MWANAMKE ALIYEDAI KUISHI NA NYOKA NDANI ADAKWA NA WAZIRI GWAJIMA "MNATUHARIBIA JAMII"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 05. 2024

Komentáře • 698

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Před 24 dny +40

    Kazi iendelee Muheshimiwa Gwajima. Excellency pongezi Mama Gwajima mfano wa kuigwa

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 Před 24 dny +48

    Hongera Dr Gwajima, aisee tumechoka. wabananishe na wanahabari hao ndio wanawatengenezea maudhui na kurusha ili kupata viewers.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 Před 23 dny +1

      Wafungiwe ikibidi nawao wafungwe hakuna
      Uhuru bila mipaka

  • @FloraSlivester
    @FloraSlivester Před 24 dny +97

    Asante mama mngeanza na watangazaji wanaorusha mambo mabaya wanasababisha watoto wetu wawake tamaa za utajiri wa kishetani

    • @user-gy3dv3tq8d
      @user-gy3dv3tq8d Před 23 dny +7

      Mimi mwanangu jana kaniambia mama nataka niende kwa mganga akanipe utajiri nikamfokea huku nimemtolea macho akasema sikuuwi nitakuwa nalala na joka

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Před 23 dny

      Ila hayo ni majini

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft Před 23 dny

      😮😮😮😮 mmmhhh ​@@user-gy3dv3tq8d

    • @user-sn6dc9gh8k
      @user-sn6dc9gh8k Před 21 dnem

      ​@@user-gy3dv3tq8ddada yangu kweli?

    • @sanaaseif2731
      @sanaaseif2731 Před 20 dny

      ​@@user-gy3dv3tq8d pia usiache kumfunza njia sahih baada kumkemea mjenge kua na hofu ya mungu ukumbusho kwako na kwangu

  • @marymunissi3453
    @marymunissi3453 Před 24 dny +34

    Kwa kweli kwenye hili jambo nakuunga mkono Mhe. Waziri, wanatuharibia watoto hivyo waache kabisa upuuzi huo.

  • @ConsolathaStephen
    @ConsolathaStephen Před 24 dny +14

    Wakamate wote kuanzia waandishi wa habari na wale wanaojiita ndugu zake utatusaidia sana mama. Bado yule Godlove anayetukana vijana wenzake kuwa ni masikini anawadanganya tu.

  • @paulinesekemi7971
    @paulinesekemi7971 Před 21 dnem +6

    Ahsante sana mama na mlezi wa kizazi hiki kilichojaa ujuaji .Umeitendea haki nchi yetu sisi wazazi tunaumizwa na ujinga kama huu .

  • @user-oy9cc4qs4e
    @user-oy9cc4qs4e Před 24 dny +14

    Pumbavu sana sura kama nyoka wake afungwe huyo mdada anatakiwa apambane afanye kazi huyo akawe mfano kwa wengine anatakiwa Apate adhabu Kali mpuuzi kweli asantee sana mama yetu kwa kuliona hili

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 Před 20 dny +2

    Mi5 Tena ya mama gwaji kwanza anatakiwa apewe adhabu ili awe fundisho na Kwa wengine maana tumeshachoka kuskia uongo na mambo ya kupotosha na kudanganya

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 Před 24 dny +11

    Safi sana mheshimiwa waziri, hongera sana kwa kazi nzuri mama gwajima

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 Před 24 dny +72

    Nilijuwa kitakuramba mshenziiiii kabisa 😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @adamapollo9859
      @adamapollo9859 Před 24 dny +3

