MZEE SAID | HIZI THANK YOU ZINACHELEWA | SAIDO PA OMARY WANASUBIRI NINI? MWAMNYETO HAPANA HATUFAI😕

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 06. 2024

Komentáře • 161

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 Před 9 dny +48

    Chagamba huyu mzee inabd umzingatie anatufanya ni moja kati ya watu wanaokupa content na moja ya watu wanaofanya tukufatilie😊🎉🎉🎉

    • @abdulrazaqkatoma5648
      @abdulrazaqkatoma5648 Před 8 dny

      Kweli kbsa😂😂😂😂

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 Před 8 dny

      Ni kweli kabsa, tuko wengi sana, amshikilie sana mzee saidi mwingine ni miraji, media nyingine wakimpandia dau tu ni hatar😅

    • @mahmoudaziz4717
      @mahmoudaziz4717 Před 7 dny

      Kweli kabisa

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq Před 7 dny

      Kweli kabisa me leo sikuwa na mpango wakunua bando nliposikia mzee said kajojiwa nimenunua chap😅

    • @bobking481
      @bobking481 Před 5 dny

      Me naomba kujua, hiv mzee said huwa anapata chochote akihojiwa au mamagwemamagweee 😅

  • @piuskazibure4944
    @piuskazibure4944 Před 9 dny +20

    Yaan Mzee said hataki kabisa kumsikia wajina wake saidoo anabaki msimbaz

  • @eliahwanda5816
    @eliahwanda5816 Před 8 dny +12

    mwambie mzee said asikope pesa ya kuku ntamtumia mimi siku saidoo anapewa THANK YOU

  • @SundaySiame-ir9ll
    @SundaySiame-ir9ll Před 9 dny +12

    Mzee..Said.mungu.akupe.uzima.milele.mana.unatupa.flaa.sana..

  • @a.m.spresentjb9014
    @a.m.spresentjb9014 Před 8 dny +7

    Mimi ni mtu wa yanga napenda nimtumie gift 🎁 Mzee Saidi

  • @tonijr8229
    @tonijr8229 Před 8 dny +12

    Saidoo tayr bado jobe ili mzee saidi aanze kunenepa😅😅😅

  • @RahmaMadani-gy6ge
    @RahmaMadani-gy6ge Před 9 dny +23

    Mzeee side wajina wa Saidooo like zake jaman zije kwangu

  • @Fundirichie
    @Fundirichie Před 8 dny +10

    Saido naye kapewa THANK YOU

  • @adamkihile2596
    @adamkihile2596 Před 9 dny +20

    Naomba kupatiwa namba ya mzee Saidi nina zawadi yake napendaga anavyochambua na kuongea kwake tafadhali. NAITWA ADAM. K.

    • @user-lc6te2pe2l
      @user-lc6te2pe2l Před 8 dny +1

      Mpeni namba jamani

    • @josephmandala2225
      @josephmandala2225 Před 8 dny +1

      Chukua hiyo number hapo mpigie CHAGAMBA moja kwa moja atakupa namba yake kirahisi tu , tumkumbuke mzee Said .

    • @TmKt-kx7pq
      @TmKt-kx7pq Před 7 dny

      Chagamba hili ombi tunampa kila siku hatekelezi

  • @SafiaWimana
    @SafiaWimana Před 9 dny +14

    Jamani mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @patrickmukundichalamila3038

    Mzee Said nkikuskia tuu safari yangu naitembea usiku alafu naweka mahojiano yako naunganisha kwenye Bluetooth na speaker za radio ya gari basiii nakula zangu burudaaaaani😂😂😂

  • @JohnsonAmos-py3wf
    @JohnsonAmos-py3wf Před 8 dny +2

    prezee chee pereee cheleee daaah mzee saidii😂😂😂😂😂

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 Před 8 dny +3

    mZee said 😅😅😅watuvunja mbavu et goli nilibaki tu ayaaaa goli 😅😅😅 comedy sana na Saido kaachwa sasa kesho 12 mapema tu😂😂❤❤❤

