshirima7347
    @angelshirima7347 Před 6 lety +67

    Wapiiiii cheche za kuchomelea griliii ni mwendo wa haleluyaaaaaaaaaaa in gospel voice..naomba likes hapa kabla ya wachina kuja kucoment ....+255

  • @abdullyulledy5536
    @abdullyulledy5536 Před 6 lety +52

    sijawahi kuwa shabiki wa huyu jamaa lakin this time no way out !!

  • @petermuya8870
    @petermuya8870 Před 3 lety +329

    Who is here after the song featured in the coming to America 2 .. from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌟💙

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 Před 2 lety +13

    Personally this is my favourite international hit by Diamond..."kuna part Morgan heritage anasema "from the one to the 10.....jamani !...Morgan heritage did some justice...they took it personal...." Number 2; African Beauty ft. Omarion. Then, Number 3; Wasted Energy duet. Alicia keys.

  • @frankyboniphace5368
    @frankyboniphace5368 Před 6 lety +37

    Daaah kwa kas hii kama 4g tumetisha sanaaaa WCB oyeeee like hapa kama we ni member wa wcb

  • @leonardmavele183
    @leonardmavele183 Před 6 lety +65

    Nyimbo kama level hii huwa nazickia kutoka mbele kama USA ila uyu jamaa kumbe nae anawez fanya duuu😂😂🙌🙌

    • @mtanzaniahalisi6861
      @mtanzaniahalisi6861 Před 6 lety

      Leonard Mavele sio anaweza fanya yaani ndo kesha fanya ila yupo vizuri kijana wetu saiv siangalii akina chris brown tena 😂😂😂😂😂

  • @toddyverse2289
    @toddyverse2289 Před 3 lety +4

    They Be Like "Coming To America 2" Brought Me Here 🤣. Thumbs Up Nasib 💥💎

  • @collectamuzamba117
    @collectamuzamba117 Před 2 lety +52

    This song will remain rocking, am a proud African, Africans music take u to paradise. Zimbabwe approves t 🔥✔️

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper Před 6 lety +173

    Hahaaa tuko 530k. Hii hiatamaliza 1day itakuwa tayar 1m. Kama waamini hio gonga hapa 👍👍👍 tule diamondkaranga getini kwa kibakuli chao

    • @didamugya6039
      @didamugya6039 Před 6 lety +3

      Riso king ile rekodi feki ya Pimbikiba inazimwa leo

    • @djgthehotstepper
      @djgthehotstepper Před 6 lety +3

      Hahaaa nitacheka kwa zaraaaau. Wimbo mbaya huuuu WCB4LIFE.

    • @djgthehotstepper
      @djgthehotstepper Před 6 lety +2

      Tukaze kabisaaa record yao ya mabua ilikuwa 1m 30hrs. Sasa naona yetu itakuwa 1m 20hrs. #WCB4LIFE. Tuko 820k+ haleluyaaa

    • @hazaelassa2149
      @hazaelassa2149 Před 6 lety +1

      Riso king Its 930K now

    • @selinelynn8606
      @selinelynn8606 Před 6 lety +1

      +Hazael Assa ni one Million now WBC for rever

  • @rosyeejusto426
    @rosyeejusto426 Před 6 lety +33

    hii ngoma imenifanya nivunje kibubu niongezee bando..Diamond Mungu anakuona ujue

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo5234 Před 3 lety +3

    Caming to America 2 ...brought me here💃💃🇰🇪🇰🇪

  • @blizzokassim6495
    @blizzokassim6495 Před 3 lety +3

    Coming 2 America Wayyyy🔥🔥🔥🔥🔥.... Mashabiki wa Wcb tunaomba ulinzi tafadhalini serikali

  • @robertsmcdonald653
    @robertsmcdonald653 Před 6 lety +27

    Mondy na Hallelujah ni Dawa ya Ukimwi, nguvu za kiume, na Kukataliwa na Watoto wazuri! Sikiliza utapona sasa. Diamond Umeua kwa wimbo huu tu Mke wangu kanisamehe nilipomsikilizisha.

