Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Hongera sana IkeMimi nilikuwa nafahamu kupika mkate ,kuku na biskuti tu duh umenifungua akil ila muda na jotoridi la kutumia kupikia vitu hivyo sijui
Thanks kwa darasa,naomba kuuliza foil paper inafaa kutumika ndani ya oven....
Hongera kwa kuvalishwa pete my love. Nmefurahi sana
Maa shaa Allah
Asante kipenz
Safi sana. Nataka kujua jinsi ya kupika hayo ma vegeteboz😅
Asante dada
Mashaa Allah, kazi nzuri sn
Unaweza kutumia sufuria ya kupikia jikoni kubake?
❤❤
Napenda kujua kupika pilau kuku na mboga mboga kutumia ovena
😋😋😋😋
😍🥰😘
Naomba uongelee hizo tin kingine kwan sufuria la kawaida halifai kwenye oven
Je unaweza kukaushia crips?
Mboga mboga na wali😂 asantee jirani
Dada nashida nakata yakukizi unaweza kunisaidiya
Naomba namba yako
Pleas dd naomba namba yako
Tafadhali nambie kama unajiita nani kwnye youtube