      😂😂😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před 24 dny

      Ndugu zetu wakenya nashukuru na nyinyi mtaanza kuelewa ukweli na hasa kwa serikali kuwashughulikia hawa waigizaji feki wanaochafua taswira ya nchi ya Tanzania. Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na matukio mengi ya kutengeneza maigizo ya mambo ya kichawi na kuwaaminisha watu kuwa ni ya kweli ili kutafuta kiki. Maigizo haya yalipelekea kwa baadhi ya wageni na hata majirani zetu hasa ndugu zetu wakenya wadhani kuwa Tanzania ni nchi ya wachawi na ushirikina jambo ambalo sio kweli. Hawa watu waliachwa kwa muda mrefu wakishuti video zao za hovyo za maigizo yao haya feki na kuyaposti kwenye social networks, ingawa baadhi yetu tunaodeal na kazi za media tunajua uhalisia na tulitumia nguvu kubwa kukanusha kuwa Tanzania sio nchi ya mambo hayo na watu wake ni wema na wakarimu na hayo ni maigizo tu ya kujitafutia pesa za CZcams na kujipatia umaarufu wa kijinga lakini kwa bahati mbaya hakuna jirani aliyetuelewa, wakenya wengi walidhani haya ni ya kweli. Naishukuru serikali yetu pendwa kwa kulivalia njuga swala hili na kuwafatilia hawa wasanii feki wanaochafua taswira njema ya taifa letu la Tanzania. Ahsante sana.

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 Před 24 dny +3

      Hii ndio tanzania hawamwachi mtu

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 Před 23 dny

      Ba kimemramba😂😂😂

    • @farahali6041
      @farahali6041 Před 17 dny

      Kujipaza tu ulikuwa unasema ili iweje lana tu umerudi tena ww nisamehewe utiwe adabu kwanza liwe funzo kwawengine

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Před 24 dny +82

    Sweka ndani tapeli mkubwa huyo 😂😂😂

  • @jumamkoka2267
    @jumamkoka2267 Před 24 dny +24

    Kamata na wote wanaojifanya waandishi .. wanaoturushia hizo stori zao

  • @RahmaBashiriMassawe
    @RahmaBashiriMassawe Před 21 dnem +3

    Asante Waziri wetu Kwa kusimamia Hilo.Mwenyeezi Mungu akuinue katika Kila jambo

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 Před 24 dny +7

    Hongera mh. waziri kwa kunfundisha na kumjenga huyo dada, mi niliona hata alijiharibia hata cv yake binafsi.

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og Před 24 dny +62

    Tumechoka kabisaaa na ujinga waoo

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 Před 12 dny +1

    Asante mama waziri haswa Hawa wanahabari wapumbavu sana hawajuwi kama uongo ni dhambi

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 Před 19 dny +1

    Kumbe serikali ya Tanzania iko macho? Ni vizuri waelimishwe hao. Ahsante mama

  • @giuseppinapaul4432
    @giuseppinapaul4432 Před 18 dny

    Safi waziri. Wapo pia vijana wavuta bangi wanatishia maisha ya vijana wema, mheshimiwa Waziri tunaomba msako ufanyike ktk kijiji cha miwaleni Moshi, wameshindikana pia km itakupendeza Tanzania nxima wasakwe na kupewa eka 200 walimie mahindi kwa ajili ya chakula cha masikini ambao hawawezi kufanya kazi. Aksante Mheshimia

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Před 21 hodinou

    ❤ukiona mtu kajianika nazinaa tena anatangaza waziwazi ujuwe laana imemvaa

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf Před 24 dny +35

    Asante mama Gwajima

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 Před 14 dny

    Hongera sana Mama Mungu akubariki sanaa, na kuwa hivi vidada vinavyoimba muziki matusi na kukaa nusu uchi Mama naomba upambane nao. Mungu atakulipa mama. Ubarikiwe. Sanaaa

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Před 22 dny +1

    Hongera Dk umefanya vinzur sana pongez kwako 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @FrankDeo-lo1yi
    @FrankDeo-lo1yi Před 22 dny +1

    Mimi nilitaka kushangaa nyoka anawezaje kumpelekea🔥🔥🔥 mwanadam🤔

  • @aminathaabubakarmasoud565

    Asante big up Mh. Gwajima..

  • @annaedwardrobert6778
    @annaedwardrobert6778 Před 24 dny +14

    😂😂😂😂😂 kimemramba

  • @YaeliJoseph
    @YaeliJoseph Před 24 dny +2

    Safi Sana Waziri ,kazi njema Sana 🙏

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Před 18 dny

    Hongera mama yangu kipenzi.natamani tungekuwa na viongoz wa aina yako wooote sio wapenda vigodoro.big up mama!!!

