Marioo - Unanionea (Official Lyrics Video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 06. 2020
  • Stream/Download:linktr.ee/mariootz
    Listen to Marioo on Digital Streaming:
    Audiomack:audiomack.com/mariootz
    Apple Music: / marioo
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    Spotify:open.spotify.com/artist/4ZTqT...
    Follow Marioo on Social Media:
    Instagram: / marioo_tz
    Facebook: / thisismarioo
    Twitter: / kingbad_
    ​The Official CZcams Channel Of Marioo.Subscribe for the Latest Music Videos, Performances, and More. / mariooofficialmusic
    +For More Information Booking Marioo:
    Contact:emailmariootz@gmail.com
    ©2020 Bad Nation.All rights reserved.
    #Marioo #Unanionea #KingBad
  • Hudba

Komentáře • 3,4K

  • @Emilykid7
    @Emilykid7 Před 2 měsíci +90

    Kama umesikiliza nyimbo hii 2024 gonga zakutosha likes hapa

  • @user-gt1so2ew9y
    @user-gt1so2ew9y Před měsícem +30

    Kama ulisikiliza huu wimbo 2024 gonga like tukisonga

  • @charitymnyazi8429
    @charitymnyazi8429 Před 3 lety +655

    Plz jamani naomba likes. ..sijawai kupata ata siku moja😐

  • @graceabalem1577
    @graceabalem1577 Před 2 lety +214

    This song reminds me the time i was almost going to depression 😭😭hakuna kitu mbaya kuwachwa kimadharau, yaani bila kumkosea mtu😢I thank God I'm healed and siiiiiiiiiingle

  • @kevinmutava8991
    @kevinmutava8991 Před 4 lety +95

    Mariiioo....kenya loves you bro !! Likes za watanzania jameni♡♡♡

  • @estherjames5191
    @estherjames5191 Před 4 lety +34

    Jamaniiii mari0 unak0sha r0h0 Yangu.... Wangapi tup0 Pam0ja ✨❤️

  • @urwamohamed6066
    @urwamohamed6066 Před 3 lety +152

    I’m no a fun of swahili or bongo songs.. but hapa nimeguswa,, cnt stop crying listening to this song while remembering for what she did to me... maumivu ya moyo hayana dawa.😭😭😭😭

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 Před 3 lety +22

    Mario wangu siezi wacha kuskiliza Ngoma zako....afu hii nyimbo nikama umeniimbia mm

  • @vailethjackson649
    @vailethjackson649 Před 4 lety +89

    Nakukubali xana Mzee baba Huwa unanikosha sana nanymbo zko like zenu jmn km nawe unamkubali marioo💪💪

  • @mswahiliflan1834
    @mswahiliflan1834 Před 4 lety +70

    Kama una mkubali Mario gonga Like hapa 💥

  • @grace1992ify
    @grace1992ify Před 2 lety +69

    I officially anounce Marioo as the king of Romantic songs and voice in Tanzania 🥰🥰

  • @entimaskithinji7848
    @entimaskithinji7848 Před 7 měsíci +1

    Kwanini bibi yangu unitumia hii ngoma atakama nko mbali mama i love you so much.goma congo ni mbali lkn am coming soon baby.nko fine

  • @abelyasini7833
    @abelyasini7833 Před 4 lety +135

    Jamaa hufai mbna kama unanigusia sana 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♀️🙆‍♀️ hekenya sarutee mariooooo

  • @solomonmisheck3770
    @solomonmisheck3770 Před 4 lety +44

    "Na kama kuachana nimekubali sawa fanya yako" 😊😊😊 what a sweet song🤗🤗🤗

  • @neemazephania9082
    @neemazephania9082 Před 3 lety +5

    Hiz ndo nyimbo za kutrend mwezi mzima!! Nyimbo zinazogusa hisia na mioyo yetu..
    Use me as a this is the kind of music we want!!! 🇹🇿🇹🇿

  • @senpc8
    @senpc8 Před 3 lety +5

    Sina zaid la kusema kwako ila much respect kwa kaz za mikono yako. Unafanya vyema sasa kwenye mziki nakukubali sana. Mungu akupe umri mrefu kama namba za vocha. Amiin

