Mm binafsi ni muislam lakini Daniel mgogo namfatilia mwanzo mwisho. Uyu mzee ni moto wa kuotea mbali. Hua namfananisha na #Dida wa masham sham kwa kuipa jamii mabomu ya wazi wazi. Mungu awajaalie
Mimi binafsi mwezi huu naomba mungu nikutafute nikupatie japo hata ya maji mchungaji sina kikubwa bali hata hiki kidogo tu maana kisu kimegonga kwenye mfupa ni kuvumiliana tu iri mambo yaende
Huyu mchungaji kiukweli haya mazungumzo yake nime yaelewa maneno mazuri ya kweli mashallah Allah amuongoze na amtie ktk dini ya uislam heshima kwako mchungaji.
@@danfordmilagiro1836 ni kweli maneno yako. Mm ni muislam lkn napenda sana kusikiliza mahubiri ya huyu pastor. Kuliko wengine kwa kweli. Allah amlinde na amzidishie elimu
Yani nyie waisilam huwa mnataka vitu vizuri viwe vyenu wakirisitu Wana mungu Alie hai na hawatangazi dini wanamtangaza mungu Alie hai Wala hawapiganii dini
Dahhh mimi ngoja nitie like .sina neno la kuongezea hapo .huna baya pastor 👍👍
Mzee wa nondooo mwenyewe,much love and watch you from Washington DC USA
Huyu Mchangaji ni Jembe ni kweli kabisa baba.Ua way of teaching is amazing.Mungu akutie Nguvu
Mungu akupe maisha marefu. Utufundishe mengi maana nimejifunza mengi karibu baba marawi na marawi tunakusikia baba
Mimi ni Muislam lakini bwana Mchungaji nimekukubali sana. Mafundisho yako yanapita elimu kubwa sana.
nenda kanisani kwake utamuelewa zaid
Njoo kwa YESU Kuna raha zaid🙌🔥🔥
Ni kweli kabisa mchungaji hatuna cha kukulipa ila mungu atakulipa
Asante mchungaji walah umeniponya sina nma ya kukushuru ila mungu azidi kukupa hio neema pia akupe uzima wa milele
and i'll always clap 👏👏👏👏👏kwa huyu pastor.abarikiwe sana;...frm KENYA ..salute.🙏✌
Past asante sana mungu akuzidishiye kwenye huduma,zako
Kwa huyu mchungaji japo anasaidia ndoa nyingi pia amekuwa burudani hongera sana paster
Mm ni mwislam lakini napenda Sana mahubiri ya huyu mchungaji
Ni kwel hata mm muislam lkn huyu mchungaji ana hekima na busara sana maneno yake matamu sana mashallah.
Nendeni church tu
Safiii
Yesu anawapenda
Wee baba mchungaji mungu akulinde kwakweli unamafundisho mazuli kwakweli mungu azidi kukupa nguvu
Pat mungu akubariki sana, imefufua makanisa mingi, roho za watu na ndoa,,,, asante sanaaaa
Huyu pastor nampenda msema kweli when I visit Tanzania lazima I visit his church
Mimi muisilamu lakini namfatilia sana
Mchungaji kazi nzuri mungu aendelee kukupea nguvu kwa hyo huduma
Mchungaji ongela sana unatuponya
😭😭😭😭😭😭mchungsjii manenoyako yananiumizaa sana hayondio yamejaa kwenye jamii ahsante sana mchungajii mgogo
Asante Sanaa mchungaji mungu aendelee kukupa kile ambacho tunakiitajii
God bless you pastor...nafuatilia mafundisho toka saudi arabia
My all time pastor🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
One of my best Pastor from Tz. Much love to you 💘💘😍💘😍
Be blessed pastor Daniel continue telling the people the truth, Mungu amekuita kwa ukweli l like your preachings🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakukubali sana Pastor Mgogo "Mzee wa Dozi" MUNGU azidi kukuinua katika utumishi wako.
Baba apo kwenye kuushi na kiumbe bila polisi wala magereza hapo ndipo tunahitaji mungu atupe kibali ubarikiwe myumishi
Amina Amina,amani ya mtu iko kwenye familia🙏🙏
Long live pastor
Truth pastor.I love your preaching coz that's the reality.🇰🇪
𝑫𝒂𝒏𝒊𝒆𝒍 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒄𝒉𝒂 𝒂𝒊𝒕𝒘𝒆 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂𝒌𝒐
Pastor you are real.
Mm binafsi ni muislam lakini Daniel mgogo namfatilia mwanzo mwisho. Uyu mzee ni moto wa kuotea mbali. Hua namfananisha na #Dida wa masham sham kwa kuipa jamii mabomu ya wazi wazi. Mungu awajaalie
Well said Pastor Daniel Mgogo, Much love from 🇰🇪🇰🇪
May God bless you pastor keep moving forward
May you have a long prosperous life ahead my beloved pastor
Daniel mgogo saluuuuut nakufuatilia sana mchungaji
Fundisha mchungaji unabariki sana🙏🙏
Amen Amen Amen Pastor more Grace,i love you my spiritual dad,may God continue to give you wisdom
Ukweli mtumishi..
Nakufuata from Doha qatar..
