LIVE! BREAKING NEWS! POLICE OFFICERS RAID RASHID ECHESA'S HOME FOR SLAPPING AN IEBC OFFICIAL!!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 03. 2021
  • Police officers raid Rashid Echesa's home following an incident where he slapped an IEBC official at a polling station in Matungu earlier today!!

Komentáře • 80

  • @markjaphet4761
    @markjaphet4761 Před 3 lety +6

    Kitu kidogo inakuwa as if kuna shambulizi..

  • @andriinovakov738
    @andriinovakov738 Před 6 dny

    Kenya. Bank account numbers that lead to a bank in London? How much bribe did the chief of police receive?

  • @markjaphet4761
    @markjaphet4761 Před 3 lety +4

    WHY IS BABU OWINO WHO SHOT AND PARALYSED ABREAD WINNER TODAY IS STILL FREE HAPA KWA ECHESA ITS AS IF KUNA TERRORISTS

  • @jkinya128
    @jkinya128 Před 3 lety +8

    The police just need to ask him to avail himself or be declared a fugitive. Sometimes we cause too much drama and waste too much time and resources for nothing.

    • @felixamadi200
      @felixamadi200 Před 3 lety +2

      He needed this so let him have his fare share just as he was doing to IEBC official and not this alone he should feel what sonko is feeling now so that they stop these kind of stupid drama everywhere

  • @markjaphet4761
    @markjaphet4761 Před 3 lety +2

    Kitu kidogo ambia echesa avail yourself kwa any near police ..ataenda na lawyer wake hizi drama its unnecessary..

  • @omokemorara8656
    @omokemorara8656 Před 3 lety +7

    So incompetent. They don't even know where to search.

  • @starlife3550
    @starlife3550 Před 3 lety +7

    Aulize songo atafinywa makende

  • @carloskeah160
    @carloskeah160 Před 3 lety +5

    Anahepa nn na yeye n dume, ajitokeze aone chamtema kuni

  • @piarants3958
    @piarants3958 Před 3 lety +7

    Why does a man need all this policemen? Kenya 😳😳

  • @felixowity9278
    @felixowity9278 Před 2 měsíci +1

    Aki sirikali ni mzuri tu ikiwa ina apply law kwa mwingine...ikikufikia utajiendea choo

  • @felixamadi200
    @felixamadi200 Před 3 lety +1

    And all these people were here ; they are prepared for their drama ;let them play their game

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 Před 3 lety +3

    MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI NA BADO MAMBO NDIYO YAMEANZA😂🤣😂

  • @evansjohnarek2271
    @evansjohnarek2271 Před 3 lety +4

    This is hustlers home, so big , manamba ya mafahari, how are they hustlers.

  • @markjaphet4761
    @markjaphet4761 Před 3 lety +1

    Eti IEBC OFFICER KUGUSWA TU ...

  • @Rapidscity
    @Rapidscity Před 3 lety +2

    Waka yeye ndani

  • @mainambichu4245
    @mainambichu4245 Před měsícem

    The guys behind the scenes wanamwaga mtama....no wonder wanafilm kienyeji style

  • @johnmasolo5669
    @johnmasolo5669 Před 3 lety +1

    But when it comes to Kapedo.......

  • @victorndamze
    @victorndamze Před měsícem

    Weka hio ndani. Mnadiscuss nini????

  • @mosestaabu2871
    @mosestaabu2871 Před 3 lety

    Huyu jamaa amefanya kwa muda mfupi kama waziri na nitajiri zaidi ..alafu anaajita hustler Kenyans we must wake up ...hawa watu wanataka kutunyanyasa..

  • @simonpetro9956
    @simonpetro9956 Před 3 lety +2

    our country has become soo ugly ...

  • @MultiKenyana
    @MultiKenyana Před 3 lety +2

    He is there... the police didn’t search well...

