🚨Ukweli sakata la Aziz ki kuondoka Yanga,Alikamwe Afunguka haya,Je Yanga kumuacha?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 05. 2024
  • #yangafc #yangatv #youtube #simbaislive #simbatanzania #ahmedally #alikamwe #youtube #yangafc

Komentáře • 26

  • @chedielmchangila3971
    @chedielmchangila3971 Před 20 dny +3

    Safi sana kamwe

  • @361NEWS
    @361NEWS Před 19 dny

    🔥🔥🔥

  • @vincentakulumuka4961
    @vincentakulumuka4961 Před 20 dny +3

    GJ sio wakala, ni meneja na ana elimu ndogo sana kuhusu player transfers

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 Před 20 dny +5

    Ally unaongea kwa hekma sana umewapasha hao wanafki

  • @mindasimsbf.2199
    @mindasimsbf.2199 Před 20 dny +3

    GJ ni Mshikaji wetu Lakini tunajua upande wake kwenye suala hili,kikubwa awe mpole tu,Mpira ni Biashara!

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Před 19 dny

    Kamwe umeongeya vizuri sana suala la azizi 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Před 20 dny +3

    HONGERA KAMWE UMEMPA SOMO ZURI HUYO MBUGILA JOB ...

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před 20 dny +2

    Kamwe umemkanda job vizuri sana, nafikiri Sindano imempata.Hata ukiwa meneja wa timu mchezaji akikataa wewe kama meneja utafanya nini?.

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 Před 20 dny +1

    Kamwe kaongea point sana

  • @paulclementmakune3661
    @paulclementmakune3661 Před 20 dny +2

    Mess aliuzwa Dollar ngp kwenda PSG kama sio bure

  • @paulclementmakune3661
    @paulclementmakune3661 Před 20 dny +2

    Hawa wapuuzi2, Hans Rafael wafundishe wenzio nmna ya kuongea, kutoka free sio kosa hata kidogo

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před 20 dny +2

    Kumbe job naye siyo mwelewa?.

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před 20 dny +1

    Nafikiri kazi zimewashinda, kati yenu mlianza kuisema na kuikatisha tamaa Yanga, lakini mliambulia zerooooooooo.

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g Před 18 dny

    Job baada yakukandwa katulia tuli anasikilizia mpenyo wasindano unavyopenwa kwenye tako🤣🤣🤣🤣

  • @JosephMwakitega
    @JosephMwakitega Před 20 dny +1

    Ally kamwe nimekuelewa mpeleke darasani huyo jobu maana anaongea kama naye ni msemaji wa klabu.

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 Před 20 dny +1

    Mimi Simba ila huyo mchambuzi kaferi hayo kauli

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 Před 18 dny

    George job😂😂😂 too much biased

  • @AbdallaJuma-ch8yg
    @AbdallaJuma-ch8yg Před 20 dny

    Huyu jamaa wanaonekana wot wachumba w diamond na wanaonekana wapo tyr ht kuuza familia zao kw pesa yaan hawana uchambuz zaid y kuongea pesa ambazo hawana umilik nazo😂😂😂

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 Před 20 dny

    Wakala anatoa kauli kama hana elimu na anachofanya,

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Před 20 dny

    JOB GEORGE NAE WAKATI MWINGINE HUWA ANAONGEA PUMBA TU,UNAWALAUMU VP VIONGOZI WA CLAB KAMA MCHEZAJI ANAHITAJI GHARAMA KUBWA KULIKO UWEZO WA CLAB?

  • @AbdallaJuma-ch8yg
    @AbdallaJuma-ch8yg Před 20 dny

    Hv km baba yk mzaz amekosa mkate mama yk amshatak maan ameoa kw matakwa yake. Acha ujinga kuongea pumba....

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Před 20 dny

    MBONA PSG MBAPE ANAONDOKA FREE AGENT HUTAWASIKII WACHAMBUZI HUKO UFARANSA WAKISEMA VIONGOZI WA PSG WAFUNGULIWE KESI? JOB ACHA UPUUZI

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 19 dny

    Hata tukimuuza kwa maslahi ya club kwetu sis watoto wa jangwani poa ,wachezaji wa ndani wajielewe mayele kule,chama fc mtaumia sana ,wacgambuzi wa mchongo muwe na heshima..😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Před 20 dny +1

    Hao hao tunaowaita wachambuzi,wanakili kuwa menejiment ya Azizi ki akiwemo mama yake mzazi, ambaye ndiye msimamizi wake mkuu walikuwepo hapa nchini, sasa kama mnaelewa hivyo, hao watu wa Azizi walikuja kucheza Lege hapa. Watu wengine mnatulazimisha tutumie lugha zisizofaa jamani!!!!

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Před 20 dny

    Ujinga mtupu,halafu mnajiita wachambuzi,mawakala,halafu hata mkipewa elimu, hamtaki kuelewa????