Hongera Mzee utazidi kupendwa daima Allah akulinde akulipe ulitutumikia sema ASANTE SANA
Nitajitahidi na mimi nifikie hapo.. asante sana mzee Kikwete .. You practically bring me back to Bagamoyo secondary.. Agriculture class...
Safi sana, I am from Kenya and I like Tanzanian leaders from Nyerere, mwinyi makapa, kikwete to magufuli.great leader's.
maisha bora kwa kila MTZ. Hongera jembe.
Hongera sana JK. You will always inspire many of us
Safi sana mzee wetu, vijana tupo nyama tunasubiria baba usafishe njia nasi tupite kwa wepesi. Mungu akufanyie wepesi na kukuhifadhi miaka mingi zaidi
Hongera sana mkuu...wewe ndo mfano bora wa kiongozi mvumilivu unayejitambua na kufanya mambo kama mtu mzima. Hongera kwa kuwa msuluhishi mzuri. Wenzako uliowaacha hawajiwezi...wamebaki kufanyiana visa tu na hata majirani zao wameanza kuwa na utata nao. Ni hatari tupu. Kumbe wewe ulikuwa chaguo la Mungu. Tumekumisi sana Kamanda.
Afi sana raid ,wetu mstafu ,kwa kazi njems ya hufugaji ,tutajifunza kutoka kwako ,
Naomba Kaz ya kukamua maziwa 🙊 mzee wetu nakupenda mstaarab sana
One of the best video clips ,inspirational move .Congratulations former President JK Kikwete.
Tukipata maji ya kumwagilia ? Fuck off you were president for 10 years.
Mwanasiasa mwenyesiasa zake we miss u mheshimiwa jk
Hongera Sana mkuu
Wewe ni mfano WA kuigwa ,yan daaah
Much respect kwako #former president
Mzee sikiliza mzee bado nakumbuka ile salusafa yako maisha mazuri kwa kila mtz nilijenga kwa uongozi wako lakini leo hata banda la kuku limenishinda kwa hapa kazi tu nakukumbumbuka mwana democracy God bless you
Hongera sana huo ni mfano wa kuingwa mungu aendelee kukubariki na kukutunza ningekuwa karibu ningekuja kuchukua gunia moja
Miss u sana mzee wetu. Hope one day nitakuona. Busara kubwa. Appreciated sana sana live long Mzee JM Kikwete.
Mungu akuinue mheshimiwa,kazi yako imeonekana,ndo maana Tanzania iko hapa.
Tunakupenda sana Mhe. Jk, Obama wa Tanzania!
DAH...KWELI YOU WILL NEVER KNOW WHAT YOU HAVE UNTIL WHEN YOU MISS IT...NOW NDIO NAJUA UMUHIMU WA MZEE WETU JK.HE WAS A GREAT LEADER WA MFANO AFRICA.GOD BLESS YOU AND YOUR FAMILY.
Kaka milard Ayo naomba sku moja nikapaone nimerudia hii clip Ina funzo kubwa namfatilia Sana kiongozi wetu socially na anafanya mazr naomba nipelek live kka milard Ayo nikajifunze
Nimeipenda hiyo mkuu kwakweli ninahitaji elimu hiyo ya ufugaji wa ngombe wa maziwa ,na kilimo.Mungu akubariki elimu hiyo itufikie na huku KAHAMA,asante sana.
mzee huyu ana hekimaaa sabaa,mwnyez mung ampe maisha marefu..... Amiiin
Hongera rais mstaaf....hiyo n kazi njema
Tanzania kila kiongozi anaye mnae mchagua huwa anajaa tabasamu na nyuso za ukarimu big up sana my country born
we miss you our lovely Dad Mungu akupe maisha marefu
AYO TV nawakubali Sana.... Hiyo Ilikiwa bonge la Interview.....our ex-President is so inspirational!
Very inspiring interview, hongera sana mheshimiwa Raisi mstaafu.
Tumekimis kwakweli baba yetu 😘😘😘mung akupe maish malefu
i wish you were still our president .we miss you so much. so deep in agriculture mpaka unajua tissue culture.congrats sana nazichanga na mimi nije huko kupiga picha tuu.