  • @SuleimanMohamed-kw4gh
    @SuleimanMohamed-kw4gh Před 8 dny +7

    Chagamba mtafute mzee saidi tayari huku mtu wake saido kashapaa 😅😅😅

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Před 9 dny +8

    Huyu Mzee Uwaga Ananitowa Stress Kwa Kwelii❤🎉😂😂

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 8 dny +12

    Aziz ni kweli alikuwa dodoma na diarra walialikwa na Antony Mavunde kwenye mech ya hisani tena akatupia attrck 2 na mipira yote 2 kamzawadia mheshimiwa

  • @ngido255
    @ngido255 Před 8 dny +8

    Saidoo ashapewa thank you mzee said atafurah hatar

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 Před 9 dny +6

    Chagamba mtafutie mzee Saidi matangazo anajuwa sana kutufursisha

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 Před 8 dny +5

    Najua mzee said kuanza Sasa utakuwa na furaha sana❤❤❤❤

  • @HappyBeachCoast-ze9bb
    @HappyBeachCoast-ze9bb Před 8 dny +2

    Oya chagamba naomba nitumie namba ya mzee said napenda sana kumsikia huyu mzee

  • @trice_yanga
    @trice_yanga Před 8 dny +4

    kama umechoka kuongea funga kipindi tuondoke😂😂mzee said lawuuuu kaongeza mkataba costo😂

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 Před 8 dny +3

    Yeah ni kweli kabisa JOHN BOKO anastahiri kuagwa na kwa heshima

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Před 9 dny +7

    saido ashaagwa jamn Mzee wetu

  • @emmanuelmnyonzi6143
    @emmanuelmnyonzi6143 Před 8 dny +7

    Number ya huyu mzee naomba nimtumie hela ya kuku

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 8 dny +3

    Ambaye ameambiwa atakuwepo sana ni pa omar jobe ngunguz anasema kuvunja mkataba wake ni vigum

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 Před 9 dny +6

    hatimae karudi tena mzee Saidi

  • @selemanadamu7596
    @selemanadamu7596 Před 8 dny +3

    Kaka Chagamba nakufananisha sana ivi sekondari umesomea Mkoa wa Tabora au maana machoni sio mgeni

  • @rajabumachemba7321
    @rajabumachemba7321 Před 8 dny +2

    Mzee anafraisha sana

  • @lazaroaloyce6649
    @lazaroaloyce6649 Před 9 dny +9

    Simba nguvu moja

  • @adelyevance679
    @adelyevance679 Před 8 dny +2

    Chagamba utakuja kupigwa siku moja mzee hataki kusikia neno saidoo😅😅

  • @Lugano-s9
    @Lugano-s9 Před 7 dny +1

    Eeh!! Chagamba taja halaka😂 mze said umenflahisha sn😢😢😢

  • @SuleimanMohamed-kw4gh
    @SuleimanMohamed-kw4gh Před 9 dny +13

    Ile siku mzee saidi atakuwamba makofi chagamba utajua haujui 😅😅

  • @user-dd3nc9py2i
    @user-dd3nc9py2i Před 8 dny +5

    Hafu Mzee kama komedi iv mana uongeaji wake mpaka ucheke

  • @kyaligonzalouis4663
    @kyaligonzalouis4663 Před 9 dny +5

    Saido Tayari akapewa thank you ,Tunakula wapi kuku mzee Saidi

  • @davihnostephahno269
    @davihnostephahno269 Před 8 dny +1

    Haya saidoo tayari kesho nenda kwa mzee said

  • @marcphd360
    @marcphd360 Před 8 dny +2

    Mzee said🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j Před 8 dny +2

    Haya ni mahojiano bora sana kwakweli

  • @user-zq2tj9gr6r
    @user-zq2tj9gr6r Před 8 dny +7

    Mzee saidi anaita hamisa mobeto 😂😂😂😂

  • @user-cv4yi5hz9b
    @user-cv4yi5hz9b Před 8 dny +2

    Mzee said kama umechoka kuongea nawew funga kipind tuondooke😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🤩🤩🤩🤩

  • @juma6253
    @juma6253 Před 8 dny +3

    Jina sasa shughuli dah mzee side bwana eti anamkono mrefu😅😅😅

  • @mabagamendez1156
    @mabagamendez1156 Před 9 dny +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ xana mzeeehe said nakukubali