Mimi mkenya
Hiki kichwa ni computer aisee🤣🤣🤣 Mungu akulinde mtumishi nakukubali sana mafundisho yako kwangu ni elim tosha
Namkubali sanaa mgogo huyu Tz tulikua nao wawili tu wakutuaMbia ukweli ni daniel mgogo na sheh nyundo mmoja zanzibar mmoja tanzania
Kweli but nyundo Ndio katangulia mbele za khaki ALLAH amrehemu
Amen and Amen be blessed Man of God, much Respect Prayers and Love from 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
I too love listening to pst mgogo here in kenya
Sasa hapo Siri ya diamond ni ipi, waandishi bwana, aibu yenu.
Following.. may God bless you abundantly pastor mgogo .. always feel blessed
Thank you man of God
Long live to help nations
Be blessed I love your preaching
God bless you pastor,🇲🇿🇲🇿🇲🇿 from Mozambique
Mozambique 🤔
I think I know you Pauline Ululu
Much love from D.R.C 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Asante sana pastor may God continue blesse you more ❤❤❤❤🔥🔥🔥☝️☝️☝️🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aminaa
My all time pastor,I love ur teaching
Mgogo upo vzr Sana mungu akusaidie uwe na maisha marefu sana ujumbe umefika safi sana
You made to realize my sins and to repent, thank you Pastor mgogo, babaa wa nondo. Continue healing our family. Be blessed.
Facts pastor..like it from kenya
Well said pastor support you 💯
Baba mie ninakukubari sana Mungu azidi kukutumia kwa kiwango kikubwa zaidi🙏🙏🙏
Nakubali mchungaji Sana kariakooo natamani nije nisali hapo sijui misa ya kwanza inaanza sangapi
Barikiwa mchungaji
Asante mtumishi wa Mungu
Very well said man of God. God bless 🙋♀️👏👏
Pastor kweli umenena Mungu Akupe Neema ya ushindi katika maisha na Huduma YAKO ya mafundisho
Anatumia nguv kubwa Sana kuongea ila miwatu ndo migum kuelewa
Nimekuelewa sana mchungaji mungu akubariki Sana🙏
I love this Pastor God bless him
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God with you pastor amen 🙏
Mimi natafta mume ako wapi 🥺🥺🥺🙄🙄 please kuja niko hapa please!🙏🙏🙏
Hongera sana pastor unanibariki sana
Hongera sana mch daniel mgogo
Mungu akubariki sana
Nashukuru Mungu kwa kumujua mtumish Daniel Mgogo, Mungu akubariki
Loving you so much according to your preaches🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupeda kusema ukweli,Mbinguni hatutafika kama huku duniani hatupedani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wanadamu hawapedi ukweli🙏🙏🙏
Hongera mtumishi kwa kazi ya bwana
I love your preaching teaches alot abt life,may God Bless you more and more.Thank you Pastor
True dear
Barikiwa sana pastor kwa ukweli 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Nakukubali sana baba yangu Mzee wa kuchana
Mimi binafsi mwezi huu naomba mungu nikutafute nikupatie japo hata ya maji mchungaji sina kikubwa bali hata hiki kidogo tu maana kisu kimegonga kwenye mfupa ni kuvumiliana tu iri mambo yaende
Mwinue mungu hujaponya ndoa za watu bali uvuvio wa Mungu kupitia roho wake otherwise unamsukumo binafsi
Nakupenda sana nikiwa jamuhuri YA kidemocrasia YA Congo goma.
God bless you pastor
Well said pastor, more congratulations from Miss upcoming HR.
Safi sana Paster Mgogo
I always admire to be your student
Mungu akubariki sana mchungaji.
Baptist ina mwalimu bora sana ;
Favourite pastor ever👍
Mchungaji yupo vizuri sana
God bless paster
Huyu mchungaji kiukweli haya mazungumzo yake nime yaelewa maneno mazuri ya kweli mashallah Allah amuongoze na amtie ktk dini ya uislam heshima kwako mchungaji.
Mungu anaangalia moyo siyo dini kokote tu kikubwa umche Mungu wako kwa roho na kweli
Dini ni dini
@@danfordmilagiro1836 ni kweli maneno yako. Mm ni muislam lkn napenda sana kusikiliza mahubiri ya huyu pastor. Kuliko wengine kwa kweli. Allah amlinde na amzidishie elimu
Insha Allah
Yani nyie waisilam huwa mnataka vitu vizuri viwe vyenu wakirisitu Wana mungu Alie hai na hawatangazi dini wanamtangaza mungu Alie hai Wala hawapiganii dini
Namuelewa sana mchungaji mgogo
Mhubiri nakushukuru kwa kuelimisha jamii, umenifanya nielewa binadamu mwenzangu
Barkiwa sana mchungaji
😂😂😂😂 huyu pastor nimemkubali sana point konki
Et konki🤣🤣🤣🤣🤣
Waambie kabisa mchungaji watu vigeugeu sana usiache mafundisho haya yanajenga sana
Mungu akutangulie pastor wangu
Ninachojua nikukupenda tu🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Baba Nakupenda sanaaa
Barikiwe mtumishi
Jamani mchungaji Mgogo nampenda sana
Amen mungu akubariki snaaa
Nakupenda sana Mgogo.
Amen washidwe wenyekuchezeyawatu
Ubarikiwe sana Mchungaji
Hahahaaaa mchungaji umenifurahisha sana
Nakukubali mnomno
nice pastor
Yaani mchungaji ni konki