  • @simonchambo1230
    @simonchambo1230 Před 22 dny +1

    Mheshimiwa waziri hapa umefanya kazi yako good job hawa watu brainless wote sweka ndani hawana faida

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 Před 23 dny +2

    Mama shkamoo Asante kwa huduma .

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 Před 6 dny

    Hongera kutambua kosa lako

  • @allymafita1985
    @allymafita1985 Před 23 dny +2

    HONGERA MAMA , YOU DID, KEEP IT UP MOM

  • @barakajulius5938
    @barakajulius5938 Před 24 dny +25

    Kajipandikizia Mikosi tu, hapati mume ng'o😭

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s Před 24 dny

      😂😂😂

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 Před 24 dny +2

      😂😂mume si yule nyoka wake

    • @ubongosahihi
      @ubongosahihi Před 24 dny

      Haswaaaaaaa ndiye aishi naye 😮😢😢 watoto na wajukuu Zetu kwa kweli tunaomba sana Huruma ya Mungu na Serikali Pia kuwa Makini kwa wale wote wanaorusha Habari za Mila na Desturi zetu Halisi za Kitanzania Barikiwa Sanaaa Mama Mheshimiwa kwa Kazi yako Udumu katika Imani 🌹🌹🌹🌹🌸🎀🌸🙇🏽‍♀️🧚🏾‍♂️👏🏾

    • @barakajulius5938
      @barakajulius5938 Před 24 dny

      @@salmamlokela1987 atajua mwenyewe

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl Před 24 dny +2

      Barakaaaa... Katika Ulimwengu huu,si ajabu Kuna wamaume waliokuwa WANAMTONGOZA na walikuwa tayari kuishi nae na NYOKA wake. Binaadamu wa siku hizi😮😮😮😮

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d Před 22 dny +1

    Hongera sana mama ❤wakomeshe na wakaa nusu huchi nao bado sikuyao

  • @jumannerizimbura6750
    @jumannerizimbura6750 Před 24 dny +3

    "Kila penye uwazi, HUZIBWA." Maneno hayo aliniambia mhenga MMOJA. Ss kama taifa, hatutaki watu wetu wajadili mambo ya maana kwa mfano, ukosefu wa ajira, maisha magumu, nyumba mbovu, kodi, elimu, utawala nk. Hayo hatuyataki, na kitendo hicho kimetengeza uwazi wa habari na maarifa. Uwazi huo sasa unazibwa na mambo ya hovyo, yasiyosaidia mwananchi kimaisha: kubeti, Simba na YANGA, muziki wa hovyo2, sanaa za kishenzi nk... Chanzo cha haya n sisi wanasiasa, hayo wanayofanya n matokeo tu

  • @FaniaSonga-jm9rv
    @FaniaSonga-jm9rv Před 24 dny +2

    Asante mama wafundishe jisi yakuishi

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx Před 24 dny +25

    Safi Sana Tena sana mpuuzi uyo ata kama kweli kwanini asitunze sili yake anajuwa watu wotetunapenda ujinga au pesa za kijinga Kila mtu abaki na Imani yake 😊😊😊😊

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso Před 24 dny +1

    Asante mheshimiwa waziri

  • @elizabethkiyaya
    @elizabethkiyaya Před 24 dny +1

    Mungu akibark mama kee

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi Před 24 dny +1

    Asante mamangu imekuchukua muda saan kusimama juu ya aya mambo ya kishetani yamekuwa mengi saan

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Před 21 dnem +1

    Safisana mama 👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️❤️

  • @saudakitimla2352
    @saudakitimla2352 Před 17 dny

    Mama umeupiga mwingi....kazi iendelee

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 Před 23 dny +1

    Pia kuna watangazaji wahovyo sana mama gwajima anagalia vibali vyao kwakweli tumechola kutangaziwa habar za uongo tunaonekana watanzania hatuna maana hongera sana mama mungu akutangulie katika kaz yako

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl Před 24 dny +8

    Alaaaaaaaaaaaaa! Kumbe ni Matapeli. Akina Dr sule Hawa. Mmmmmmmmmmmm! Ok

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 Před 23 dny

    Hongera mama na wandishi wao waongo wenzao kazi iendeleee

  • @umtv9224
    @umtv9224 Před 23 dny

    Asante sana Mama na waandishi wanaofanya hizo content wafungiwe kufanya kazi wanafanya hii Tasinia ionekane ya hovyo

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641

    Hongera mh. Gwajima kwa kulifanya vyema Mungu akubariki!

