SOUTH AFRIKA: HABARI NI YANGA TU | WAANDISHI WALALAMIKIA USHINDI WA MAMELODI "NI KASHFA KUBWA KWAO"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 04. 2024
  • Sport

Komentáře • 185

  • @AllyKibwe
    @AllyKibwe Před 2 měsíci +23

    Mameroad jina tu timu ndogo sana kwa yanga.

  • @user-ul3uu4rb8l
    @user-ul3uu4rb8l Před 2 měsíci +12

    Yan timu yangu kuzulumiwa goli Mungu anawaona 😢😢😢

  • @user-rr9kv1cu7m
    @user-rr9kv1cu7m Před 2 měsíci +17

    Kuna siku Mamelodi na wote waliosababisha goli kukataliwa Iko siku mtaumizwa na mtaumia vibaya.Mungu atalipa

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 Před 2 měsíci

      Mungu anawalipa yanga ni wahuni kwenye ligi yetu ya bongo

  • @hawajohn749
    @hawajohn749 Před 2 měsíci +15

    Mungu anamakusudi yake hakika haki yetu haitapotea hata kama itapotea mungu atatulipia kisasi

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 2 měsíci +26

    Mashabiki wa huko ni wanamichezo kabisa,ingekuwa huku kibongo bongo,wangesifia ujinga tu.

  • @SizelinaMarolen
    @SizelinaMarolen Před 2 měsíci +21

    Naipenda yanga,nilikua sijui maumivu ya mpira kiukweli zaidi ya ushabiki tu,ila huu mchezo wa juzi umeniuma sana sana moyoni

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Před 2 měsíci +5

    Safi sana Ayoma media, congrats for good interview

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js Před měsícem +2

    Mungu ni wawote nakila chozi lidondokalo mbele ya haki mungu analihifadhi huyo refaly hakika atapata taabu sana

  • @NurdiniRamadhani
    @NurdiniRamadhani Před 2 měsíci +12

    Yaan mamelodi amejishusha sana tena tumemzalau hawana kitu mbwaa haoo

  • @WEREMAMATUTU
    @WEREMAMATUTU Před 2 měsíci +7

    Duh kweli bongo bahati mbaya Hadi kwenye mpira

  • @user-vs5ow5jt1w
    @user-vs5ow5jt1w Před 2 měsíci +9

    Kwa sababu wanahela ndio maana wanakua wadhulumati shauri yao.

  • @user-rr9kv1cu7m
    @user-rr9kv1cu7m Před 2 měsíci +5

    Hakika mungu awatie nguvu wachezaji na viongozi wa timu wa yanga sc Ili lililojitokeza ni kubwa kuno

  • @RahyaSalim
    @RahyaSalim Před 2 měsíci +12

    Asante kijana

  • @ElishaLupimo-jd4mf
    @ElishaLupimo-jd4mf Před 2 měsíci +25

    Yanga mungu awapen nguvu

    • @SizelinaMarolen
      @SizelinaMarolen Před 2 měsíci +1

      Kwakweli

    • @trice_yanga
      @trice_yanga Před 2 měsíci +1

      yani sitamani hata kurudia ule mchezo Kila nikiona viclip chozi linanitoka

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Před 2 měsíci +1

    Imeisha hiyoooo! Refareee hoyeee safi sana

  • @yonamathias6116
    @yonamathias6116 Před měsícem +1

    VIVA YANGA❤

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 Před 2 měsíci +20

    Yanga imefanya tuzungumziwe dunia mzima

    • @petermasanilo732
      @petermasanilo732 Před 2 měsíci +1

      Nani aongelee habari ya goli TU watu wenyewe hawajui hata penati

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      ​@@petermasanilo732WANADHANI WATU HAWA KAZI ZA KUFANYA KAMA WAO MACHOGO FC 😂😂😂😂😂 OUT OUT OUT.