  • @boscomshuuke5675
    @boscomshuuke5675 Před 9 dny +4

    mzee said namkubali

  • @Asatheboy-vp3yx
    @Asatheboy-vp3yx Před 8 dny

    Raha sana kumsikiliza mzee said mungu ampe mzee said maisha malefu

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Před 8 dny +7

    Mzee said chonde asije kufungiwa

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 Před 8 dny +2

    😂😂 mzee said nimechoka kuomba no yako kwa chagamba

  • @gaspermathayo5204
    @gaspermathayo5204 Před 8 dny +5

    Saidooooooo😂😂😂😂😂😂😂

  • @mtafyatv
    @mtafyatv Před 8 dny +3

    TUNASUBIRI YA SAIDO 😅😅😅

  • @RauwrencMbwana
    @RauwrencMbwana Před 7 dny

    Mimi mshabiki wa yanga lkn sijawaikosa kumforo huyu Mzee side

  • @IMmedia224
    @IMmedia224 Před 9 dny +5

    Wa kwanza mm

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 Před 6 dny

    Mzee said heshima yako!! Nahakikisha namaliza kaz zngu zote ndo naanza kumuanglia Mzee said

  • @BeckaJunior
    @BeckaJunior Před 8 dny +1

    Chagamba bhana 😂😂 yaaani unapenda sana kumchanganya mzee side 😅😅😅

  • @kelvinkumila4708
    @kelvinkumila4708 Před 8 dny +1

    "THANK YOU SAIDOO" Tunao msubiri mzee Said tujuane hapa!

  • @dinosiasa5600
    @dinosiasa5600 Před 8 dny +1

    mzee Saidi hta nami naumwaaaaaa😅😅😅

  • @jumaiddy441
    @jumaiddy441 Před 8 dny +1

    Saidoo kasepa mzee saidy mnyamwezi mwenzangu

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Před 8 dny +4

    Mzee said mbona mkunde mlimtupa yanga wakamkota na sasa boko

  • @amanimgaya9623
    @amanimgaya9623 Před 8 dny +3

    😅 maguguja

  • @officialdoy-ux8lt
    @officialdoy-ux8lt Před 8 dny +1

    Chagamba saidoo ameshapewa thank you fanya umrudie tufurah

  • @shabanihaji3896
    @shabanihaji3896 Před 8 dny

    Pole mzee said nikwel aupo vzul

  • @user-eh6wn9qf4b
    @user-eh6wn9qf4b Před 8 dny +1

    Tulio kua tumemmiss mzee said tujuane 😂😂😂😂

  • @user-ud5qn3hp7p
    @user-ud5qn3hp7p Před 8 dny +1

    😅😅😅 visigino nbele na vidole nyuma

  • @user-fw6pv8qw3j
    @user-fw6pv8qw3j Před 8 dny +1

    Mzee saidi bana Jin aziz k😅😅

  • @peterjohnnsabimana4932
    @peterjohnnsabimana4932 Před 8 dny +1

    Mzee side kama side mnyamwez

  • @bisejulius4100
    @bisejulius4100 Před 8 dny +1

    Mzee kumbuka yule ni saidi ni somo wako

  • @gelarisjonathan7081
    @gelarisjonathan7081 Před 8 dny +1

    Huyu mzee aongezewe hela

  • @LovenessBakari-j9e
    @LovenessBakari-j9e Před 3 dny

    Huyu mzee na saidoo dah!

  • @EmanweljahazEmanweljahaz

    Mzee said umenichekesha

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Před 8 dny

    Ila mzee Said hatambui mwenye shida Simba, ni Mo! He has not clue

  • @saidmpunga-en6pf
    @saidmpunga-en6pf Před 8 dny +1

    mzee said huyo kijana anakuliwaza tu chama tayali wanaume wamembeba amia na wewe yanga timu ya wanaume

  • @ribambawala
    @ribambawala Před 8 dny

    Kwakweli namkubali sana Hutu mzee

  • @uster-wd2vu
    @uster-wd2vu Před 8 dny +1

    Naomba jaman Mzee Said peke yake ndio ahojiwa masuala ya mpira wetu😂😂😂

  • @LovenessBakari-j9e
    @LovenessBakari-j9e Před 3 dny

    Dah!

