Bytar beast x Marioo x Jaivah - Ndembendembe
Vložit
- čas přidán 13. 09. 2023
- Out now: Byter Beat x Marioo x Jaivah - Ndembendembe
Prod by 𝐒𝐜𝐨𝐭𝐭𝐲kay_rsa & jaymusic_za
Subscribe:
‘The Kid You Know Deluxe' out now: africori.to/thekidyouknowdeluxe
Follow Marioo:
/ marioo_tz
/ marioo_bad
/ tz_marioo
open.spotify.com/artist/4ZTqT...
/ artist .
/ thisismarioo
More from Marioo:
Tomorrow - • Marioo - Tomorrow ( Of...
Lonely (ft. Abbah) - • Marioo & Abbah - Lonel...
Dear Ex - • Marioo - Dear Ex (Off...
Naogopa (ft. Harmonize) - • Marioo & Harmonize - N...
Mi Amor (ft. Jovial) - • Marioo x Jovial - Mi A...
#marioo #ndembendembe #byterbeat #jaivah - Hudba
Jaivah anajua atafika mbali mwamba ana sound unique 🔥🔥🔥🔥💯💯
Daa niliandika ngoma inafanana hivi hivi hiyo chorus
Love from Burundi 🇧🇮 All the Way in Fizzo Fans Family and BantuBwoy Entertainment
This song will never be old if u are with me I need your like 🙏
Marioo ❤❤ from Malawi Janvier
Kama umekubali kipande Cha kukata gogo like Kwa hapa❤❤
Suala la kukata gogo ni kubwa liheshimiwe😂😂
Mario tuma video ukiwa unakata gogo
We marioo we daaah 😫😅 mpaka naisi kuchanganikiwa kwa hii miodoko🎉🎉🎉
Yoh @marioo kak, Utatuua Bahnaa! Trending sahv inakua ya kwako, No pressure Peace and Love amn Cha mkubwa Wala mdog wote mnajua! Mziki Upigweeeeeee 🗣️🗣️🗣️🗣️ Trending +1 Mamae!
Goma kali limeweza sana gonga like kama tumeelewa hii kazi
Mario ww ni fala sana heti tuma video huku unakata gogo😀😀😀😀😀😀🫵🏿 hila ngoma kali sana
Nomaaaaa
Mimi ni Moja yawatu ambao hii ngoja mbovu sana shida ya wabongo sio wasema kweli sana jmn mapiano basi tumechoka daaaah
Alafu matusi tu dah😢😢😢wasanii hawa wa siku izi mhhm
Mariooo to the world🔥🛫...haloooo...pure love from Mombasa🇰🇪
Ngoma kubwa sanaaa,congratulations 🎉
Hatari na nusuuu..🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🤣
Ngoma Kari nakubali
hiyo kali sana kweli atupe picha akiwa anakata gogo hapo penyewe
Ndembendembe☄️
BADI BADI BADI🕺🏾🕺🏾👑🔥❤️🇰🇪🙌🏾
Tunataka uno dembedembe
😊
Marioo fundiii jamaniii day
Kali sana Bad💥💥💥
Hiii najua NI ya kuzima Whozuuuuuuuu na Mbosso na Bilnas😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania my country
Kila mtu ako na nafasi yake. Sasa mtu asitoe mziki wake
Marioo King of amapiano in Tanzanie
kama unamkubali marioo gonga like hapa tujuane 👍 baaad
Bad ni mazishi kila siku
😂😂😂😂 tuma video tukuone unavyo kuwaga ukikata gogo🤣🤣🤣Alooooo🙌🙌🙌
Wueeh hii moto🔥🔥
broooo🤣🤣🤣hilo GOGO
unyama badddiiii
Oyaaa weee hiii noma kuliko zote
Goma Kali Kuliko ❤❤❤❤
Mwamba hajawah kufeli❤❤❤
Mtu Amshauri Marioo,Apunguze Amapiano Zimekuwa mingiii sanaa!!!