Nampenda sana huyu baba😘😘
nakupenda sana mzeee wangu jk haya ndo maisha yetu
Hongere baba mzee kikwete, ila mzee nikwambie kitu huyu ulietuachi kazi tunayo kufa hatufi ilakilamtu siriyake
ridhiwani, mshauri dingi afuge Ng'ombe wekundu, sawasawa.?
Hongera sana Kikwete, uko vizuri, kumbe nazaliwa ndio unaanza kilimo, duh! hongera
Tunakupenda sana mstaafu.
Hekima na busara zako hazina kipimo.
Wewe ni mfano wa kuigwa.
Salute mkuu
Duh nafurahi sana nikikuona baba Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu
nice sana baba your good example for people
What a great man.
HUYU baba MPOLE, mkalimu, ana huruma, ana subira YAANI anaweza kutembea kwa mguu usiku kucha bila bodigadi, anaweza kulala nje ya nyumba miaka hata 50 bila ulinzi. KTK marais waliopita ameacha historia iliyoandikwa kwa wino wa dhahabu. Asilimia 99.9 ya WATANZANIA tulimpenda. Bila kuwasahau wazee watu 2 MZEE Mwinyi na Mkapa mlitumia akili nyingi saaana kutupatia unafuu wa maisha japo asilimia 50! Tunawashukuru, Mwl. Nyerere anayo pia mengi mazuri Aliyotufanyia tunamshukuru, Rais Magufuri hata anayo mengi mazuri tumuombee tusimkatishe tamaa hakuna aliyekamilika. Hata niliowasifia wanazo pia lawama. MUNGU IBARIKI TZ NA WATU WAKE, WABARIKI VIONGOZI WATU.
Hongera sana Mheshimiwa JK. Unaonekana kijana na mwenye afya njema kuliko wakati ulee. Hii ni kwasababu huna roho mbaya wala chuki. Wewe ndio baba yetu wa Taifa Sasa mzee wetu Mwinyi umri umeshakwenda. Allah azidi kukujalia afya njema wewe na familia yako inshallah.
Nakukubari kikwete we ninoma nakupenda we ni raisi bora kuliko maraisi wote thenk you Mr plesdent
hongera sana rais wetu mstafu.
Rais wetu unamoyo wa peke Mungu akujalie maisha marefu.
Mwenyenz Mungu akupe maisha marefu Babaetu tunaekupenda jk Rais Wa mfano duniani
nimtu msitaalabu sana na mcheshi sana mungu akupe umri mrefu
mungu akuzidishie mheshimiwa
ulituongoza vyema be blessed
Mungu akubarik
safi sana unahekima, unajua kujibu dah! wanaokutukana mungu anawaona akina msiba walaaniwe kabisa safi sana kwa darasa lako nimejifunza kitu kupitia majibu yako mazur.
Jakaya poa sana watanzania tunakutakia maisha malefu mbele za mungu
All de best Mkuu
Wabongo tumeshasahau ya kuwa tulimtukana sana kana kwamba hajaifanyia lolote nchi hii, mwacheni apumzike na kuendesha shughuli zake binafsi.
Jembe kama Jembe, hanaga mbwembwe wala mambo meeengi wala Masifa ya Kijinga, Ubarikiwe saana na Mungu akupe umri Mrefu
Hongera sana Rais wetu mstaafu
congratulation the former president J.K. I miss you a lot. may god bless you. you encourage us to work hard as farmers. we try to do at our best effort may be one day we can reach the goal.