  • @BahatiTambula-bz5bs
    @BahatiTambula-bz5bs Před 8 dny

    Hila Mzee saidi hanafulahisha sana

  • @omarimhandomhando3217

    We Chagamba na Mzee Saidi ni Comedy mnafurahisha kipindi kimechangamka Kongole kwenu

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před 3 dny

    Mzee said chama aondoke tu anatumika sana na manala

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 Před 8 dny +1

    Magori siyo muhaya ni mkurya.

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr Před 8 dny +1

    Subutuu kinyamwezi kbsa ahaha

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 Před 8 dny +1

    SUBUUUUTU....😅😂😂

  • @abdulhalimsalim1386
    @abdulhalimsalim1386 Před 8 dny +3

    Mzee said hongera uyanenayo swadakta allah akulinde akupe afya njema na umri mrefu lakini saido teyari kwisha habari yake kuku wetu vipi ss😂😂😂

  • @MuslihiHassan-bi2nj
    @MuslihiHassan-bi2nj Před 8 dny +1

    Pape ndaw Mr hirizo

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před 8 dny +1

    Mzee Said shida mliitengeneza wenyewe, mlipoanza kutangaza mnajiunga na fei kuomba afunge magori mengi. Na sasa mngekuwa ninyi na magori mengi mngeshika nafasi ya pili.

  • @BabuZandar-ee4tg
    @BabuZandar-ee4tg Před 8 dny +1

    Chagamba mbona kigugumizi nondo na job unapita nananiiiii😂😂😂😂

  • @jamesmarumbo6820
    @jamesmarumbo6820 Před 8 dny +1

    Mee said upo vizur

  • @directorwizard7310
    @directorwizard7310 Před 8 dny +1

    CHAGAMBA MWAMBIE MZEE SAID KUWA SAIDO TEALI HUKU😂😂😂😂😂😂😂

  • @Prosperreal
    @Prosperreal Před 6 dny +1

    🎉🎉

  • @KaujuMwakajumba
    @KaujuMwakajumba Před 8 dny +1

    Jamani tumchangie Mzee said apate hata gari la kutembelea ....huyu Huwa ananitoa stress

  • @user-ct3wy7el3e
    @user-ct3wy7el3e Před 9 dny +2

    Chagamba uyumzee anatutoa anatufariji manenoyake usimuaache

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Před 8 dny +1

    Huyu mzee saa ingine khaa😂

  • @FrancisLuhwago-ez1fn
    @FrancisLuhwago-ez1fn Před 8 dny

    Saidoo kapewa thank you mzee said atafutwe tupewe raha ya uchambuzi 😂😂😂

  • @AgripaMugala-sq5vf
    @AgripaMugala-sq5vf Před 7 dny

    Mzeee saidi

  • @user-ct3wy7el3e
    @user-ct3wy7el3e Před 9 dny +1

    Chagamba huyu Mzee usimuache tunamfuatilia sana Mzee said anaweza huyumzee anawanyosha

  • @deogratiouswipson8448

    Yan mzee hapo kwa sakho mwenyew huwaga nakumbuka sana

  • @HappyBeachCoast-ze9bb

    Oya chagamba tuletee huyo mzee said saidoo uko tayali shuliyake ishaisha teal

  • @elizabethywinnie1090
    @elizabethywinnie1090 Před 8 dny

    Mzeee Said ni mbeaaa😂😂😂😂🙌🙌

  • @YassinGofrey
    @YassinGofrey Před 8 dny +1

    Mzee Said shikamoo 🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂

  • @user-vj8pi2wc3z
    @user-vj8pi2wc3z Před 8 dny

    Nikionaga interview za huyu Mzee huwa na enjoy sana😂😂

  • @flaxbeatman
    @flaxbeatman Před 8 dny +1

    funga kipindi chagamba😂😂😂😂😂😂😂

  • @johnmapunda3683
    @johnmapunda3683 Před 8 dny

    Mzee Said dua lako limesikika

  • @jomsafirikajinaki8820
    @jomsafirikajinaki8820 Před 8 dny +1

    Saudade de vovó Saídi.

  • @nicodemaslema9110
    @nicodemaslema9110 Před 7 dny

    Ayaaaaaaa.......goli.......🤣🤣

  • @TmKt-kx7pq
    @TmKt-kx7pq Před 7 dny

    Chagamba tupe namba ya mzee said bhana! Mzee saidi anatakiwa kuhojiwa akiwa na suti