Em tulia
The Kid we know....❤❤🇰🇪🇰🇪
❤❤❤wakwanza. Show love p
Zzz
WE bad Aujuiii
Hatari🎉
Gonga like hapa kama UNAMKUBALI marioo
The Beat though 🙌💯🔥🔥..... another masterpiece from aaaaloooooooh!!!💯🙌
Oa,huyo BAD atengwee wazee ,likes hapa🎉
Bongofleva aiwez fika mbali kimataifa kama nyimbo zitaendelea kuwa hizi.
Zikowapi like za marioo🎉❤
Viewer wa kwanza hii sasa moto🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Jaivaaaa
Kama umelielewa Goma gonga likee🚀❤️🔥🥵
Bongo mnapoteza mziki wenu kwa kuiga,,Amapiano ni za Zulu mnawaeka juu international #MUMEZIDI
Alooh ft Beast ft Aweeeee jaivah😂😂😂...sema jaivah kaua😂🙌
Good nice one job ❤❤
Abbah Abbah Abbah 😢😢😢
Hiyo seng'eng'e ni Kali na iko juu tu mbaya... like kama kawa
This day should be a national holiday 📌👌🏽
Hapa tume pigwa la kichwa😂😂😂
Umeuwaaa🔥🔥🔥
Sana
Mamaee nilikuwa nalisubili kwaamu sana😂😂😂
Shiiiiiiiiiii bad💯
Jaivaahhhhh!! Mnyama sanaaaa!!
Gonga like twenzetu💥
Wangapi tulikuwa tunakisuburi hiki kichup tukutan hapa kwa like
No 1
czcams.com/video/PfBaI4qYAP4/video.htmlsi=Tym0ssL7I1omrdWj
toka lilongwe city ❤❤
poa sana umeweza💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Ahh huyu jamaa hajawah kosea 🙌🙌🔥
Baaad wanyooshe broo💥💥💥💣
Gonga like hapa👍kama kaz ni unyamaa💯🙌💯💥💥 na unamkubali baddest, #jaivah💥💯
My man Byter. 🙌🙌🔥🔥
Alooo wee 💥💥🔥💯 ngoma iyoo
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Mwambie Paula atumekwanza picha yake akiwa anakatagogo tuone 😁
gogo tena mazee
Ngoma kaliiiiii
Baaadi ❤❤❤noma🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Uyu jaivaaaaaaaa mamaaaeee❤❤
HAKUNA WIMBO HAPA MARIOO HAPA HAJAPIGA HIY😂😂😂
Gonga like twende kama unamkubali marioo
Javial voice is amaizing🔥🔥
Tuma picha ukiwa unakata gogo😂😂😂😂🙌🙌🇲🇿🇲🇿🇲🇿🫶
Jaivaa kaua
Kenya🇰🇪 agreed 💯🎹
Wimbo wa Taifa
Baddeeee Haloooo
Ngoma Kali sana hii
Byter Beast 🔥🔥🔥
ABAH🤣🤣🤣🤣STOP IT!!..That bounce heavy
Jaivah❤️❤️❤️❤️❤️💖💖💖
Mambo ni🔥🔥🔥🔥
Sijaielewa😮😮
Congratulations ndembendembe
Yoh G genje 🔥🔥 kenya asapa
The kid you know
Nakupenda shemeji yangu marioo na mpenda dada pau
Ngoma mbovu saana,...rudi enzi zile za kwanza marioo
NdembeNdembe za Mombasa ziko humu? 🇰🇪❤
Big up sana naelew bana bad hajawah kufanya makosa I wish na kupata sapoti na me kuonesha vizur kipaj na ufundi nilionao katika mziki 🎉🎉🎉🎉❤
Like za toto bad uno ndembe ndembe ndembe jamani peana nyama
Ndembendembe
Kuna wengine wana Big Nyaaaash kuna wengine wana Mikeka kuna wengine wana mac book
Unyama mwingi
czcams.com/video/PfBaI4qYAP4/video.htmlsi=Tym0ssL7I1omrdWj
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
💥🏝💥
Kama Umeikubali Gonga Like Kwangu