  • @bernardbinbelyjeshi7748
    @bernardbinbelyjeshi7748 Před 4 lety +108

    Bonge la ngoma ,,,like nyingi kwa mario kama unamkubali

  • @jacobwatson7107
    @jacobwatson7107 Před 4 lety +43

    Marioooo Aaaaaanh😄😄😄...we jamaa una uandishi flan hiv wa kimafia saaaaana..Nakubalii

    • @cattiemoses3645
      @cattiemoses3645 Před 4 lety +2

      Hajawahi kufeli M.Tz penda sanaaa

    • @jacobwatson7107
      @jacobwatson7107 Před 4 lety

      @@cattiemoses3645 Anajua mnoooo🔥🔥 nimemfuatilia Tokea kwenye #Bure mpka kwenye hii #Unanionea...Ana balaa sana huyu bamdgo

  • @benardmusa718
    @benardmusa718 Před 3 lety +15

    Hisia jamaa,nakubali nyimbo tamu sana,+254 present

  • @japharymohamedy9326
    @japharymohamedy9326 Před 3 lety +8

    Marioo huu wimbo unanigusa saana nipo katika wakt huu na ninapousikiliza ni kilio tuu big up bro

  • @mamiamisa7257
    @mamiamisa7257 Před 4 lety +202

    😆😆wewe una tumanga me napata usingizi na nyimbo zako ❣️❣️❣️jamani ata ka like basi 🗣

  • @remzytz8665
    @remzytz8665 Před 4 lety +47

    Aaah mariooo from today I call you the young king of the new music generation✌✌ umenitouch si kichizi

  • @catherinemuthoki2614
    @catherinemuthoki2614 Před 3 lety +305

    Marioo you really give me the strength to move on with life.... after I got a heart break ....I like your songs may God bless you

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 Před 3 lety

    Hihi nyimbo ime nisema mimi apa kiukweli kaka mungu andeleee kukupa ujuzi zahidi from 🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇦🇺

  • @mariatuku359
    @mariatuku359 Před 4 lety +38

    Team Mario, nyimbo zako nazipenda sana full love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ommyleixer9304
    @ommyleixer9304 Před 4 lety +49

    Yan had nimesisimkaa huyu jamaaa in fund heshima yako kaka duuuh
    Kam unaamin GONGA LIKE

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 Před 3 lety

    Inatosha, aya na hii unanionea Ni sound trucks kabisa! Bongo movie mko wapi! Mbona mmelala hivyo? Big Sana marioo kwa utunzi unaozama na kuweza kuteka hisia za mtu! Kwa huu utunzi pekee unapata wazo moja la filamu Kali mno!

  • @lizzjahsolja1240
    @lizzjahsolja1240 Před 3 lety +39

    This song should be given an award.. of all your songs this has taken all my attention and it has been on repeat mode

  • @abuu_khaki4120
    @abuu_khaki4120 Před 4 lety +14

    Mwanangu ushatendwa saaanaaaaaa yaache mapenzi tu.. Marioo🔥🔥🔥🔥

  • @brunobruntix5177
    @brunobruntix5177 Před 4 lety +36

    Am a kenyan
    Kusema tu ukweli ngoma za Tz zenye zimeproduziwa na bonga mimi huzifeel
    Sijui yueka nini kwa beats zake
    Salute to this producer

  • @jasonmonyancha2389
    @jasonmonyancha2389 Před 3 lety +5

    The most underrated bongo musician from Tanzania🔥moto kama pasi wanakuonea tu we mkali braza from +254

  • @boyfriebizz4163
    @boyfriebizz4163 Před rokem

    Hivi kazi safi sana....pokea mapenzi toka Kenya...ila naomba kama waweza Fanya colabo na blaq diamond ngoma mfano na amapiano.....

  • @arynxbaba9091
    @arynxbaba9091 Před 3 lety +199

    Wew ni zaid ya wote kwenye Nyimbo za maumivu🔥 Nani anakubaliana na mimi??

  • @MariooOfficialMusic
    @MariooOfficialMusic  Před 3 lety +2374

    Leo nimecoment kwenye Video yangu mwenyewe.Sasa mnipe Likes na nyie hahahaha halafu niulizeni chochote kuhusu hii video ntawajibu hapa

  • @amanilaizer2652
    @amanilaizer2652 Před 3 lety +8

    Hivi kweli yupo mwenye roho mbaya kukushinda, maana mi sijaona duniani..# punch line. # Mario is underrated ila ni msanii mkali mno.