  • @user-wp5kv9sf5o
    @user-wp5kv9sf5o Před 2 měsíci +4

    Nipeni rakizangu hapa❤

  • @user-vs5ow5jt1w
    @user-vs5ow5jt1w Před 2 měsíci +6

    Wataendelea na ufala wao huohuo washenzi wakubwa hao .

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 Před 2 měsíci +21

    Mungu atatulipia

  • @user-bp2cc9eo6g
    @user-bp2cc9eo6g Před 2 měsíci +6

    Mutsepe na Mamelodi yake wote wahuni tu

  • @MTUMZIMADAWA
    @MTUMZIMADAWA Před 2 měsíci +14

    Yaani Mungu anawaona tu 😢😢😢😢

  • @abdulqadirsaid40
    @abdulqadirsaid40 Před 2 měsíci +6

    Wachezaji wabovu na kocha wao mbovu hana mbinu anafungwa ni nusu timu

  • @user-ip2we5uc7n
    @user-ip2we5uc7n Před 2 měsíci +1

    Wametudhulumu Ushindi wetu

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 Před 2 měsíci +17

    Mungu anawaona mamelodi

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 Před 2 měsíci +1

      Na yanga Huwa wanadhulumu sana ligi ya Tanzania sasa wacha na wao wapate Maumivu pumbavu zao

    • @charlestobby6031
      @charlestobby6031 Před 2 měsíci

      ​@@kassidpandu866We ni bwege kweli hebu toa upuuzi wako huku watu wanaongelea tukio la afrika nzima imesimama unaleta upuuzi wako hapa mbwa we,😡😡🖕🖕🖕🖕

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      MACHOGO FC WAMEBAKI KELELE MITAANI TU 😂😂😂😂😂😂

  • @salumunamungulile1645
    @salumunamungulile1645 Před 2 měsíci +3

    Mnasajili wchezaji kwa kiwango kikubwa eti muzitishie timu mtakazo kutana nazo wawaogope kwa uwekezaji huo ni ujinga tu yanga haiangalii ukezaji wako anaangalia hiki kibonde kinauwezo wa kucheza nasi.

  • @joseboy-vp7tc
    @joseboy-vp7tc Před měsícem +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlpherioRambau
    @AlpherioRambau Před 2 měsíci +2

    Je uongozi wa club bingwa wanaichukuliaje?

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Před 2 měsíci +5

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Před 2 měsíci +34

    Nini maana ya kuwa na wachezaji wa ghalama kubwa...wakati unabahatisha ushindi au kununua ushindi ..

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 2 měsíci +1

      ACHENI ujinga nyie lile sio gori ukiangalia vibaya kw haraka haraka utasema gori ila sio gori

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Před 2 měsíci +6

      ​@@salehkhamis3000makolo utayajua tu ukweli watapindisha uwe uongo

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 2 měsíci +2

      @@seciliamchalo5627 ndio maan hat CAF inawaona nyie kwel hamjielewi Yan mnaforce na mnaibishia Hadi VAR kha! Kwel underdog et tumedhulumiwa mpira ulotunda nusu ndan nusu nje hahahahaha Cecelia Kwan unaumia ukiwa wap dada angu

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 Před 2 měsíci +1

      @@salehkhamis3000 ..Ni goli ...Labda macho yako yanahitaji matibabu mpira wote Kwa asilimia mia Moja ulidunda ndani.... Hizo ni papara tu ..

    • @MweucyMweucy
      @MweucyMweucy Před 2 měsíci

      Ila ww kolo ni kichaa, VAR ilitumika wapi hapo,ulimuona refa kajisumbua kwenda kwenye VAR ? Acha kuropoka,kama refa angeenda kwenye VAR angefunika kati mpira​@@salehkhamis3000

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 Před 2 měsíci +3

    Ukwaju unapitia hapa

  • @josephsamwel2845
    @josephsamwel2845 Před 2 měsíci +3

    Salimmalaka tatizo hujui mpira ila kolo koloz

  • @abdallahmwanga5792
    @abdallahmwanga5792 Před měsícem +1

    Ya kaisali.............

