HANS RAFAEL:YANGA WAMEMALIZA KILA KITU/DUBE KINZUMBI NI MUDA TU/CHAMA,BANGALA...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 06. 2024
  • Sport

Komentáře • 38

  • @AhadiMbwambo-gz2un
    @AhadiMbwambo-gz2un Před 12 dny +8

    Hansi nakukubaliiiii mwanangu

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart Před 12 dny +4

    Dogo unaongea kwa confidence kama kwamba kila kitu tayari!

  • @ISACKAKALIHADYA
    @ISACKAKALIHADYA Před 11 dny +1

    Kaka nakubali Mungu akiongozwa kwa kila jambo

  • @user-wz7tm6bp1g
    @user-wz7tm6bp1g Před 9 dny +1

    KTK WACHAMBUZI WW NNAKUFUATILIA SANA

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 Před 9 dny

    Guy seem so respectful and humble

  • @ElizaYanga
    @ElizaYanga Před 10 dny +1

    Jmn hakuna sehemu Hans kamtaja kinzumbi kwhy punguzeni makasiriko sikilizeni interview mwanzo mwisho

  • @user-lr1zg4lz7z
    @user-lr1zg4lz7z Před 4 dny

    👍👍🤜🤜

  • @user-qz2vd5fn9u
    @user-qz2vd5fn9u Před 8 dny

    Ww ni mwandishi mzr jikaze ufanikiwe zaidi sw

  • @albtstanislaus4319
    @albtstanislaus4319 Před 12 dny +3

    Labda kizumbi gari ila sio mchezaji

  • @YusuphLiyanga
    @YusuphLiyanga Před 12 dny

    Mwamba anajua saaana

  • @wazirimahamudu3878
    @wazirimahamudu3878 Před 12 dny +1

    Kizumbi ameenda raja

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl Před 10 dny

      Ww umeota nini!, wapi ametajwa KINZUMBI kwenye hiyo interview?.

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Před 12 dny

    KIZUMBI AU KILENBWE😢

  • @luqmanseif9940
    @luqmanseif9940 Před 11 dny

    Mbona mnatoa taarifa kama underground mchambuzi ongea vitu vyenye uhakika ndio maana halisi ya mwanahabari. Yanga goli uwe na uhakika liwe limeingia wavuni kinzumbi yupo raja club

    • @sirh490
      @sirh490 Před 10 dny

      Raja katambulishwa Lini ?

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl Před 10 dny

      Wewe ni bwabwa, wapi ametajwa KINZUMBI kwenye mahojiano yao hapo😅😅

  • @telvinnicholas4030
    @telvinnicholas4030 Před 12 dny

    Mbona sijasikia aliposema Kinzumbi anakuja yanga au mmemuwekea maneno mdomoni?

  • @DowardMpolo
    @DowardMpolo Před 12 dny

    Mnajifanya wachambuz raja kaenda nan au kimbuz

    • @user-pp7im3us3v
      @user-pp7im3us3v Před 12 dny

      Amezungumzia shadrack boka replacement ya lomalisa sio kinzumbi

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl Před 10 dny

      jitahidi kusikiliza interview sio kuropoka tu, wapi ametajwa kinzumbi hapo?😅😅

  • @lucasmakanza
    @lucasmakanza Před 12 dny +1

    Hans mbona tunaambiwa kuwa Kizumbi amesajiliwa Raja Casablanca unasemaje?

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Před 11 dny

      Kweli kashaenda morocco nimemuona akifika ktk club ya raja

    • @sirh490
      @sirh490 Před 10 dny

      Katambulishwa lini

  • @charlesmtitu5606
    @charlesmtitu5606 Před 12 dny

    Shida wachambuzi wapo kama waganga wa kienyeji yaani kutwa utabiri sio kuchambua wanatabiri

    • @user-pp7im3us3v
      @user-pp7im3us3v Před 12 dny

      SIMBA MNAUMIA SANA😂😂😂😂😂😂😂😂😂 KUMAMAE

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Před 12 dny

    WAANDISHI WA TANZANIA NI MAMBUMBU ANACHO ANDIKA #MICKYJR NDIO WANAJIFANYA WAMETAFUTA WAO😅😅

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 Před 12 dny +1

      😂😂😂mbumbu ni nyie makolo Gani kaongea hapa kiliandikwa na mickl

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt Před 12 dny

    Huyu bwabwa hakuna anacho kusema kikawa kweli huwa linaropokwa bila breki.
    Hata sijuwi crown wameona nini kwa hili bwege

    • @user-lo9pb1po8l
      @user-lo9pb1po8l Před 12 dny

      Acha wivu utakuja kupakatwa mbwa ww

    • @user-pp7im3us3v
      @user-pp7im3us3v Před 12 dny

      SIMBA MNATESEKA SANA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MohammedJaizan-yf5yt
      @MohammedJaizan-yf5yt Před 12 dny

      @@user-lo9pb1po8l wewe bwabwa na kama unabisha tutamtaja basha wako aliyekupeleka South Africa.
      Funga bakuli lako kabla sijakuchafuwa

    • @user-be1ld2bb1b
      @user-be1ld2bb1b Před 11 dny

      Acha wivu

    • @user-wl7zm5vj7v
      @user-wl7zm5vj7v Před 11 dny

      Amekosea nini? Mbona binadamu hampendi kusikiliza ila mnakuwa wepesi kutoa hukumu