REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU NI HATIMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 02. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 15. 02. 2024.
    HII NI KWARESMA: SIKU YA 2
    UJUMBE WA LEO: "NIDHAMU NI HATIMA"
    "DISCIPLINE IS DESTINY"
    "ZITAFAKARINI NJIA ZENU"
    "CONSIDER YOUR WAYS"

    NENO KUU: HAGAI 1 : 7
    7 Bwana wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.
    Luka 23 : 39 - 43
    39 Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.
    40 Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo?
    41 Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa.
    42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
    43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
    Meaning of DISCIPLINE:
    Collins Dictionary:
    The quality of being able to behave and work in a controlled way which involves obeying particular rules or standards.
    NIDHAMU: Ni ubora wa kuweza kutenda na kufanya kazi kwa njia iliyodhibitiwa ambayo inajumuisha kufuata sheria au viwango maalum."
    Mhubiri: Rev. Dr, Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Komentáře • 1

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg Před 5 měsíci +1

    Baba kweli Mungu alikuchagua ufanye kazi yake,, mimi binafsi nimeona umenitoa chini na kunipa kitu cha kujifunza kwa njia zangu umekua mwalimu ambaye hana huruma wala upendeleo,, ubarikiwe kwa kazi nyema🎉🎉🎉🙏🙏