Find 10 answers to most frequent asked questions about macadamia farming in Tanzania

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 08. 2024
  • Karibu sana hapa ‪@macadamiaAfrica‬
    nimewaandalia makala fupi inayotokana na maswali 10 yanayoulizwa mara kwa mara na wakulima au wadau wa makadamia nchini Tanzania.
    Kwa urahisi wa kujua kilichomo kwenye makala hii
    1. Utangulizi
    2. Soko lake lipoje duniani na Tanzania?
    3. Maeneo gani yanafaa kulimwa kwa Tanzania?
    4. Gharama kwa ekari moja ipoje?
    5. Bei ya mche mmoja na aina ya miti inayofaa?
    6. Nafasi nzuri ni ipi?
    7. Je! Murang'a 20 ni nzuri? vipi kuhusu aina nyingine?
    8. Umwagiliaji wa miti upoje?
    9. Wadudu, Magonjwa na mahitaji ya mbolea je?
    10. Ushauri wako wa Jumla na Jinsi ya kukupata mtaalam?
    Welcome here ‎@MacadamiaAfrica I have prepared a short article based on 10 questions frequently asked by farmers or macadamia stakeholders in Tanzania.
    For ease of knowing what is in this video
    1. Introduction
    2. How is its market in the world and Tanzania?
    3. Which areas should be farmed in Tanzania?
    4. What is the cost per acre?
    5. The price of one seedling and the right type of seedling?
    6. What is the best spacing?
    7. Murang'a 20 is it good variety? what about other varieties?
    8. Frequency of irrigation, water requirement?
    9. Insects, diseases and fertilizer requirements?
    10. Your General Advice and How to find you for expert advise?
    #KilimoNiMaarifa#kilimoChaMakadamia#Tanzania, #UshauriMacadamiaAfrica#maarifaShirikishi

Komentáře • 23

  • @AcousticTubeTz
    @AcousticTubeTz Před 9 měsíci +1

    nice thanks for sharing this @macadamiaAfrica

  • @crackadamia9583
    @crackadamia9583 Před 3 měsíci +1

    We are proud to support African growers and especially Ugandan orchardists with our Crackadamia nut dehuskers and crackers that we have supplied throughout the continent.

  • @Gr9814
    @Gr9814 Před rokem +1

    Thank you for this knowledge

  • @frazieroyier1151
    @frazieroyier1151 Před rokem +1

    Very useful information. Thanks

  • @salimnazir6000
    @salimnazir6000 Před rokem +1

    Emma elimu ume gawa ya kutosha shukran

  • @rahadianmelani6439
    @rahadianmelani6439 Před rokem +1

    Assalamualaikum,apa dari biji tinggi pohon sebesar itu? Atau okulasi,saya dari Indonesia

  • @dorahmcharo3083
    @dorahmcharo3083 Před rokem +1

    Mbegu tunapataje na je maeneo ya pwani linakubali?

    • @macadamiaAfrica
      @macadamiaAfrica  Před rokem

      Maeneo ya pwani sina uhakika ndugu..miche ipo unaweza kupata nitafute tu 0765244541

  • @laonongtrendinhdk
    @laonongtrendinhdk Před 8 měsíci +1

    giống maca gì ạ? rất đẹp. tôi cũng là nông dân trồng macadamia nguồn gốc từ úc, có nhiều video các bạn có thể vào kênh của tôi để chung ta chia sẻ học hỏi ạ

  • @davidisaack4047
    @davidisaack4047 Před rokem +1

    Asante kwa elimu kubwa uliyotoa japo huku recomend ni variety gani inastwawi kwa tanzania??

    • @macadamiaAfrica
      @macadamiaAfrica  Před rokem +1

      Karibu sana Bwana David, kwa ushauri wa variety nitafute inbox (0765 244 541)

    • @davidisaack4047
      @davidisaack4047 Před rokem +1

      @@macadamiaAfrica nitafanya hivyo

  • @fasalimwenzegule3599
    @fasalimwenzegule3599 Před rokem +1

    nice video, I wanted to ask species of macadamia called 'beaumont macadamia' inaweza patikana?

    • @macadamiaAfrica
      @macadamiaAfrica  Před rokem +1

      Asante sana..ndio inapatikana

    • @macadamiaAfrica
      @macadamiaAfrica  Před rokem

      other names of Beaumont variety is 695, actually is the hybrid of Integrifolia and Tetraphylla species...

  • @manadamatu-heluvahotu
    @manadamatu-heluvahotu Před rokem +1

    Iam from India, I wanto plants macadamia how it's Prosse

    • @macadamiaAfrica
      @macadamiaAfrica  Před rokem +1

      Hi Naveen, thank you for your comment, please check me inbox whatsApp +255 765 244 541 for more discussion, thanks