  • @JohnKusekwa-jm5ew
    @JohnKusekwa-jm5ew Před měsícem

    Hii ngoma naikubali sana toka niumizwe mpaka leo nikisikiliza hii ngoma nasema wacha aende zake

  • @jbebebashiru2597
    @jbebebashiru2597 Před 4 lety +27

    Me nakupenda sana omary kama mariooo nakupenda sana unajua kuubembeleeza moyo wangu kwa hisia za nyimbo zako .
    Japo najua mapenzi si kwichikwichi ty ila mazoea nimekuzoea.
    #unanionea
    #mchawihawezikuelewa
    #tupe burudni

    • @bakarmalki3896
      @bakarmalki3896 Před 3 lety

      Marioo upo vizuri San mungu hakusimamie katika Kazi yako

  • @elardsilayo534
    @elardsilayo534 Před 4 lety +48

    Mario unafany nn apo we n level nyngne kabsa,bro unajua kuandika,kupangilia,kuimba toka iyo level sio yako

    • @ramathedon4001
      @ramathedon4001 Před 3 lety +1

      aende wapi sasa na mziki wa bongo umejaa fitna na uteam

    • @cdbwoybabe
      @cdbwoybabe Před 3 lety

      I don’t think you have to miss this🤭 just click on link below & follow me boss 👉 instagram.com/dangotegoldz

  • @irinemudasia8387
    @irinemudasia8387 Před 2 lety

    Hivi Leo wanipa moyo,nilimtambua Kama rafiki wa shida na Raha,ila ndo hivo.....🙏

  • @jembelakijiji
    @jembelakijiji Před 3 lety

    waaah kama unaamini kuna kitu inakuja mario ft bonga kuja na like bonga nakuaminia kenya 254 chill bro niombee unanionea basi nipokee na vibao vingine naona sasa mario kqapata producer wa stle yake sasa

  • @kelvinmutagwa1633
    @kelvinmutagwa1633 Před 4 lety +14

    Kaka nyimbo zako za tofauti sanaaaaaaa yni una voko flaniii hviiii daaahh🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @husnashindano1192
    @husnashindano1192 Před 4 lety +63

    Daaah utazani kachukuwa mistari kwenye penzi langu 😢😢😢😢
    Anaye mkubali Mario kama mm gonga like tujuwane 😢😢😢😢

  • @minnahmartin8978
    @minnahmartin8978 Před 3 lety +1

    Big up umenitach sana nataman niweke like 1000000000000 sema nikiweka nikiongeza inatoka yaan nakubali saana kama kuachana nimekubali

  • @abcbbc6562
    @abcbbc6562 Před 3 lety +5

    Am chimamy from Kenya aki marioo unafanya nitowe machozi ninapo sikiliza hii song aki nikama umeniimba mimi nakupenda bure bro

  • @johnsaid9525
    @johnsaid9525 Před 4 lety +58

    Jaman tulioguswa hapa tujuane.#Unanionea🔥🔥🔥🔥

  • @sampaulyahekkima7025
    @sampaulyahekkima7025 Před 4 lety +82

    Man who never disappoint ..from +254 kama unakauli moja na mimi piga like tukisoga

  • @kelvinemedy6524
    @kelvinemedy6524 Před 3 lety

    Nakukubali sana marioo,,,wewe ndie msanii ambae kwa kila nyimbo huhitowayo lazima chozi linitoke mzeee

  • @mapishisimple7754
    @mapishisimple7754 Před 3 lety +21

    I just love this song, it hits different. Wakenya 🇰🇪 likes za Mario hapa

  • @rmags8654
    @rmags8654 Před 4 lety +129

    Tanzania to the world!! Keep pushing our local language Swahili to the world...wataelewa tu!! We are proud of you Marioo..🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @tomsticky3124
      @tomsticky3124 Před rokem +1

      Chingo

    • @berthatz
      @berthatz Před rokem

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️💪🏾💪🏾

  • @Leentz
    @Leentz Před 3 lety +74

    Kutoka moyoni mwangu. We ni mkali sana. Keep good music alive.