    • @jut1161
      @jut1161 Před 6 lety

      Roberts McDonald inatibu marazi yote sugu

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper Před 6 lety +70

    WCB4LIFE. hii ndio ngoma ya jupiter. Sasa cheche za watu wa kupumuliwaa tupa kuleeeeee😂😂😂😂😂. Mi namuona diamond platnumzs kwenye billboard.

  • @husseinmillinga1920
    @husseinmillinga1920 Před 3 lety +4

    Coming to America brought me here

  • @RjMbwambo633
    @RjMbwambo633 Před rokem +3

    Nimeludi kuangalia 2023 ila hii nyimbo ni nyokooooo🎉🎉🎉🎉❤

  • @johnsonkilingo6515
    @johnsonkilingo6515 Před 6 lety +44

    Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa, simba wa AFRICA sema tena simba wa AFRICA Kama hutaki pita Kule. Team mond gonga like kibao

  • @mohamedh.mhando5744
    @mohamedh.mhando5744 Před 6 lety +137

    Mond una balaaaa. Unafanya hadi masheikh tunaimba Hallelujah

    • @sand4946
      @sand4946 Před 6 lety +1

      Mohamed H. Mhando 😂😂😂😂 this comment is so funny probably the best.

    • @hamidahassan5951
      @hamidahassan5951 Před 6 lety

      Mohamed H. Mhando hahahahahah

    • @stevenlyando1801
      @stevenlyando1801 Před 6 lety

      hahahahahahaaaaa mashehe mnaimba haleluyaaaaah hahahahahhaaaaa

    • @ellasmama9669
      @ellasmama9669 Před 6 lety

      Mohamed H. Mhando 😂😂😂😂😂

    • @linetshitanda4872
      @linetshitanda4872 Před 6 lety

      Halelluya,,,,,, simba unatosha.

  • @edwardkailo3341
    @edwardkailo3341 Před 3 lety +67

    Tuliokuja kuja baada ya kusikia shavu la Coming to america

  • @pascalpaul9513
    @pascalpaul9513 Před rokem +8

    2023 still hitting this masterpiece 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @hakimyaa3256
    @hakimyaa3256 Před 6 lety +46

    Kama umeona Harmonize n Rich mavoko kwa video gonga like..#WCB 4Life

  • @yahboybenna1112
    @yahboybenna1112 Před 6 lety +82

    Watu wa +254 Wekeni like hapa before tufike 1M views

  • @antidiuspeter3538
    @antidiuspeter3538 Před 3 lety +4

    Hii ngoma haijapewa heshima inayostahil...fo mi ni kali kuliko yope

  • @pendorichard6658
    @pendorichard6658 Před 3 lety +3

    Chaguo la welcome to America

  • @akinyiteckler3864
    @akinyiteckler3864 Před 6 lety +37

    Sisemi Kitu Diamond is going far lool...Big up

    • @engjacjunio107
      @engjacjunio107 Před 6 lety

      Akinyi Teckler :aiseee hawa jamaa msifananishe na vitu vya kijinga!! Kam Cheche,,sjui seduce me ,,nyie waachen hawa jamaa kama walivoo

  • @josebrownbongo9777
    @josebrownbongo9777 Před 6 lety +45

    platnumz diamond dangote is totally talented since tukicheza mbagala..u believe so??like hpa team WCB

  • @jastinjustus6878
    @jastinjustus6878 Před 3 lety +4

    Coming 2 america

  • @kingpincommedieshub9477
    @kingpincommedieshub9477 Před rokem +3

    It's 2023. Simba ..my 🇰🇪 people in the house ❤

  • @muushiwena8929
    @muushiwena8929 Před 4 lety +257

    Who is here listening to this nice song in 2020

  • @abdallahmajid4596
    @abdallahmajid4596 Před 6 lety +24

    MAMAMAEEE Nyimbo flani hivi ya kinyamwezi

  • @andrewsimon9090
    @andrewsimon9090 Před 3 lety +4

    Coming to America 🔥🔥🔥

  • @lilianclavery7924
    @lilianclavery7924 Před 3 lety +81

    I just cant understand why is this song without 200 million viewers....its such a nice song....😍😍

  • @ibrahimmikidady9261
    @ibrahimmikidady9261 Před 6 lety +81

    Nimeirudia sana hii nyimbo mpka nimehisi labda na mimi ni miongoni mwa viewers walionunuliwa... this is what we call good music..