    • @manjothi1
      @manjothi1 Před měsícem

      He was up the tree watching everything 😂😂😂😂

  • @petercheto6064
    @petercheto6064 Před 3 lety

    One slap 20 police Bado mabambano mabambano3* no answear lazima huyu mugwana apatikane..., full security sihami Kenya

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo Před 3 lety

    Wish wale wakenya wanapigwa ngeta globe cinema mungekua mwafanya kasi ivo kutafuta warifu

  • @henryochieng2858
    @henryochieng2858 Před 3 lety +4

    Tafadhali mfinye ndani kabiiiiisa mpaka Tuesday asitoke😂😂😂

  • @richardgaya3965
    @richardgaya3965 Před měsícem

    The brainlessness of some of our activities!!

  • @simonmuchoki1988
    @simonmuchoki1988 Před 3 lety +3

    Enden Somalia

  • @user-ws3xe4lm6d
    @user-ws3xe4lm6d Před 4 dny

    Vitu kama hizi police wanacause tension na huku inje wauwaji wamejaa watoi wanakuwa kidnapped wanajifanya hawaoni grow up pliz wote wako na pesa ndio maana mnafanya hivi juu mtapewa kitu kidogo juu maskini hawana lao

  • @goromuchiri4440
    @goromuchiri4440 Před 3 lety +1

    This so called hustlers have all my dream cars.😲

  • @JulioBob-qi2te
    @JulioBob-qi2te Před měsícem

    Go for the afande who sent you fast just show

  • @jacksonmutunga4894
    @jacksonmutunga4894 Před 3 lety

    Anjifanya mwanaume alafu anatoroka.

  • @anthonymukavane8933
    @anthonymukavane8933 Před 3 lety

    Atiii dadae hapa ni kwA MTU wa mkokoteni, hustler?

  • @jamesmwongera4679
    @jamesmwongera4679 Před 3 lety +1

    Hussain omari na fissa na hizo tumbo kubwa and your are calling youself hustler shame on you 😭😭😭😭

  • @syprianamghoimacharo7155
    @syprianamghoimacharo7155 Před měsícem

    Police wa wili hawatoshi jambo la kwanza omtata c mwizi c muuaji mtasumbuliwa na ruto mpaka lini omtata mwenyewe c mjinga kama mnavyo fikiria

  • @anthonymukavane8933
    @anthonymukavane8933 Před 3 lety

    Echesa alijifanya mwe nye nguvu mbona ajifije? Ruto wake si amuokoe?

  • @markjaphet4761
    @markjaphet4761 Před 3 lety +1

    Kwani Echesa ameuuwa..BABU OWINO SHOT AND PARALYSED A DJ TODAY HE IS DINING WITH THE WHO IS WHO FREE
    .JUSTICE IKO WAPI

  • @felixowity9278
    @felixowity9278 Před 2 měsíci

    When they know they are to be arrested they pull a party with sympathizers so that it's said they were just chilling

  • @EshimaniMauridi-im8gi
    @EshimaniMauridi-im8gi Před měsícem

    Wapumbavu kabisa tulizani mnafanya mambo yamana kumbe upumbavut

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 Před 3 lety +1

    Kweli Hawa watu walikosa kazi ya kufanya

    • @AhAgg-zf6kw
      @AhAgg-zf6kw Před měsícem

      Alshababu waliwashinda..ndo mana hawana kaz za kufanya

  • @VanMwarabu
    @VanMwarabu Před 3 lety +1

    In Europe police don't raid homes because of assault cases and don't put so much attention and resources in petty issues even if the assault is against the police officer himself. That's called professional code of conduct sisi shida ata huwa inaanzia recruitment because you chase away bright candidates

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano Před měsícem

    Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - = 🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐

  • @emilymongare8099
    @emilymongare8099 Před 3 lety

    hii kenya iko upumbafu mwingi sana.
    after all the unnecessary drama, echesa will be fined 10k and left to go.
    na ingekua ni kapedo they could be cowiring like rats.useless!