  • @alymakasi7722
    @alymakasi7722 Před 2 lety

    Hapa umecheze marioo hii songo yanigusa pia mshikaji wangu🙏🙏

  • @weezybaby8693
    @weezybaby8693 Před 3 lety +1

    Kweli kaka nizaidi ya uwezo maisha yangu ndo vile unavo imba kila siku

  • @allpotentials8420
    @allpotentials8420 Před 3 lety +352

    Daah nahisi kulia haki yani,,,dah bro unaimba kinachonitokea right now😪😪😭. "Ananifanya nione mapenzi mabaya wakati kwak nd pa kuponea." Nipeni like 30 bas labda moyo utatulia😭😭😭😭

    • @ilumohamed246
      @ilumohamed246 Před 3 lety +2

      Pole

    • @godinhogaucho8489
      @godinhogaucho8489 Před 3 lety +1

      Ni yeye

    • @josephshidukiseni8758
      @josephshidukiseni8758 Před 3 lety +2

      Daaah polee mwenetuuu sema nn marioo katembea mulee muleee kama vp tusebenzee tu kiainaa mwenetuu

    • @upendokimario8988
      @upendokimario8988 Před 3 lety +1

      Hahahahahahaha umepata 80 maumivu yamekata

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 Před 3 lety +2

      Pole sana. Ndivyo yalivyo mapenzi.
      Bonyeza link hii uitazame hii video, naamin kwa kiasi kikubwa itaufariji mtima
      czcams.com/video/_vGu4l1MoMw/video.html

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Před 4 lety +157

    Mafans wa marioo mko wapi . Enjoy good music🌹❤🌹

  • @joytaura1953
    @joytaura1953 Před 3 lety +1

    Leo najikuta nalia...kuna watu kweli wana roho mbaya

  • @mariamkapesa9154
    @mariamkapesa9154 Před 3 lety

    Hongera sana me nakukubali sana💪🏻ombi langu kwako naomba usije ukalewa sifa endelea hivyo hivyo...kama wakina fulani sasa hivi hawaimbi tena kwa hisia...ila sifa sasa ndo zinawaponza

  • @pltnumzlikes5337
    @pltnumzlikes5337 Před 3 lety +5

    Nimemkubali sana kwa moyo wangu wote. Wangapi wanasema marioo adumuu milelee 🌍🐯🦁🦁🤗

  • @maingejuma6747
    @maingejuma6747 Před 4 lety +81

    Hivi bongo mbona mwanitia wivu. Good song wallah🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jerryjerrie8957
    @jerryjerrie8957 Před 3 měsíci +1

    Marioo Marioo Marioo 🥵🥵🥵
    Hii ni kali brathe 🔥🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾
    I salute u man..hapa ulijituma vilivyo..
    Kali kuliko yako na Nadia 😂😂
    Skrrrrra!!!

  • @salumunyomolelo1860
    @salumunyomolelo1860 Před 3 lety

    Aisee broo kama huwa unachungulia mioyo ya watu maana unagusa mule mule👊🏻👊🏻👊🏻

  • @allymor9611
    @allymor9611 Před 4 lety +13

    Weeee msengee unajuwaa sanaaaa marioo🔥🔥🔥📺🎤🎧🎧😍

  • @octavehalisi9973
    @octavehalisi9973 Před 4 lety +44

    You know how to compose, write, and even to sing. This is more than a music to listen, ni nzuri kupita maelezo.
    Hongera kwa kazi nzuri

  • @beatricemwacha447
    @beatricemwacha447 Před 3 lety

    Unanifanya nadata Sana na nyimbo zako sichoki kumsikilizaa .kazi nzur nimeipendaa mno umesema kweli kabisa( Unanioea .)