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi Před 2 měsíci +11

    Kumbe wamezoea sasa huu ukubwa mnaowapa ni wanini

  • @user-ns2pe8oq4h
    @user-ns2pe8oq4h Před měsícem +1

    Mechi kubwa imepewa hadhi kubwa na kupewa ukubwa wake kua ni derby ya SADC afu mnaleta unazi mnachafua football ya Africa🎉🎉🎉😂😂

  • @RoseNyakowack
    @RoseNyakowack Před měsícem

    inauma lakini mossepe ni mjinnga mwanzo mwisho ata anyang'anye yanga goli awachukuiii

  • @EliaMwita-lw1tg
    @EliaMwita-lw1tg Před měsícem

    Tupeni haki yetu acheni dhuruma hazitawafikisha popote

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před měsícem

    Goli letu daaaaaa

  • @MajuvaBakari
    @MajuvaBakari Před 2 měsíci +10

    Wamebebwa

  • @japhetgoliama
    @japhetgoliama Před 2 měsíci +9

    Nikweli wanajichafua branding yao

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Před 2 měsíci +5

    Simba sport club ❤❤❤❤wakali wa kariakoo

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 Před 2 měsíci +1

      Yanga wanaume pale loftus

    • @Erickmjuni-ev6dc
      @Erickmjuni-ev6dc Před 2 měsíci +1

      Na wewe Nyau umefata nini humu,hapa wanazungumziwa wanaume YANGA

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Před 2 měsíci +2

      Wakali wa kupapaswa na waarabu 😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci

      MACHOGO FC YANATAFUTA HURUMA 😂😂😂😂😂 YAMELIWA KIBOGA 😂😂😂😂 OUT

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      ​​@@Erickmjuni-ev6dcKWANI NYUMBANI KWA MAMAKO HAPA??? MACHOGO FC NYIYE 😂😂😂😂😂 OUT

  • @hajially4527
    @hajially4527 Před 2 měsíci +14

    Mamelod ni kajitimu kadogo tu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Před 2 měsíci +1

      Kubwa ni ipi?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      VP UNATAKA JITI KUBWA?? AU 😂😂😂😂😂😂

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv Před 2 měsíci

      Ukubwa wa timu ni Muda uloanzishwa.... katimu kadogo saana mpira ni HISTORY

  • @user-lm6wc8gw3z
    @user-lm6wc8gw3z Před 2 měsíci

    💔💔💔

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Před 2 měsíci

    Yanga Mungu awazidishie imani yake mikate tamaa Mungu aliwapa gori shetani wa kibinadamu akajitokeza kiuchawiuchawi Mungu yupo na mariponi hapahapatuu siyo mbinguni mtajutua tena mmushukuru ilikua huko kwenu ingekuwa huku kwetu Tanzania sizani kama mungebaki sarama na Tanzania mshukuru ni Mungu kwa kwenda kufanyia huko kwenu

  • @faidha23
    @faidha23 Před 2 měsíci

    Yaani mimi nimeumia sana timu yangu kuzulumiwa gori inaniuma sana ila mamelod hamtafika mbali malipo ni hapa hapa

  • @kessysenga8700
    @kessysenga8700 Před 2 měsíci +15

    Refa hafai yaan kakataa goli na Kona pia haikupigwa

  • @RechoMasunga-rp9dr
    @RechoMasunga-rp9dr Před 2 měsíci

    Yanga mwenyewe Mara ngapi anapewa magoli acheni ujinga

  • @mariamtega4139
    @mariamtega4139 Před 2 měsíci +6

    Kwa wazi goli linaonekana kabisa refa una yako moyoni ,umetia aibu sana

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 2 měsíci

      Sio gori tokean zenu mpira umedunda kwenye mstari ila mnaongea ushabik tu akin sio gori angalien vizuri kweny marudio ya video mtaona mie Mtz akn kiukwel sio gori, ingkuw gori labda kwa Mashujaa au Kagera Suger🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mariamtega4139
      @mariamtega4139 Před 2 měsíci

