Lafudhi yetu inatufanya tuonekane kama wahuni ila ndivyo tulivyo siyo kila saa chuga bangi mara madawa,mje mtujue kwanza muachage kutupa majina mabaya tu kila siku,hakuna mkoa unaomjua MUNGU km Arusha,Peace n love my Chuganian people nawapenda sanaa
Sijaona Kichaa Apo Nimeona Mzarendo Kwa Wanyama Hata Ongea Yake Sio Kiuni Bali Ongea Yao Ni Asili Yao Sasa Aimanishi Ni Kichaa Au Bangi Kwani Bangi Sio Dawa Jamani Bangi Dawa Sema Kuitumia Kwa Utaalamu Zaidi
Kaka pole na mchakamchaka Naomba umtafute Benedict Matata anaishi KIJIJI CHA NAMBALA KARIBU NA SHULE YA MSINGI NAMBALA HUYO JAMAA NI MCHEKESHAJI WA KUZALIWA ANA VITU SEMA POMBE NA KUKOSA MTU WA KUMUENDELEZA VIMEPELEKEA KUTO TREND HANA SMART WALA KITOCHI
Kitu watu wengi hawajui,Arusha ni Jiji la kitalii,na ni watu wenye utamaduni wao,so jamii zao ziko tofaut kwakua wanajua wao wenyew ni kivutio Cha watalii ....,serikali isiwakere hao hao ni utalii toshaa achilia mbali vivutio vngne...
Kazi ya kuota au kununua machupa wenyewe watu wadar wanaita chaka ni inalipa ukitulia mm shemeji yangu ndo kazi yake yeye ananunua na anapita mtaani mwenyewe pia kununua na mkokoteni anaishi maisha yake vuzuri nafamliy yake bira shida yani sema huyo mbwa adi ugali anapiga😅😅😊
Lafudhi yetu inatufanya tuonekane kama wahuni ila ndivyo tulivyo siyo kila saa chuga bangi mara madawa,mje mtujue kwanza muachage kutupa majina mabaya tu kila siku,hakuna mkoa unaomjua MUNGU km Arusha,Peace n love my Chuganian people nawapenda sanaa
🎉
Tuliwaambia! Chuga ndo home napapenda sana
Watuache na Arusha yetu
Sio muachwe Kuna muda mwengine ni mnajifanyisha mnataka sifa mnajifanya kuweuka, kujipa uchizi ambao hamuna,mkihis kwamba ni ufahari
Mbona kuna wengine wanarafudhi kama unazosema na wanaongea vizuri kabisa tu,ila wengine wanajifanya eti masela 😅😅😅😅
Huyu jamaa anaonekana hana shobo na pisi🤣🤣
Mashaalah Mashaalah mungu akulinde Na akulinde na mabaya ya dunia👏👏👏👏👏❤
Jamani mimi napenda vijana wa kiarusha! Wanavoongea..😂👍🏻❤
Kamzozo ni fedheha
Watakukula 😅😅
Kwer bbk.
I hear u Queen❤
We neng’eneka tu unawashwaaa eeeeh na hamu ya kukunwa eeeeh hahaha
Sijaona Kichaa Apo Nimeona Mzarendo Kwa Wanyama Hata Ongea Yake Sio Kiuni Bali Ongea Yao Ni Asili Yao Sasa Aimanishi Ni Kichaa Au Bangi Kwani Bangi Sio Dawa Jamani Bangi Dawa Sema Kuitumia Kwa Utaalamu Zaidi
Best comment ever
Halafu anakiri nyingiii kaokota makopa kajinunuria chuma na Simu nzurii🙏
MASHALLAH MY BROTHER ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY BLESSED U AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakupa hongera sana kijana mungu akutangulie katika kazi ya mkono yako❤👍👍👍👍👈👈💖💕💕💕💋👍👍👍
MUCH LOVE FROM LONDON UK 🇬🇧 🇬🇧 MAY GOD BLESS YOU BROTHER
Smart guy. Afike mbali
Big up broo ❤❤❤nimependa unavyo penda wanyama kama mimi
Ahaaaa
🙌🙌🙌🙌
Daa aisee huyu jamaa ndugu yetu kabisa. Njoo huku iringa uishi utapiga pesa, nakuona ni mchapa kazi hodari sana
😂😢😅
👍✌️
Banging.mbaya
Arusha tuwe na rais wetu tuu, ndani ya miaka mitatu tutakua kama COLOMBIA kabisa
😂😂😂😂 wallah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisa, lakin hatuna bandari
Tena awe ana akili za bangi kama raia wake
😂🤣😂🙌😂🤣🤣🙌hasa mitaa ya Ngarenarooo 🥳🥳😂🤣🤣
Chuga my country ni og
Nakubali Chidy boy
Nimeipenda eeee babake
Tatizo lenu wabongo ndo hilo kwani hapa bangi inahusika vipi jamaa yupo sawa
Nimeishi sana arusha najua ni mkoa wa kuupiga mwingi bhangi😂
@@sophyodago5062 kwaiyo na wewe ulivyokaa ulikuwa unalipiga
Kaka pole na mchakamchaka
Naomba umtafute Benedict Matata anaishi KIJIJI CHA NAMBALA KARIBU NA SHULE YA MSINGI NAMBALA HUYO JAMAA NI MCHEKESHAJI WA KUZALIWA ANA VITU SEMA POMBE NA KUKOSA MTU WA KUMUENDELEZA VIMEPELEKEA KUTO TREND
HANA SMART WALA KITOCHI
Vijan wa chugaa nawap pongez🎉 nomaaa hawana
Mdudu talk about peace and love in chuga Land ✊
Super
Waoooo mbwa wake ni mrembo
Haaaaa hiiii Arusha yangu 😅 nimejikuta nacheka tu aise maana aishi matukio aise
Chalianguu.. og
Anapenda dona 😂😂😂
A town
Bro ivi ukifungua you tube chanel ukibadilisha sim you tube chanel yako inaendelea au
Nakataa Arusha Sio Tanzania Arusha ni Nchii Nyengine Ni Vile Atujui Tu Maana Kila Maajabu Matukio Ni Arusha 😂😂😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!ukiwa na stress nenda Arusha ukacheke ukae sawa!!