  • @simonkefa2772
    @simonkefa2772 Před rokem +76

    Rip to our exs who left us for no apparent reasons,we healed and moved on

    • @simonkefa2772
      @simonkefa2772 Před 11 měsíci +1

      I can't believe I healed completely nothing lasts forever

    • @birih8801
      @birih8801 Před 14 dny

      ​@@simonkefa2772good for you 🎉

  • @calmininyobrown8751
    @calmininyobrown8751 Před 4 lety +5

    😭😭 kila nikiumizwa marioo ndo mfariji wangu #godBlessMarioo😭

    • @calmininyobrown8751
      @calmininyobrown8751 Před 4 lety +1

      @Yóùñg Mìddó Mùssá 😭😭😭 napiga cm yake anampa mpenz wake mpya anitukane😭😭😭 but marioo ananifariji 😭😭

    • @calmininyobrown8751
      @calmininyobrown8751 Před 4 lety

      😭😭 shkamoo mapenzi

  • @floydtowo114
    @floydtowo114 Před 4 lety +244

    Wow I love the beats, I don't understand what he's saying but am feeling this for real, african artists always underrated but keep showing the world what you are made of, big up Africa one love 🌹

    • @krisongalax1736
      @krisongalax1736 Před 4 lety +3

      One love from Tanzania

    • @Salehmakwaya
      @Salehmakwaya Před 4 lety +3

      Translate this song....best luv song 2020

    • @AishaAli-lk7gh
      @AishaAli-lk7gh Před 4 lety +2

      one.love from Kenya

    • @krisongalax1736
      @krisongalax1736 Před 4 lety +2

      You know TANZANIA we got the artists 🔥💥 that make Africa proud

    • @cdbwoybabe
      @cdbwoybabe Před 3 lety

      I don’t think you have to miss this🤭 just click on link below & follow me boss 👉 instagram.com/dangotegoldz

  • @nyenzenyenze4677
    @nyenzenyenze4677 Před 2 lety

    Best..fanya ngoma kama hizi..achana na hao akina mapiano..utakubali ikipita miaka 10..wew utakumbukwa kama legend.utaacha legacy kwny music..hata mr nice amesahaulika kwa sababu aliimba vitu vyepesi..lakin alionekana bora kwa kpind kile..

  • @abdulwahidmsellem1964
    @abdulwahidmsellem1964 Před 2 lety +3

    Ukopoa sana yaani, song zako lazma zigonge kwenye maisha ya mapenzi 👊👍🇹🇿 big up broo

  • @thisisbiggie3886
    @thisisbiggie3886 Před 4 lety +11

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽MariooTz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    Hii Nzitoo Current Favourite 💯💯💯

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 Před 4 lety +14

    Kama unamini kuwa marioo, ni wakuonewa na ni mzuri akiliya weka like twende😀😀😀😀

  • @KevoMazziwa
    @KevoMazziwa Před 3 lety +28

    Whoever is reading this: Your skin isn’t paper don’t cut it Your body isn’t a book don’t judge it Your heart isn’t a door don’t lock it Your life isn’t a movie don’t end it you’re beautiful be you...stay safe (By the way I’m also a small CZcamsr looking for your support) I didn’t create this quote just wanna spread positivity

  • @pierreyava4560
    @pierreyava4560 Před 3 lety

    Hii nyimbo aisee sitoacha kuisikiliza maana dah....!
    Marioo asante bhana

  • @sharazaahussein4381
    @sharazaahussein4381 Před 4 lety +42

    Wapi like za Mario all the wa from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @taubabe2345
    @taubabe2345 Před 4 lety +17

    Oman 🇴🇲 gonga like kwa 𝐎𝐦𝐦𝐲 ake ❤️❤️❤️🌹🌎nakupenda jamani we kaka

  • @123nyanguka-xj2ox
    @123nyanguka-xj2ox Před 7 měsíci +1

    Daaah mapenzi kazi ukipenda sana ndio unachukuliwa mpweke zaidi wacha nijipende

  • @nadiaaruberi4194
    @nadiaaruberi4194 Před 2 lety

    🧕😢😢👂👂👍👍Safi sana kwa nyimbo nzuri una nikumbusha mengi 💔😭🧕💓🔥

  • @latifanasibu2089
    @latifanasibu2089 Před 4 lety +29

    Atariiiii vi mistar vyako ni ttz 🙉🙉♨️🤦🏿‍♀️

  • @shebeboy2423
    @shebeboy2423 Před 4 lety +19

    Anae mkubari marioo like kamazote fanyeni ivyo bas wadauuu juuu sikuzote

    • @cdbwoybabe
      @cdbwoybabe Před 3 lety

      I don’t think you have to miss this🤭 just click on link below & follow me boss 👉 instagram.com/dangotegoldz

  • @gracendonde5844
    @gracendonde5844 Před 3 lety +19

    Jaman ebu nipeni like maana ujamaa uwa ananigusa sna me!

