KONTAWA,HARMONIZE AMEFANYA POA KWENYE NGOMA YANGU MPYA ,VERSE YAKE KALI SANA.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 05. 2024
  • #bongo24 #harmonize #kontawa
  • Zábava

Komentáře • 10

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df Před 22 dny

    Huu ndio ukubwa sio Kila msanii Amapiano na kucheza km msenge.hii nyimbo inawafaa wapambanaji woote duniani.big up guys

  • @user-gz4qb9wz3d
    @user-gz4qb9wz3d Před 24 dny +1

    Kondeboy kauwa hio ngoma

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Před 24 dny

    Ngoma inatembea xna... kizur hujiuza....iko nmber mbili...nliacha ikiwa nmber kumi.... big up bro

  • @hemedabdallah6657
    @hemedabdallah6657 Před 24 dny

    Kotwa na harmonize kimsiri nzuri sana hapa Tanzania uki towa marioo

  • @umarkaterakatera4776
    @umarkaterakatera4776 Před 24 dny

    Ngoma kali

  • @EdsonRichard-dr5sy
    @EdsonRichard-dr5sy Před 24 dny

    IPO poa

  • @user-fn5cf1eo5u
    @user-fn5cf1eo5u Před 24 dny

    Ngoma kali ila apa kontawa mbona kama yuko mma?

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df Před 22 dny

    Binaadam unaweza ukaugua mpaka unakufa kwakukosa pesa ya matibab tn pesa kdg km laki 4.kisha msibani watu wakajitolea pilau msiba ukaingia gharama ya milion 2 😂😂😂😂😂😂

  • @Samumapindunzi-br8mo
    @Samumapindunzi-br8mo Před 24 dny

    Nakubali

  • @NajmaLucky-cp1yr
    @NajmaLucky-cp1yr Před 24 dny

    Goma khali sana