DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 06. 2024
  • Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda amefika katika soko la Tengeru na kuweza kutoa Tamko la Serikali lakuwataka Wafanyabiashara katika soko hilo kufuata taratibu zilizowekwa ili waendelee kufanya Bishara zao kwa amani bila usumbufu wowote
    Kaganda ameyasema hayo mara baada ya muda mchache wananchi kufunga Barabara na kugoma kuhama kutoka barabarani kuelekea katika maeneo waliyopangiwa

Komentáře • 3

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Před 13 dny +2

    Mnapanga soko wakati limeshaharibika tangu mwanzo ,shida ni hivi ,eneo la soko linapotengwa halmashauri inaruhusu na kuwauzia watu wengine viwanja ndani ya soko unakuta maduka yanajazwa ndani ya soko na kufanya eneo la soko kuwa dogo sana ,hilo soko halitapangika labda eneo liongezeke . lakini .Barabarani Kwa biashara haifai

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 Před 12 dny +1

    Tatizo mmejenga nyumba kwenye eneo la soko watu wanafanya biashara zao barabarani ndani na nje kwasababu hakuna uwanja wa kutosha wafanyibiashara

  • @zainabmakwinya5554
    @zainabmakwinya5554 Před 14 dny

    Kazi iendelee