      @@salehkhamis3000 kumbe umetoq yako ya moyoni na wewe

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 2 měsíci

      @@mariamtega4139 unaumia ukiwa wap Maria

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Před 2 měsíci +8

    Refa alimuogopa mwenye timu ambaye ni mmiliki sandawana

  • @user-bx3kl4hn6j
    @user-bx3kl4hn6j Před 2 měsíci

    Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga yanga mlifunga goli la ulalamishi dhidi ya ihefu na mlishangil Leo inauma

  • @user-ss4ei8wt5g
    @user-ss4ei8wt5g Před 2 měsíci +1

    Mamelody ni azam iliochangamka

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er Před 2 měsíci +1

    One day Yule Gamond mamenlod watamng'oa kwa zile mbinu

  • @KennethNgoleka-fh5mi
    @KennethNgoleka-fh5mi Před 2 měsíci +4

    Amewafedhehesha refa wa soudh yanga ni timu kubwa

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Před 2 měsíci +2

    Tunaomba nusu yetuu jamani Mungu yukowap

  • @user-lc9zf6jw1r
    @user-lc9zf6jw1r Před 2 měsíci +9

    Yanga na nyie mlizembea hamkustahiri mkubali kuendelea na mchezo bila kumshinikiza refa kwenda kuangalia v.a.r

    • @awesoapollo8608
      @awesoapollo8608 Před 2 měsíci +1

      Kweli

    • @trice_yanga
      @trice_yanga Před 2 měsíci +1

      hilo lingekua kosa lingine kugomea mchezo na lina adhabu yake,2019 widady Casablanca dhid ya esperance widay alifunga goli likakataliwa wakagoma kuendelea na mchezo na ilikuwa fainal mkondo wa pili lakini hakuna kilichobadilika, zilipita siku kadhaa esperance akatangazwa bingwa

    • @user-lc9zf6jw1r
      @user-lc9zf6jw1r Před 2 měsíci

      @@trice_yanga ok hapo nimekupata vizuri

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      MACHOGO FC OUT 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @dm_hulsdv86
      @dm_hulsdv86 Před měsícem

      Hata mm niliona hilo

  • @user-uf6oe3qi6v
    @user-uf6oe3qi6v Před 2 měsíci +7

    Sandarasi

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Před 2 měsíci

    refaree alibalance mchezo mamelod walinyimwa penarty na yanga wakanyimwa goal ,sasa ilitakiwa washinde kwene penarty.

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 Před 2 měsíci +1

    Hawafik mbali kbs, dhuluma haifik mbali

  • @SitihalfanStyhalfa
    @SitihalfanStyhalfa Před 2 měsíci +6

    Shame on you mameload...

  • @NasrySuleiman-ke5ie
    @NasrySuleiman-ke5ie Před 2 měsíci +4

    Mamelod is nothing,We dont have faith with them anymore,

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Před 2 měsíci +1

    Mamamelodi kudadadeki zenu masikanyage dar

  • @JohnMakaranga
    @JohnMakaranga Před 2 měsíci +1

    Wamebebw

  • @mcgabby
    @mcgabby Před 2 měsíci +6

    Ni mazala pia ya kua na Captain mpole mpole aliye lala lala pale angemfosi Refa akacheki VAR

    • @hassanndauka9685
      @hassanndauka9685 Před 2 měsíci +2

      Ila ujumbe umewafkia kua Tanzania Kuna yanga 😅😅

    • @uwezaeliyaadam2292
      @uwezaeliyaadam2292 Před 2 měsíci +2

      Angemfata refa tuu kadi nyekundu ndio walitega mtego huo ndio mana hakwenda kuangalia VAR

    • @mcgabby
      @mcgabby Před 2 měsíci +1

      @@hassanndauka9685 Wanaooo saivi tishio na Yanga Sasa😂😂

    • @mcgabby
      @mcgabby Před 2 měsíci +1

      @@uwezaeliyaadam2292 Bora ingekua hivyo ili mjadala ubadilike lile ni Gori au sio Gori na red card imetolewa kinacho fata kugomea tu mchezo kwisha habari ndio zifate adhabu😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      INGE NA ANGE HAISAIDII KITU MACHOGO FC NYINYI 😂😂😂😂 OUT OUT