😂 😂 😂 😂
😂😂
Napingana nawewe
Kila ktu bangi mamaeeee zenu Wala chips njooo chuga...
Huyu jamaa nilijua katoka machimbo. Mererani, kumbe laa😂😂😂.
Duu!! Unaishi na mbwa magetoni hii kali sana
Arusha mji ya wajanja bn
Tupewe Raisi wetu tujiongoze wenyewe
Really 😂😂
Nakutizama kutoka United Kingdom 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 daa balaa yakweli pongezi Sana ndugu mtangazaji
Mbona unaonekana mshamba 😮
msenge ww unatafuta madem tu, akati upo bariadi uko nkololo kabisa
@user uthiru kinoo 😂😂😂
@@johnzacharia6892uyu ako APA Kenya Uthiru kinoo ndio UK 😂😂
ATI amebandua Maganda simu
Huyu jamaa ni mwamba na nusu mkiambiwa ajira hamna kaz zipo nying muwe mnaelewa muhun anavyochapika iv afu uje umdhulum au ule hela ake kisoro asikuzmishe😂
Mdudu kama mdudu
Yani hyo kuongea tu n kuchekesha 😂😂😂
Germany shepherd old model ...
Ana pambana pia anampenda mbwa wake
Chuga kila kitu kipo😂😂
ameenda huyu
Nane nane iyo njiro
Ila hawa inatakiwa wawekewe uzio sio watu wa kawaida 😄
Amebandua mwenyewe pirupiru😂😂😂😂😂
Uhuni tu kuoga Aaaaaaah😂😂😂
Kaskazin hatoki fala
Mimi naipenda lafudhi ya arusha na moshi
Dudu ngaa kamakawaida
Chugas mko Bien bouc
Mbona munarudia rudia 😅
Iv arusha mnanini jmn hamuishi vituko hahahahhaa
Arusha tunavijana wa hovyo sana
Hakatai wala haikatiki😂😂
Hapo location jomba imekataa kutoa kionjo😂
madagas shazii😅😅😅
Muda wa kuamka muda wa kukurupuka muda wa kulala na jua 😅
Kilo Moja na nusu mtu mbilii dona
Alafu vido nyinyi ni wabinasfi kila kitu Arusha jamaa wa Arusha
Mdudu
Chuga kama chuga😂
😂😂😂❤
ARUSHA iwe nchi
Mbona hata apo anachekesha
Eh tz kuna mastar wengi
Ashakuwa star huyo
Mbwa hapa marekani hulelewa Kama mtoto na akihumwa hupelekwa hospitali, na akifa hufanyiwa maziko
Akiumwa
😂😂😂😮
Akiumwa sio akihumwa
😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
MUNGU akulinde kijana mpambanaji🙏
Mother land
Bongo sihami kwa porojo hzi
Mbwa kawekewa ad kidalek duh
Kitu watu wengi hawajui,Arusha ni Jiji la kitalii,na ni watu wenye utamaduni wao,so jamii zao ziko tofaut kwakua wanajua wao wenyew ni kivutio Cha watalii ....,serikali isiwakere hao hao ni utalii toshaa achilia mbali vivutio vngne...
Humjui mbwa wake breed gani
Ni aina gani ya mbwaaa
African coco
khoo ivi ndo watu wanaongeag arusha au ?
Uwezi kukosa kucheka kwa vijana wa Arusha
😂😂
Presenter huja jiandaa
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤣🤣🤣🤣
Chuga hiyo chuga hiyoo kila kitu Ni hataryy.......
Chga style
Nilifkiri kilimo cha bangi kimekomeshwa
Muulize mama ako maana analima
Kazi ya kuota au kununua machupa wenyewe watu wadar wanaita chaka ni inalipa ukitulia mm shemeji yangu ndo kazi yake yeye ananunua na anapita mtaani mwenyewe pia kununua na mkokoteni anaishi maisha yake vuzuri nafamliy yake bira shida yani sema huyo mbwa adi ugali anapiga😅😅😊
Mbona mbwa kula ugali jambo la kawaida tu
Uchumi mdomo mdogo#nidhamu ya pesa
Nava 30 nikichfukwa
Ukiskia chuga hy ndy chugaaa ni raha tupu kiruuuuu
ubunifu
Mageton
Chugastan
ndugu mtangazaji umefanana na huyo mshkaji.
😂😂😂
Duh, hapo Arusha kunann jaman
Balaa ndugu hilo
Hiii ndo chugakamachuga
😂😂😂😂😂
Huyu kashakula bando la bangi.
😆😆😆😆😆😆😆😆
MBONA HUYU JAMAA KAFANANA NA MANDONGA IVO AU NI MACHO YANGU TUU?
Mbwa ni muhuni kama mwenyewe 😂
🤣🤣👊🇰🇪
Iacheni chuga AmaniAmani tu ile ni lafuzi tu wadudu wako poa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