  • @irenemlay9769
    @irenemlay9769 Před 21 dnem

    Asante mama

  • @user-ub2vn5vt3o
    @user-ub2vn5vt3o Před 24 dny +13

    Mheshimiwa mama hao ni wapuuzi wakanye kabisa

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 Před 24 dny +9

    Njaaa mbaya sana daaa hongera serekali yetu komesha mbwa kma huyu

  • @AbouhSix-wm2bx
    @AbouhSix-wm2bx Před 23 dny

    Point in point guud san mheshimiwa

  • @OmariNgurangwa
    @OmariNgurangwa Před 24 dny +6

    Mpk media iriyorusha ule upumbavu fungia

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Před 22 dny

    Hongera Mheshimiwa

  • @MarcyMuthama-eh9yo
    @MarcyMuthama-eh9yo Před 21 dnem

    Hongera sana mama💕💕wote washike adabu

  • @user-ms8yc5hq7s
    @user-ms8yc5hq7s Před 19 dny

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana mimi

  • @user-ow7pl6tz2c
    @user-ow7pl6tz2c Před 24 dny +5

    Safi sana waziri

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Před 21 dnem

    Wawejewe sheria kali waandishi wa hsbar wanalipa pesa watu kisha wanarikod wanayo taka wao
    Fanya haraka kuhusu hilo mama ngwajima hongera

  • @user-zq6nc2nf1g
    @user-zq6nc2nf1g Před 11 dny

    Niliwaambia Ni Biashara Ile Tangazao😂😂😂

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před 22 dny

    Dr Gwajima unafaa sanaaaa wakomeshe watoto wanaharibika kwa ajili yao

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 Před 24 dny

    Safi sana big up serikali

  • @user-nc9xy4ki2o
    @user-nc9xy4ki2o Před 18 dny

    Kaz nzur mama wazir

  • @user-uo1wu8gf2y
    @user-uo1wu8gf2y Před 21 dnem

    safi sana mama hakika ww ni mama Bora kwetu na hii ndo Tanzania yetu umejua kuponya nchi mamangu

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 Před 24 dny

    Asante Mama heshima kwako❤❤❤❤

  • @AzizaRamadhani-uh6ho
    @AzizaRamadhani-uh6ho Před 23 dny

    Mama umetisha sana❤

  • @user-ys8hi7iy5j
    @user-ys8hi7iy5j Před 21 dnem

    Asante sana mama yetu umetusaidia sana

  • @esterkessy3348
    @esterkessy3348 Před 15 dny

    🙏🙏🙏🙏Dr Gwajima

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Před 23 dny +1

    Wakamatwe wote pamoja Mimi sijakubali kumpa msamaha wametuabisha sana

  • @zubeda9431
    @zubeda9431 Před 23 dny

    Hasbiyalwahu waaniimal wakil

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere Před 24 dny

    Asant sana mama umefanya vzr hpo nimweusi uongo wekandan uyo sukuma ndni uyoo

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu3838 Před 21 dnem

    Safi sana mama Gwajima

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 Před 16 dny

    Bora.asante mama.ludini na wana muziki hata mumpe mkuu hule nae inakuwaje?😂😂😂😂

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 23 dny

    Mshamba sana huyo bint achukulie hatu kari sana Ongera sana Waziri.