  • @mwanaidiabdallah3297
    @mwanaidiabdallah3297 Před 3 lety

    Hii nyimbo hua yaniliza mm dhuuuu mariooo mungu akuekee😭😭

  • @bilhamuthini1141
    @bilhamuthini1141 Před 4 lety +178

    This song is just something else,
    It just gets to hit some nearves in a persons life , ,especially those who have been heartbroken

  • @allyabubakar767
    @allyabubakar767 Před 4 lety +55

    The future of bongo flavor is in good hands... keep up with the good music Marioo!!!

  • @floranceowiti1198
    @floranceowiti1198 Před 2 lety +2

    inatosha landed me to unanionea. kwa kweli nyimbo zako zatuliza moyo..i can now move on after listening to your wonderful songs.

  • @dorkassimbeye123
    @dorkassimbeye123 Před 3 lety +19

    Tunao onewa tujuane hapa 😢 😢 😢

  • @raychelflavian7186
    @raychelflavian7186 Před 4 lety +15

    Crushie 😭😪❤️
    Marry me😂✊♥️
    Utakuwa unaugua😪

  • @onesmusmuchai5991
    @onesmusmuchai5991 Před 4 lety +31

    Marioo very independent musician magical hardwork, thumbs up bro

  • @hamzeabaaz2073
    @hamzeabaaz2073 Před 2 lety +7

    This song has never gets old really Tanzanian language absolutely perfect I love it unanionea 👏🤣🤣👌 from somalia 🇸🇴🖐️🖐️🙏

  • @user-rt3tl6xu7e
    @user-rt3tl6xu7e Před 2 měsíci +1

    Kweli unafanya niamini mapenzi mabaya daaah inauma sana big❤❤❤❤❤❤ Mario hii niyaukweli mazeee

  • @elinasamji495
    @elinasamji495 Před 3 lety +10

    Waooooo! Kama umeguswa penyewe like

  • @zulekharamadhan5612
    @zulekharamadhan5612 Před 4 lety +8

    Lakini Marioo wewee utaniuaa....unajua!!😭

  • @husseinallly9681
    @husseinallly9681 Před 3 lety +1

    Una kipajiii marioooo we ni hatareeeee sana ma men endelea kupambanaaaa utafika mbaliiii mnooooooooooo

  • @dianahmiaka3156
    @dianahmiaka3156 Před 3 lety +29

    8 months later and I am here enjoying this song like never before 😢💔...

  • @naheemjaffar4581
    @naheemjaffar4581 Před 3 lety +41

    "Marioo umekuwa wapi hizi siku zote?" Hili ni swali sote tunamuuliza, huyu kijana ni fundi hatari. Umeshinda kaka!

  • @aligeax5210
    @aligeax5210 Před 4 lety +43

    WAPI LIKES ZA MARIOO KUTOKA KENYA

  • @yasinikazua3329
    @yasinikazua3329 Před 3 lety +1

    Daaaah marioo hili goma umeimbaa aisee inanifanya nikumbk mbalii saanaa

  • @magrethkasembe2789
    @magrethkasembe2789 Před 3 lety

    We binadamu Mungu amekupa kipaji nyimbo zote zinabamba

  • @sebamabee5228
    @sebamabee5228 Před 4 lety +3

    Ngoma kubwa mzee, Utunzi wa hatari, Vocal ni balaaa.Mario 🙌🙌

  • @lindaodhiambo8845
    @lindaodhiambo8845 Před 4 lety +8

    Naomba likes all the way from Kenya😘😘Marioo to the top💪

  • @esthermose042
    @esthermose042 Před 3 lety

    Hii nyimbo huwa naisikia mara mbilimbili ukweri kwangu haichuji arafu jamaa namkubali sanaaaaaaaaaaaaaaa

  • @elizabethndenga9575
    @elizabethndenga9575 Před 3 lety

    Good sana ngoma kali sana yenye isia kali yenye kusisimua mungu azidi kuinua kazi yako uendelee kufanya vizur zaid kaka