  • @FatnaMfinanga
    @FatnaMfinanga Před 2 měsíci

    Yanga wenyewe walizinguwa wengetakiwa wasiendelee namchezo wastopu mpaka wakahakiki kwenye v a.r Bora kadi tu kuliko Kunyanganywa ushindi hakika wesingeendelea namchezo

    • @user-xo6bk4te3g
      @user-xo6bk4te3g Před 2 měsíci

      Hapo umenena sana,, walizubaa sana, wangemzonga refa adi akaangalie

  • @JonasJoseph-lx7ns
    @JonasJoseph-lx7ns Před 2 měsíci +3

    Yani niliumia sana hadi nikatamani kutokuwa napenda mpira tena kabisa lakini ndio hivyo kama unaupenda mpira huwezi kuacha tena ila kiukweli maumivu ya uonevu huu kwangu hayatoisha haraka na navuta picha tu kama mm shabiki nahisi hivi je vipi Kwa wachezaji walivyojitoa alafu wananyimwa haki yao nadhani wao wana maumivu zaidi .

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      NDIO MKOME KUTOWA RUSHWA MACHOGO FC NYINYI 😂😂😂😂😂😂 OUT

  • @PeterOchieng-di7my
    @PeterOchieng-di7my Před 2 měsíci

    Hapa Africa kwenye maswala ya competition sana sana swala la Uchaguzi na Mpira ushindi huwa ni ya kutatanisha tu yaani Ushindi wa kulazimisha tu

  • @user-ge3yd1tx5e
    @user-ge3yd1tx5e Před 2 měsíci

    Kweli sema wewe

  • @RaphaelNtandu
    @RaphaelNtandu Před 2 měsíci +2

    Yanga Kama watoto wadogo hawachoki kulia lia hayo mbona ni maswala ya kawaida Sana , yaani kama goli la Max zengeli na ihef ndio hivi hivi tu ni uuzaji na ununuaji

    • @DevidMerikiad
      @DevidMerikiad Před 2 měsíci +2

      Matako yako

    • @user-fe8gq8dy1g
      @user-fe8gq8dy1g Před 2 měsíci +1

      Tumia akili usitumie matako kwn ligi ya Tanzania ina teknolojia ya VAR?

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 2 měsíci

      Umesema kwel malipo hapa hapa duniani wanalia nn sasa, wakat wao Mashujaa, Kagera Suger then now wao wanalia Lia tu tumewachoka sio gori lile mpira haudunda full ndan ulidunda ila ulikuw nusu ndan nusu ndan ya star hiyo ndio tafsir ya VAR akn Hawa wanaongea ushabiki tu kisa wamekosa ushindi rudin kweny bahasha zetu Huku mtu anashika nje ya 18 penat

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Před 2 měsíci +1

      ​@@salehkhamis3000mnateseka sana madunduka Ila ukweli ndio huo mtake msitake watu lazima waongee

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Před 2 měsíci

      @@seciliamchalo5627 unateseka ukiwa wap mwanadada

  • @user-ky1rl8mb8s
    @user-ky1rl8mb8s Před 2 měsíci

    Sisi tulilogwa na nan??

  • @user-eg9jq5ny3n
    @user-eg9jq5ny3n Před 2 měsíci +3

    Mechi irudiwe kwenye uwanja huru tuone mwenyemsuriiiii

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      UNADHANI WATU HAWANA KAZI ZA KUFANYA KAMA NYIE MACHOGO FC 😂😂😂😂😂 OUT IMEENDA HIYO.