    • @jadenmsafi
      @jadenmsafi Před 6 lety

      Ibrahim Mikidady no

    • @neemaarcard7854
      @neemaarcard7854 Před 6 lety +1

      Ibrahim Mikidady hahahahahaha

    • @Mmnanka
      @Mmnanka Před 6 lety +1

      Ibrahim Mikidady hata mi nahisi nimenunuliwa bila malipo

    • @iddihashimu7261
      @iddihashimu7261 Před 6 lety

      Ibrahim Mikidady 😂😂😂😂na mimi ameninunua maana leo nimeiangalia mara 872

  • @anoldpeter7564
    @anoldpeter7564 Před 6 lety +24

    One lov broo apa umefanya bnge la ngma dah bro moja utupe na Christopher martin umalze kaz #simbaaaaaaaaa

  • @julitaxkenya7071
    @julitaxkenya7071 Před 3 lety +20

    Diamond voice perfect 💯👌🔥🔥🔥🔥

  • @user-vp7oo7ng4q
    @user-vp7oo7ng4q Před 7 měsíci +8

    2024 anyone??😂🎉❤ Hallelujah tho😊

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper Před 6 lety +27

    Uuuuuuwiiiii WCB NI NOMA SANA MAN. UUUUUWIIIII

    • @wardaibraahim9859
      @wardaibraahim9859 Před 6 lety +1

      hhhhhh diamond ku weli are u Muslim wtf u will go 2 hell

  • @ivybrown958
    @ivybrown958 Před 6 lety +35

    Team free Wi-Fi mko wapy . wcb for life

  • @payasbadman2523
    @payasbadman2523 Před 3 lety +21

    Tulio kuja kuangalia hii ngoma baada ya kusikaa itaweka katika movie ya coming to america part2🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅✅

  • @stephenondieki2200
    @stephenondieki2200 Před rokem +1

    Twende nalo Simba wa Afrika Mashariki. Moto kama pasi.

  • @oscarmtalis7747
    @oscarmtalis7747 Před 6 lety +64

    kumpenda huyu jamaa raha Sana Kama unakubali #simba gonga 👍👍👍like hapa #halellujah

  • @fredrickchukwu9322
    @fredrickchukwu9322 Před 6 lety +125

    anybody from Nigeria loves this song like I do? so much love from West Africa @diamond.
    u are doing so well

  • @huntertm1514
    @huntertm1514 Před 3 lety +27

    Here after the coming to America movie trailer

  • @antidiuspeter3538
    @antidiuspeter3538 Před 3 lety +5

    Afu mbna haipati airtime kibongobongo au imefungiwa

  • @tmoe_tz2432
    @tmoe_tz2432 Před 6 lety +28

    kuanzia leo mimi nimehama Team jamani niungeni kwenye magroup ya WCB kule Basi

  • @henrykweka2138
    @henrykweka2138 Před 6 lety +58

    Ikifika 20:00 EAT hii ngoma haijafikisha 1M. Tunataka You Tube ifungwe au twende Mahakamani 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @antidiuspeter3538
    @antidiuspeter3538 Před 3 lety +3

    Yu one in a million mondi

  • @melvincole9411
    @melvincole9411 Před 2 lety +22

    Our time(Africa) thanks and appreciation goes to the one and only DP for the hard work, one of Africa pride...

  • @sirnavy7866
    @sirnavy7866 Před 6 lety +35

    Hata ukiimba vanga me natacheza tuuuuu...... she make me say hallaluyaahh

    • @priscajonas7601
      @priscajonas7601 Před 6 lety +1

      Daaaaaaah uko vizuri kaka Nakupenda mbaka mungu anajuwa unakipaji cha kuzaliwa kibaaaa atashubili sanaaaa love you Simbaaaaaaaa

  • @joelmakinga4220
    @joelmakinga4220 Před 6 lety +59

    Who thinks 💎 Diamond P should win an award for this track🎹🎻🎷🎶🎶🎤.....???? Because for me the song is🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nasibsam3424
    @nasibsam3424 Před rokem +23

    One of the most underrated songs hallelujah,make me sing and waka waka I swear they have to be at a hundred million views by now 😢 😭

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 Před 3 lety +3

    Coming to America part 2

  • @chiggyboy5624
    @chiggyboy5624 Před 6 lety +35

    Wooow wasafiiiiiiiiiiiii nyimbo kaliiii sanaaa hongera sana wcb.

