MRADI WA UJENZI KONGANI YA VIWANDA SINO TAN, TRILIONI 15 KUKUSANYWA, UWEKEZAJI MKUBWA WAFANYIKA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 08. 2023

Komentáře • 26

  • @khadijaabdalla1011

    Industrial park ndio imefanya china ikaendelea sana. Ni mwanzo mzuri kwa nchi yetu. We need one in each zone so that we can realize our vision

  • @modestwenceslaus9

    Huu ndiyo uwekezaji hasa unaotakiwa na Watanzania

  • @elinamilyatuu7337

    Faida nazoziona za moja kwa moja kwa mtz ni ajira

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 Před 14 hodinami

    Tukanunue viwanja uko mapema kabra avijapanda bei

  • @officialbravetz2539

    2028 dah 😪 Mbona Mbali sana Aisee 🙄

  • @mndambokilavo2502

    Kwa hiyo watu vyuo vikuu hawarusiwi kuja kujifunza

  • @chayogasperi9783

    Ni wapi hapa ??

  • @alexmalyango1405

    Hahahaha watalisha nchi ngapi huo niuongo haijaenda aise hio imebuma

  • @vicentchuwa2687

    Uganda tayari washatangulia

  • @haroldmabwe1436

    Kuzitamka trillion 15 okay... issues zinaleta matokeo gani Kwa raia wake? Governance is about results not performance alone ..watu wanataka kuona matokeo ...unaweza kujinadi kukusanya matrillion ya kodi kama hazileti matokeo hizo zinabaki kuwa nyimbo tu...kumbuka tulivyoahidiwa gesi ya mtwara na faida lukuki zilizonadiwa...kikowapi? Tunahitaji utayari na udhubutu wa viongozi wetu katika kusimamia utelekelezaji wa haya yote.

  • @FranceChihongo-qu5nn

    Mkoa Gani huu kumewekwa hivi viwanda...?

  • @Hillary_Daudi_Mrema

    China na Urusi ndiyo Marafiki wa Afrika. Uchumi wa Viwanda unakuwa kwa kasi kupitia Uwekezaji kama huu katika Sekta Binafsi na Bandari kupitia DP World Iendelee ili tufikie Malengo ya Tanzania ya Viwanda. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