Mgomo wa walimu wa KUPPET umeanza rasmi hii leo

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 09. 2024
  • Waalimu wa shule za upili wameanza mgomo wao wa kitaifa baada ya serikali kukosa kushughulikia matakwa yao. Mgomo huu ukiathiri masomo katika shule za umma kote nchini, siku ya kwanza ya masomo ya muhula wa tatu. serikali sasa inawataka waalimu waliofanya maandamano sehemu nyingi kusitisha mgomo wao na kufanya mazungumzo....brenda wanga ana maelezo zaidi...

Komentáře • 8

  • @mosetiogeto2703
    @mosetiogeto2703 Před 17 dny +3

    Let the teachers get their rightful rights. A strike is the language the government is able to understand. We support you fully.

  • @Esendi564
    @Esendi564 Před 17 dny +2

    Selikali dio baya 2 m zenye walikua wanapea governor walipe walimu

  • @RachaelMackenzi
    @RachaelMackenzi Před 17 dny +2

    Please we are confused kama kids are not going to school tomorrow just tell us coz we are really on dark 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @christine848
    @christine848 Před 17 dny +2

    Rogue regime change your approach and attitude towards the oppressed citizens, your mediocre dialogues calls that bears hot air cannot be trusted anymore. Just resign and save our beloved country Kenya.

  • @firdausfaridosa2040
    @firdausfaridosa2040 Před 17 dny +1

    Why can't they just pay teachers good salary? Imagine even I don't see the different with private school, kids going to serikali school and still they send kids home money for teachers, us as parents we addy money too ..I don't see different will private school, we need kids back to school it's not their problems

  • @JanetmalaviMalavi
    @JanetmalaviMalavi Před 17 dny

    Kipsang😂😂😂😂weeh

  • @josephnjogu9341
    @josephnjogu9341 Před 17 dny

    Hao walimu ni wahalifu wanochapa watoto kiholela bila kutii sheria. Watoto wengi huharibiwa na vichapo mpaka zaidi ya robo tatu huwa wakingoja kuwa bodaboda kwani utamu wa maisha ama kunawiri hauko. Ulimalizwa na ukatili wa watu wanaolipwa kuwasaidia.

  • @kioichege5592
    @kioichege5592 Před 17 dny +2

    CS is clueless about education matters you have no moral, manners authority to lecture us on how we should run our strike. Article 41 (2)( d) give us power to go on strike. Be careful with your Language