MAMA NAPE ALIVYOPATA HOFU ya MWANAE KUFARIKI BAADA ya KUONA TAARIFA FEKI ONLINE - WAZIRI NAPE AELEZA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 05. 2024
  • MAMA NAPE ALIVYOPATA HOFU ya MWANAE KUFARIKI BAADA ya KUONA TAARIFA FEKI ONLINE - WAZIRI NAPE AELEZA
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 29

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 12 dny

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc Před 12 dny

    Umesaau kauli Yako mungu kaamuwa ugomvi bahali imetulia karibu nyumbani

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Před 12 dny +1

    😂😂😂😂wadishi tz wajiga saaan mee wananikeranga bora mmeliona wakuu

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv Před 12 dny +1

    sio hizo tyu..wandishi wetu wa kitanzania ni waongo kuliko...

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Před 12 dny +1

    Shida tasnia hii watoto wengi Sana hawana weledi wakijua kuongea km ferry km bdoze. Tyr wanafungua vibrog we watu wote hao wanabrog kkkk

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Před 12 dny +1

    Huu upuuzi umeenea sana, wanaweka picha tofauti na taarifa, kuna umuhimu wa kuwashughulikia kisheria

    • @eliashagai7920
      @eliashagai7920 Před 12 dny

      Hata kweny mambo ya usajili hasa Simba na Yanga Kuna uongo mwingi sjui kasajiliwa nani anavalishwa na jezi,lkn upuuzi mtupu.

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n Před 12 dny

    Kweli ili tatzo aswa wanalowaandishi wa habari wanatupotosha sana.

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Před 12 dny

    Mwenye masikio na asikie

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před 11 dny

    Ni HERY imemfikia mtu mkubwa ingekuwa ni mtu mdogo. Sidhani kama ingeshughukiwa. JITAHIDI kufuatilia na ngazi za chin.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Před 12 dny

    Mtajiana wenyewe

  • @user-hj4sy9fy4g
    @user-hj4sy9fy4g Před 12 dny

    Muwindaji kakosea, kamrushia mkuki binadamu, kapata uchungu wake; kwa mnyama haikuwa hivyo, kwani mkuki kawaida yake! Heri umeliona hilo !

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on Před 12 dny +1

    Hichikitu nilikuwa natamani kiongelewe

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před 12 dny +1

    BORA MUHESHIMIWA HILO UMELIONA. BAADHI YA WAANDISHI TANZANIA, NA HASA WENGI WAO HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUFANYA KAZI YA UJOURNALIST.(UANDISHI WA HAVARI).

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 Před 12 dny

    Maudhui mengine ya kisenge Sana kwa kweli

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk Před 11 dny

    Uchaguzi unakaribia Nape anaanza vijisababu vya kutaka kufungia vyombo vya habari tuwe makini na huyu Waziri ya kwake kajixima data huyu na uwe na kumbukumbu bana! Sasa unataka uhuru upi waufuate? Sasa unataka kututengenezea uhuru wa kwako na chama chako!

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab Před 10 dny

    Kwenye Jambo Hili Kweli Limekua Shida Mpaka Unauliza Awa Wana Habari Gani Awa Wanaeka Mkuki Inje Ndani Ndizi

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc Před 12 dny

    Wewe ndyo waziri tunaomba kitu gani badala ya kupiga marufuku

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Před 12 dny

    Hakuna haja ya kubembelelezana, sheria ifuate mkondo wake, kuanzia hivyo VIBLOGU UCHWARA mpk watu maarufu wanaofanya UPUUZI mitandaoni, washitakiwe kwa mujibu wa sheria bila kuoneana SONI..!...kiufupi TCRA ujinga mwingi, ..!

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 Před 12 dny

    Online nyingine zifungiwe kabisa

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 Před 12 dny +1

    Sisi wa afrika bwana eti huyu nae ni kiongozi kwa madhumuni ya watu kunufaika kwa uongozi wake ngoja niulize swali hivi nape ukiulizwa utaje jambo moja unalo jivunia kwa kuifanyia nchi yako na watu wa nchi yako katika uongzi wako utawambia watu kitu gani

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před 12 dny

    Hii ndio bongo uzushi mwing

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 Před 12 dny

    Mambo lazima yakurudie mfano huo umeutoa kwa ajili ya mama yako kudhani umepata ajari je wewe mbona huchukui hatua picha za uchi za ngono umekaa kimya tunashindwa kukuelewa unacho kisema ukiguswa wewe ndio inakua habari jamii ukiguswa unakaa kimya

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Před 12 dny

      Hapa ndio panashangaza..Ujinga na upuuzi unaofanywa na watu , Tena wengine maarufu na wanajulikana lkn TCRA haichukui hatua, utakuta msanii anafanya upuuzi mwingi mitandaoni , lkn mwisho wa siku hatua hachukuliwi, maisha yanaendelea...!
      Tunaona huko Nchi za magharibi ambapo tunaiga uhuru wao, lkn huko huko yeyote yule akivunja sheria basi hatua atachukuliwa bila kujali UMAARUFU wake au jina lake au pesa zake..!..hapa Kwetu ni Blah Blah tu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před 12 dny

    MB zangu

  • @gibsonsimburya5291
    @gibsonsimburya5291 Před 12 dny

    Just a nape

  • @user-kh1tn6yr8b
    @user-kh1tn6yr8b Před 12 dny

    Hakuna kiongozi apo