  • @petercheto6064
    @petercheto6064 Před 3 lety

    Hiyo alarm ni yeye ama ebu angalia bhoyo...,
    Hawana kazi yakufanya...,siwakuje na sniver dog ..., heeey.

  • @killiancristian7890
    @killiancristian7890 Před 3 lety

    This' some barbaric stupid way of police doing things,had they asked Echeza to avail himself, wouldn't he have gone to a police station????
    Wezi wamejaa KILA mahali humu,bona siwaoni hawa wapuuzi polisi wamejaa hivi kushika wezi???
    Takataka

  • @rapstarkroz3124
    @rapstarkroz3124 Před 3 lety +2

    Wacheni echesa ni deep state hamtamuweza😂😂

  • @robertkirui8581
    @robertkirui8581 Před měsícem

    old clip my friend toka hapo

  • @manjothi1
    @manjothi1 Před měsícem

    This is.misuse of power

  • @oimboyana6194
    @oimboyana6194 Před 3 lety

    Kenya is a big joke. Yani this is what is happening 😳

  • @deomaharaj404
    @deomaharaj404 Před 15 dny

    ALL THIS DRAMA FOR SLAPPING SOME ONE.....THEY DIDNT SHOW A WARRANT......ONLY IN AFRICA 3WORLD TO THE MAX😮U WOULD THINK THIS PERSON IS A MASS MURDERER.🙄

  • @mzungumweusi414
    @mzungumweusi414 Před 3 lety

    Malala hajapiga mtu?

  • @mainambichu4245
    @mainambichu4245 Před měsícem

    😂😅 ati hii sasa ni raiding???😂😂

  • @willybett253
    @willybett253 Před 3 lety

    Very idle police

  • @darrenwest1070
    @darrenwest1070 Před měsícem

    What a joke of a raid 😊

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 Před měsícem

    Hixo ni show room ya magari ama wee Kenya Kuna waizi kweli kweli kwani echesa hufanya kazi gani wee

  • @zakiahussein9206
    @zakiahussein9206 Před 3 lety +1

    Ujinga iko kenya hawa police wangekuwa somali wakitafuta alshabab

  • @mainambichu4245
    @mainambichu4245 Před měsícem

    Looks ploted

  • @justusmomanyi626
    @justusmomanyi626 Před 3 lety +1

    Mwisho atashinda

    • @rosemarykatogomusanga1619
      @rosemarykatogomusanga1619 Před 3 lety +1

      But ni aibu hata akishinda

    • @njorogewambui7400
      @njorogewambui7400 Před 3 lety +2

      Win or loss the Criminal history he created by slapping a state officer should automatically disqualify him from holding or running any public office..
      Aiii jameni hii mboma yake inachoma picha, miaka zote kwa siasa na bado hali ya mboma ya kwake ndio hiyo. Ajabu kweli.

    • @justusmomanyi626
      @justusmomanyi626 Před 3 lety

      @@njorogewambui7400 alofanya makosa kama kiongozi but wacha tufuatilie wambui tujui why

    • @njorogewambui7400
      @njorogewambui7400 Před 3 lety +1

      @@justusmomanyi626 the video is on CZcams speaks for itself. He did not only pull face mask of the face of elections preceding officer but in addition slapped the official across the face.
      He is an arrogant, low temperament psychopath not fit for any public office, that includes cattledeep chairperson.

    • @justusmomanyi626
      @justusmomanyi626 Před 3 lety

      @@njorogewambui7400 wacha tumwajie mungu maisha yetu maana yeye anajua viongozi na akika yule mungu amempaka mafuta ataingoza kenya 🇰🇪

  • @stevenkim808
    @stevenkim808 Před 3 lety +1

    Mtu mmoja police hawa wote ama hamna job ya kufanya ndio maana mnalipangwa 16k

  • @XasanFarax-sr5kt
    @XasanFarax-sr5kt Před 23 dny

    😅😅😊😅