Mgisa Mtebe - NGUVU ILIYOPO KWENYE MAWAZO YAKO.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 01. 2019
  • Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni
    mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe
    wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya
    kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing)
    Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka
    Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya.
    Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika
    Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya
    Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa
    Baraka nyingi kwa watu wengi.
    Mobile : +255 753 497 655
    Website: www.mgisamtebe.or.tz/
    facebook : / mgisa-mtebe
    Instagram : www.instagram.com
    #Mgisamtebe#Mgisamafusho#Mwalimumgisa

Komentáře • 69