Rayvanny - Marry Me (Official Music Video)
Vložit
- čas přidán 12. 02. 2024
- Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: Rayvanny_chui
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
#rayvanny #music #new #NextlevelMusic
Copyright ©2024 Next level Music. All rights reserved. - Hudba
JAMANI sijawahii kupata like ata 1 naomba mm mwenzenu wa kenya❤
Wapi likes za rayvanny hapa kenya❤❤❤❤❤we love you🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwa wale wa valentine 💝 gonga like kwa wimbo huu🔥🔥🔥🔥🔥
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮 tunayipenda san hiyo nipeni likes zangu🎉
Mwanamume huyu ana kipaji.. penda muziki wake kikamilifu na wimbo huu ulikusudiwa kwa siku ya wapendanao... Inatuma mapenzi kutoka ZAMBIA mmoja wa mashabiki wakuu.
Huu wimbo sio mpya ulitoka miaka 2iliopita upo kwenye albamu ya Afrika sounds 😅
@@Almuharmiiimwelewe vizur ajasema kwamb ni mpya budah 😊
SFA🎉
noooooma san
Kama unakubali rayvanny ni mkali💥 sana usipite bila kuacha likes 👍👍👍
Happy valentine day to all singles who’s never ready to mingle 😂❤
😂😂😂
Happy valentine to us❤
fake news lol
🤣🤣🤣🤣🤣😅
From Kenya ❤❤likes for me
Wa kwanza Leo naombeli Likee zangu wapendanao wote 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Wa kwanza me mnipe like zangu
wa mwisho nani
Ongera sana Chui kwa wimbo huu mpya 👍
Nakuombea maisha marefu
From 🇲🇿🇲🇿 Mozambique
Estamos juntos irmão
This is not a new song it was recorded around 2 years ago but the video wasn't yet released
Gongs like kama unamkubali vanny boy #chuiii❤
🎉 rayvanny mkali, ao siyo?? Kama kweli nipeni like yako tafadhali🎉
Kama umeangalia wimbo huu zaidi ya mara moja kama Mimi.Naomba like jamani
Woow🎉 2:19
Happy valentine's to everyone reading this comment ❤❤🌹🌹🌻
Let's appreciate the talent + effort 🥰
Naliya kwa sauti 😭😭😭😭 love shida sana, basi likes zeny zinipoz roho
Tanzania we are proudly of u chui go!! Good music❤❤
Mimi wakwanza nataka like zangu sasa ❤wimbo tamu walai❤❤
Vannyboy every week new music every event new music 😂But you are the most talented guy I know of keep on with the vocals❤😍💙💙💙💙💜💜💜💜💜💜
Likes za kenya Plz..Prove here we're Many❤
Sincerely speaking I never thought this video would come out. Since it's release in 2021 this audio has been ok repeat. I believe now Rayvanny wants to marry Fahima. Can't wait for what's coming ❤❤
Msela ana talanta kali sana ya uandishi wa nyimbo za mapenzi , congrats
Now this is Rayvanny we know si yule wa Amapiano
Wa kwanza kwa Chui nipe like 1k❤❤ kama unampenda ❤❤
One love from USA 🇺🇸 🇨🇩
Am the first to watch this song i need your like 💐😔🤲❤️
Sauti kama dhahabu❤❤❤❤✅
Leo nimekuwa wakwanza nipe likes zang
Best valentine song ❤❤❤❤❤
GONGA LIKE KAMA UMEACHWA NA UKO SINGLE
Rayvanny mwenye tulikuwa tujua ,,we still need another one like this..🎉❤
Chuiiii for life and thanks Father now ur child now they're doing better for their Music Lndustry mmh long life to all son from Simbaaa mpaka now ni solo artist mmh thanks chuiiiii for good Music to me today.✍️🎶❤️👑🇹🇿🙏
Hu wimbo umenigusa sana ❤❤❤❤ from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 mozambique
Rayvanny just knows how to impress his funs, great work shujaa🙏🔥🔥❤️
Hakuna mwamba anae jua kama chui salute kwako ✌️✌️✌️
I salute you bro 🇶🇦 🇰🇪
Nimekua wakwanza nipeni likes jamani 🙏🏽
Mm ndo wakwanza bhann 0:01
@@puxpyzah vp
Hizi like huwaga zinawasaidia nini maan naona naombeni like au ndo ushamba tu
We kila siku wa kwanza
Bingwa kweli
First one to watch from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
First viewer to comment,,,,Nice music🫂Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪let's gather here and show some Love to our beloved rayvanny❤❤❤,,,,