  • @masiihiddajjaal4260
    @masiihiddajjaal4260 Před 6 lety +54

    Nipo zangu getini kwa kipusa nakula zangu diamond karanga! Sina tatizo na mtu #hallelujah

  • @franciskapufi8845
    @franciskapufi8845 Před rokem +1

    sijui nini umekosa bro,hongera mno..pia endelea kufanya kama hizi zina leta nidhamu sana kwa Taifa.

  • @allanke9540
    @allanke9540 Před 2 lety +2

    Mondi,the best musician in Africa💪❤

  • @azizaooo6309
    @azizaooo6309 Před 6 lety +121

    nipo hapa na bibi angu yy anavosikia hallelujah anasema emen kila ikiisha anasema we motto rudisha maombi yani toka asubuh ni nyimbo hii tu leo

  • @meshackvitalis7771
    @meshackvitalis7771 Před 6 lety +38

    KUDADEKI LEO NIMEHAMA TEAM VIPUSA RASMI XAXA NI WCB FOR LIFE MAANA KULE NJAA TU HUKU NI KULA NA KUSHIBA MIDUNDO NILIKUWA NIMEPOTEA KUMBE!!!!!

    • @staceyansley7323
      @staceyansley7323 Před 6 lety

      Meshack Vitalis ahah

    • @yasintapambila6043
      @yasintapambila6043 Před 6 lety

      Meshack Vitalis 😅😅😅😅😅😅karibuuuu WCB kwetuu uku burdaniiiiii kabisaa

    • @davboimkali2857
      @davboimkali2857 Před 6 lety

      Meshack Vitalis Ulikua umepotea kweli kweli ndugu yangu ....Karibu kwenye timu raha

    • @meshackvitalis7771
      @meshackvitalis7771 Před 6 lety

      Dav Boi mkali daa nimeona huku full utamu yaan

    • @meshackvitalis7771
      @meshackvitalis7771 Před 6 lety

      Stacey Ansley thanks so much an now really enjoying my presence wcb

  • @allannyaanga252
    @allannyaanga252 Před 3 lety +1

    Gonna like kama umeletwa hapa na coming to America 2

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 Před 3 lety

    Natamani ningekuwa na uwezo wa kuandika mashairi kama ya Diamond Platnumz kiukweli amejaliwa Sanaa
    #Role Model in Music @Diamond Platnumz Simbaaa 🦁🦁🦁🦁

  • @dianadaniel6082
    @dianadaniel6082 Před 6 lety +86

    team mond gonga like hapa maana co kwa ngoma ilivyo kali mpaka vipusa wamekubali

  • @pci__tanzania
    @pci__tanzania Před 6 lety +65

    Safi sana SIMBA... Wakati wa kwenda kuchukua BET na GRAMMY sasa umewadia. Kama unaamini hilo gonga like hapa twende sawa.

  • @sismnfamily3426
    @sismnfamily3426 Před 3 lety +16

    New sound track for Coming to America2 movie... Hallelujah

  • @barakadigitalycome6637
    @barakadigitalycome6637 Před 3 lety +3

    2021 kasikiliza baraka king thedon hii goma fire simba fire🔥🔥🔥

  • @davboimkali2857
    @davboimkali2857 Před 6 lety +92

    Ile wimbo umeisha tyu nnasikia jirani niliyegombana naye jana ananiambia rudia huo wimbo....Nnadhani ugomvi umeshaisha

  • @geraldngirimo8773
    @geraldngirimo8773 Před 6 lety +428

    this guy has set standards East Africa artists will take to arrive there...very focused,consistent and takes music seriously...keep going diamond,

  • @ozilmabuye5560
    @ozilmabuye5560 Před 3 lety +8

    Kama umemuona mjomba nchumali gonga like twenzetu

  • @rajabnzota9871
    @rajabnzota9871 Před 3 lety

    "Anayekutusi,kubeza,achana, waambie wafuatilie historia,itawapa majibu simba,chapa kazi Tiffa aende chooni" ngoma kali highly creativity.