JAMAA CHIEF GODLOVE ANAEJISIFIA KUWA NA HELA INASEMEKANA ANAWEKA VIBAO ILI AONEKANE ANA HELA NYINGI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 1. 10. 2023
  • Mambo yamezidi kuwaka huko mtandaoni watu wanazidi kuweka ushaidi kuwa ChiefGodlove hana Pesa.
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------

Komentáře • 124

  • @allykhalfan9513

    Duhhhhh sio poa Hongera ndugu mtangazaji kwa kutujuza kitu ambacho tulikuwa hatukijui

  • @adambunduki4524

    Daaa! Ukiangalia kwa haraka huwez gungua da! Ila watu kwa kuchunguza noma

  • @user-tp2mw3kn1s

    Nipesa izo

  • @FastpayMauzo

    Sauti ya mtangazaji mbaya.

  • @user-ub2sm5vy2z

    Naijua iyo

  • @chachamarwa7286

    wabongo kwa kuchunguza tuko makini aisee

  • @KhadijaMussa-wf9up

    Mtangazaji punguza mbwembwe kwenye habari, unachefua yaan m2 anakosa ham ya kuendelea kusikiliza

  • @omarkioko3602

    Hebu jiulizeni ...mshawahi ona Bakhresa ama mtoto wake akipanga Hela namna hio !? Na akiamua kupanga Hela zake ....bunge la Tanzania litajaa noti na Bado zikose za pa kuwekwa

  • @Shuugan

    Amna kitu apo ila ata kuji brandi ivo ni moyo na niviji senti pia 😂😂😂

  • @youngchoppa-ik9uo

    devo king nampendasana

  • @aswaneliphas2271

    Asawan Elphas from KENYA acheni wivu hizo ni pesabana

  • @mussa4413

    Kweli Siyo Hela.

  • @hermanarron5341

    Michezo ya kwetu Tunduma hiyo 😅

  • @fidembembela3010

    Ela anazoo

  • @YusterTitus-vz1cq

    Kwani watu wameona kuwa pesa ni nini labda kama tunakufa tunaziacha unazitambia nini ni upuuzi tu

  • @omarkioko3602

    Huyo fala tuu ...Hana Hela zozote maskini mlala hoi ...pesa haioneshwi ...pesa inajotoa yenyewe ...na ukiona mtu anijisifu Yuko na pesa jua huyo ni panya wa kanisani ama bangunangu

  • @iamk2me

    Amna ukiwa na pesa nyingi ukizirekod Hua zinagoma Wakati mwengine 😂😂😂

  • @user-mk6vm8ub2u

    Huyo jamaa anapesa kweli

  • @user-tr6gd1sj5w

    Izo pesa bhana

  • @karimjuma4019

    Ela mchezo kwan