ASKOFU DR MOSES KULOLA ALIPEWA MAANGIZO HAYA NA MUNGU/ USIPUUZE HAYA LAZIMA YA TOKKEE DUNIANI
Vložit
- čas přidán 27. 06. 2022
- #SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079
YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079
Hii ndio injiri ya kutukomboa hizi siku za mwisho za unabii wamwisho.Huyu Mtumishi wa Mungu nilianza kumsikiliza miaka mingi tangu nikiwa anamiaka 10 mwaka 1982 mpaka sasanibamiaka 50 hii injiri ndiyo yakubadilisha watu tumwende Mungu.Tumtole Mungu.( Asante Mtumishi wa Mungu unayerusha hii injiri)
Amen
Amen Yesu atusaidie
Moses Kulola hakika Yesu akutunze!! Amen.
Amen baba.mungu akupe Raha ya milele Kwa kazi uliyoitenda hapa dunian.
Mungu ajarie tupate warumishi waliojikana kama huyu iliwatusaidie kutufundisha kweli
Kaz uliyoifanya ni nzuri, bado inatenda kaz kwetu amen
Mungu atuwezeshe mteule wa mungu sa moses ndiye anaitajika kwa nyakati hii za mwisho
Nimepokea Barikiwa Sanaa Mtumishi wa MUNGU
Bado uko nasi kiroho tuone paradise Rip amen
God bless you SYLAS TV for bringing to us this wonderful sermons of our legend
Mungu anisaidie niwe mtumishi Kama moses
Hii ndio injili ya kweli yesu tusaidie kuliishi neno lako siku zote
Nimekubali kwa injili hihi,,Mungu atusaidie sisote wana ruvuma
Mungu ampe pumziko la mile mtumishi wake,Moses Kulola
Bwana Yesu tusaidie tuishi sawa sawa na Neno lako 🙏.
A true servant of Most High Moses Kulola amen
Asante.kwa.neno.mungu.nimefalijika.sana.kusikia.sauti.ya.askofu.wangu
Asante Sana kwa kutuletea mafundisho, Mungu awabariki
Baba askofu nimekubaliana naalioko ndani yako nitakuona wap baba nashauku yakukuona
A trueee Servant of the Most High GOD
Ndugu Sylass Tv, nashauri unapoweka mahubiri basi jitahidi kuweka full usikatekate vipande maana inaondoa hitimisho la SOMO lililokusudiwa. By the way unafanya kazi njema Mungu akubariki
Amen🙏
Mungu akutunze Baba
kula na raha sasa na BWANA YESU Baba yetu
Bila wewe Yesu hatuwezi!!!
Lala kwa Amani mtumishi mteule wa Mungu❤
Ni mtakatifu sana huyu baba
Aminaa baba🎉🥰
habari mbona videos zake nyingi mnazikata kata kuna kitu tunapoteza, pia naomba unisaidie kama naweza kupata mafunzo yake mengine yaliyo full sio vipande
Mungu atutetee
Kweli Yesu ni mwema
Naipenda hii
Ubarikiwe sana
Mtumishi wa kweli
Wana Raha sana walio kuwa wanahubiliwa live na huyu baba,,du mimi nasikiliza TU napokea uponyaji kwa jina la yesu sipat picha hao walio Kaa apo ulikuaje
Eemungu wa IBRAHIMU ISAKA NA YAKOBO kama huyu mtumishi alipita njia yako na umempokea...nakusihi YESU na mimi nipe nafasi ya kuingia paradiso ya MBINGUNI
Kwakweli hujatutendea haki huu ushuhuda kutofika mwisho, lkn itoshe kusema kuna mambo Mungu amenikumbusha hapa jamani
Tujifunze hapa watanzania
Halleluya amen
R I P BABU YETU BABA WA INJILI YA KWELI HAPA TZ UMETUACHIA URITHI MZURI HASA VIJANA SADAKA YA MAISHA YAKO IMETUPONYA WENGI MIMI NI MMOJA WAO
Injiri isiyo na mawaa
Ameen
Injili ya uwamusho wa kiroho kwa kanisa ngazi zote
Tupate wapi tena mtu kama huyu
Jina raye jesu ribarikiwe
Mungu aliye hai atupatie mtumishi mwingine .kuimalisha kanisa LA mwisho maana ss.wamebaki wa.mshahara tu.wanatafuta vya kwao tu.ni.kuuza mafuta na udongo na sadaka ya ukombozi.kumbe sadaka ya ukombozi ni yesu ilisha tolewa msalabani
Karibu full gospel Bible fellowship
tafta tengwa tv mtoto wake wakiroho ana injili km hii
Huyu ni shujaa wa injili
Hallelujah
Amina
Huyu ni moto wa kuotea mbali.
Amen
Ubalikiwe wewe unaye lusha injili hii
Dunia inapita na mambo yake yote, Yesu naomba unipe nguvu niyaishi na kuyatenda mapenzi yako
Bwana akupe hitaji la moyo wako, nikimsikiliza huyu mzee najikita nabadilika san
Mbona kama umekatiza🤔
Mungu
Vema
Asante kwa kutuletea mafunzo haya. Ila mbona haijakamilika kuna story hapo mwisho nataka kuiskia yote.
Siku hizi injili za ukweli ni chache mungu nisaidie nihubiri kweli ya injili ni nyakati za mwisho kulola amemaliza kazin kwangu.
Mungu umwema
Kaka tunaomba usikatize mahubiri haya wala usiya edit unatutoa kwenye uwepo wa Mungu, usituache njia panda ututendei haki, acha, tumsikilize Baba mtumishi wa kweli wa Mungu, tunapata faraja, Mungu yupo, sasa hivi wasaka tonge ni wengi, acha kukatisha mahubiri ya kweli pls
Kwanini umekatakata mafundisho? ungecha tukaskiliza yote
Ubarikiwe sana
Ameen
Amina
Hakika mtu huyu Yuko hai kilichokufa nimwili lakini roho yake ambayo ndiyo mtu ihai Yuko na Bwana mbinguni akistarehe anatusubiri nasisi watoto wake tufike kule aliko yeye bwana atusaidie kuihubiri injili hii ya kweli na tukisha maliza tuka pumzike kwa bwana yesu Amen.