Nakukubali sana rais mstaafu kupiga stori na vijana wako namna hii raha sana Mkapa hawezi muda wote yeye ni utandawazi na siasa tu.
hongera sana mkuuu
Asante mheshimiwa kwasomo lakilimo,kuna kitu kikubwa sana,umekifundisha
Uko vizr mr jk ni wachache wanao fanya ivo baada ya kustaafu
aise nimeipenda sana
Mkuu Kikwete Barikiwa sana,kilimo ni uhai wa maisha ya mwanadamu,hongera baba
ni juhudi nzuri mh jk mungu akupe maisha marefu
mfano mzuri wakulima wakimtumia kama darasa waweze kujua namna ya kufuga na kulima kisasa na imani itaweza kuondoa migogoro ya baina yao hapo nilichojifunza kilimo kinahitaji Elimu na mtaji sio mazoea
Amazing project👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mimi nayapenda Sana hayo mahindi tafadhali unaonapo ujumbe huu unipatie hayo mahindi pls rais mstafuu
congratulations my former president .That was good
Huyu mtu ni nzuri sana,kama katiba yetu,ingeruhusu kugambwa tena,
Ubarikiwe raisi mstaafu
Hongera mstaafu,upo vizuri!
Kwa maisha yalivomagumu, MTU unaeza ukatamani uwe ng'ombe wa jakaya
Tanzania Funny hahahahaha hakiamungu Magufuri kazi anayo, watu mln 55! 50 ni weu
Tanzania tumshukuru mungu kwa kujaaliwa viongozi wenye hekma.
Kwakweli kikwete ni mwisho wa maelezo aiseeee Mungu akurinde mh.
mzee hongera sana mh ila tatizo mtaji tu aidia nzuri
We love you sir
pia mimi natamani kuwa mkulima kikwete amejaribu lakini majani mengi ni yale yana potea kuwa kuwaka majani chini ni vyema kujenga mahari pa kakuli na maji pia nawakaribisha kwenye mtadao wangu wa youtube
i will be so fake if i dont like it.big up my president you are my no 1 president though i am upinzani.putting politics aside you are such an inspirational figure in our society come rain come sunshine..mimi nafanya research za tissue culture majoring in plantain bananas.lakini sijui ardhi nitapataje au nikipata sijui wa sasa hivi watatunyang'anya.stranded
MZEE PEACE SANA HUYU
Nafurahishwa na viongozi watanzania...huku Kenya hata naibu wa chifu ana acre Mia...wananchi wa kawaida wanaishi kwenye slums....
I love this former president
binadamu sisi viumbe wa ajabu sana kipindi Jk akiwa raisi watu walimsema vibaya sana ila leo hii comment nyingi we miss you ,kiongoz mwema.
Hata vizuri viwe vingi vipi, ila kila mmoja hakosi kitakacho mvutia zaidi,
My President, nakukubali sana, na nimevutiwa sana na hekima mungu akizo mjaaliwa, May Allah protect you from all the bad deeds
mungu akupe umri mwema kweli ukiwa kiongozi unazeka ukitoka kwenye madaraka unaludi ujana kabisa mungu akupe swiha mzuri
Wow I'm so inspired
Nakupenda sana mzee wangu kwa hekima ulonayo
watanzania tujifunze kupitia Huyu Mwl wa kilimo,,,DR kikwete
Sante sana Mhe.Kikwete kwa kuwa mkulima shupavu.Hata sasa unaelimisha wengine.
Hakika umenihamasisha sana kiongozi, ili mtu ufanikiwe lazima uwe na mawazo mbandala na si kuangalia kwa macho yote kazi moja. Mungu akujaalie afya njema.
Wowwww....am inspired
Upo vizuri
Waheshiwa wote wa cha mapinduzi mungu awabariki sana henderheni kumuhombea mdogo wenu rasi jpm kwa majukumu mriyomkabizi ya kuwatumikia watanzania ccm hoyeeeeeeee
Mzee ana loho mbaya sana na watanzania wote wala hana huluma mshenzi watabia
mzee umetupa sana heshima watu wa pwani kuonesha dunia pwani ya wakalimu
Hongera
Tunakumiss jk charming sana
Mzee Safi Sana,tutajifunza kwako.
Mashallaaaaaaah
Dr. Bna anaish maisha ya raha sana hana hata matambo yan
Vizuri zaidi,
hatataacha kukumbumbuka kwa mema uliyotutendea.mungu akupe maisha marefu mheshimiwa
nice lesson my former president
Duuuu yani mahindi kwasababu ya kulishia nghombe sio kwa chakula daaa
mzee wa Msoga hongera sanaa,U na busara sanaa wewe Mzee.Mungu akupe maisha marefu