Sa mjomba RAYVANNY wew izi ndo GOMA zako 🎉 achana na AMAPIANO 😂
Uhakika kabisa. Hapa ndo huwa namuelewa rayvanny
Huyu jamaa anajua sema sijui shida nin
Lit 🔥🔥🔥 wapi like kutoka kenya
Keep going best raper❤
😂
All Kenyans 🇰🇪🇰🇪 let's gather here❤
Mama umeagalia wimbo huu zaidi ya maraa 5 mim naomba like jamAn plz
Now this is rayvanny ,much love from kenya
Happy valentines day 😍❤to single people like me😂
Rayvanny is always on top wapi like za wakenya... If u are Kenyan like for him
Happy Valentine day
🎉🎉🎉Kali sana Kaká chui unabaya mery me
Happy Valentine's to our Artist allover the world 🌎
Walete fundi wa merodies 🔥🔥🔥
Chui to the world♥️♥️♥️Fan kutoka Kenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rayvanny Ahsante sana kwakutolea shooting video ya hii nyimbo Valentine❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹🌹🌹🌹 nimepnda sna
Kaka umeua 🔥
Tanzania say thanks to God for giving you Rayvany
Wimbo wa siku ya mapenzi,, huu nao una tabasamu lake,, unazamia gogoni❤❤❤❤
Yani Huyu Wimbo Una Miaka Kama Miwili Lkn Sijawahi Kuuchok Kuiskia Sema Rayvanny Hii Valentine Utawauwaaa ❤❤❤
Naomben maua yangu...❤❤❤🎉
Wish this video vixen was Fahyma kwani unamuproposia lini aki😢❤😊
Happy valentine's day guys❤❤❤❤❤🎉🎉🎉nice song👊🔥🔥🔥
The rayvanny we knew from old days ❤❤
likes za vanny zikam...... toka kenya
Happy Valentine 🎉❤ 💖
Vanny voy to the moon 🌙❤❤❤❤. much love for him ❤❤❤❤❤❤❤
Kwanini ulichelewesha vibaya ngoma ilikuwa imeisha it na ilikuwa imeisha sahulikwa 🎉🎉
Lovers of bongo from 🇰🇪
Rada ya wakenya c tumarry watanzania❤❤
Official audio:2021
Official video:2024
Huu wimbo naukubal tangu unatoka
Na RAYVANNY ndo msanii namkubali tz
Like if you agree 👉Siku nyingine tulivu
Macho zangu yatazama mboni zako
Huku nikitafakari safari tuliopita
Sina mwingine believe
Kwenye moyo uko peke yako
Jalali atujalie safari
Tuweze fika
Ni mengi umenivumilia najua
Nimekuvumilia najua
Tofauti zetu, mapungufu yetu
Yamefanya penzi kukoma
Toka nakutumia barua
Nakuzawadia maua
Ukaribu wetu, mapenzi yetu
Yamegeuka chozi la fora
Chuiiiiiiii❤❤❤❤, wapi likes zangu kutoka Kenya Jamani?
Rayvanny after three years❤❤
imetoka this is valentine song
Wa kwanza hapa❤
So sweet 💗💗💗 am flashbwoy from Kenya
Safi sanaa chui
😢si mnipe angalau likes 5 za valentine
Happy valentine kutoka +254❤❤one love
Nilikua napenda kusikiliza nyimbo hii kam vile nataka kumuoa mtoto wa mtu rayvan unajua bro💯💯💯
*Kenyans Know That Malaika By Nyashinski Was Sampled Here.*
The way this song enter my heart🥰🥰🤗
Wakwanza me nipen like zangu
Nilitaka nijiliwaze na hii video lakini nimekumbuka Chawa kapigwa na Konde Boya😢😢😢😢 lakini video ina trend #1 Tanzania 🇹🇿 kenya is trending #1 burundi is trending #1 wow congratulation.
Nyimbo yang pendwaaaaaa ❤ CHUI ❤
Likes zangu hapa, Kenya ❤
lest show love❤❤..imewezaaa
Nmegundua chui anapenda sana rangi nyekundu
Nimekua wa kwanza kabisa naomba like kwa ajiri ya vanny boy
My favor song 🥰❤️🥰
Huu mwonekano ya rayvanny ndo ulikuwa mzuri ❤❤
Wakwanza leo kwa rayvanny kama unamkubali gonga like 👍 👌 ♥️ 🎉🎉🎉
To all singles ..if you feel the song gonga like manze
I say hii ni ya valentine wenzangu🎉❤
Nyimbo yangu pandwaaa hatimae ❤
I'm first one today. Guys plz 👍. Gather here 😅😅😅. Love from Burundi 🇧🇮 the capital city of Africa
Rayvanny, principle, greetings to you from Sudan. We wish you further progress
Rayvanny broo nakukubali sana kak
Ana malixa xtres na nyimbo sake moto🇰🇪
Huyu ni Ray ambaye kwa muda nimemumiss ....napenda ukikaa hvi ...Much love Vanny boy ..usisuke matuta tena maana huu ndo mwonekano bora
hii song nko na strong feelings that's ni ya tyme akidate paula kajala ata video ni Ile ilikua imekua shoot kitambo ....Ka ni uongo angalia hair styles too talk alot 😊😊
Weeeeh iyi ulichelewa Ku achia vidéo yayo 😮