  • @GladnessSamson-xk2ii
    @GladnessSamson-xk2ii Před 24 dny +1

    Safi sana! Aliniuz sana mbwa huyu kisa TU atrend😏😏

  • @kassimmanaramalika8592

    Muheshiwa ni kweli kabisaa wasituharibie watoto watulizane kabisaaa wasituletee ukafiri kwa ujinga wa kuiga mambo

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 Před 23 dny

    Hongera sana mama,binafsi ninakerwa na walewanao hao wanao hamasisha watu namna ya kujipatia fedha kimuujiza Cha kushangaza wengine viongozi wadini Kama liko chini yako pia lishughulikie,maana huo ni utapeli unao tengenza ugoigo kwenye taifa.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Před 24 dny +1

    Daaaaah hii dunia hii

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie Před 21 dnem

    Safi sanaaa sweka ndan me nilijua uongo tu ndio mana sikuangalia ile habar. Kupenda shirki tu hovyooo

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 Před 23 dny

    Haha Tz Iko na vituko Kila kitu ni sanaa

  • @frankmayogo3529
    @frankmayogo3529 Před 23 dny

    Safi sana Mama angu tukemeeni mabaya

  • @rehemahamad475
    @rehemahamad475 Před 13 dny

    Yani mama umenikosha Safi Sana wanyooshe

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 Před 23 dny

    Nyokooo! ukomeee, HONGERA MAMA❤

  • @phiniasrichard9232
    @phiniasrichard9232 Před 3 dny

    Kongole Mama Gwajima

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Před 24 dny +2

    Huyu binti afungwe miaka mitatu gerezani....... peleka jela huyu

  • @user-lx2yc8tj5h
    @user-lx2yc8tj5h Před 24 dny

    Duuuu❤❤❤ kwenye ukweli uongo ujitenga

  • @aishadula21
    @aishadula21 Před 24 dny

    safi sana nimependa

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Před 21 dnem

    Hongera saana mama maana ni mtihani huo waliyo yaongea ni kinyume na maadili kabisa 😢

  • @AbdallahJuma-sn1ri
    @AbdallahJuma-sn1ri Před 20 dny

    Safi saaana mh. Hakuna maadili kabisa . Na pia mngewaelimisha wanahabari. Habari hazina maana wala faida yeyote kwa watanzania na wengine pia.

  • @brotherdaugy1073
    @brotherdaugy1073 Před 23 dny

    Hongera sana mama

  • @gabrielpaul3976
    @gabrielpaul3976 Před 23 dny

    Wewe pamoja na woooote😂😂😂

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Před 21 dnem

    Apelekwe jela ya wanaume wenye ugwadu waliofungwa maisha apigwe MITI hadi ifuke Moshi kama tanuli la mkaa.☹️☹️

  • @KarimSaidi-pn8nw
    @KarimSaidi-pn8nw Před 23 dny

    Safi sana mh

  • @user-kg3cr9gg1h
    @user-kg3cr9gg1h Před 23 dny

    Vzr waziri gwajima pongez kwakoo

  • @NuruBomba
    @NuruBomba Před 24 dny +3

    Wachukuliwe hatu Tanzania inangoza kwa kutumia mtandao vibaya

  • @IsmailIsmail-ix1yd
    @IsmailIsmail-ix1yd Před 24 dny

    Umefikisha ujumbe mama Gwajima.

  • @user-vn7ew6di3t
    @user-vn7ew6di3t Před 23 dny

    Hongera sn kwa kukemea hao matapeli

  • @zainaburamadhan4381
    @zainaburamadhan4381 Před 24 dny +11

    Mhh kazi kweli kweli

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 Před 23 dny

    Mama pia nyimbo za wasanii ziangaliwe zingine hazifai

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 Před 23 dny

    Leo ndo naona unaongea sense🔥🔥🔥

  • @LatifaTwaha-nm3tg
    @LatifaTwaha-nm3tg Před 23 dny

    Heheheheeeee nmechek kwa saut

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Před 24 dny

    Nilijuwa ni uwongo 💯 hamna utajiri wa nyoka au nyoko! Shenzi hawa woote

  • @ericmitti2649
    @ericmitti2649 Před 23 dny

    😂😂😂Hii nchi duuuh