  • @anthonymsemakweli9250
    @anthonymsemakweli9250 Před 2 měsíci

    Na nyie mnakera. Mbona hamkufunga penalties

  • @trice_yanga
    @trice_yanga Před 2 měsíci +2

    sijui hii itanitoka lini kichwani moyo unauma sana

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf Před 2 měsíci

      Me moyo unaumaa mpaka Leo,,Bora tungetolewa kihaki moyo ungeumia lkn sio Kwa Namna hii dhulma ya waziwazi😢😢😢,,

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      KAZAENI MTOWE MACHUNGU 😂😂😂😂😂 MMELIWA KIBOGA MACHOGO FC

    • @trice_yanga
      @trice_yanga Před 2 měsíci

      @@salimmalaka256 we Kuma acha usenge

    • @mariamseleman4631
      @mariamseleman4631 Před 2 měsíci

      ​@@salimmalaka256mbona umekaza fuvu km mamelod ni tim ya ukoo wenu mmeliwa kiboga mbele na nyuma na waarabu mbona hamsem kula chuma hicho 5G🖐️🖐️🖐️🖐️

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      @@mariamseleman4631 FUTARI MIHOGOO DAKU MIHOGOO MATOPOLO MMEOTA MACHOGO MMEOTA MACHOGO HAHAHAAA

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Před 2 měsíci +1

    MUNGU Mkubwa... Tanzania and south africa forever......

  • @SimonAmos-no9sk
    @SimonAmos-no9sk Před 2 měsíci

    Yashapita tugange yajayo

  • @user-no3mx5qe3x
    @user-no3mx5qe3x Před 2 měsíci +1

    Wamemloga mamaako au

  • @mohamediyusuph5527
    @mohamediyusuph5527 Před 2 měsíci +1

    Yanga jamani hawamalizi jambo , yameshapita

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

    MACHOGO FC OUT MTABAKI KELELE MITAANI 😂😂😂😂😂😂 IMEENDA HIYO 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOO

  • @ContactDageno-gf1tw
    @ContactDageno-gf1tw Před 2 měsíci +1

    Mlitakiwa mfungwe 7 , sema majini yamepunguza magoli

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 měsíci +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @chondecannibal6108
      @chondecannibal6108 Před 2 měsíci

      Hilo goli moja ndio waliopata? Hii ndio Yanga

  • @ContactDageno-gf1tw
    @ContactDageno-gf1tw Před 2 měsíci

    Hakuna goli , sema Yanga ni wageni kwenye hizi stage , tulieni dawa iwaingie

  • @ContactDageno-gf1tw
    @ContactDageno-gf1tw Před 2 měsíci

    Mlifikiri zile bahasha zenu huku zinatosha , Majini fc , Ndo kwanza mnajifunza

    • @mariamseleman4631
      @mariamseleman4631 Před 2 měsíci

      Kawaulize wa south màana nao pia wanalalamika🖐️🖐️🖐️

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 Před 2 měsíci

      Na nyiye mngetoa bahasha kama ni rahisi mnasajili mazee yanga ikishinda mnasema bahasha,pooen madunduka kolokwinyo mmepigwa nje ndani na waarabu

    • @zawadimasebo2201
      @zawadimasebo2201 Před 2 měsíci

      Hujielewi kabisa

  • @ContactDageno-gf1tw
    @ContactDageno-gf1tw Před 2 měsíci +1

    Yanga wamezoea Kuloga na Kinunua game . Laaana za michezo yenu ya Kijinga. .

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi Před 2 měsíci +1

      Simba Ina laana gani maana Kila cku ni mwakarobo?

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 Před 2 měsíci +1

      Simba yenu ina laana kila safar mwaka robo

    • @user-mu3nm8iy7w
      @user-mu3nm8iy7w Před 2 měsíci +1

      Kati ya hao wawili laana ipo upande upi maana we unajiita mzoefu wa mashindano hayo lakini hujawahivuka nan mwenye laana????

    • @moseswillbert1847
      @moseswillbert1847 Před 2 měsíci

      Narrow thinking capacity

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 Před 2 měsíci +6

    Aisee Yanga ni wanaume, nini fanya hile kocha yao onekana bure kabisa na toto dogo kimbinu sasa?

  • @user-uf6oe3qi6v
    @user-uf6oe3qi6v Před 2 měsíci +2

    Sandarasi